STENDI YA MABASI TANZANIA, YENYE HOTELI NDANI

  Рет қаралды 118,523

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Selemani Jafo amefanya ziara mkoa wa Iringa ambapo ametembela Ujenzi wa Jengo la Utawala ndani ya Stendi mpya ya Mabasi Iringa, Ambapo ndani ya Jengo hilo kutapatikana Vyumba 30 Vya Hoteli kwa Ajili ya Wageni

Пікірлер: 226
@kevinpelomgeni1445
@kevinpelomgeni1445 3 жыл бұрын
Daaaah!!! Watanzania acha niwapongeze, mnafanya vitu vinavyoonekana kweli, yaani nyie ni wachapa kazi. Drc 🇨🇩 tunawapongeza sana, Big up sana.
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Mdogo mdogo tutafika tu Tanzania 🇹🇿💚💚💛🖤💛💙💙
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
Kweli kabisa Ndugu Yangu
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 3 жыл бұрын
Kwenye Stand mazee, Tanzania ni nchi ya kwanza kwenye ukanda huu!!hata Kenya hawasogelei Love from 🇧🇮🇧🇮
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 жыл бұрын
Kabisa tz ime piga hatua sana kwa stendi
@kennedysuwa5910
@kennedysuwa5910 3 жыл бұрын
kenya hakuna stendi
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@sanjafarmmachinerystractor4205
@sanjafarmmachinerystractor4205 3 жыл бұрын
Kenya shamba chache
@wincute4306
@wincute4306 3 жыл бұрын
Na mwapeda sana kujilinganisha na Kenya,,lol bona usitaje Uganda Rwanda?sisi terminal zetu za SGR zimetutosha kwanza
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 3 жыл бұрын
Hio ndo utawala bora wa baba yetu Jpm.Mungu akubariki Rais wetu.tumeshakuelewa baba chapa kaz mkuu
@latenitepiano
@latenitepiano 3 жыл бұрын
🤩 Safi sana! Sasa pandeni miti, nyasi, majani na maua mazuri 🌳🌲🌴🎋🌿🌾🥀🌺💐🌻🌵yatoayo harufu nzuri yenye manukato, ku zunguka stendi nzima ndani na nje! Ita pendeza sana na ku fanya mazingira yawe bora yenye vivuli na upepo wa ku vutia! 🦜🕊🦢🦃🦚🦋🦅🐝 Ndege wa mwituni wata kusanyika na ku imba nyimbo nzuri sana za asili “Nature Sound”! 🇹🇿🦒🦚🌴🌳🏝🏖🏔🥀❤️💛💚🛣🛤🏞🌌🎄✨💫🙏🏽
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@eliarichard9218
@eliarichard9218 3 жыл бұрын
Ooooh yeah.
@jamesthomas390jj
@jamesthomas390jj 3 жыл бұрын
Aiseee....huyu JPM huyu. Mungu atamlipa
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 3 жыл бұрын
Huyu tumpe muda aendelee kutuvusha tuachane na wapiga dili
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
@@madaiincubationcenter4947 Kweli kabisa Ndugu Yangu
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 жыл бұрын
safi sana stendi msimpe muwekezaji tusimamie wenyewe Tanzania oyeeee
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 3 жыл бұрын
oyee
@jacksonvalence7365
@jacksonvalence7365 3 жыл бұрын
Hizi project zinalengo kukuza mapato ya manispaa hongera kwa serikali. Igumbilo kumenoga 🙏👏👏
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 3 жыл бұрын
This country will be the leaning center for East Africa thanks to president John Pombe Magufuli JPM
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
All africa county
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 жыл бұрын
That's right. I agree with you!
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 3 жыл бұрын
Very good comment thanks for this motivation
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
Tanzania yetu love from omani now
@chrisantusdaudi6961
@chrisantusdaudi6961 3 жыл бұрын
Hongera sana viongozi wetu.. Hakika Tanzania mpya tunaanza kuiona..
@samsonimsafi5264
@samsonimsafi5264 3 жыл бұрын
Nipe ata like 500 kwanza mara ya kwanza kuwa na 1 kukoment😂😂😂
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 3 жыл бұрын
Wabongo ata uwafanyie nn awaelewagi sijui wanataka uwongozi wa namana gani🤔
@irenewile
@irenewile 3 жыл бұрын
Yaani,,yanafuata Tu mkumbo
@kinglyakusesamabelelyakuse1304
@kinglyakusesamabelelyakuse1304 3 жыл бұрын
Hogera Baba magufuli kwa juhudi zako mungu akuongezee
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Huyu mwamba namkubari sana 👏🏽👏🏽Jaffo Kaka millardAyo drone inapiga sana kelele mpaka inasikika katika video
@emmanueljohn6672
@emmanueljohn6672 3 жыл бұрын
Duh iringa mpo sawa jpm hoyeee
@lanlady2504
@lanlady2504 3 жыл бұрын
Hongereni sana mkoa wa iringa... Mkoa wa MARA unatia huruma, stendi haina hadhi ya mkoa, soko ndio mmmh, mvua zikinyesha ni balaa.
@johnmwita2113
@johnmwita2113 3 жыл бұрын
Wametusahau kwetu
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Hahahahahaa mmefikia hapo safi sanaa nmetoka huko mwezi wa sita kulikuwa bado kabisa
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 3 жыл бұрын
Bunda,, Kiabakari,, Butiama,, Musoma,, Tarime nk hamna kitu kabisa "du" 😢😭
@mokiridaniel6795
@mokiridaniel6795 3 жыл бұрын
🙈🙈🙈
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
@@sulaymanwaziri4455 hizi stand zinaenda kwa awamuu so yenu nadhani itkuwa awamu ya tatu,hata Arusha,Babati, Moshi,Mwanza,Shinyanga,bado zipo awamu hii ya tatu,Tz nzima kutkuwa na stand mpyaa nzuri sanaa, tuombe dua InshaAllah
@henryjohn2898
@henryjohn2898 3 жыл бұрын
Natamani mh. Waziri angepewa asimamie pia ujenzi wa Makanisa maana huku tunapigwa vibaya
@jumbeink3173
@jumbeink3173 3 жыл бұрын
Hahaha
@happykibiki7879
@happykibiki7879 3 жыл бұрын
Rudi nyumbani kumenoga,,,, lembuye kukaye kunodzile yudadaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥💖💖💖💖💓
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Sirudi ng'o kumenoga kwenye maendeleo watu hawana Kazi, hawana pesa kwa mifuko
@geraldgm1217
@geraldgm1217 3 жыл бұрын
Kongole!!!!Hongera!!! Iringa na Tanzania. Congratulations!!!Great work
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 3 жыл бұрын
THE NEXT PRIME MINISTER 2025
@hanschuma7734
@hanschuma7734 3 жыл бұрын
This is Tanzania dah mpka happy unajua nn mandugu aisee mm niko tayr kukitoa muhannga kwa Bomu atakae taka vuruga ma beautiful land this is serious issue
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@ChoroTesla
@ChoroTesla 3 жыл бұрын
Unaumwa ww milele hiyo vip kwan kwenye watu milioni 60 eye ndo anauwezo
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 жыл бұрын
Mkuu ungefanya utaratibu uwe unapita kwenye miradi kabla hawajaanza kazi ili utoe hayo mapendekezo ingekuwa vizuri zaidi ila for now it's too little too late!
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Very trueeee
@luhanyamipawantobi6888
@luhanyamipawantobi6888 3 жыл бұрын
KWELI mwaya
@khaliphamajid270
@khaliphamajid270 3 жыл бұрын
Kaka Said Ndio maana wako wakurugenzi na maras ambao kazi yao kubwa kuangalia matumizi
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 3 жыл бұрын
Kwa utafiti wangu watumiaji wa You Tube wengi wana upeo mzuri tofauti na Facebook maana comment za humu huwa zimejaa busara tofauti kabisa na watumiaji wengi wa Facebook
@MYCYOBEL
@MYCYOBEL 3 жыл бұрын
Pia na twitter wengi ni bendera fuata upepo, hutawaona hapa maana wataona aibu.
@mikelmweuc9619
@mikelmweuc9619 3 жыл бұрын
Ttz la facebook kule ni bure
@denismugisha2
@denismugisha2 3 жыл бұрын
Umenena Facebook ni 'umetokekelezea' tu
@alfavahaye4102
@alfavahaye4102 3 жыл бұрын
Karibuni iringa
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 3 жыл бұрын
Safi sana tutafika mbali kwa mtindo huu Mungu akusimamie kiongozi wetu
@kamanda007
@kamanda007 3 жыл бұрын
Miji yote ijitahidi kujiongezea vipato kwa miradi kama hii, itasaidia uchumi na wataweza kujenga barabara zao za miji na miundo mbinu yao Bila kutegemea serikali kuu
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Safi sana..kazi nzuri sana
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 3 жыл бұрын
Masha Allah ❤❤❤❤
@hanialsalti671
@hanialsalti671 3 жыл бұрын
Mashaallah
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 3 жыл бұрын
Jpm Ni kiboko
@robertbudodi
@robertbudodi 3 жыл бұрын
Loving you bro wewe ni kiongozi bora kama JPM unawapa moyo walio chini yako
@quanemayne7680
@quanemayne7680 3 жыл бұрын
my friends kenya is coming up with modernised bus stations, si mnajua kenya huwa haibahatishi
@clovicoleveira366
@clovicoleveira366 3 жыл бұрын
safi sana JPM unaongoza kwa vitendo.
@victorjames3730
@victorjames3730 3 жыл бұрын
Huyu wazir namuekewa sana yuko smart sana katika kazi
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
Kazi nzuri kwa serekali ya tanzania
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 жыл бұрын
Amakweli mwenyezi mungu katona kiongozi nasiyo kidokozi hivi huko nyuma mbona pesahazikuonekanaa kamahivii nakufanyiwakazi zamaendeleo kamahivii kwakweli kumbe tumeburutwa sana sasabasii magufuli mungu akutanguliye mbele navijanawako wotee wanaochapa kazi kwa.uadilifu
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 жыл бұрын
Ukiendelea hivyo unaweza kukaa kwenye kiti cha Ikulu ukiwa President
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Hahahahaaaaa eti ee
@moikiyeyeu7919
@moikiyeyeu7919 3 жыл бұрын
Hongera Richard Kasesela
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 3 жыл бұрын
Ivi kwanini watu wanakatiza kwenye hivyo viunga mpk majani yapotea..wekeni fain mamlaka husika hizo sio shortcuts..na kwingine mpande majani na miti na muweke mabango ya faini atakae katika, au wekeni kabisa shortcuts kama zinahitajika baladala ya watu kukatisha katika kila sehemu
@josiahlugwisha6273
@josiahlugwisha6273 3 жыл бұрын
Magufuli ni kiboko!
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
Kwa bus stations mmetupita wakenya . the first time TANZANIA is winning
@HASASON
@HASASON 3 жыл бұрын
Kwani aliekuambia tunashindana na nyie nani? Magufuli anasema kila siku anataka Tanzania iwe kama Ulaya, ninyi hata hadhi ya Choo cha ulaya hamna
@malleironworks4586
@malleironworks4586 3 жыл бұрын
Tanzania haishindani na Kenya..
@mussatairo717
@mussatairo717 3 жыл бұрын
Please stop comparing Tanzania and Kenya
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
I was complementing Tanzania . kwani nyie wajinga hamuelewi mambo na kusifiwa ???
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Tanzania kwasasa ni shidaaaa
@rizickykibuga8699
@rizickykibuga8699 3 жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa Iringa Tanzania
@millahboy5012
@millahboy5012 3 жыл бұрын
MUNGU ampe maisha marefu Mheshimiwa rais Magufuli.... Tanzania sasa ni nzuri sana
@felixchigalika3059
@felixchigalika3059 3 жыл бұрын
Hizi zote hazifiki kwa iliyopo Dodoma, ila Dar nako wamekomesha aisee
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 3 жыл бұрын
Wee sema tu kuwa ya Dar inaongoza then inafuatia ya Dodoma...hujaiona wewe hii stendi ya Mbezi/Dar..mimi mwenyewe nimeisogelea hadi karibu ndipo nilipoona kuwa kumbe nilivyokuwa naiona kwenye mtandao nilikuwa siifaidi...sasa hivi ndo inatisha...maana ina barabara zake nne ambapo mkandandarasi ana mitambo inavunja miinuko ile mbaya ili kupata tambarare ..ukiunganisha na zile njia nane za high way ..Nakuambia ni hatari
@oman7710
@oman7710 3 жыл бұрын
Masha Allah
@felixphilipo1890
@felixphilipo1890 3 жыл бұрын
Sijui mmenielewa?!
@hermanndongolo1550
@hermanndongolo1550 3 жыл бұрын
Iringa oyeee
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Miaka 10 ijayo katika ukanda huu wa Africa madhariki hakuna nchi itatayoizidi Tz kwa stendi Bora
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 3 жыл бұрын
Haswaa...wala haujakosea
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 3 жыл бұрын
Igumbilo bus terminal IRINGA
@planetanimals9547
@planetanimals9547 3 жыл бұрын
Fanyeni tu tutayaona sio mlete ushamba!watu wanajenga makubwa mno wala hawajitangazi
@dibya20
@dibya20 3 жыл бұрын
Tutayaonaje kama hatutapata taarifa... Hx ni zama za teknolojia na habar Sasa kwa mm hutak watihabarishe
@jkOmar2024
@jkOmar2024 3 жыл бұрын
Drone inazogo mkuu tafuta quality nzr
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Mmh jmn
@lastbornwamungustory6365
@lastbornwamungustory6365 3 жыл бұрын
Jafo kama jafo Na wageni wa lodge ndani iringa yenyewe 😀😀😀
@kingjafu7759
@kingjafu7759 3 жыл бұрын
Kuna watu pembeni wana assist Mheshimwa pembeni kuongea😀😀😀
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 3 жыл бұрын
#VivaJPM #TanzaniaMpya
@shabanmohamed1545
@shabanmohamed1545 3 жыл бұрын
Vipi kuhusu stendi ya mtwara?
@thomasmollel6304
@thomasmollel6304 3 жыл бұрын
Hengeren sana
@jemketakene6558
@jemketakene6558 3 жыл бұрын
Ni stand nzuri sana, changamoto tu ni mabasi kutoka Dodoma to Mbeya. mzunguko wao ni mkubwa sana ichogwe barabara kutoka hapo Igumbilo hadi Kihesa! Hiyo itapunguza sana mzunguko uliopo. Hongera sana kwa juhudi hizi tuzionazo
@davidchambulila3028
@davidchambulila3028 3 жыл бұрын
Hiyo project inasubiri lami tu madaraja walishajenga ni km 7 tu watu walishalipwa
@xxxdidthatsmall7815
@xxxdidthatsmall7815 3 жыл бұрын
Very well description Waziri Jafo. Yaani umeongea very professional mkuu wangu. Foundation ya msingi nyingi za Tz huwa zinachukua gharama kubwa sana@zege. Huwa zege kubwa hata kama nyumba haendi kuwa na Ghorofa. I salute you Waziri Mhe. Jafo. Waziri mwenye upeo mkubwa mno. Kaongea vizuri kwenye utu kabisa. Professional man:)
@samsonimsafi5264
@samsonimsafi5264 3 жыл бұрын
Wakwanza leo
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@fadhiltave1359
@fadhiltave1359 3 жыл бұрын
Hakika magufuli ni mtu katika zamu yake, sijui mmenielewa?
@sylvanuskavindi2756
@sylvanuskavindi2756 3 жыл бұрын
Huyu mtu kila kitu huwa lazima akosoe. Hajawahi kupaona palipo sahihi, huenda anadhani akifika sehemu akakosoa kila anachoona basi ndo anamfurahisha mkulu.
@rogatiusscarion726
@rogatiusscarion726 3 жыл бұрын
Igumbilo iringa
@nalisischarles9525
@nalisischarles9525 3 жыл бұрын
Hapa wap?
@kwisa4899
@kwisa4899 3 жыл бұрын
Iringa
@danielx8
@danielx8 3 жыл бұрын
Tundu Lissu 🤣
@ratifamichael7997
@ratifamichael7997 3 жыл бұрын
Iringa sitendi mpya
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 3 жыл бұрын
@@danielx8 😂😂
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
@@danielx8 haaa
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 3 жыл бұрын
Sijui umenielewa😁😁
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
Hom kwet
@baltazarierro1575
@baltazarierro1575 3 жыл бұрын
Njoo mjenge na bukoba maana pamesahaulika sana
@danielx8
@danielx8 3 жыл бұрын
Vicheche watakuwa wengi hapo kwa Hotel 🤣🤣
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 жыл бұрын
Wa kwanza ww😂
@danielx8
@danielx8 3 жыл бұрын
@@aishafrancis7714 nipo mbali 🤣🤣🤣
@polycarpmdemu3552
@polycarpmdemu3552 3 жыл бұрын
Iringa Iringa
@allyhassan2136
@allyhassan2136 3 жыл бұрын
Sema huyu bhana anaongea sana,dah! Yaani anvyoongea utafikiri anawafundisha wototo wadogo kitu somo.
@vincentvin211
@vincentvin211 3 жыл бұрын
Ndio wazaramo walivyo
@smstv1102
@smstv1102 3 жыл бұрын
Kazi ni njema nikuombe Ayo saidia pia kusubscribe chanel za wengine Anza na hii hapa kama jina lilivyo hapo
@amoscharz5606
@amoscharz5606 3 жыл бұрын
Kumamae magufuri anajua kitufurahisha
@mybrevisai2508
@mybrevisai2508 3 жыл бұрын
Sasa unacalculate vipi Jafo?😂 We ni QS?
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 жыл бұрын
@@mobymedia7856 ss unataka tupasue sm zetu
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
@@vaghoghontweki9827 nataka ujenge ujasiri wa kuangalia movies kama hizi, presha utakuwa hupati maana kushtuka unakuwa ni mtu jasiri kama kamanda wa jeshi😁😊
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 жыл бұрын
@@mobymedia7856 😁😁Nmekupata ngoja a nkaiangalie
@alfredfrancis7325
@alfredfrancis7325 3 жыл бұрын
Haujui kila anapoenda anao watalaamu wake wa nafanya hizo kazi, hawezi kukosa quantity saveyor
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Quality pia jamani , sio kukimbilia kusevu pesa tuu.kila siku .
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
SHUSHA lyrics HII HAPA kzbin.info/www/bejne/epSnl2iCjtqSqck
@geoffreysoloshija1909
@geoffreysoloshija1909 3 жыл бұрын
Munazingua mikoa ya kanda ya ziwa amna stend bora, toka dar mpaka singida stend nzuri ukivuka tu ule mlima senkenke unaingia tabora amna stend ya maana unaingia, shinyanga amna stend bora, unaingia mwanza amna stend ya maana, unaingia msoma amna stend ya maana,unaenda kagera amna, simiyu amna, geita amna kigoma ndo basi.
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 3 жыл бұрын
Zitajengwa tu usijali hawawezi kumaliza nchi nzima kwa mpigo. Mwanza tayari wamenza kujenga stand ya Nyegezi na huko kwingine watajenga tu - tuwe na subira mambo mazuri hataki haraka.
@petrokihinga9243
@petrokihinga9243 3 жыл бұрын
Tulia wewe, tunaangalia kwanza wakimaliza apo Mwanza itakua baba lao.....
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Mzee Magu amesikilizia kanda ya ziwa itakuwa funga kazi nyanda
@festochimulimuli8229
@festochimulimuli8229 3 жыл бұрын
Tazama Ajali ya Uwa Tisa kzbin.info/www/bejne/jIeagWhsl8-Mfq8
@nitumemimikariakoo4688
@nitumemimikariakoo4688 3 жыл бұрын
"Na yule mtu mmoja anaekusanya mapata"
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Kz kz
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
Naa karibu sana nyumban iringa uwe mweji wangu nitakutembeza na stendi ya igumbilo
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 MASHAALLAH kumbe tunapendana kila kona tunaonana jmn inshaallah tukijaaliwa uzima na afya bora nitatembea iringa biidhin Allah
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
@@naamohamed9964 Amin tuko pamoja Naa karibu sana kwetu kumenoga
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 жыл бұрын
Mbona ya mbezi haina hotel
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 3 жыл бұрын
Sio lazima😂😂
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 3 жыл бұрын
@@TM.Sullusi 😂😂😂 jinga kweli ww dah
@ratifamichael7997
@ratifamichael7997 3 жыл бұрын
Usilale mlango wazi kwa bahati ya mwenzio utaibiwa
@devidpanja115
@devidpanja115 3 жыл бұрын
Dar wamezid umalaya ndomaana hawajaweka
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
Kuna awamu mbili Awam ya kwanza ndio hio imejengwa shopping mall na stand kwa ujumla awam ya pili itajengwa hostel hoteli na overnight parking Alaf hii mbona haina shopping mall 😆
@planetanimals9547
@planetanimals9547 3 жыл бұрын
Ushamba tu!
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 жыл бұрын
Hakuna jipya hapo,mshamba ndio atashangaa
@bundaman8542
@bundaman8542 3 жыл бұрын
Pongezi kwa mbunge wa Zamani Msigwa na Baraza lake la madiwani. Iringa ilibadilika. Sasa tunasubiri tuone hao walioingia Sasa.
@kudrakhamis2864
@kudrakhamis2864 3 жыл бұрын
Acha majungu
@bundaman8542
@bundaman8542 3 жыл бұрын
@@kudrakhamis2864 siyo majungu kudra Khamis. Yalifanyika kipindi Iringa Town ikiwa chini ya Chadema. Kuna ubaya gani ukimpa mtu sifa yake.
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
MOVIE LA KUTISHA LAZIMA UPASUE SIMU YAKO, 💥LINA MKONO BALAA, VISU NA BUNDUKI ZA KUTOSHA✔️🔥💥NJOO UONE BADAMU BANAMWAGIKA kzbin.info/www/bejne/pmbClop4e6-cfa8
@mussamapesa8972
@mussamapesa8972 3 жыл бұрын
Msigwa !!!! Nakunya mavi hiyo ni ccm uliza arusha ile miradi alipeleka lema ?magufuli baba lao
@mobymedia7856
@mobymedia7856 3 жыл бұрын
@@kudrakhamis2864 Dkt. Magufuli anafanya makubwa, watu kuanzia viongozi mpaka wananchi wana hamasa ya maendeleo, na matunda yanaonekana, tumefika uchumi wa kati. Subscribe channel yetu uone movie zenye mkono wa Van Damme (vandame✔️)
@zeyzey5439
@zeyzey5439 3 жыл бұрын
Mashaallah
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 6 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 56 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 93 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 71 МЛН
FULL VIDEO | 2024 Presidential Debate from ABC News
1:44:56
ABC Action News
Рет қаралды 913 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 547 М.
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Kasheshe Mkoani Iringa, Mama anadai Jeshi la Polisi
10:39
Millard Ayo
Рет қаралды 193 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 56 МЛН