STESHENI YA DAR YAANZA KUWEKWA NGAZI ZA UMEME,MAKONDA AFANYA ZIARA,

  Рет қаралды 39,166

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@Addi_Teacha509
@Addi_Teacha509 4 жыл бұрын
Even when I don't speak the language yet , i am 🇭🇹🇺🇲, but I love watching these videos and I am captivated by president Magufuli speeches
@tegezdomin8363
@tegezdomin8363 4 жыл бұрын
Welcome
@footmobonline
@footmobonline 4 жыл бұрын
Thank you for that.
@irenewile
@irenewile 4 жыл бұрын
Karibu Tanzania,,land of Swahili language
@merishoherman169
@merishoherman169 4 жыл бұрын
Wa kwanza Leo nipen like zangu Kwa niaba ya Magufuli
@spoko12
@spoko12 4 жыл бұрын
Like hapa kama kura yako kwa jpm 2020 🙌🙌
@ababuumwanazanzibar4908
@ababuumwanazanzibar4908 4 жыл бұрын
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
@Addi_Teacha509
@Addi_Teacha509 4 жыл бұрын
I think i understand what you wrote, JPM number 1
@rachelkibaya8537
@rachelkibaya8537 4 жыл бұрын
Dyuuu Dr.Magufuli forever,Mungu mbariki Dr.Pombe na Watanzania na CCM.
@ericadelard4730
@ericadelard4730 4 жыл бұрын
Ben ... Mie wa pili kucoment.. zawadi yangu ben... Much love from kenya ..
@sawababdul7426
@sawababdul7426 4 жыл бұрын
Wakati mwingine nilikuwa najua unakulupuka lakini nimemfatili dkt pombe labda sababu jina linafanana na pombe nikafikiri ivyo lakini si ivyo kumbe unayo yatekeleza ni ilani ya chama bba pole kwa mzigo mzito nimamini uliposema ukimaliza muda wako uongezi ata nukta kweli nimeamini kazi ya kuwaongoza watu ni kazi ngumu mungu hata kulipia kumbukumbu unayo taachia haitafutaka miaka na miaka
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 4 жыл бұрын
Hongera ndg yetu
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 4 жыл бұрын
Tunawapenda Wakenya ndg zetu
@alfredkalaba1614
@alfredkalaba1614 4 жыл бұрын
Stesheni ina muundo wa tanzanite. Much love from TZ 🇹🇿
@zuwenakazoka55
@zuwenakazoka55 4 жыл бұрын
Magufuli hoyeeeeeee 💪🏾💪🏾
@sekiondowarema1786
@sekiondowarema1786 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu mpee kila mtanzania maono ya kuona juhudi za Mh Raisi Dr Magufuli. Kila mtu anawajibu wa kumkubali rais
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
Mungunibariki Tanzania, viva Jpm
@sawababdul7426
@sawababdul7426 4 жыл бұрын
Saluti dkt pombe wakati mwingine ni vigumu kusema ukweli kwamba tumeweza lakini ni kweli tumeweza
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 4 жыл бұрын
Safi sana
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@emmanuelchaplingi9050
@emmanuelchaplingi9050 4 жыл бұрын
Sikupingi
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 4 жыл бұрын
Inapendeza sana!
@muniradady4881
@muniradady4881 4 жыл бұрын
Da safi sana nimeipenda hii
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 4 жыл бұрын
Ben... Benn.. Benny.. Mr Benni.. Kitu hicho... Yaani umenikuna utosini hadi upala umeongezeka ..Ayaa .ni zaidi ya ulaya sasa... Kitu hicho.. JpM anatisha
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 4 жыл бұрын
Yaeh yaeh! JPM hadi 2030.
@adamvrolik3346
@adamvrolik3346 4 жыл бұрын
Nawapatavizuri kutoka south africa tanzania oyeeee magufuli oyeeeeeee
@thebossman4875
@thebossman4875 4 жыл бұрын
Magufuli Oyeeee!!
@veelmng7746
@veelmng7746 4 жыл бұрын
Safi sana Diamond kijana wa kazi
@Addi_Teacha509
@Addi_Teacha509 4 жыл бұрын
Tanzanite
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Mambo ni moto
@amirimbago8325
@amirimbago8325 4 жыл бұрын
2:42 Kama umeskia mradi wa treni Mbagala....sema woyoooooooo
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Woyooooooooooo
@augustinemzeentinginya3057
@augustinemzeentinginya3057 4 жыл бұрын
Woyooooooo
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 жыл бұрын
Woyooooooooooo
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 жыл бұрын
Woyooooooo
@aggreymsemwa1249
@aggreymsemwa1249 4 жыл бұрын
Woyooooo
@emmanuelchaplingi9050
@emmanuelchaplingi9050 4 жыл бұрын
Me watatu comments magufuli oyee
@bakarirashidi9533
@bakarirashidi9533 4 жыл бұрын
Kaka ben lile jengo la ghorofa pembeni ya iyo station liko wapi?ingependeza zaidi vyote viende kwa pamoja.ingependeza zaidi
@MYCYOBEL
@MYCYOBEL 4 жыл бұрын
Hiyo ni phase nyingine, ambapo ben alisema itakuwa na ofisini nyingi za trc
@chifupromise9575
@chifupromise9575 4 жыл бұрын
Aya mambo yalitakiwa kufanyika kipindi cha mkapa adi sasa tungekua mbali sana
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
Magufuli amejitoa wa watanzania
@jamesjames2368
@jamesjames2368 4 жыл бұрын
TRC TV😘😘😘
@Addi_Teacha509
@Addi_Teacha509 4 жыл бұрын
Even when I don't understand the language i watch it all
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 4 жыл бұрын
Nimefurahi sna comment ya Diamond 💎 Platnumz... kwakweli uko vizuri kaka
@alenmwakila3854
@alenmwakila3854 4 жыл бұрын
Mambo n moto an honger Mr president jpm
@TeslaMedia418
@TeslaMedia418 4 жыл бұрын
Jpm anapiga gazi huyu mzeee ni konki fire kazi safi he should be the president of East Africa 😍😍😍😍😍
@kahroogall5695
@kahroogall5695 4 жыл бұрын
Nice home 😘💋👌👌
@ozacsic2832
@ozacsic2832 4 жыл бұрын
Lava lava n Zuchu hav spoken lik a human beings the rest sasa yan they aint loyal n humble kabisa .
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 kwanza mengine badae
@mangegervas9651
@mangegervas9651 4 жыл бұрын
Gud saana watendaji... Gud Mkuu Wa mkoa makonda na jemedar jpm
@jeyadam833
@jeyadam833 4 жыл бұрын
Sawa nimekubali mambo juu kwa huu
@ismovickitogo2580
@ismovickitogo2580 4 жыл бұрын
Nikifanya nafanya
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
Weee😁😁😁
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
Watanzania tungekuwa waelewa katiba ibadilishwe aongoze moja kwa moja
@michdevis
@michdevis 4 жыл бұрын
Yaan kila siku munatembelea mrad munachelewesha kaz kuisha. Huo n ushamba
@AIG7187
@AIG7187 4 жыл бұрын
Yeeeeeah
@mosaidi2633
@mosaidi2633 4 жыл бұрын
Hizo nihuduma za kijamii duniani na kila nchi lazima kuwe na transport , CCM MUST GO NO MATTER WHAT
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 4 жыл бұрын
You will go before CCM.
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Wachawi utawajua tu!i bet u have miserable life
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 4 жыл бұрын
Nendraaa weyeee. Huna lolote
@jamesjames2368
@jamesjames2368 4 жыл бұрын
We Diamond si ulizingua kule Mwanza airport, mkaiponda airtanzania😕 !!!
@Addi_Teacha509
@Addi_Teacha509 4 жыл бұрын
Tanzanite
@innojtm1861
@innojtm1861 4 жыл бұрын
diamonda magufuli oyee imetoka moyoni kabisa
@Nedjadist
@Nedjadist 4 жыл бұрын
Hizi ziara za Makonda zimekithiri. Ni kuonyesha ukosefu wa ubunifu na kuwaharibia wengine wakati wa kazi. Huyu Makonda hajui kitu gani Dar inataka? Kwa nini haweki taa za sola?Mji mzima giza tu? Aanzishe kiwanda cha maguzo na taa za solar, aweke taa milioni moja hivi mji ung'ae. Hilo pia ni gumu? Pia aanzishe mabustani yenye maji ya kububujika. Eneo la Jangwani lote liwe 'man made lake, ndege maji na mauwa vitawale. Hivyo ndio Ulaya, kama apendavyo kusema. Ulaya si mijengo ya masumenti pekee!
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 4 жыл бұрын
kweli kabisa.. Ulichokiongea... Na ndo maana Magufuli kamuengua ukuu wa mkoa
@mavuzijiwe6805
@mavuzijiwe6805 4 жыл бұрын
Mradi kama Huu Harafu Tusimpigie Kura JPM, kama Hautompigia Kura JPM basi kichwani kutakuwa na Usaha
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 4 жыл бұрын
Maendeleo kama haya ya watanzania yanapingwa na huyo Tundu Lisu. Huyo Lisu ni Savimbi wa Tanzania. Tumuangalie! Ni mwizi.
@azmankiddo8872
@azmankiddo8872 4 жыл бұрын
I wonder who dislike this video 🤦🏾‍♂️
@nimoahmed5020
@nimoahmed5020 4 жыл бұрын
Lisu🤔
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 4 жыл бұрын
Chadema hao
@kahroogall5695
@kahroogall5695 4 жыл бұрын
Kaka Ben nukiina zirikuwa gorofa mbili iyo nyingine ikowapi
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 4 жыл бұрын
Kwamba wasafi nzima ni ccm, something is wrong.
@setholivier4862
@setholivier4862 4 жыл бұрын
What's wrong ???
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 4 жыл бұрын
@@setholivier4862 uoga wa kupoteza walichokijenga.
@kabete1099
@kabete1099 4 жыл бұрын
Hiki kitu kiishe sasa ni miaka 4
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 жыл бұрын
Nawapata nikiwa Muscat omani like zenu mashaghara wezangu wale tunao tumia Wi-Fi za bure mwendo wa kuperuzi tu mambo ya nyumbani
@loisjackeliakim4339
@loisjackeliakim4339 4 жыл бұрын
Shida mnampampu sn
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 4 жыл бұрын
Kula chupa
@loisjackeliakim4339
@loisjackeliakim4339 4 жыл бұрын
Hata wakoloni walitengeneza barabara na reli
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Kaishi syria
@pauldaniel5685
@pauldaniel5685 4 жыл бұрын
Una mbwembwe nyingi mpaka unaharibu
@remmyexusper1178
@remmyexusper1178 4 жыл бұрын
Anafikisha ujumbe vzr sana. Anafanya kaz vzr,. Hayo mengine ni chuki binafsi
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 4 жыл бұрын
@@remmyexusper1178 kweli kabisa, Kaharibu nini sasa hapo.
@amouramour9712
@amouramour9712 4 жыл бұрын
H
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 4 жыл бұрын
Ukiona anaharibu usiangalie
@mussabuhe1832
@mussabuhe1832 3 жыл бұрын
Mm Sina lakusema jamani kwa furaha
MKURUGENZI MKUU  TRC ATOA NENO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
4:41
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 87 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 6 МЛН
''DARAJA LA JANGWANI SULUHISHO LA MAFURIKO DAR ES SALAAM'' -NAIBU WAZIRI KATIMBA
6:37
Msimbazi Basin Project (Bonde la Msimbazi)
Рет қаралды 3,2 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 590 М.
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19