TABIRI UNAHISI PART 4 ITAENDELEAJE ?UKIPATIA MSHINDI ATAPEWA ZAWADI
@ajaymgalatia-cf6lf Жыл бұрын
Inaendelea😂😂
@kevinnasibu7284 Жыл бұрын
Hajra atamrudisha sele nyumbani na amkanye asiambie babake chochote kilichotokea kisha amsingizie sele kuwa kaenda kucheza na kakataa kwenda shule
@mosule9262 Жыл бұрын
Part 4 Mme hajra atatafakali kuhusu mtoto wa hajra ambae alimsikia rafiki yake hajra anamtaja sele atachukiliwa kwenda kwao baada ya kupatikana zitaanza harakat za kumuweka mama sele sawa awe ktk Hali ya kawaida ,nyumban hajra ataanza kupata misukosuko kwa Mme wake ,Steve na ujinga wake 😂😂 kibarua kitaota nyasi ataenda kuendelea na comedy na ndaro mlimani city .
@84vero Жыл бұрын
Kazi mzuri hila mnatuweka sana
@AbdallaDolali Жыл бұрын
Uyo hajra atajulikana na bwanake kwamba anamtesa dogo sele na .. ataachika kwa ndoa yake ...
@Jaydannychawaboy. Жыл бұрын
Oyah we mih ndo wa kwanza hapa Kwa hio niwaombeni like hata tano basi ❤️😢😢😢😂😂😂.. mih sichokagi koumba hizo like zenu 😂😂😂😢😢😢❤❤❤❤❤
@rich.kizza10 Жыл бұрын
toa maoni ya ulichokiona sio kuomba omba kama pumbavu
@Jaydannychawaboy. Жыл бұрын
@@rich.kizza10 🤣🤣🤣... mimi ni mbwa kabisa 🤣🤣🤣
@민서-v4n Жыл бұрын
Kwani ayo ma like waga yanawasaidia nini?
@Jaydannychawaboy. Жыл бұрын
@@민서-v4n Kuna sehemu nazipelekaga mbwa mimi 🤣🤣🤣
@anthonylister754 Жыл бұрын
Izo like mnakulaga?
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
Aziza ameupiga mwingi ku act Kama kichaaa👏🏼👏🏼. Steve mweusi na team yako salute 🙌🏼🙌🏼
@mimah-qn3wh Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@nilvinenimbona-uc3sk Жыл бұрын
Mama ni mama katika hali yoyote nakupenda sana mama angu Mungu akupe umli murefu Mama ❤🎉
@purity134 Жыл бұрын
Poleni team Steve kwa pigo kubwa lililowakumba kwa kumpoteza ndugu yetu mpendwa Charming,baba dogo atajua ukweli kua dogo hana amani na mamakambo
@graceHezron-h4t Жыл бұрын
Jamn very nice
@linetkaminika6221 Жыл бұрын
Tangia mwanzo ii story ilinilizaa,juzi Sele anavyotendewa na stepmother 😂 Steve kazi njema mno,,si tu kuburudisha pia inaelemisha ,,Unatamba uku Kenya🇰🇪🇰🇪❤
@francismuthiani349 Жыл бұрын
Mbele pamoja kasonge Sasa ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪❤
@Wasynafylifestyle6 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ggfwtgg1652 Жыл бұрын
Steve mweusi unanichekesha kwa kwel ongela zenu na team yako sele congratulations ❤❤❤
@bintymwinyi580 Жыл бұрын
Steve umejua kutuliza na hii series yko ya mama😭 hongera sele kwa kutambua thamani ya mama ❤
@LiangGirle Жыл бұрын
Yan nakwambia nimelia acha tu
@BalbinaZacharia5 ай бұрын
🎉pole
@BalbinaZacharia5 ай бұрын
😢🎉😅
@nyereremkama3845 Жыл бұрын
Steve we ni noma Sana NAomba umentain na uongeze zaidi unatupa burudani Sana mashabiki wako . Mashabiki wenzangu naombeni like zenu pia
@aysha153711 ай бұрын
Jamani naipenda hii move sele nahitaji nikupatie zawad upo vizuri mashaallah
@chidzodunda Жыл бұрын
Mashallah Sele sana kanajua kazi yake vzuri na huyu Steve anajua kutongoza yaani anapeana duka lote wakati mmoja😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@Wasynafylifestyle6 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mussahosseni8229 Жыл бұрын
Yani mie nakubali kazi za huyu jamaaaaaaa. Wanao mpenda steve like kwakeeeeeeee steve oyeeee!
@judithogaya97304 ай бұрын
Oyeeeee 😂
@fatumajuma9388 Жыл бұрын
Ongera dogo Sele much love frm 🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤mungu akuzidishie ufahamu🙏🙏🤗
@DE_AIRAM_DOLLAR_FILMS. Жыл бұрын
Dah!! Aky Steve uko 🔥 xna. N hii series iko moto xna. Watching you from 🇰🇪. And Big up kW dgo sele pia Coz ameifnya kua tamu n y huzuni zaid
@nicholasmwendwa1125 Жыл бұрын
I've waited for this all week😊😊 we hope for more like these, or a movie 🇰🇪🇰🇪
@lalylaabdi2572 Жыл бұрын
Kazi nzuri mafunzo mazuri sana Dogo Na stive nawapenda bureee ❤❤❤❤❤❤
@johnie20alba86 Жыл бұрын
Hongera The Mweusi family kazi safi sana, nawapenda bure❤❤
@Thenoiseboy045 Жыл бұрын
Hii kazi ukweli imeenda shule🎉ebu Steve mweusi Nipe icho kicheko chako kidogo😂
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Hizi Swagger za Steve ni noma sana😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BertinMercikabanziko-lf2hv Жыл бұрын
Pôle kwa mchiba wa ndugu charming .minime lol zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏👍🥀
@EliVanie Жыл бұрын
Poleni kwanza na mshiba jameni.. asante sana tunaendeleya tuu watu wangu nawakubali sana🇨🇩🇨🇩
@MarcIlunga-k4q Жыл бұрын
Depuis RDC 🇨🇩 je vous suis c tellement émotionnel 🥰🥰
@congomokonzitv Жыл бұрын
Vraiment💪💪
@karembo7082 Жыл бұрын
Kama unapenda dogo sele gonga like kwa wingi❤❤❤
@SharifuAlbughul-ls4mw Жыл бұрын
Mam yangu kicha is back 😢😢😢 Ina funzo kubwa San mze pongezi kwako
@joshuasakwa1548 Жыл бұрын
Congratulations mweusii family, licha ya Hali ngumu ya msiba umetoa kitu strong
@ganzaalex5462 Жыл бұрын
Meja Stive uko sawa ku act den your team iko fine, na tena nawapea pole kwa kumupoteza mmoja wenu , mungu amulaze pema
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
Safi sana baba Sele ni mfano wa kuigwa wapo baadhi ya wanaume wakiambiwa jambo hawachunguzi ni kipigo kwa mtoto baadhi ya mama wakambo sawa na shetani
@Inzirayawetv Жыл бұрын
You guys you make challenger to my life❤ Mungu awabaliki Muna tufundisha sana kupitiya hiyi shot movie
@barakamwanga3935 Жыл бұрын
Mama ni mama tu shukuru mungu kama yuko hai haijalishi yuko katika hali gani mungu anamakusudi yake
@MoiseKavuya-ll8cd Жыл бұрын
Vraiment sele est un bon acteur comédien🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@marthajohn4911 Жыл бұрын
jmn
@pmmenedjaamani8946 Жыл бұрын
Akika kipaji haki Ogotwi bali kina umbwa kwenye mtu mwenyewe ....❤❤❤ much love steve
@VivianAshby Жыл бұрын
😂😂😂😂 unataka kupeana vitu za kwa duka😂😂😂 alf uanshow mamdogo wa sele unamtogoza na asiambie mtu poa hongera sana kutoka nawapenda sana
@AbeliChangalucha-xd8ef Жыл бұрын
Sisi batu ba congo tunataka like Za batanzania ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@enockmvumbi8595 Жыл бұрын
Nzur sana jaman ila tunaomba Kwa wiki iwe hata mara mbili j pili tukiwa home tupate
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
Kwanzaa poleni Sana kwa msiba wa charming charlz. Mwenyez Mungu ampumzishe kwa Amani 😢🙏🏼
@dicvanofficial Жыл бұрын
Hajira kidotty actress me nakupendaga aseeee
@MrVicky-m6w Жыл бұрын
Steve my favourite.nakupenda sana nakundi yako.Muendelee poa.part 4 please?
@Criss5G Жыл бұрын
First to comment Kama unaipenda hii siriz weka like hapa tuju tuko wangap
@NurudiniBakari-ns3sz Жыл бұрын
Dah oya mpo vizuri maua yanawahusu sio sele baba sere mama sele kichaa yani wote mmejua kuicheza. Hiii mov sema mnakwama kutoa moja moja tu
@HannaWambui Жыл бұрын
Am in love with you Steve mweusi all the way from kenya❤❤❤❤❤😂
@roselynekerubo4501 Жыл бұрын
Tiga ngoma
@HannaWambui Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@HannaWambui Жыл бұрын
@@roselynekerubo4501hi sasa
@TillaShadrack Жыл бұрын
😂😂😂😂
@RahmaRamadhan-us3kr Жыл бұрын
Nzuri sana big up kazi nzuri stive na time yako...hpo ukweli utafahamika tu kuwa mtoto anauza U fresh haendi shule cku za mwizi ni 40🤗🤗
@Dazbytozz7573 Жыл бұрын
Love from burundi 🇧🇮❤️❤️❤️
@nshimirimanajeanne2261 Жыл бұрын
🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮
@DismasBayubahe Жыл бұрын
BURUNDI oyeee
@DismasBayubahe Жыл бұрын
Napenda sana team steve mweusi yote from BURUNDI 🇧🇮 BUJUMBURA 🙏
@SarahNambome Жыл бұрын
Kwa sababu sisi wakenya tunapenda kutazama filami zenu na kuwa support, pia sisi wakenya tuomba support yenu kwa kuwatch TT comedian and junior comedian.
@DadaLugendo Жыл бұрын
Well done dogo sele, Steve mweusi pia hongera zako, am watching this from kenya
@duchaider Жыл бұрын
Wakwanza Leo nombeni like zangu plz😂
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f Жыл бұрын
Steve napenda sna movie zako endelea kutupa burudani ongela sna ❤❤❤from Quatar birundi🎉🎉
@LucyLazaro-e9e Жыл бұрын
Nzur sana mama ni mama2 jaman❤❤❤
@emmanueljackson1645 Жыл бұрын
kifupi mko vzr,kwanz kuna mama mwingine katokwa na machoz baada ya kuitazama movie hii ☑️☑️🔥🇹🇿
@owmanaekebasocomedy9320 Жыл бұрын
Finally from baharin 🇧🇭🇰🇪 approved
@yusuphmkomwa3427 Жыл бұрын
Makin sana kazi safiii tuko pamoja.mpaka mwishoooo✓✓✓✓
@GracieTyno Жыл бұрын
Sele is a good actor ❤
@AbdurahmanKinia Жыл бұрын
Hongera Sele keep it up 🙏🙏🙏Utaenda mbali Inshallah Watching from UAE
@BAHATIKIBA-ul6wx Жыл бұрын
Respect Alls Mother In The World, Mungu Mpe Maisha Marefu Mam Zetu Wote Dunian 🎉🎉🎉🎉🎉
@primrosehall3112 Жыл бұрын
😂😂 huyu kichaa kanenepa
@johnnkanah Жыл бұрын
Antou-cas c'est très émotionnelle de la République Démocratique du Congo je vous suis, mes félicitations vraiment 🇨🇩🇨🇩
@Uwitonze-l2v Жыл бұрын
Yani niseme kwamba, nyie ni mwamba kbs 👍👍👍👏👏👏, nahisi party 4 itakuwa mwoto mwoto!!! Lakini muko vizuri sana sana!!! Yani Huruma itaniwuwa!! Steve!! Leo umenasa mutego dukani tu 😂😂😂
@dericko10 Жыл бұрын
Steve king of comedy 😅
@FrenckFideriss-ff1tt Жыл бұрын
Daaaa an iyo move chakwanza inafundisha KWAWALE wanao Isha namama wakambo tuwachunge San. Naomba mtoe part 4. Nione itajuwaj.
@mapatoclassic Жыл бұрын
Sele Mani umeua Sana Steve mweus ❤❤
@mrkruger6678 Жыл бұрын
Mlisema mnataka comments,,now ,, extras wanakua kama watoto WA shule ya msingi wanao cheza drama ,,,check on that ,,and again there are too many children than adults just mobilize all the rates of the extras ,, showing much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LilXy400 Жыл бұрын
Nipe like zangu Mimi Ndiye wa kwanza hapa
@CosmasTzshayoShayo-um8qn Жыл бұрын
Bado hauja sema.😂
@GracieTyno Жыл бұрын
Toa usenge wako hapa
@FredrickOkou-cg4vc Жыл бұрын
Kazi safi sana Steve nawaombea mzidi kupata maarifa
@emmanuel_mangula Жыл бұрын
Watching from zambia good job❤
@charitymwangi5367 Жыл бұрын
Much love from Kenya. Kazi nzuri
@AishaMasundi Жыл бұрын
Mama yangu love you ❤❤❤ 🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦😢😢😢😢
@damagemweusi Жыл бұрын
Aha dah kweli dogosele kaweza kweli jamani angusha like yako kama mnampenda dogoselee
@민서-v4n Жыл бұрын
Nakubali sana steve mweusi like please
@جيهانسالم-ج3خ Жыл бұрын
jamani nimechelewa leo ila aiyo mbaya iyi ni koki steven🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Inez-ida04-official Жыл бұрын
Wakwanz jameni like zang 😅frm 🇧🇮
@Alphakadege-m2j9 ай бұрын
Move ni Nzuri sana❤❤❤❤❤❤🎉
@OthumanBashiri Жыл бұрын
Mjitahidi kutoa haraka maana inagusaa hissia za watu kinoma 😂😂😂
@sharifamahamudu182 Жыл бұрын
Aziza umejua umejuwa tena seen ya uchiz ngumu 😂😂 apewe mauwa yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@IddahMmasi-gd9qi Жыл бұрын
Nilikuwa naisubiri part 3 Kwa hamu kubwa ..Asante
@Masesa-w3i Жыл бұрын
Iko poa sana hiiiiiiii ❤❤ mama ni mama!!!!!!!!!! Ata aweje😂😂😂 waiting for eps 4 iwe baba Ake sere anakutana na yule mama aliye muludisha sele home asiuze balafu aende shule na mama kuumbuka Kwa yote anayomfanyia sele🎉🎉🎉🎉😮
@MARY-k6q8d Жыл бұрын
I am always strong but this one 😭😭😭😭
@Rapdoscomos Жыл бұрын
Nakubali Sana Kutoca Mozambique🇲🇿🇲🇿 Nipeni like zangu
@SIMANKOMBENkombe Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ Mimi hata mbili Tu like Zina Tishaaa
@RafikiSamweli2 ай бұрын
XXX video
@Simstar7kn Жыл бұрын
Jamn mnafanya kazi nzuri sana hongeren tunahitaji vitu kam hiv ❤🤭🎁🖐️