Pole sana shekhe kwakazi iyo unayofanya,Allah akulipe kheri.
@fatumakiboto61574 ай бұрын
wakrixto ni no wapumbavu
@SharifaKarim-w8r7 ай бұрын
Hakika sheikh unafany kazi nzur san hakika Allah atawalipa
@HabibalKalbi8 ай бұрын
Mashallah tabaraqallah mungu awahifadhi
@RamadhanRamadhan-cx3tj7 ай бұрын
Ramadhan una subra ya hali ya juu sana .Allah akuneemeshe zaidi kwa kutuwakilishia sisi waislam. Wenye uwezo wa mali wamuwezeshe yeye na wenziwe kutangaza dini kiurahisi na iwe ndio kazi rasimi. Na ndio hasaa kazi ya Mali mutaikuta mtaikuta mali zaidi here after AMEEN
@isahbarasa8 ай бұрын
Asalam aleikum waramtulah wabarakatu brother KAZI safi ya mwenyezi mungu
@Noorein-ws8wk8 ай бұрын
Baada ya mchungaji kuupinga uislam, Alhamdulillah kipindi kimeishia na shahada na kidume mr Juma'a amekuwa muuslam na kumuacha pasta kuendelea na kufuru yake lkn tunamuombea kwa Allah amuongoze.
@abdigabgos62988 ай бұрын
JazakaAllah mwalimu
@FatwimaZahrau8 ай бұрын
❤mashaLLAH SHEIKH WANGU
@Nora-v1m3p8 ай бұрын
Ma sha Allah tabaraka Rahman kazi nzuri walim ngu Allah amtagulie Kila kitu
@africatoeuropechurchtv88567 ай бұрын
Mungu awazidishie jaman mnajitahidi saana
@SalimOmary-w8j8 ай бұрын
MashaAllah maalim kulia nakupenda kwaajili ya Allah kwajinsi unavo tambua maandiko
@salmaminja77148 ай бұрын
Allah Akbar. Uctadh Allah akupe subra kwn ni ngumu kuwalingania wasijua din ya haq Allah akupe maisha marf na afya tele ili uweze kuwapa waadh na kusilimu. Allah ni mjuz utapata malipo dunian na kesho akhra. Upo vzrr mnoo. Subhanallah Allahu Ma'anaa. Jazakallah khaira wajazaa. Idhaa Aradallah
@ZsbAlbarwani8 ай бұрын
Allah awabarikia Insha'Allah
@MuniraShughuli-kc7vj8 ай бұрын
Ma Shaa Allah Tabarakallah kazi Allah awaongoze
@nasramusaro8 ай бұрын
Dah! Kaka Ramadhani mwenyezi Mungu amekujaalia akili Masha Allah unawahangaisha mpaka wanataka kulia
@SalmanMughal-lq5lt8 ай бұрын
Wanatakakulia
@minhajsahal44677 ай бұрын
Allahu Akbar.
@fatmaali67808 ай бұрын
Pastor ana munkar kweli MashaAllah Ramadan una subra sana mm mwenyewe nimechemka
@Nora-v1m3p8 ай бұрын
Juma Ndugu ngu umepata ukweli nakuamua uamuzi mzr Allah akuogoze apa n kesho akhera
@Noorein-ws8wk8 ай бұрын
Allahumma aamiin Yaa Rabb Al 'alamiin ❤
@SaidMgeni8 ай бұрын
MashaAllah nimefurahi Daawah Mitaani inaedelea in shaa Allah Kila la kheir waalimu wetu
@BastAbdallah4 ай бұрын
Allah Mlezi Wetu Akulipe Kila La Her Shekh Ramadhani
@Hudadhan-qr7tj19 күн бұрын
Jazakal kheir sheikh
@millionbill7587Ай бұрын
I met Ramadan at bbs mall i only said and i quote "KZbin" hope u remember at the escalater 😂. Mashallah big fan
@Allymbaruku991-lj1om8 ай бұрын
Ma sha ALLAH
@saudahassan66678 ай бұрын
Mashaallah maalim ramadhan allah akuongoze
@JamaMohamed-xi7uk7 ай бұрын
MASHA ALLAH
@JohnMunyua-fr8jt8 ай бұрын
Kweli ni jacaranda things really hot 🔥 masha Allah
@rizikiali3288 ай бұрын
Assalam Aleikum sheikh Ramadhan mashallah Allah awahifadhi hawa watu kuelewa ni wagumu but hawajui
@Nangaikalumekenge4 ай бұрын
Pole Shehe Ramadhani kwa kelele ya huyo pastor asiye na hekima.
@mzamomwangome49618 ай бұрын
sheikh wangu Ramadhan Allah akuhifadhi na akulinde pia ya husda za majini na watu.
@hanifahkhamiss84858 ай бұрын
Subhanallah jamani hawa watu ni wakaid na maandiko hawayataki wanabadilisha😢😢😢😢Allah awaongoe wallah 😢
This pastor really understands what he's saying I like his coherence
@Sal.08 ай бұрын
Yeah, he isa very FLUENT and coherent LIAR who changes the meaning of EVERY Bible Verse read out by Kuria.! Your 'Nusu Mkate Brain' beeds a reset, Omera!
@ibnusleyyum97438 ай бұрын
MashaaAllahu
@MaryamIssa-y7v7 ай бұрын
Laahaula walaa kuwwata illaa Billahi! ata voice procedure pia shida.duuh!
@comarcabdall15648 ай бұрын
Keep going ✌️
@AngoSheriff-be5mq8 ай бұрын
Kazi nzuri napenda hii
@kennedymanyonge61708 ай бұрын
Wakristo ni kelele tu hakuna kitu wanajua. Wanasoma maandiko na kuyatasfiri kama fasihi simulizi.
@sammganga68658 ай бұрын
Manadanyana waislamu
@yassiinabdi38073 ай бұрын
MASHA ALLAHA tunawapenda
@zaitunirashidi55326 ай бұрын
Subra yako ostadhi ni ya kiwango, mm ningepiga uyo pastor makofi
@MohamedMaliwata-i5j4 ай бұрын
MUNGU akuongoze wew na wengine katika utoaji wa dam
@Noorein-ws8wk8 ай бұрын
ALLAHU AKBAR ❤
@rizikiali3288 ай бұрын
Alhamdulillah ala neematul Islam kama wewe ni muislam sema alhamdulillah
@Bintiiiiiiiiii8 ай бұрын
Sheikh Ramadhani ukona subra kweli, mwenyezi mungu akupe maisha marefu
Mara nyingi wakristo wanapinga ili kubisha uislamu tu lakini hawana maandiko ya uhakika. Pastor anajazba sana ili kuzuia kusafahamishwe watu wakafahamu
@SoosanOman23 күн бұрын
Majini yanawasumbua nyie😂😂
@SadaqIbrahim-ns8bo8 ай бұрын
Manshalah
@suleymanali4318 ай бұрын
Mashaalah mungu awzidishiye,Ramadhan mungu akupe kheri ila ningiliomba mapasta kaa hawa wanaoRopika maneno za vichwa zao usiwape muda mwingi wa kuwasikiza wanapoteza tu mda hawa ni wale mwenyezi mungu amesema hawasikii ni viziwi hawaoni ni vipofu na hawatarejea mpaka mungu awaongoze. Kwa hivyo huyu jama amekuja na maneno ya paulo yuko katika kila mihadhara na ubishi please ungemtolea hile andiko ilioko bibilia inasema mimi paulo ni mwongo na kuna mwingine pia amesema nimejifanyia kua kalamu ya waandishibkuwa ya uwongo nami ikanibidi nijitungiye tungiye. Ume wapa mdanmrefu warope bila maandishi .
@MohammedMohammed-gp9xq8 ай бұрын
hili pastor pumbavu Sana
@IddyMzuri6 ай бұрын
MANSHAALLAH ,
@ROGUESON-wb2ts5 ай бұрын
Daah allah awaongoz kwakaz
@Idysalim8 ай бұрын
This pastor is talking too much anahitaji sauti ya salim Ngugi ndo anafaa kuwa mwalimu wake, mashaAllah Ramadhan una subra sana na huyu pastor ambaye anaongea mambo ya kichwa tu Allah awape mwongozo eti Mungu anafanana na sisi Subhana-Allah
Asalam aleikum sheikh ramadhan huyo paster amezowea kurapu Kansan kudanganya watu Allah awaongoze
@habibasalim30928 ай бұрын
SubhanaAllah yaani mungu alikuja akaingia kwenye mwili wa mary, 😅😅😅
@RamadhanRamadhan-cx3tj7 ай бұрын
Luka cpt 4 vrs 41 Yesu kaukataa u wana wa Mungu. Pia awakemea wamwitao mwana Mungu. Kwa kuwa yeye ni nabii
@FridayMwassa6 ай бұрын
Soma mathayo 16:16
@abuually-ol2xc3 ай бұрын
Nimejifunza kitu katika haja masemezano ! Funzo nililolipata kwamba muislamu anapomzungumzia mwenyezimungu basi hasubutu kusema uwongo .ila mkristo anapomzungumzia mwenyezimungu basi hutumia uwongoo ndio maana unapomuuliza yesu ni mungu anakwambia ni mtoto wa mungu na unapomujliza je mungu anazaa anakwambia oohh maana mungu mungu hazai ila kwa kuwa amekuja duniani kimwili basi ndio tunasema yesu ni mtoto wa munguu 😂😂 yaani uwongoo mtupuu kazi kudanganya watu basi 😂 coz kama kweli ukristo ni dini kweli ya mungu sasa mbona wnajichanganyaa ! Mara waseme yesu ni mungu sijui mara waseme ni mtoto wa mungu yaani tafrani tu ! Namshukuru sana mola wangu kunijaalia kuwa muislamu imani yangu ni thabiti hina kujichanganya wala ubabaishaji ❤
@HabibuMuhunzi4 ай бұрын
Eti yesu ni mungu jamni hii dunia mungu atusamee
@SoosanOman23 күн бұрын
Ww hap akusameh usiy amin majini yanawasumbua kua wa bishi
@Al-hidaya.tv.burundi8 ай бұрын
MaaShaaAllah
@fardoshnassor78478 ай бұрын
Masha Allah 💖💖💖
@jamilajamila45728 ай бұрын
Subhannallaj eti wakiristo wanasema yesu nimungu innalillah wainna ilaykh lajiun
@Majiifande7 ай бұрын
Wewe unasema Yesu ni nani??
@jamilajamila45727 ай бұрын
@@Majiifande yesu ni mtume wa mwenyezi mungu
@SoosanOman23 күн бұрын
@@jamilajamila4572 Toa andik linalo sem yesu si Mungu ww ni mwana Damu N aliye kukuzaa ni mwanadamu na yesu ni mwana wa Mungu. Na yesu ni Mungu
@muminaroba91228 ай бұрын
Allahu Akbar
@saniairadukunda44007 ай бұрын
ASSALAM alaykum warahmatullah wabarakatuh 😂😂😂😂😂😂 hao jamaa ningumu sana kuelewa. ALLAHU alisha maliza kwakusema katika sura til baqara yakua .HAO NI VIZIWI NI MABUBU NA TAYARI WALISHA FUNIKWA NA VIFUNIKO VIKUBWA
@ShabaniHaruna-ul6yu8 ай бұрын
Mungu wa kweli hakuzaa wala hakuzaliwa
@djhassim_2548 ай бұрын
Allah akbar
@samxx4118 ай бұрын
Pastor anawachanganya watu wasielewe maandiko.
@AftinWarsame-w8c7 ай бұрын
Pasta anaspeed sna
@abdisalammohamed36917 ай бұрын
Kongole Sheikh wetu
@Hudadhan-qr7tj19 күн бұрын
Subxallah
@bibleknowledge-b1y4 ай бұрын
Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha... Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
@BabasahdSahdАй бұрын
MUNGU 🙏 AKUONGOZE uwe Muslim 🤲🙏 allau Akbar mwenyezi mngu ndyo mujuzi Zaid🤲🙏🤲
@bibleknowledge-b1yАй бұрын
@BabasahdSahd siewezi nikaamini mtu mmoja from no where..Shetani alimtuma nyoka/kumvaa nyoka(alikuwa hajui kusoma wala kuandika) na kukanusha maneno ya Mungu hivyo unataka nipotee au...Tunaokolewa kwa kupitia neno la Mungu ambaye ni Yesu Kristo..Who are you.
@AbdirahmanhHalakhe-pn2zd8 ай бұрын
MASHAALLAH
@josemu8708 ай бұрын
MashAllah
@rizikiwilliam-eh3oi8 ай бұрын
Huyo pastor yuwahisi mkojo
@seifissa97058 ай бұрын
Jeshi la mtu mmoja
@ABUUALLY-z6x4 ай бұрын
😂😂😂😂 wakristo wabishii hatariii daah Allah awaongowee
@molee008 ай бұрын
TabarakAllah Team! A mammoth Task Today, dealing with these rampaging Omeras! Ustad musi wape hawa wakati waku ongea tuuuuuu, bila yaku kutowa Ma ANDIKO! Verse first, TALK later! STOP them if they do NOT present a Verse FIRST! Like this tall luo PASTOR, he wasted 85% of your VLOG, taking RUBBISH! Ustad you also need to start INTERRUPTING these Kristians the moment they start their LIES! You are giving them too much rope, which empowers them to spill their LIES, and consequently overwhelm you! These Kristians are taking ADVANTAGE of your courtesy of allowing them to SPILL ALL their LIES, uninterrupted! You now need to change TACTIC and STOP them immediately, the very moment he starts his LIES! These people do NOT appreciate you courteous nature! And also allow and AGREE tactics with Ustad Khalifa, for him to intervene as a moderator when two or more Kristians lay siege to you! Crowd Control! Na hapa, Ma Pepo WACHAFU washa kuwa WaKristo: Mark 3:11 ► Whenever the IMPURE spirits saw him, they fell down before him and cried out, “You are the Son of God.”! Na huyu HILARY haeshi ku pigwa Viboko na Ustad Salim kule kwa Raily! Pepo ya 'yesu Mungu' HAIJAM toka! BarikAllah Feekum Team!
@Sal.08 ай бұрын
Swadakta. Hawa WaKristo wana penda ku 'FAFANUA'! Yaani wako na tabia mbaya SANA, yaku BADILISHA Verse yeyote ya Biblia, na kuleta VERSION yake, kwa UWONGO TUPU! Kwa hivyo, wasi pewe wakati waku sema UWONGO, bila kutowa ANDIKO .
@Adm94648 ай бұрын
Total confusion in Jacaranda.
@Sal.08 ай бұрын
Kweli . Na hawa Jatelo wako na CONFUSED Nusu Makate Brain!
@bahsansheikh60428 ай бұрын
Pastor anachanganya maneno
@issackSalah-xh1bg5 ай бұрын
❤❤❤❤
@Majiifande7 ай бұрын
Hakuna ukweli, eti kila mtu amezaliwa muislam, uongo mtupu
@Motheking-ps2tl7 ай бұрын
Ni kweli kila anaezaliwa anazaliwa akiwa muislam mpaka uelimishwe ndo uelewi
@Majiifande7 ай бұрын
Kwahiyo muislam ni asiyeelewa??
@seifissa97058 ай бұрын
Huyo jamaa hajielewi anasema kuja kwa kirsto kumetabiriwa sasa mbona anasema yesu ni mungu yaani mungu katabiriwa na nani
@StraightPathDawah8 ай бұрын
Msiba kweli
@patrickmaina54598 ай бұрын
Neema ya Bwana wetu YESU KRISTO Mwana wa MUNGU Yatosha. MUNGU Mwenye Nguvu, Baba wa Milele. Isaya 9:6 📖
@alyumaraos8 ай бұрын
Yesu hana neema neema zote ni zamungu ndugu.tatizo nyinyi munajichanganya wenyewe yesu huyo huyo ni mungu mara ni mtume,mara ni mwana wa mungu yan heb zingatieni enyi watu tumien akili.
@patrickmaina54598 ай бұрын
@@alyumaraosKristo Yesu ni yote Katika Yote.....
@yussufhassan4868 ай бұрын
😂Yesu ni mungu wakati alikua tumbo la mamake nani mungu yenu?
@patrickmaina54598 ай бұрын
@@yussufhassan486 Ndani ya Mariam kulikuwako Neno la Mungu (Yesu) Na Neno la Mungu ni MUNGU Mwenyewe.
@fatumamwalimu57658 ай бұрын
@@patrickmaina5459kwa hiyo mungu katumbukia kwa Mariam kazaliwa uyahudini ? Sasa wayahudi wakisema tuwaachie majumba yetu inabidi tutii maana ndugu za mungu ndio washasema, bahati nzuri huyo mnaemchezea sio yule nabii wa MUNGU, mtoto wa Mariam, huyonwenu ni yule yesu yusta
@KoronelioObedi7 ай бұрын
Yesu atawaumiZa vichwa mpaka kufa,
@myunaniniahmad64638 ай бұрын
Pasta kichefu, kelele nyingi na hataki kuelewa.
@farheenmasoudchannel24955 ай бұрын
ma sha allah
@AshamMussa8 ай бұрын
Wanosema Yesu mungu kwenye bblia ni maneno yakusemewa lakini mwenyewe sehemu zote kajiita kuwa yeye ni binadamu
@bassambashirou46048 ай бұрын
Wanamlazimisha japo kakataa yaani ni mwendo wa kijitoa ufahamu tu
@mutuasteve21798 күн бұрын
Gojeni Yesu atakuja awapate, mtakuwa mmchelewa,,, Yesu ndiye njia ya kweli, ya kweli na uzima hakuna aendaye kwa Baba ila kwa njia yake.
@habibasalim30928 ай бұрын
Jini ukumuacha ajiondokea bila mpango,ataataenda kuingia kwa mtu mwengine,na wengine wanasema toka na uende katika shimo la giza,,akienda gizani,si ataenda kuendelea kubaki mbaya
@africatoeuropechurchtv88567 ай бұрын
Aman Kweli wafuasi wa Wazungu na Waarabu hamumjui kabisa Bwana YESU.Sisi Tunasema Yesu Ni MUNGU.
Hawa hawajui kuwa majini wameubwa kwa ulimi wa moto na MALAIKA wameumbwa kwa NURU ndio maana wanachanganya maneno
@Majiifande7 ай бұрын
Toa andiko kutoka vitabuni
@faudhiasaidi36697 ай бұрын
@@Majiifande وَخَلَقَ الْجَانَّ مِن مَّارِجٍ مِّن نَّارٍ [ ARRAH'MAN - 15 ] Na akawaumba majini kwa ulimi wa moto. QUR'AN TUKUFU
@aminmohamad34436 ай бұрын
Kimbikimbi at 39:24😂😂😂this guy said mashuwali
@Adm94648 ай бұрын
Pastor kelele. Unga ita mwagika.
@Sai.Mo698 ай бұрын
SADAKA ina tetewa kwa UWONGO wa Pastor wote!
@ikujoitambu27128 ай бұрын
MashaAllah kwani kipi hapo mwakristo wanabisha?
@HusnaSharifu7 ай бұрын
Mimi nauliza Kwani uislam uje kwa lugha ya kiarabu na siyo lugha tofauti
@MaryamIssa-y7v7 ай бұрын
Kila kitabu Mungu kakichagulia lugha yake kulingana na mtume mwenyewe na watu wake,mf Kuna mpaka bible za kinyakyusa lakini Mungu hakuturemsha kwa kinyakyusa kweli si kweli,Mungu ametemsha Qur-an kwa kiarabu sababu mtume aliyempa jukumu Hilo ni Muarabu km injili na torati zilivyoshushwa kulingana na lugha za mitume hao hivyo qur an kushushwa kwa kiarabu:- 1. Ndio uchaguzi WA Allah alioutaka. 2.Mtume aliyemshushia na jamii yake lugha Yao kiarabu. 3.Qur-an kushuka kiarabu na hamna kutengeneza kwa lugha nyengine Ili isiweze kubadilishwa badilishwa km walivyofanya ubande WA pili. 4.ndio identity ya uislaam wote kokote utakapoenda Duniani mfanano ni Mmoja kisomo kilekile iwe urusi iwe marekani uwe mzungu uwe machina uwe Afrika ume Masai uwe jaluo lugha Moja tu