ASKOFU WA DINI YA MOWAR ROHO AAHIDI KUSILIMU.

  Рет қаралды 4,077

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. 📹

Пікірлер: 65
@almuhorig1077
@almuhorig1077 Күн бұрын
Sheikh ramadhan usichoke mwalimu wetu ...Tuwe tunakumbuashana sehem penye unahitaji usaidizi tupe taarifa ...Tupo pamoja tutajumuika sote tuendele kwa safari ya wema 💪💪💯
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Күн бұрын
Allah awafungulie nyote na awalipe kheri
@Swaleh-px1ug
@Swaleh-px1ug Күн бұрын
​@@StraightPathDawahAmeen
@suleimanmosooud9405
@suleimanmosooud9405 Күн бұрын
Nabari yenu yasimu Bora muiweke mrazote ili isisahaulike
@SmilingBreadLoaf-dx5de
@SmilingBreadLoaf-dx5de Күн бұрын
Jazakalaah Akhii ramadan wlh unafanya nabii mohamed scw inshaalah Allahu akuube tawaabu usiwache inshalah.
@softymoha5484
@softymoha5484 Күн бұрын
masha Allah....msikiti wa mkurueni..unapendeza....alhamdhulillah..kwa kazi mulio ifanya....Allah...awazidishie....
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y Күн бұрын
Mashallah mashallah nilipomuona tu nikakumbuka Allah amfanyie wepesi inshallah kazi munayo ifanya Allah atawalipa ❤❤
@alwaysthink0220
@alwaysthink0220 Күн бұрын
Doh sheikh wetu ume ruka karibu ni dondoke bwana masha Allah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Күн бұрын
😂😂😂😂
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 Күн бұрын
Askofu, Mungu akubariki na akuongoze ktk njia ya haki.
@MohamedMatata-iu9mm
@MohamedMatata-iu9mm 4 сағат бұрын
Allahu akbaru Allahukibaru.hakika tuitafute elimunkwani niibada ILIO kubwa mashallah ALLAH AKULIPE SHEKHE RAMA
@raniahmamu2586
@raniahmamu2586 Күн бұрын
Masha Allah ❤❤❤❤❤
@Jamila-c7k
@Jamila-c7k Күн бұрын
Pole kijana sharifu Allah atakujaalia khery Bora umerudi kwenye dini ya kiislam
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Күн бұрын
Aaminayaarabi😭😭😭😭😭
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Күн бұрын
Ndugu yangu katika Imani RAMADHANI usiache hiyo kazi ya dawa mitihani kukatishwa TAMAA IPO Kila sehemu unaweza acha Kisha ALLAH akakupa mtihani mkubwa zaidi kama nabii yunus
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Күн бұрын
Ma sha Allah washalom nmemmiss sana Na wale vijana wasanii😊
@mariamhakim1463
@mariamhakim1463 Күн бұрын
Mimi nimeanza kukufaham na kukufuatilia miezi mitatu sasa kwakweli najifunza nisio yajua katika uislam ,mwenyezi Mungu akulipe kwakila jambo akufanyie wepesi katika maisha yako
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 сағат бұрын
Mungu akuongoze pia inshallah ubarikiwe sana assalamualaikum 🙏🙏🙏
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni Күн бұрын
Alhamdulillah daawah inaendelea
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 Күн бұрын
Abdulkarim maneno yako yameni touch sanaa. Alhamdulillah kwa neemah ya uislamu. Ramadhan tuko pamoja brother.
@angle3600
@angle3600 Күн бұрын
Mashallah,kazi nzuri na Mola akulipe ujira ulio mwema
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z Күн бұрын
Usjoke shekh wetu mzuri❤❤❤
@swidiqrajab4519
@swidiqrajab4519 Күн бұрын
Mashaa Allah Allah Awaremu wazee aliyo wataja na Wazazi wetu waliotangulia mbele ya haki اللهم اغفر لهم وارحمهم واسكنهم الفردوس الأعلى
@mwanajaa-v5x
@mwanajaa-v5x Күн бұрын
Jazaka Allahu kheir tu nakuombea dua sana Sheikh Ramadhan usichoke wala usikate Tamaa MUNGU yuko pamoja nawe na changamoto ni kawaida Insha Allah MUNGU akubariki tunakupenda sana pamoja na team yako.
@muhammadh670
@muhammadh670 Күн бұрын
Allahuma nsurna ikhwanina fikulimakan
@111dudi
@111dudi Күн бұрын
Mungu akubariki na akuhifadhi ustaadh Ramadhaan
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Күн бұрын
Allahuma ameen 😂
@ibraimodinodino828
@ibraimodinodino828 Күн бұрын
Orgulhosamente muçulmano sub Hanna allah
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p Күн бұрын
Kheir in sha Allah pamoja ustadh wangu
@harunmuriiki8011
@harunmuriiki8011 Күн бұрын
MashaAllah
@josemu870
@josemu870 11 сағат бұрын
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya subra dawa iendelee kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora
@stevenjimnah5696
@stevenjimnah5696 Күн бұрын
@Steven Jimnah:asalam alaikum warahmatulahi wabarakatuh. niko na ndugu yangu na ange penda kuslim. niko Kariobangi (civo)
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z Күн бұрын
Inshallah nitatuma
@fashym725
@fashym725 Күн бұрын
Tabaraka Allah just like venye wako job,na mzee mtafsiri wa kijaluo❤ may Allah grant wish Yao kuwa waislamu dala maber.
@AdanAbdulahiosman
@AdanAbdulahiosman Күн бұрын
Masha Allah
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Күн бұрын
Mashaallah Allha 💖💖💖
@Abubakar-jh3wt
@Abubakar-jh3wt Күн бұрын
Mashallah, AllahBarik
@aishaally6602
@aishaally6602 Күн бұрын
Mukorino uislamu umempendeza ameshine
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Күн бұрын
MashaAllah
@daidibrahimadam482
@daidibrahimadam482 Күн бұрын
watching from Mandera
@SaidMgeni
@SaidMgeni Күн бұрын
مشأ الله تبارك الله
@angle3600
@angle3600 Күн бұрын
Mungu awaokoe wengi kama wewe
@AminiIlungajuma
@AminiIlungajuma Күн бұрын
We miss that washalo guy
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Күн бұрын
insha'Allah he will be coming oftentimes
@مريمنيجيريا-د5ل
@مريمنيجيريا-د5ل 20 сағат бұрын
Mashallah
@AbdirashidmohamedNoor
@AbdirashidmohamedNoor Күн бұрын
Mashaalah. Leo I'm the first person
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Күн бұрын
Mashallah
@husseinosman6592
@husseinosman6592 19 сағат бұрын
Namba ya simu leta sheikh
@sadiajelle5348
@sadiajelle5348 Күн бұрын
Asc sheikh Ramadan binkuriya insha Allah Allah akulipe nahi kheer na Allah atukutanishe wote weetu jannatul furdous insha Allah nili kuwa lauliza hiyo namba ya mpesa ime andikwa nA jina gaani insha Allah
@kennodhiambo
@kennodhiambo Күн бұрын
Jesus Christ is the Straight Path. Islam is described in Proverbs 14:12- "There is a way that appears to be right, but in the end it leads to death". Otherwise my brother Ramadhan you are doing a good work, I pray that you receive the grace of salvation by embracing Jesus Christ as Lord and Saviour of your life.
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 сағат бұрын
Sisi waisilamu hatuja mkataa yesu tunamuamini kabisa maana tunajua kama mtume wamungu ila sio mtoto wamungu wala yeye sio mungu kwahiyo hakuna shida yoyote
@kennodhiambo
@kennodhiambo 3 сағат бұрын
@@zaidiissa3714 Islam is purely antichrist. Dhambi kubwa katika uislamu ni shirk na mnaamini motoni imeandaliwa yeyote anayemwamini Yesu kama Mwana wa Mungu na pia Mungu. Nyinyi ni wapinga Kristo. Hebu tumia Quran unionyeshe jinsi mnavyomwamini Yesu kwa kuwa Quran yenyewe haina habari za Yesu bali Issa bin Maryam
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni Күн бұрын
😂lla Washaloom sikuizi amekuwa mpole sana,au shekh hujampatia maik akahubiri
@kennodhiambo
@kennodhiambo 21 сағат бұрын
"Kutamka shahada ndiyo sharti ya kuingia peponi", wueeh Waislamu si mtanivunja mbavu! Manabii wote walikuwa waislamu - Ibrahimu, Musa, Sulemani, Yesu, Daudi ... kwa hivyo hawako peponi kwa sababu hawakutamka shahada!!! Haki waislamu si mzingatie ukweli ili muwe huru. Yesu ndiye njia, ukweli na uzima, mtu haendi kwa baba pasi na kupitia kwake. Uislamu ni njia inayoonekana njema lakini mwishowe unaelekeza motoni.
@kennodhiambo
@kennodhiambo 20 сағат бұрын
Namwonea huyu mzee huruma sana. Hawezi kujieleza vizuri katika lugha ya Kiswahili na anaahidi kuingia uislamu!!! Huyu ataweza kumwabudu Allah kweli kwa sababu ni lazima ajifunze Kiarabu ndiposa aweze kuswali. Isitoshe, mzee yuko na miaka sabini na itamlazimu aende madrasa afunzwe dini katika lugha geni ambayo inaandikwa na kusomwa in the opposite direction. Huu si ni mzigo mzito kwa mzee kama huyu? Nikinena haya mnasema niko na chuki. Hebu nyie waislamu mnielezee kama kuna shortcut mzee atatumia ili aweze kumwabudu Mungu wenu
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 сағат бұрын
Hakuna kinacho shindikana kwa binadamu ukiwa naimanitu inawezekana boratu uwenaimani na muachie mungu akuongoze maswahaba walisilimu wakiwa wazee sana zaidi ya huyu lakini waliijua dini nakua muisila sio kujua kirabutu bali nikuacha yale manaya yote mungu aliokataza nakufanya mema mungu alio wahusia manabii wake na mitume wake nakumuamini mungu pekee kwakilajambo kuto mshilikisha na viumbe vyake vyovyote huo ndio usilamu hatawewe utaka kusilimu unaweza nikuamuatu namumuomba akuongoze katika njia iliyo sahihitu basiutafanikiwatu kwauwezo wake ubarikiwe sana assalamualaikum 🙏🙏🙏🇹🇿
@kennodhiambo
@kennodhiambo 2 сағат бұрын
@@zaidiissa3714 si ni lazima ajifunze kiarabu sababu sala zote ni za kiarabu?
@kennodhiambo
@kennodhiambo Күн бұрын
Waah! Kumbe kuwa muislamu ni gharama hivyo! Eti kuna school fees, kulipa walimu wueeh! Yaani haya yote ni kwa sababu ya kusoma dini katika lugha ya kiarabu ili mtu aweze kuwasiliana na Mungu! Huu ni mzigo mkuu jameni. Yesu akasema, Njooni kwangu enyi mliolemewa na mizigo mizito nami nitawapumzisha. Wapendwa, njooni kwa Yesu Kristo - hakuna kuingia shule usome dini bali kupitia katika Biblia Roho Mtakatifu atakuongoza kwa yote. Ukija katika Yesu hutastahili kubadilisha jina wala kuingia shule kusoma lugha nyingine bali utamwabudu Mungu katika lugha unayoifahamu na pia hakuna sheria nyingi kama zilizo katika uislamu.
@bashirmahero7021
@bashirmahero7021 22 сағат бұрын
Hata ujaribu kubadilisha neema ndugu haiwezi nani kasema hivyo ama unanena kivyako tuu mbona chuki kwa hili jambo jema aky
@kennodhiambo
@kennodhiambo 22 сағат бұрын
@@bashirmahero7021 chuki iko wapi ndugu yangu? Zingatia ukweli uwe huru. Nimenukuu tu yaliyosemwa na ndugu yangu Ramadhan. Miye sina chuki bali ninatakia heri. Njoo kwake Yesu utoke katika utumwa.
@kennodhiambo
@kennodhiambo 21 сағат бұрын
@@bashirmahero7021 Nadhani umewahi kushuhudia mkristo akiokoka. Je huwa anapelekwa katika shule ili asomeshwe lugha ya Yesu? Ukweli ni kwamba ukiamua kuokoka leo utakuwa huru kabisa. Ni biblia tu tutakupatia na kukuelekeza katika ushirika. Hutahitajika kuingia chuoni ili kufunzwa dini na pia utamwabudu Mungu wa kweli kupitia kwa Yesu Kristo wa Nazareti. Najua unaona ninachokuambia ni upuzi lakini ndivyo neno la Mungu linavyosema katika 1Wakorintho 1:18 "Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu". Amua sasa kumpokea Yesu Kristo ili usihesabike kwa wale wanaopotea.
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 2 сағат бұрын
Ndugu yangu unachoongea hakuna maana kabisa kitakacho kuokoa na moto ni ibazako na matendo yako atakakuokoa sio yesu anaokoa ni mungu mmojatu aliekuumba wewe na wengine nalieumba kilakitu sasa wewe ambaehutakikisoma siutakua mjinga na kupelekwa pelekwatu ndio maana unaona kunawatu waliamini wafunge mpaka wafe wakamione yesu kwasababu yakutosoma waliambiwatu waamini nawao wakaamini lakini kama wangesoma unafikili yangewakuta yalio wakuta?? Achaujinga ndio maana sikuhizi mnampelekapelekanatu kwakuto yajua maandiko sikuhizi Kuna wakristo wanaamini yesu nimungu wengine nimwana wa mungu wengine yesu nimtume wengine yesu ni nabii Yani hamjuihata mungu wao aliewamba huoni huo niwazimu nakuhusia ndugu yangu silimu umuabudu mungu alikuumba nakumtegemea yeyetu kwakilajambo nakuamini mitume wake wote kwayale maneno waliotuletea kutoka kwa mungu wao ambae ni mungu wetu inshallah endelea kujifunza iposiku utaujua ukweli pia fuatilia chenel nyingi zakiisilamu utajua mengi ubarikiwe sana assalamualaikum 🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿 niyaleyale
@saeedisa9798
@saeedisa9798 Күн бұрын
MashaAllah
ALIYESILIMU ATOKWA NA MACHOZI YA FURAHA ||  THE EMOTIONAL REVERT
1:13:53
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,4 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 70 МЛН
MCHUNGAJI ASHANGAA KUONA MAKATAZO YA ULAJI NGURUWE KWENYE BIBLIA
1:00:32
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /39/ #love
23:12
BabaJoan
Рет қаралды 22 М.
MJADALA KUHUSU PAULO ULIONYESHWA  LOLWE TV,KUTANA NA ASKOFU GERISON NA BISHOP GICHUHI
1:34:19
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 44 М.
MAMBO YAMECHEMKA SANA ASKOFU AMIMINIWA MAANDIKO NA PASTOR
1:01:04
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
LIVE_:KAMA HUJAROGWA DALILI HIZI HUNA
36:48
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 938
VITIMBI VYA WANAWAKE KANISANI
1:11:09
Straight Path Dawah
Рет қаралды 6 М.