For the love i have to this channel I wish 😊 to subscribe more than 15 times
@abdulkarimsaid5970Ай бұрын
Ramadhan umefanya hikma sana kumleta huyo pastor mwengine. Huyo askofu mshindani sana bila hoja. Leo amepatikana😂😂😂😂😂😂😂
@gechtv580Ай бұрын
The pilot is so so so much informed glory and honor to God for his knowledge and understanding bestowed upon him.
@wanaarakatiАй бұрын
Bishop ameshaelewa ila hawezi kukubali mbele ya camera 😂😂😂😂
@hassanrangambo8007Ай бұрын
Mashaallah shekh darasa zuri hapo bado gerson na huyo daudi vichwa vizuri kutupa elimu
@kihimbamushyaibrahim7284Ай бұрын
Pastor mungu alie muumba anajuwa wanaume natamaa kwa mwanamuke prophets married wives,watume waliowa ,kisha akajuwa udhaifu wabinadamu wamwisho akasema tuowe wanawake wane four wives!!wanaume wengi wanasharataki sababu yakujiwekea sheria zisizo kuwepo mungu anasema nanyinyi munakanusha
@user-mc2xd4eu2pАй бұрын
Wakristo hawafati maandiko wanafuata matamanio ya nafsi zao
@halidimgonza5945Ай бұрын
MashALLAHu shekh ramadhan na pilot mnachambua vzr sn
@emmanuelgongoro1014Ай бұрын
Good job brother Ramadan...wamishonari ndio walipotosha watu wetu😂😂😂
@fkhatary8607Ай бұрын
Unayakubali maandiko😂😂😂😂😂 bishop ni comedian wallah😅😅
@fkhatary8607Ай бұрын
The way bishop anashangaaa!..it explains all..😂😂😂 huyo bishop knowledge yake ndogo saana kazidiwa na pastor far away 😂😂😂😂
@salimbahatisha3003Ай бұрын
Askofu kazi yake ni kupiga heee😂😂😂
@ngureamosdaniel3945Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣ukweli haamini bibilia yake
@user-ie7yt9db6fАй бұрын
Kweli kusoma ni muhimu kama hajaona maandiko mpk anashangaa cjui alienda somea nn uko alitoka😢😢😢
@apostleckАй бұрын
@user-ie7yt9db6f Ni kweli kabisa. Nimejiuliza huyo askofu amesoma theolojia gani ambayo ameshindwa kabisa kujibu hata swali moja isipokuwa kushangaa tu na kuburuzwa kama zuzu. Hilo ndilo tatizo kubwa la siku hizi ambapo wengi wanaoitwa maaskofu, mitume, manabii, n.k. vyeti vyao ni vya kununua au huishia kufanyiwa mitihani na wengine, kichwani elimu au maarifa hamna kabisa. It is a shame!
@muddathirkassim2407Ай бұрын
Eti nko strong kabisa 😂😂 bshp comedian sana haki😂
@user-ie7yt9db6fАй бұрын
Mashallah sheikh Ramadhn hongera sana mungu awalipe mema hapa na kesho akhera .....ila huyu pastor amepasi huo mtihani wa wake wanne ila tunataka kujua mungu wake anae muabudu😢
@fkhatary8607Ай бұрын
50:18' Unaambiwa sema "Aamina"😂😂😂😂 bishop full of comedy 😂😂😂
@GeraldMswazi-bp2kwАй бұрын
Bishop hajui kujitetea na maandiko huyo ni mtu wa mshahara,yohana kifungu cha 10 mstari wa 12 ahsante.
@salmaminja7714Ай бұрын
Hakika leo mjadala ni wa moto sana bishop ana gwaya kabanwa mbavu na mkirsto mwenzake hakika bibilia inamtatiza nadhan hana tena hoja kbsaa. Uctadh Jazakallah khaira umeuindesha vzr naye mwenzaka amemmaliza kabsa. Wamejua haki wasiojua ktk mjadala huu. Uisalam ni dini yakhaki jaman silimuni muongoke. Nimeufarahia snaa mjadala.
@saidabdillahi8107Ай бұрын
Huyu Askofu anajuwa juwa yuko wrong lakini anawatetea wateja wake watoa sadaka wazuri (wanawake)
@user-ie7yt9db6fАй бұрын
@@saidabdillahi8107😂😂😂😂😂😂
@KhamisJuma-ni1vkАй бұрын
Masha Allah Sheikh Ramadhani Na Wenzio Kwa Mafundisho Ya Dini Mengi Tumeskia Na Tunazidi Kujifunza
@aburaasmedia3682Ай бұрын
pastor is far more knowledgeable than the bishop
@khammadjeffa515Ай бұрын
Nashangaaa pia mimi
@aburaasmedia3682Ай бұрын
@@khammadjeffa515 na tena bishop kila siku anjipiga kifua yeye ni mwanzilishi wa revival global church na ana branches nyingi kenya
@mhogomchungu7168Ай бұрын
Mwenye busara husikiliza zaidi kuliko kusema. Huyu mzee anahekima sana
@Noorein-ws8wkАй бұрын
Tena Bishop anajisifu kasoma
@adamcharo9327Ай бұрын
Huyu bishop bonoko hajui biblia kabisa
@user-ng1po1dh4zАй бұрын
Kuwa na Mke mmoja ni kupenda na hiari ya Mwanamume mwenyewe, kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika. (Kimapato🫰💵💰"Frush", Kiuwezo Nguvu💪 na Kimaumbile🤏😂😂😂. Vinginevyo yabidi kuwaokoa wasio na Waume)
@kagurukamaranda7062Ай бұрын
Kwa uwezo wake Allah s.w Askofu kaisha elewa ila anaogopa kukubali kabla ya kiongozi wake kukubali
@Adm9464Ай бұрын
Definitely polygamy is the best solution for today’s society which is invested with deadly diseases and family destruction. The ones who say no to polygamy ni wale wanaranda mtaa kulala na wasichana na wake wa watu. Mpira kwa mfuko
@Noorein-ws8wkАй бұрын
Wadada zetu wakristo jitayarisheni waume zenu kupata second wife on their way ina download....... Bible imekubali hayo nikwavile tu hamusomi maandiko
@husha6372Ай бұрын
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Bishop hajuwi kuwa Kanisa la Mormon wanaowa WANAwake WENGI na huitwa Sister wives Mpaka Sasa Mwenye Katiba ya America wamekubali HIYO sister wives
@khadijayusuf7968Ай бұрын
Asalaam alaykum mwalim ramadhan
@badmanno.1650Ай бұрын
Bishop Leo ameambiwa hakuna kuleta mambo ya siri ya utaua😅😅😅.
@gechtv580Ай бұрын
Usilete huyo so called bishop tena na sio kwa ubaya.... great teaching from daudi
@marwanmunywoki414Ай бұрын
Bishop ako fiti ma shaa ALLAH.. si mtiaji anaskiza and he knows the truth
@fkhatary8607Ай бұрын
24:11' makubwa hayooo😂😂😂😂
@adrisshagi1255Ай бұрын
Asalamu aleykum. Ramadan. Kaka. Iskofu. Ni salamiye na umambiye. Sis zote. Tuna karinisha kuwa haki. Tuna mupenda. Sana. Iskofu
@halimaali3719Ай бұрын
Asanta nakubali ajui uo😂
@SuleimanJuma-dv8gtАй бұрын
Sheikh, Ramadhan. Matamu hapo. Yani na enjoy wallahi😊.
@MedpearlHealthcareАй бұрын
Mashallah tabarakallah ramadan bin kaguo. Bring onboard the pilot on what he believes in Jesus? Trinity? Christianity? crucifixion?
@MedpearlHealthcareАй бұрын
He seems to know the Bible well
@lungusiiАй бұрын
BISHOP UNA TETEA KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI , WAKE ZAIDI YA MMOJA HIYO MUNGU KAIWEKA PALE USIONGOPE.. Na ukiondoka hapo uko na mpango wa kando
Huyu bishop inakaa bibilia haijui ata, Inakaa ni bishop bonoko
@gechtv580Ай бұрын
😂😂😂😂alianza kwa kujigamba sana vile amesoma masomo yake imefanywa bure
@SheeMaryam.MАй бұрын
Alf Ramadan anafanya kusudi kwanza hapo pa, "I married both of them" 😂😂😂 anatia mkazo akimaanisha skia kiwaru pastor mchunga kondoo 😂😂😂 rama atakupa connection za shemeji😂😂
@salimbilali5174Ай бұрын
Askofu amechemka😂😂😂
@MussaNgozАй бұрын
B shop jibu maswali acha janja
@kassimjuma6151Ай бұрын
Bishop leo kachemka sana na anarudi kusoma😅😂
@ibraimodinodino828Ай бұрын
Esses pastores afinal sabem da verdade,mais não querem seguir..... Allah akbar
@nassorsharifu9837Ай бұрын
Duh leo hakuna mkristo anaetowa povu hapa
@LEVYAMINA-q4vАй бұрын
Ndacha ndacha ndachaaa uwapi? Saidia Hawa maskini wa ukosefu wakutosoma maandiko Vidur plsssszz...
@halimaali3719Ай бұрын
Niko mimi pia nasikiliza 😅
@chiefmkalikibz1503Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅LEO GESHOEH HANA ZARE😅😅😅😅😅😅KILA KITU ROHO TU, MPAKA MKRISTO MWENZAKE AMEMKATALIA COZ AMEJUA SASA YUWALETA MAPILAU😅😅😅😅
@user-ng1po1dh4zАй бұрын
Huyo Bishop, hatofautiani na Ndacha kwa ubishi, kuyakataa maandiko yaliyomo ktk. Biblia yao. Jamani, Acheni ubishi, kuweni Waislamu ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
@Aisha-jw7jfАй бұрын
Masha Allah tabarakallah Sheikh wetu Kazi yenu nzuri ila mbona iyo sunnah wanaume mnaipenda sana😅😅 mkasahau kuna sunnah zengine kama za kumsaidia kupika ,kufua etc ALLAH plz naomba ukinibarki na stara naomba kipofu insha Allah anione mm tu pekeyngu coz wivu wngu unaweza kunisafirisha Akhera mapema
@husseinabdulkarim7086Ай бұрын
Mmmh pekee utaweza kwli
@SalmanMughal-lq5ltАй бұрын
MimiNapendaUkewenza
@Aisha-jw7jfАй бұрын
@@husseinabdulkarim7086 😄 🤣 Tena sana tu najiamin 💯
@@Aisha-jw7jf utapewa kipofu hicho umeomba na Dua itaitikiwa
@adanabdi5249Ай бұрын
Good question masha Allah.
@MohamedMejaАй бұрын
Masha allah ramadhani mungu akuwekea
@Alithoya-qr7diАй бұрын
Assalam alykm warahamtullah wabarakat, Ramadhan leta tena pastor huyu Bishop anabisha na maandiko yako
@danielwanjiku-rp6cnАй бұрын
Ramadhan hongera kwa kazi nzuri ila huyo pastor David naomba mjadala wake na Mchungaji ndacha au frank onyango kwa sababu daudi anapotoa maandiko na kuongea sana afanye mjadala n wenye wanafahamu maandiko kwanza daudi ni pastor walie katika isaya 56 vs 10-12
@malikdodo5190Ай бұрын
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@timurmauga6559Ай бұрын
Nikisubiri andiko la Abraham wake 25 na David wake 500. Hakutia andiko huyo Daudi.
@mush337Ай бұрын
Wakristo wengi huongea kuhusu monogamy maana hawataki kupoteza sadaka ya wanawake maana wao ndio hutoa sadaka mingi,kwa hivyo wameshika mapokeo ya wanawake
@ChadCommaz-bx6xfАй бұрын
I was a bit late but Ma Sha Allah am in the house
@jimpaserics9359Ай бұрын
Ramadhani unapenda kualika mapastor ambao Wana elimu kidogo Kwa nini
@fkhatary8607Ай бұрын
Hapo kwenye 32 virgins...bishop kaua😂😂😂😂😂 mshangao sio wa kitoto.
@MudiDadi-b2hАй бұрын
Ostadh sisi wengn hatujuw kingereza chenu sio wot tumepitia shule😅😅😅
@martingachanja8145Ай бұрын
Waiting for part 2
@imranbanda3963Ай бұрын
Bishop take 2nd wife I will support you
@yahyaabdi2485Ай бұрын
Good job shek Ramadan
@muddathirkassim2407Ай бұрын
Huyu b shop ni zuzu anaubishii mwingi,,yan maandiko pia ywayapinga,,,,
@jimjam-xg7rvАй бұрын
MASHA ALLAH 💚💚💚
@husseinahmed9188Ай бұрын
David to me is more learned than the bishop
@adrisshagi1255Ай бұрын
Iskofu answer I like when u see reality. Leo huja sema. Siri Ina uwa
😂 kwa bibilia alishika misitari yakutoa watu sadaka tu
@LEVYAMINA-q4vАй бұрын
Elimu isiyo na ufunuo wa maandiko..
@salimbilali5174Ай бұрын
Mimi hata kumi wakuje
@athumanikhalidmwadzanache701Ай бұрын
Bishop bure, aende asome😂😂
@mimahmimah1595Ай бұрын
Mapostor wa ukweli kama hawa hua ni ngumu kupatkana yan anajua anachokisema
@halimaali3719Ай бұрын
😅😅😅aaaa jamani kweli acikofu
@user-cy9st2yt1tАй бұрын
Mungu ana mke mmoja na nikanisa bali sio kama vile pastor unavyo sema nawashangaaaaaaa mungu awape ufunuo hatuishi nyakati za kale ila za mwisho.....msome waibrania 10.1.
Usijali ukitazama na mtazamo wa kimwili hautafahamu lakini katika mtazamo wa rohoni yaani kuligana na maadiko anaye.soma waefeso 5;26.🙏
@user-to3wz6gv5nАй бұрын
😂😂😂brother bishop
@user-qo2xd3hb8lАй бұрын
Kungekua na mkristo hata mmoja ambae ako na roho mtakatifu basi wakenya awangekua na njaa angeombea chakula ama mikate mitano na wakenya wakashiba,hata wanafunzi wa yesu awakumpokea walipokea roho muovu ndio maana walimua Anania na bibi yake
@shuwehaharuna6309Ай бұрын
Bishop alituonesha ameenda kusomea biblia kumbe maandiko mengine hajasoma na kapewa shahada
@mahdiyusuf3431Ай бұрын
Christian contradiction moto moto leo we invite them all to Islam 0 contradictions
@spartachize122Ай бұрын
Hahaha nimependa pastor anavyoelezea, inabidi haya mafunzo wafundishwe kwenye makanisa pia
@abdallahjuma2608Ай бұрын
Mashaallah
@chaco1466Ай бұрын
uzinzi tu
@hanifahkhamiss8485Ай бұрын
Bishop ndo ametoka kusoma hapo😅😅😅😅maneno mengi bila ya andiko
@chiefmkalikibz1503Ай бұрын
HUELEWI Ameenda Kusomea maneno mengi #tantarira Bila maandiko
@GeraldMswazi-bp2kwАй бұрын
Hilo andiko Ramadhan Na mwenzake Wana litumia Vinaya.bishop Yuko Sawa.
@Alithoya-qr7diАй бұрын
Toa lako juu wametoa maandiko mengi tu
@nassorsharifu9837Ай бұрын
Ustadh Ramadhan unafanya vyema kuifundisha biblia Mana haifundishwi
@morrismulowayi2152Ай бұрын
The Bible describes the relationship between a husband and wife as one of mutual love, respect, and submission. In Ephesians 5:25, it says, 'Husbands, love your wives, even as Christ also loved the church, and gave himself for it!' This means that husbands should love their wives selflessly and sacrificially. Similarly, in Ephesians 5:22, it says,
@softymoha5484Ай бұрын
which church did Jesus loved? he was not a Christian even churches were not there those days
@shakila3982Ай бұрын
And the same same Bible was written by polygamy people, Jesus himself he comes from polygamy family 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@linetkikin4023Ай бұрын
Nivizuri wanaume waoe wake zaidi juu hao mapaster maramingi wanapatikana na bb za watu ata kuna moja ameulewa na mshiriki wake juzi kule kapsabet ACK
@AishaTabi-e2zАй бұрын
😂😂😂😂 good job ❤❤❤❤
@abasifadhiliswai9465Ай бұрын
Askofu anamuogopa mke wake
@SheeMaryam.MАй бұрын
I my self nimetoka kwa polygamy family baba ahikitie atumia eri❤❤ na twi sawa😅😅 bisofu wee tiga uhoro mwingi
@gechtv580Ай бұрын
Ni urutani wa apostle Paul Andu matiendaga kumenya urea Ngai wee mwene aririe na kanua gake akiuga
@SheeMaryam.MАй бұрын
@@gechtv580 ukifiwa kama bb ndio utajuwa u were never alone Watu waoe kuliko uzinifu na watoto nje ya ndoa, pili uambiwe uoe dume jike ni halali lkn mwanamke wapili uambiwe ni haramu Though this are the signs of Day of Judgement immorality is like a ibada watu hawaogopi