Tunashukuru kwa makala ila mngejikita kutafiti nini kinahitajika kwa mawasiliano vijijini. Hapa mmeonesha tu expansion ya mitandao ya simu kufikia vijiji au miji mingi. Lakini kwa dhana ya mawasiliano nilitarajia mnamaanisha internet na hasa intanet ya kebo za faiba. Wenzetu mawasiliano raisi ni kupitia intaneti; kwani kupitia intaneti, unaweza kupiga simu, kuangalia tv, kupata elimu kwa mtandao na saizi intaneti ya vitu. Hapa taifa linalenga kuchuma hela za watu tu ili kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi badala ya kuboresha na kurahisisha maisha