RAIS MAGUFULI ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MACHOZI AKIELEZEA MANENO YA MWISHO YA MKAPA

  Рет қаралды 136,049

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 125
@zenamshana6852
@zenamshana6852 4 жыл бұрын
Rais wetu magufuli ameumia Sana pole baba magufuli,,,,😭😭😭Safari yetu ni moja ,,,pumzika kwa Amani Rais wetu mkapa mwendo umeumaliza salama
@sweetyjanne255
@sweetyjanne255 4 жыл бұрын
Wasaidizi Na Watu Wa karibu Wa Rais Wetu Jitahidini Muwe Nae Karibu Nakumpa faraja Huu Msiba Unaonesha Umemuumiza Mnoooo.😪 😪
@tumainiedgar3382
@tumainiedgar3382 4 жыл бұрын
Yes yani Rais kaumia sana
@sophialaurent2876
@sophialaurent2876 4 жыл бұрын
Rais wetu kweli kaumia sana,hadi katoa machozi, Pumzika kwa Amani Rais wetu mstaafu mkapa
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 3 жыл бұрын
Sasa nimeelewa kwa nini baba alilia kwa huzuni na uchungu kifo Cha Hayati Rais Mkapa
@annapaciorek7790
@annapaciorek7790 4 жыл бұрын
Pole sana Mpendwa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa kuondokewa na Kipenzi chetu Rais Mstaafu Ben W. Mkapa. Poleni Watanzania Wote
@tulinavemgeni3523
@tulinavemgeni3523 4 жыл бұрын
Pole ukilia unatuliza na cc.
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
Pole sana Rais wangu. Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa jina la Mungu Lihimidiwe
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
Napendaga magu akiongea pole sana anko
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 4 жыл бұрын
Polee baba Mungu akutie nguvu
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Innalillahi wainnailaihii rajiun R.l.P mzee wetu WILLIAM MKAPA AMEEN
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Miaka tuliyopewa kuishi ni 70, ukifika 80 ni upendeleo kutoka kwa Mungu 😭😭 Rest in Peace Jemedari wetu
@zakariaalfred3167
@zakariaalfred3167 2 жыл бұрын
Kwaheri Baba Hayati Rais Magufuri NI ngumu Sana kukusahau MUNGU akupe pumziko la Aman popote ulipo na MUNGU ailaze roho Yako mahari pema peponi. Kwaheri Baba Hayati Rais JPM msalimie nyerere mwambie mkapa Mama samia yupo Na Tutawakumbuka milele.
@bakuzasimon6193
@bakuzasimon6193 Жыл бұрын
Mungu wetu uishie mahali palipoinuka nakushukuru kumleta Hayati John Pombe Joseph Magufuri ktk ardhi ya Tazania tulikuelewa vizuri RIP baba yetu
@anna33urassa70
@anna33urassa70 4 жыл бұрын
Pumzika kwa aman baba yetu pole sana rais magufuli poleni watanzania wote mungu atupe uvumilivu
@rehemshehoz8704
@rehemshehoz8704 4 жыл бұрын
Mwenyez mung ampumzish mahal pem popon pol sn rais wetu maguful
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 4 жыл бұрын
Duuh inaumiza,,,,R.I.p William Benjamini mkapa
@dativapaschal1290
@dativapaschal1290 4 жыл бұрын
Pole Raisi wetu
@bahatiundule5190
@bahatiundule5190 4 жыл бұрын
Pole baba magufuli mungu akutie nguvu
@ashasaidi1895
@ashasaidi1895 4 жыл бұрын
Mwendo wa maisha ya nguli wa uchumi umeishia hapo mung ampumzishe salama
@doreenkawira2129
@doreenkawira2129 4 жыл бұрын
Poleni sana ndungu zetu wa Tanzania...Mungu awape subra.
@selectorsellokenya9416
@selectorsellokenya9416 Жыл бұрын
I SWEAR I CRIED THE DAY MAGUFULI WAS PRONOUNCED DEAD. BUT WHY!!! Let me not remember that fate. Pumzika vyema Shujaa
@saniamarusu1185
@saniamarusu1185 3 жыл бұрын
Hatimaye yeye R.i.p Magufuli
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 4 жыл бұрын
Aysee huu msiba ni mzito sana..😔😔😔
@Naaam353
@Naaam353 4 жыл бұрын
pole mzee wetu na rais wetu Magufuli nasi tumeumia sana
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭pole rais wetu na watanzania wote
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
Pole ya nn, kwan babake
@edssonkashaija6458
@edssonkashaija6458 4 жыл бұрын
Pole raisi wetu magu mungu akutie nguvu. R.I.P mkapa mungu akusamehe zambi zako
@ashatimo4666
@ashatimo4666 4 жыл бұрын
Pole magufuli wetu mungu akupe nguvu
@alykhan9054
@alykhan9054 4 жыл бұрын
Pole father
@jworld1480
@jworld1480 5 ай бұрын
tatizo lilianzia hapa mpaka chuma kikasepa aiseee
@nicethamanonga5855
@nicethamanonga5855 4 жыл бұрын
Magu ameumia sana kifo cha mtu wa karibu inaumiza sana
@emmanueldecarzolin4955
@emmanueldecarzolin4955 3 жыл бұрын
Daah 💔💔💔kifo ni fumbo kubwa sana😢
@budomojames43
@budomojames43 4 жыл бұрын
We live once but in God we trust
@saidhamza5318
@saidhamza5318 10 ай бұрын
Ndo maana hata yeye hakudumu baada ya mkapa kufariki. Ni km walifariki pamoja.😌
@dullahmobileshop8624
@dullahmobileshop8624 4 жыл бұрын
R.I.P.PRESENT MKAPA
@mengifrank8765
@mengifrank8765 4 жыл бұрын
Pole xana rais maanabaona unslia kiutuuzima
@tmtwane9092
@tmtwane9092 4 жыл бұрын
USICHOKIJUA KUHUSU MAISHA YA MKAPA gusa link kwa full story kzbin.info/www/bejne/lZXckpyVr9WAiJY
@user-ur7gr9nh9b
@user-ur7gr9nh9b 4 ай бұрын
wengi tulikuliliy baba wataifa la tanzania
@shabanijongo6960
@shabanijongo6960 4 жыл бұрын
Hongera kwa hutuba mzuri
@fredymwichacha7072
@fredymwichacha7072 4 жыл бұрын
BURIANI RAISI MSTAHAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA DAIMA TUTAKUKUMBUKA SIO YEYE KWANZA SIO YEYE AAAAAAH 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 BENJAA
@bintyk5149
@bintyk5149 4 жыл бұрын
Tuwe pole sana
@Coachsamwel
@Coachsamwel 3 жыл бұрын
Sasa mmenda wote jaman 😭😭
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 3 жыл бұрын
Ndio nimeelewa kwa nini mzee wetu JPM alilia kwa msiba wa Rais Mkapa
@angellamwanri8414
@angellamwanri8414 4 жыл бұрын
Dah.. So Sad
@jumamturia6452
@jumamturia6452 4 жыл бұрын
Yeah ni kwl safiri salama mzee mkapa
@innocentmbise4777
@innocentmbise4777 4 жыл бұрын
Pole san mzee
@milkabelias448
@milkabelias448 2 жыл бұрын
Pole rafiki yeti na mpendwa wetu
@nyatya199
@nyatya199 4 жыл бұрын
Pole mzee ndo maisha ya dunia lazima tufe tu
@cleofwalu3661
@cleofwalu3661 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😢🖐️🖐️🖐️
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
Pole mke wa mkapa na family,sio huyu bhana.
@isaackangikangi7704
@isaackangikangi7704 3 жыл бұрын
Was it from his heart
@vladimirlenin200
@vladimirlenin200 4 жыл бұрын
MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI KIONGOZI ALIYEACHA LEGACY,GWIJI KATIKA UONGOZI NDANI YA NCHI NA KIMATAIFA...R.I.P RAIS WETU MSTAAFU BENJAMIN W.MKAPA..POLE RAIS WETU UMEUMIA NA SISI TUMEAUMIA PIA KWA KUMPOTEZA KIONGOZI MUHIMU...
@teddymasasila3874
@teddymasasila3874 4 жыл бұрын
Pole sana
@agnesscollin9591
@agnesscollin9591 4 жыл бұрын
Jamani dunia tunapita
@aminadossa460
@aminadossa460 4 жыл бұрын
mungu akulinde
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
Mkapa ama nn, cjaelewa
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 Жыл бұрын
Yaani ulivyoumizwa nakuondoka kwamkapa ndiyo namimi nilivyumizwa nakuondoka kwako Magufuli
@harunilibangite7205
@harunilibangite7205 4 жыл бұрын
Daa
@ganohchacha9882
@ganohchacha9882 4 жыл бұрын
Mambo mema yapi muyaishi, wakati police wamezuiwa viongozi wa Upinzani wasiingie kuaga, maneno yafanane na matendo, tuishi vyema ili tujiweke salama
@mwinjanavil
@mwinjanavil 4 жыл бұрын
una uhakika na unachokinena? kama hukumuona mbatia msibani na cheyo na mrema na sugu na zito kabwe basi hukuwa makini.. usiropoke kitu ambacho huna uhakika nacho
@b.anyondo1640
@b.anyondo1640 4 жыл бұрын
Tatizo lenu mnapenda kiki mpaka pasipostahili, upinzani ndio kitu gani mbele ya msiba huu alaaa hamjitambui
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
babu hawa ni wanafiki tu
@mashambwana9849
@mashambwana9849 4 жыл бұрын
@@mwinjanavil Achana nae huyo mjinga kakosa cha kucomenti lazma ajulikane na yy yupo
@yohananundi1167
@yohananundi1167 4 жыл бұрын
Wapinzani ni wapumbavu
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 4 жыл бұрын
Rais mtaaf Karume yuko wapi jamani?
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
karume hawezi kumspoti mtu alisababisha damu za ndugu zake kumwagika
@fatmaaly3056
@fatmaaly3056 4 жыл бұрын
Kaburin
@marianachristophory4916
@marianachristophory4916 4 жыл бұрын
@@bennymochiwa4800 ndg wa akina nani?
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
@@marianachristophory4916 kwan umesahau kilicho tokea znz mwaka 2001!!!???
@marianachristophory4916
@marianachristophory4916 4 жыл бұрын
@@bennymochiwa4800 karume yupi unayemzungumzia?
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
kigogo kimeingia, umoja gani wakt mnazuia watu kujakutoa rambirambi zao, acheni unafki
@yohananundi1167
@yohananundi1167 4 жыл бұрын
Wapinzani ni wapimbavu
@scayroad8500
@scayroad8500 4 жыл бұрын
HAO HAWAKUWA NA NIA YA KUAGA NAKUNAPOKUWA NA MAMBO YA KISERIKALI WANAJITENGA CHUNGUZA SANA HIVYO NISAWATU HATA WACPOAGA WAO WAMEKAMILIKA.
@marianachristophory4916
@marianachristophory4916 4 жыл бұрын
@@scayroad8500 gud
@remiginatusmalale5336
@remiginatusmalale5336 Жыл бұрын
Naumia sana
@amonidafa9665
@amonidafa9665 4 жыл бұрын
Tukubali tu kwamba Kama taifa tumepoteza
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
RIP
@fbendebende1263
@fbendebende1263 4 жыл бұрын
Huyo ndo mke wa mwnyi nn
@edwinekahatano8472
@edwinekahatano8472 4 жыл бұрын
Duh
@Coachsamwel
@Coachsamwel 3 жыл бұрын
Huo msemo wa Robin Sharma aliousema Magufuli kwamba "Ukizaliwa wewe unalia lakini watu wanafurahi....ishi vizur ili ukifa walie na wewe ufurahi" Hii imetokezea kwenye kifo chake kwakweli.... Tumelia Sana.
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa kaka yangu
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Kiengereza hujuwi kiswahili humjuwi wewe ni fulish wa aina gani?
@albertemmanuel108
@albertemmanuel108 4 жыл бұрын
Wew unajua nn ras
@sajentmvande3849
@sajentmvande3849 4 жыл бұрын
Cha nn hicho kiingereza tuachie Rais wetu
@rweyenderarajabu2950
@rweyenderarajabu2950 4 жыл бұрын
Anajua kaz hajui,???wwee jua lughaa,mwenzako anaelaa
@SalmaSalma-nb2cv
@SalmaSalma-nb2cv 4 жыл бұрын
Usingeweza kumkosoa km hukuelewa alichozungumza😏😏😏fulish babayako na ukoo wako kenge ww
@venstonvedasto
@venstonvedasto 4 жыл бұрын
Haters banah kama shetani fulani hv muone huyu kenge
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
Magufuli akiwafungukia watanzania kuhusu uzazi wa mpango
8:58
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 582 М.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН