Asc. Ust mim ni askar na nimepostiwa forrest 2yrs. Akuna mskit kabsaa na najua ukikosa ijumaa tatu mpka upige tena shahada. Anha hukmu yangu ni nin na nimekosa ijumaa za mwaka mzima. Na hatufiki muslims 40 kukamilisha ijumaa twafanyaje ustadh naomba unijibu pliz
@IzudinAlwyDin11 ай бұрын
kama muko zaidi ya watu 12 munaweza swali ijumaa
@farwazathman609511 ай бұрын
Ustadh tuko muslims 7 pekeyake wallahy
@farwazathman609510 ай бұрын
Asc. Ustqdh nauliza hii rajjab imeanza je twaruhusiw kufunga thursday na monday ama kuna siku special za kufunga.