Nakupenda sn kwa ajil y Allah sheikh Izuddin Alwy mm nmejifunza vitu vingi sn kupitia darsa zako hakika umenitoa gizan nakuombea dua Kwa Allah tukutane jannat firdaus kwa Rehma za Allah inshallah
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
@saadarashid8174 Жыл бұрын
Mashallah alhamdulillah
@pekeetv Жыл бұрын
Maashaallah
@am2323Diaspora Жыл бұрын
Mtualiyejifanya kufanya Mshia na akautetea hata Ana nia yake ya maslahi ya kidunia ameupotosha uislamu. Bora akatafute rizki namna nyengine. Ni upotofu. Mtu huyu ndie anaetumiwa kuwashawishi wengine waingie kwenye imani mbaya. Hawasalimiki hata kidogo
@am2323Diaspora Жыл бұрын
Kama unaamini aliyemtukana Abubakar au mke wa Mtume ni mkosa basi ni bora kusema moja kwa moja kuwa shia ni wakosa. Hakuna kichagua. Hile ni itikadi iliyojengwa kuuchafua uislamu