TAA YA MIGUU YANGU. By F.M. Shimanyi_Kwaya Ya Mt. Donbosco, Decca Dodoma

  Рет қаралды 40,634

CGen Pro

CGen Pro

11 ай бұрын

Kipande kifupi cha wimbo kikionesha mpangilio wa sauti na namna zilivyorekodiwa katika studio za CGen Pro.
+255765449914

Пікірлер: 147
@user-co3ke5kz9s
@user-co3ke5kz9s 4 ай бұрын
my best song 2024 barikiweni mnapo hubiri NENO
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Hicho ni kipande tu, wimbo mzima utakuwa hewani siku si nyingi
@mussakasela5562
@mussakasela5562 11 ай бұрын
Vijana wako vizur sana
@victorodehe6160
@victorodehe6160 11 ай бұрын
Kazi nzuri Fortune👏
@shuaiberegae2867
@shuaiberegae2867 11 ай бұрын
Twasubiri kwa mpigo mwalimu
@marcomihayo745
@marcomihayo745 11 ай бұрын
Hongrra sana kazi nzuri,,,hata ungesema ni siku gani hiyo ingrtufas zaidi kazi nzuri sana!
@JoenHarry-jw3zu
@JoenHarry-jw3zu 10 ай бұрын
Mbona WAKATI NI SASA haijatok
@delphinaandrew6534
@delphinaandrew6534 7 ай бұрын
so lovely😍❤️…mewapenda bure Mungu awabariki🙏❤️
@user-sr2yy9ov5l
@user-sr2yy9ov5l 8 ай бұрын
Kazi nzuri na sauti tamu..naomba kusaidiwa na nota za huu wimbo..tafadhali @F. M SHIMANYI.
@gradientlife
@gradientlife 5 ай бұрын
Hatari sana congratulations mtunzi na waimbaji
@kennykibzofficial
@kennykibzofficial 6 ай бұрын
Huu wimbo unaachiliwa lini, nimengojaaaa sanaaaaa
@josephnzioki2013
@josephnzioki2013 8 ай бұрын
Kazi safi.... Naomba nota za huu wimbo
@josephnzioki2013
@josephnzioki2013 9 ай бұрын
Mkuu FM Shimanyi naomba nota za huu wimbo
@praxedakimario2928
@praxedakimario2928 9 ай бұрын
Hujawah kukosea shimanyi, Mungu akibarik sana
@millardfrank9012
@millardfrank9012 10 ай бұрын
Mwezi gan utakuwa tayali huu wimbo
@SweegHMs2dio
@SweegHMs2dio 10 ай бұрын
Amujamaliza nausubiri kwa amu sana
@mapendoglory16
@mapendoglory16 9 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana tuupateje wote??
@melinarevocatus1620
@melinarevocatus1620 3 ай бұрын
Eei soprano❤❤❤❤❤
@namepaulo3138
@namepaulo3138 7 ай бұрын
huu wimbo jamani utatoka lini harakisha tunachoka kusubiri lakini wimbo wenyewe mkali sana
@andreayohane5800
@andreayohane5800 11 ай бұрын
Hatari na nusu hii
@TonyNjoka
@TonyNjoka 9 ай бұрын
Kwani huu wimbo utaachikiwa lini
@paskaliakonaay01
@paskaliakonaay01 6 ай бұрын
tupe full mziki mbn fup san af tamu kinom🔥🔥🔥
@mosesm9079
@mosesm9079 5 ай бұрын
Kazi nzuri Katumbi
@FrankJKyalo
@FrankJKyalo 2 ай бұрын
Music Art at best ❤❤❤
@joakimndanga1170
@joakimndanga1170 11 ай бұрын
😅😅😅 ila nyie jamaaa mtauwa watu🙌🙌🙌 # Mkuu Shimanyi. # Mkuu Duke. # St. Thomas Moore Mzumbe
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Ooooh Mungu ni mwema kaka
@mkatolikikenya8164
@mkatolikikenya8164 7 ай бұрын
Wimbo Safi Sana 😊
@kevintiraya6964
@kevintiraya6964 9 ай бұрын
Shimanyi🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤
@julietnangekhe3765
@julietnangekhe3765 6 ай бұрын
I love this 🥺💯❤️
@amosmakori9536
@amosmakori9536 9 ай бұрын
Hello wimbo tamu sana increase at least uwe 5mins plz
@AllexjeremiahMbogo-sk7dx
@AllexjeremiahMbogo-sk7dx 6 ай бұрын
Wangapi tunasubiri mpka leo na haijatoka
@user-bu2ok8pd9g
@user-bu2ok8pd9g 8 ай бұрын
Haki waiting full video, it's so nice❤
@upendopeter8078
@upendopeter8078 11 ай бұрын
Wimbo mzuri sana,, sauti nzuriii,, mungu awabariki sana muendelee kuimba . Nawapenda sana
@hkiptiony
@hkiptiony 4 ай бұрын
Eeeeish you never disappoint
@richardrobi4644
@richardrobi4644 5 ай бұрын
🎉 very great ❤
@machariadavis3159
@machariadavis3159 8 ай бұрын
Shimanyi Have been waiting for this Song and Score for over two months now 😢
@laurentgama1834
@laurentgama1834 10 ай бұрын
Nimependa sana Huu wimbo ❤
@jaxmkada6797
@jaxmkada6797 2 ай бұрын
Classic🎉❤
@user-jl2ss4ik6c
@user-jl2ss4ik6c 3 ай бұрын
This is nice 🙂
@MATHEWLOUISE-dg6ig
@MATHEWLOUISE-dg6ig 11 ай бұрын
Mkuu Shimanyi... 🙌🙌🙌 Mapenz Yako yatimizwe
@kelvinbarnabas9617
@kelvinbarnabas9617 11 ай бұрын
Hongereni...ila tusimsahau na amani ni Tunu bora
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Hakika
@anthonybyalushengo4032
@anthonybyalushengo4032 11 ай бұрын
Aaah hatari
@brunojoseph4817
@brunojoseph4817 6 ай бұрын
Talented❤
@greatmind8682
@greatmind8682 7 ай бұрын
ningekuwa na uwezo wa kuhama Kenya nije Tanzania kwasababu ya mziki lakini najua mungu yupo na ipo siku...nausubiri huo wimbo kazi kuntu sana hongereni
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 5 ай бұрын
Uko tayari
@aloyceisdory7855
@aloyceisdory7855 11 ай бұрын
Ila shimanyi 🙌🙌🙌🙌🙌
@millardfrank9012
@millardfrank9012 11 ай бұрын
Wimbo mzuli saana tena sana
@lilianongasia5602
@lilianongasia5602 10 ай бұрын
Heko mgurugezi we're still waiting for song
@sarahkiragu.blessings3923
@sarahkiragu.blessings3923 9 ай бұрын
Lovely 🎉🎉
@alfredngugi1293
@alfredngugi1293 10 ай бұрын
Soo sweet ñ melodious.keep up❤❤❤
@martinmwake6218
@martinmwake6218 9 ай бұрын
Special❤
@stephenmuchiri1841
@stephenmuchiri1841 10 ай бұрын
Kazi safi 🎉
@franciskironjo9369
@franciskironjo9369 7 ай бұрын
Waiting....the other one is out sasa ni hiii...
@upendopeter8078
@upendopeter8078 10 ай бұрын
Wimbo hautoki sijui wamekwama wapi
@Imaginable-Image.
@Imaginable-Image. 11 ай бұрын
🙌🏽🙌🏽Sanamu yako kaka tunaitafutia maeneo ya kuiweka tu...Heshima kwako
@user-oe3tn4sq7n
@user-oe3tn4sq7n 10 ай бұрын
Safi
@nasinyarlukumay4757
@nasinyarlukumay4757 11 ай бұрын
Hongereni sana mungu awabariki kazi njema
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Amina
@avelinaadelard6287
@avelinaadelard6287 11 ай бұрын
So nice Mbarikiwe kwa utume mzuri
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Amina, barikiwa pia
@TamalySabas-dl9pn
@TamalySabas-dl9pn 9 ай бұрын
huu wimbo asee naupenda sana ❤❤ nausubiri hauji tu maan nina kipande tu so good
@marymimina
@marymimina 11 ай бұрын
Hapa umewasaidia walimu wa kwaya wasiojua kusoma nota. Shukrani sana mwalimu ubarikiwe sana. Naingoja kwa hamu❤❤❤
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Inanjoo siku si nyingi
@pacreasiusnyabwengi2926
@pacreasiusnyabwengi2926 10 ай бұрын
Kazi safi Shimanyi nangoje huo wimbo na ule wakati ni Sasa
@jerrytv1551
@jerrytv1551 11 ай бұрын
MFANYE haraka kutoa video huu wimbo nimeupost status Kila mtu akawa ananiomba,mko vizuri sana
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 5 ай бұрын
Iko tayari waweza itazama
@KAMILIUSNguya-ti7zp
@KAMILIUSNguya-ti7zp 8 ай бұрын
Good song
@anjescochoga23
@anjescochoga23 11 ай бұрын
Daima shimanyi sijawahi kukuona umefeli hii ni hazina kubwa kwa kanisa heko Sana mkuu
@JoenHarry-jw3zu
@JoenHarry-jw3zu 10 ай бұрын
Hii nyimbo narudia mara20 sasa hata sichoki jama ❤❤🎉🎉
@kelvinbarnabas9617
@kelvinbarnabas9617 11 ай бұрын
Nmezikumbuka ngoma zangu😥
@eldavinasalvatory676
@eldavinasalvatory676 11 ай бұрын
❤❤waooo
@simbah2543
@simbah2543 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@franklataman2164
@franklataman2164 9 ай бұрын
Mnajua mpaka mnajua tena. Hongera zenu nyingi sana.
@martinndambuki5773
@martinndambuki5773 10 ай бұрын
This is it being a proud catholic 🎉
@mapendoglory16
@mapendoglory16 8 ай бұрын
Watoto wa Mungu Na wakanisa. Huu wimbo ulienda wapi? Unafariji roho zilizovunjikaaaa.
@mZeeBabu123
@mZeeBabu123 7 ай бұрын
Hata nami nashangaa. Nimeusubiri sana
@pancratiusmocherenyamira9679
@pancratiusmocherenyamira9679 10 ай бұрын
This Guy!!!Shimanyi F.M yuko juu sana,..kazi yake safiii,.never disappoints,..am from Kenya mimi ni mwalimu nimeweka huu wimbo status kila mtu mwenye anaview ananiomba huu wimbo,... Please Shimanyi huwa nafuatilia nyimbo zako naomba namba yako angalau unifunze mziki kidogo Bado Kuna wimbo nangojea sijawahi ona unaitwa Wakati Ni Sasa,..
@mkatolikikenya8164
@mkatolikikenya8164 7 ай бұрын
Ata mm nliungoja huo wimbo Sana lakini ameutoa hivi majuzi
@magymumbua8936
@magymumbua8936 6 ай бұрын
I'm a Kenyan too and have been looking for this song for quite some months now lakini wapi ! Huwa siioni
@revaniakataga8070
@revaniakataga8070 10 ай бұрын
Kazi nzuri sana, Mungu akubariki sana kwa kipaji chako
@phyliskandagor4515
@phyliskandagor4515 11 ай бұрын
Shimanyi never dissapoints... Waow...longing for this one🎉❤❤❤❤
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Tumshukuru Mungu
@rachaelkiilu322
@rachaelkiilu322 9 ай бұрын
❤❤❤
@anthonyndolo8670
@anthonyndolo8670 7 ай бұрын
Itakuwa hewani lini
@trynessmhagama2
@trynessmhagama2 11 ай бұрын
Jamani mziki wenyewe ndo huu 🔥🔥🔥🔥💕
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
😊😅❤
@fadhilisalufu2238
@fadhilisalufu2238 11 ай бұрын
Huyu shimanyi hatari
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Tumshukuru Mungu
@smark-b1462
@smark-b1462 11 ай бұрын
Pure music .❤
@ludovickremejio8736
@ludovickremejio8736 10 ай бұрын
Tuma bhabhaa tunakisubiri
@upendopeter8078
@upendopeter8078 11 ай бұрын
Mbona wimbo mfupi?
@yasintaissala7613
@yasintaissala7613 10 ай бұрын
Woow wimbo mzurii sana nausubiri kwa hamu sanaa😍😍
@pendopeter1790
@pendopeter1790 7 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@alexkabogo6865
@alexkabogo6865 7 ай бұрын
@holgamazde5749
@holgamazde5749 10 ай бұрын
Ooh mzuri sana naungoja,,
@bathlomeoflorian4597
@bathlomeoflorian4597 11 ай бұрын
Shimanyi we ni fundi... Nakuelewa sana big brother 🤜
@emmanuelkiio592
@emmanuelkiio592 9 ай бұрын
Kazi Nzuri 💯💯
@elielenfantbeni7726
@elielenfantbeni7726 10 ай бұрын
wimbo wote uko wapi????
@eustusnjiru3135
@eustusnjiru3135 10 ай бұрын
moto
@DEEJAYCEDRICKE
@DEEJAYCEDRICKE 11 ай бұрын
Inatoka lini jameni 😂😂😂
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Siku si nyingi
@DEEJAYCEDRICKE
@DEEJAYCEDRICKE 11 ай бұрын
​@@fortuneshimanyi2064Naisubiri
@adolfjulius1151
@adolfjulius1151 11 ай бұрын
Kazi kazi viongozi ❤❤❤❤❤❤
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Mungu ni mwema
@elielenfantbeni7726
@elielenfantbeni7726 10 ай бұрын
can't wait for this hit🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@JulianaNdagiwe-nc4sy
@JulianaNdagiwe-nc4sy 11 ай бұрын
Bhikole ivyobhikogwa vyimana nayo yiloza kukushisa iyumwani yela
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Ulakoze chane
@mgendimussa6824
@mgendimussa6824 11 ай бұрын
Shimanyi Hongera sana, ila naona kama unacopy melody alaf unabadirisha kidogo sana, au unataka kuweka historia kuwa wimbo fulani ukianza lupiga watu wajue huu wimbo wa shimanyi??
@avelinaadelard6287
@avelinaadelard6287 11 ай бұрын
Muhimu
@phylismboi7559
@phylismboi7559 11 ай бұрын
Wow utakuwa mtamu kweli ❤
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Tunatumai
@phylismboi7559
@phylismboi7559 11 ай бұрын
@@fortuneshimanyi2064 utunzi wa nyimbo zenu wapendeza na wa kipekee sana. Natarajia kuusikiza
@upendopeter8078
@upendopeter8078 10 ай бұрын
Huu wimbo badotu haujatoka mzima??
@josephmusyokim.9141
@josephmusyokim.9141 10 ай бұрын
When are you releasing it
@didacusodhiambo7050
@didacusodhiambo7050 8 ай бұрын
When is this one dropping
@joycetillya1988
@joycetillya1988 9 ай бұрын
Awosome Voices ❤
@julianakasengi6390
@julianakasengi6390 11 ай бұрын
This is lovely❤
@alfredngugi1293
@alfredngugi1293 9 ай бұрын
Melodious song.pls Shimanyi when are u releasing this song.❤❤❤❤🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 5 ай бұрын
Already released
@Mc_Kibonge_Mwepesi
@Mc_Kibonge_Mwepesi 11 ай бұрын
Nataka niwe kama Shimanyi nikiwa mkubwa! 😅
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
😂😊
@user-co3ke5kz9s
@user-co3ke5kz9s 4 ай бұрын
JUST RE DO IT FOR AROUND 5MINUTES,
@BemukosPoles
@BemukosPoles 8 ай бұрын
wimbo full uko wapi?
@BemukosPoles
@BemukosPoles 5 ай бұрын
wimbo huu utatoka lini?
@JosephJoseph-sm2be
@JosephJoseph-sm2be 11 ай бұрын
Mnauachia lini
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Siku si nyingi boss
@kazobamedia
@kazobamedia 11 ай бұрын
😅😅😅😅Wabhonye 😅😅😅😅
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 ай бұрын
Ndabhonye
@ludankimario2039
@ludankimario2039 6 ай бұрын
tumechoka kusuburi 😡
WAKATI NI SASA official video
4:13
CGen Pro
Рет қаралды 43 М.
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 31 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 9 МЛН
Upendo Nkone Neno Lako Ni Taa Official Video
6:54
Africha Entertainment
Рет қаралды 24 М.
MBELE YA MIUNGU - Mtunzi: Filbert Thoy: Artist: CHRISTINA DEUS ( SITIFANA SINGERS )
5:17
St. Karoli - Mtimiza Ahadi (Official Music Video)
5:47
St. Karoli
Рет қаралды 80 М.
AHADI ZA MUNGU | Thomas Joseph | (Official Video)
5:25
St. Paul's Students Choir University of Nairobi
Рет қаралды 251 М.
SITASAHAU by SHIMANYI
5:43
GERVAS KAROLI. AVS TANZANIA
Рет қаралды 10 М.
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН