Anayeikubali hii nyimbo kila siku gonga like yako hapa ili tuwe pamoja 2020
@shamsayusuf15694 жыл бұрын
Nine song nmenda sana xiku ya harus yngu ishallah lazma ntoke na hii song
@sabringwal30794 жыл бұрын
Namm pia
@zuberikombo98584 жыл бұрын
T ret 4. R 55tvccrrrrrr
@bashirmkambala24074 жыл бұрын
@@shamsayusuf1569 usijari hiyo siku ikifika utafulai tu
@bashirmkambala24074 жыл бұрын
@@sabringwal3079 tupo pamoja
@bibisaidkhamis6227 Жыл бұрын
Wapi wale 2023 nipe likes kama upo pamoja namm 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abdubi9036 Жыл бұрын
Hatar
@dayanamajora8165 Жыл бұрын
Tupoioo😊
@SalmaIssa-m6u Жыл бұрын
tupyoo mama
@omaryhussein3814 Жыл бұрын
Pamoko sana
@mohamedmasanga91342 жыл бұрын
Zuhura Shaaban hongera sana pamoja na kundi zima lililoshiriki ktk raha hii kwa kweli moyo unapumbazika hongereni sana
@masikaabdalla2754 жыл бұрын
Natoa nafasi kwa anaewezaa ajekunishiiindaa ,, hapo sawa
@latifaame55794 жыл бұрын
Apo apooo
@ashurahemed16564 жыл бұрын
Natoa nafass yan ndoyenyewe jamani
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Hakuna wa kukushinda,kwa mahanjumati hayo
@tumag42574 жыл бұрын
Jamani mapenz ni kipaj Hata mtu akitowa nafas juwa kajiamn Sana'a Hata mim natowa nafas hahahhhaha........ Love you dazuu
@yazmeenkhan14114 жыл бұрын
Natoa nafasi kwa anayeniweza aje nitoa 🔥🔥🔥 haloooooooo
@ramalaly38934 жыл бұрын
Hahaha ajekutoa
@augustinebasil32184 жыл бұрын
Huu wimbo kwa kweli mashairi yake yamesimama ile mbaya,hongera Sana mtunzi
@blackpanthermillz38412 ай бұрын
Dah yaani nimejikuta nimeumiss huu wimbo2024
@fatmaalnabhani36094 жыл бұрын
Nyimbo nzuri mashaallah, Na music, mwastahili kusifiwa
@valenciaamos47595 жыл бұрын
Naingia nayo twenty twenty Mimi mungu akipenda
@metalcombat44708 жыл бұрын
Nyimbo ina miaka zaidi ya 30 tangu iimbwe na Culture Musical Taarab lakini ameitendea haki kiasi huyu Habibti Macho!
@FranklinMtei7 жыл бұрын
Metal Combat asante sana. Huu wimbo wakati nipo mdogo mama zangu wadogo walikuwa wakiupenda sana. Nikaupenda toka wakati huo. Juzijuzi nilipousikia nikaufuatilia nikaupata hapa. Cha ajabu naona muimbaji sio wa miaka ile. Kumbe ni Culture!! Kautendea haki
@maryamsaid60105 жыл бұрын
Tena ukiiskiliza kwa umakini utahisi kama imeimbwa jana
@amneyhassain63563 жыл бұрын
Who listenes 2021 this Taarabu ni Motooooo🔥🔥🔥all the way from Dubai
@susans44903 жыл бұрын
Oct 2021
@jamalamon58463 жыл бұрын
November 5 2021
@mtumwachoum58703 жыл бұрын
November 9
@yusufumwasha5484 жыл бұрын
Nani yupo na mimi 2020?haya nipeni likes lakini mambo pambee
@fatmaibrahim60194 жыл бұрын
Muimbaj anaitwa nan?
@ramlarex76974 жыл бұрын
fatma ibrahim zuhura shaaban
@omaryntunguru97404 жыл бұрын
Mm hapa
@samueladalaomuyangu42824 жыл бұрын
Mziki uko juu jameni🇰🇪🎼🎵🎶🎤🎧
@salha.d50604 жыл бұрын
Daah? Sichoki kusikiliza sebene 2020 twende pamoja
@TheHighfly584 ай бұрын
Wow Tanzania 🇹🇿 the got good songs nice vibe
@omaryntunguru97404 жыл бұрын
Natoa nafasi kwaanaweza wimbo pambe zuhura uko juu mama Hakuna anaebisha
@viviapuchi59627 жыл бұрын
natoa nafasi kwa anaeweza haje kunishinda, Mie kipande icho mashallah
@faithfaary44604 жыл бұрын
❤❤❤😍😍😍😍😘😘😂😆👌huyuuu Dada mashallah ajua kuimbaa
@norathamsanya78184 жыл бұрын
Mashalah nyimbo murua
@ahmadmaguo85758 жыл бұрын
Kama Rahisi.... duuu Zuhura Shaaban umepatia sana.
@zwatts388 жыл бұрын
Mashaallah...jamani sauti...yaani kajaaliwa mwanadada. Love you dada Z. Greetings from Houston, Texas.
Sikubabaika tangu anitake kwake nimetulia wow nalo neno
@siwajibumkali32012 жыл бұрын
I lovely this song ooooh!! Zuhura umeutendea haki huu wimbo
@rahmamehta54845 жыл бұрын
👍👍👍wimbo mtaamu saana kwa sisi tunaojua taarabu
@saidisaidimalela88262 жыл бұрын
umeona
@omaryntunguru97404 жыл бұрын
Ujumbe pambe uwafikie wote Kama kuna mtu anaeweza hongera my dada
@jumasukari82578 жыл бұрын
Sauti adhim! Mashaallah Bi Zuhura.
@richardcharles1355 жыл бұрын
Naaammmm mambo ya yangu aya taarabu kali Sana hii
@pataniabdallah95784 жыл бұрын
Mashaallah zuhura shabani hizi ndiyo taharabu mashaallah
@fardahally85113 жыл бұрын
Watabaki kuwa wapita njia tu! hawawezi kitu kwa Mmiliki njia heheheyaa!! ahsante Marmy penda sana.
@suedjuma41858 жыл бұрын
toka hawewangu nami niwe wake kiguu na njia maneno kuntu maa shaa llaah
@samiaazizy96235 жыл бұрын
Swafiiiiii sanaaaa
@SikudhaniMsengwaАй бұрын
Huu wimbo naupenda sana ongera kwake mtunzi na muimbaji katulia
@rajkabelwa37553 жыл бұрын
Dh nakumbuka mbali jaman
@paterinomlowe83172 жыл бұрын
Nmejikuta nasikiliza nice song and deeply filing
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Toka awe wangu na mi niwe wake kiguu na njia Mara mje kwangu mara mwende kwake fitina kutia Ili pendo lake kwangu liondoke mmedhamiria
@sofiasofia88865 жыл бұрын
2019 Mapenzi yake matamu kuliko Asali nayafurahia wanaonilaumu potelea mbali hahhaaaa Naipenda sana hii Taarabu imenigusa moyoni
@mozabambo997 жыл бұрын
sitojidhurumu kwa wangu mpenzi limesi limenikosha mashaallahu
@rabiaallymshamumshamu93743 жыл бұрын
Leo tareh 6 mwezi wa11 2021nani kawan coma hili badala yangu
@mouhamadbakri86557 жыл бұрын
mutafanya nini pendo letu la walili nye lawahudhi nini nye 😍❤💖💞💟❣💖💗💗💗💗💗💕💔💔💟💞💖💗❣💟💟 hapo patamu sana ubarikiwe dadangu huu wimbo unavutia kiukweli
@halimashebe6966 Жыл бұрын
Mashaallah unazeeka na sauti yako Zuhura bint Shaaban.
@faithfaary44604 жыл бұрын
Wimbo mzuri nao hakikaa mashalbiki waltasema😂😆👍
@ashurahemed16564 жыл бұрын
twende sasa
@sulemanmahrouk17824 жыл бұрын
2021 still listening balaaa
@saraahs68843 жыл бұрын
Yasalaaaaam santa dada zuhura 😘❤❤❤💞😘👍👌💯hongeraa dadanguu
@habibakhlifa85347 жыл бұрын
nyimbo nzuri sana haichuji alipo nitaka ili niwe wake sikumuhofia sikuwa na shaka ombilake nimemkubalia
@collinmobia35285 жыл бұрын
At As ,,
@greatiq82345 жыл бұрын
Nyimbo hiyo inanikumbusha miaka ya 80 wakati nakula kichapo cha malezi shamba, (kijijini). Sitamani kukumbuka zaidi juu ya malezi hayo!😢😢😢
@rajabuadam30784 жыл бұрын
Mashaalah zamani raha sana
@ambrosiamlinga84023 жыл бұрын
Pole sana,
@JamilaHassanA4 жыл бұрын
Kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda Sina waswas wa kuyapoteza niliyo yaunda Natowa nafasi kwa anaeweza aje kunishinda Ameshanihisi kwake napendeza ndio kanipendaa Aliponitaka ili niwe wake sikumuhofia Sikuwa na shaka hilo ombi lake nimelipokea Sikubabaika tangu anaitake nimesafi nia Sitobadilika naipata kwake raha ya dunia Mapenzi adhimu yasiyo mithali yameniingia Tena nimatamu kuliko asali nayafurahiya Wanaonilaumu potelea mbali leo nawambia Sitojizulumu kwa wangu mpenzi nikaangamia...
@salumkhator88974 жыл бұрын
Upo vizuri bibie, hongera!
@heltahkileta27422 жыл бұрын
Hapo Iko dope
@tatu198410 ай бұрын
😂😊
@Mohamedsilahaally6 ай бұрын
Naomba nitumie wsp ayo mashair 0719324848
@mariamusoud60556 жыл бұрын
Sintojidhulumu kwa wangu mpenzi nikaangamiia inanikumbusha mbali sana
@iddiehussein65627 жыл бұрын
sitojidhulumu kwa wangu mpenzi nikaangamia. l real love this. Good sound from dada zuhura
@kapelokapero84883 жыл бұрын
Safi mama
@dottoabdallah43538 жыл бұрын
Nimefurahi sana kuupata huu wimbo Jamani Kaka Kijazi Ubarikiwe hd ushangae
@QOOQ88087 жыл бұрын
Huu wimbo umeimbwa na nani ?
@saeedmohd40867 жыл бұрын
mr boonz
@saeedmohd40867 жыл бұрын
yebbbooooo
@aminaselemani93495 жыл бұрын
Dada nauomba huu wimbo nitumie naupenda sana
@iddiehussein71487 жыл бұрын
Nimemuadhini ni wangu mlrzi anaenilea. Good stuffs
@hamadihamisiambale8943 Жыл бұрын
Naalika harusi yangu 2024 may na hyu ndio muimbaji atakae hudhuria mombasa kenya
@AishaMohamed-q3l2 ай бұрын
Inshaallah
@fatumaababy12817 жыл бұрын
MashaAllah old is gold 2017+974 Qatar much love
@lyaruuanoldanoldliyaruu91565 жыл бұрын
fatuma Ababy kwel
@hidayakilabuka79335 жыл бұрын
Nyimbo tamu hatar kabisa
@user-zj3ke9gc2u4 жыл бұрын
Mashallah
@bamuurockstar22176 жыл бұрын
natoa nafas kw anae wezaaa ajekunishindaa... amesha nihic kwak napendez ndio kanipend 😘 mapenz mubashar kiukwel ile raha y dunia unaiyon
@leilashaban35196 жыл бұрын
Toka awe wangu na me niwe wake kiguna njia mala mje kwangu mala mwende kwake fitina kutia ili pendo langu kwake liondoke mmedhamilia yabaki machungu kisha mtucheke na kuadithia kama nirahisi ungeliyaanza ili kuyatenda sina wasiwasi kwake napendeza ndio kanipenda natoa nafasi kwa anaeweza aje kunishinda
@misstears46738 жыл бұрын
luv this song ... kwake nishapendeza ndio kanipenda
@hadijachonanga8188 жыл бұрын
natoa nafasi kwa anae weza asante da zuura nyimbo tam sana
@ZuwanaSukasuka4 ай бұрын
Pambee sana namkubali raha duniani
@latifahsalum34797 жыл бұрын
haiishi hamu kuisikiliza hii nyimbo . mashallah muimbaji
@myshem53416 жыл бұрын
Dada safi sana unatukosha rohoo tuliopo ukuu Dubai tunajikuta kama tupo nyumbani tuuu
@saidijuma36544 жыл бұрын
Hongera sax nyimbo zur
@FarhiyaThani-yc5et Жыл бұрын
2023 bado nipo apa
@namelessn37852 жыл бұрын
Yasalam waaaahhh bi zuhraa wallah nampa hongera kabisaa story yngu nyimbo hyo ❤❤❤💞💞💞🙌🙏🤣👌😁💯
@TabasumTab-xo2zn Жыл бұрын
Hongeraa bi zuhra❤❤❤😂😘😘😘🤲🙏😂😂😂 story same namm kabisa wimbo hunu
@youngtizotz6177 жыл бұрын
Siyo kwa uzur.uhuu wimbo unaimbwa adi furaha inapitiliza inakuwa majonzi nakupenda sana mama angu kiukwe umetisha WAP mama naila kati ya kiwalan.pambe tyuuuuu Mtafanya nn pendo letyu la wawili nye lawausu nn. Uachiiiiiiiiiiii
@sabuhassabah76365 жыл бұрын
Hayee mashabiki hii song I like d think love IPO kwake
@SuleymanSuleiman-i2k4 ай бұрын
ni nzuri mno❤❤
@milhatbela73068 жыл бұрын
ameshanihisi kwake napendeza ndio kanipenda hehehe ukivawa nenaaaaa weeeeeeewee
@rahmaally99454 жыл бұрын
Naupenda bure bure huu wimbo 2021 tuko pamoja
@salha.d5060 Жыл бұрын
2023 Kwa Raha zangu leta like zako tupunguze ya Dunia
@florenciakapanda99426 жыл бұрын
who listens it early 2019💋💋💋❤❤❤❤ihiii kitu tyamu jamaniii haichujiii
@rashidsaid73625 жыл бұрын
Miar
@richardcharles1355 жыл бұрын
florencia kapanda ni noma hii kitu
@gabumilito7315 жыл бұрын
Like ya 2020
@shenazbaksh95378 жыл бұрын
🎼🎧🎤🎼📢nimemuamini ni wangu mlezi anaenilea,wangu wa moyoni tena namuenzi namnyenyekea,nakula yamini pendo sigeuzi nimesafi nia,...uovu asilani kwa wangu mpenzi sitomtendea🎶🎧🎼🎤
@latifahsalum34797 жыл бұрын
Shenu wa Hubby tenaaaaaaa
@kevinohola7357 жыл бұрын
endelea hilo la mwisho nalisubiri
@mamaiyamunguatakupashifaas35014 жыл бұрын
Mashaallah lovely song Sauti peke yake yapumbaza
@anilykive22115 жыл бұрын
Zuhura umeimba nyimbo tamu hadi raha
@sabeehasabeha19205 жыл бұрын
Update poooopoooo alewaaaa anaa maembee mpee kazi kulelewaaa poopppoooooo 😍😂👍😄😃😆😆
@hazinasaid36293 жыл бұрын
Nyimbo mwaaah jaman chenye sifa kipewa sifa
@nicholaskinyua47243 жыл бұрын
Much love from London
@kissajohn63608 жыл бұрын
Nyimbo tamu mpk nalia kwa raha dah! Old is gold
@mbunjamatibu28487 жыл бұрын
Kissa unaria una kumbuka nini
@fatmaramadan13883 жыл бұрын
Maxhaallah sauti yake nzur sana Allah amzidishie
@tinamsumari94805 жыл бұрын
Mtafanya Nini pendo letu la wawili nyinyi Lawauzi nini 2019 tuko pamoja gonga like🎤🎤🎤🎤
@zahramunir85966 жыл бұрын
Wwaaaawwww ama zina rahaa nyimbo hizi.!!!
@meemaabdulrahman29398 жыл бұрын
I love this song aaa ameshanihisi kwake napendeza asante
@najatyhamissy37267 жыл бұрын
Mtafanya nn hamuez kutuzid tushakolea pendon cc
@salmaally25657 жыл бұрын
daaaaa sins chakuongezea apo
@pilimompiii72005 жыл бұрын
Ama kweli cha zamani ni dhahabu
@sabuhassabah76365 жыл бұрын
Natowa nafasi Kwa Yule ataka nijali mm😘👍😉
@mwajabusaidi3983 жыл бұрын
Kwakweli nazipenda taarabu za zamani
@tinershayo53974 жыл бұрын
Huu wimbo namka nao nashinda nao nalala nao🥰😜
@pompysafiunawezaimenibamba64378 жыл бұрын
asnte sana umeitendea aki tam sna iinyimbo
@sabeehasabeha19205 жыл бұрын
Jawd 😘💕👌😍😂👍niww tuu
@zenaal-baalawy19538 жыл бұрын
"Sitobadilika naipata kwake raha ya dunia"
@namelesssfaimar64603 жыл бұрын
santaaa sanaa bi zuhuraa quen mmmmmmhhhhh ulimkomeshaaa sawa sawaa yasalaaaammmm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😘🤩😉💋💞❤❤❤❤❤💗💗💗🙏🤝🤲👍🙌
@saidmohd87722 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana 1993 kipindi hicho niko darasa la sita unanikumbusha mbali
@nawilaatn56663 жыл бұрын
aaaaaaahhh bi zuhura santaa sanaa uliwakomesha🤪😜🤣🤣🤣😂😂🙏🙏🙏🙏🙏👍
@amourmtungo6234 жыл бұрын
Nikisikia mashairi na sauti nzuri kama hii ya Zuhura Shaaban naimiss Zanzibar kweli kweli 👍❤️
@pilimashausi9305 жыл бұрын
mashaallah naipata kwake Raha ya dunia
@shenazbaksh95378 жыл бұрын
🎤🎧🎶🎵🎼🎸mapenzi adhimu yasiyomithali yameniingia,tena ni matamu kuliko asali nayafurahia....wanonilaumu potelea mbali leo na wambia.sitojidhulumu kwa wangu mpenzi nikaangamia🎼🎶🎵🎧🎤
@kevinohola7357 жыл бұрын
kongole
@zenaathman68667 жыл бұрын
JUMAA MRAMBA
@chikukhamis77927 жыл бұрын
Super Song Super Voice Mashallah👌🤗
@tawfiqsuleiman5216 жыл бұрын
Shenu wa Hubby jjhjj0jjphojpjkjkkjjjjkkkj
@nassoromoris50186 жыл бұрын
Nice song
@leilajumanne77344 жыл бұрын
Mashaallah manene matamu san
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Nzur nyimbo ya zuhura
@halimaally67396 жыл бұрын
Raha sana jaman hii nyimbo naipenda Kama yooote inanikonga kumoyoo
@shenazbaksh95378 жыл бұрын
natoa nafasi kwa anaeweza aje kunishinda,ameshaniridhi kwake napendeza ndio kanipenda😄
@princeally99258 жыл бұрын
dada Zuura unaniliza kimahaba wimbo mzuri sauti mzuri
@nasrashaaban74895 жыл бұрын
ntafanya nini penzi letu la wawili jamani chawaudhi nini nyie penda sana zuhura shaaban
@victoriamdee99424 жыл бұрын
Km n rahisi ungeanza ili kuyatenda 😜 taarab za zaman tamu haswaaa... 1 June 2020 ✌