Its a throwback ting,2023 still listing...Zinanituliza roho hizi ngoma...
@paulangoloko8642 Жыл бұрын
L.. .
@martinkarata10975 жыл бұрын
Kama unasikiliza mwaka 2019 gonga like apa
@salimhassan2822 Жыл бұрын
Taarab ndo mambo yngu
@samuelmwendwa764 Жыл бұрын
Taarab kweli ni ustaarabu...2023 na bado kuipenda
@hawaahamis55792 жыл бұрын
Zanikumbxha xana my dear lovely mommy Allah amuhifadhi ampunguzi adhabu ya kabri 😨😨😅
@chedichedi29925 жыл бұрын
Dahh hisia zimeshahama kutoka New York hadi Handeni Tanga....Ta’arab za kusisimua miaka mingi sana
@johntendiawo4 жыл бұрын
2020 bado tupo. Kuna nyimbo zilizopendwa natamani; 1. Haina mjadala hiyoo 2. Hajatulia ~ ni mapepe
@thomascharles52994 жыл бұрын
Tanga raha sana mkuna na mkunwaji muona raha ni nani apo sasa mpaka nasinzia taarabu murua
@mariamwakabuta10344 жыл бұрын
Mimi nakumbuka wakati huwo nipo shule ya msingi mgulani, hawo waimba taarabu walikuwa wakiimba pake kambi ya jeshi jkt mgulani najisikia uchungu sana upendo wa nyumbani Tanzania siupati kama ninavyotataka lkn nashukuru nipo mpaka leo nasikia vingi kutoka nyumbani ahasante mungu !!
@saidibinsharifsharifmwinyi4973 жыл бұрын
OMG my dads number one much respect and love from UG+256 TUKO PAMOJA
@dullatawakal14927 жыл бұрын
Daaah Hisia Zanipeleka Nyumbani Tanga ,,,kipindi hiko ni Twaarab AsiLia ya Pwani #MwanaHeLa #LuckyMuzik_Taarab
@anwaryabdallah77826 жыл бұрын
dulla breezy 😢😢😢
@ayshaysh33265 жыл бұрын
We acha tu. Hata taarabu iwepi waitafuta mpaka waipata🤣. Tanga raha sana asikwambie mtu