Mm nimeota ndoto nimeenda kwa nyumba ya kijana wangu nikaona mke wake anampa rafikiyake mahidi kama debe4 mm nikamwita ili kuwa nimwambie kwa nini unampa mahidi na mm lkn sauti ikaniambia mwache badaye nikaenda kumuulinza kijana yangu mbona uchukuwi simu?au umebadilissha akasema hapana mke wake akaniita akanipa viatu lkn vilikuwa vikubwa je maana yake nini?