TAARIFA MPYA KUHUSU HALI ya RC MAKONDA - RC KILIMANJARO ANAYEKAIMU NAFASI YAKE AZUNGUMZA na GLOBALTV

  Рет қаралды 204,574

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 399
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@sirkingsky108
@sirkingsky108 2 ай бұрын
We jamaa yaan uko very intelligent unaulza maswali technical mnooo czan kama hujasoma psychology kaka
@omaryadam6884
@omaryadam6884 2 ай бұрын
Fact
@SaidMaida-g6z
@SaidMaida-g6z 2 ай бұрын
Kuna jambo hapo
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 2 ай бұрын
Ni kweli kuna uficho sana
@fridoliusrushunju9093
@fridoliusrushunju9093 2 ай бұрын
Mungu amjalie afya njema rais wetu makonda tunamwombea🙏🙏
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 ай бұрын
Jamani Makonda Mungu wetu wa huruma akulinde huko uliko
@Nabeel_brand_official
@Nabeel_brand_official 2 ай бұрын
Allah amlinde sana Mr president Paul makonda...kuna ktu tunafichwa hapa
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 ай бұрын
Sijui Samia na wapambe au mashushu wake wakisoma hii anajisikiaje. Kumbe Makonda ndiye mheshimiwa Rais. Je hiki ndicho kinyago ambacho hakimtishi mchongaji alichomaanisha Nappy Mapepe Nnauye.
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 2 ай бұрын
Mmh jaman hili litawachafua sana viongozi wetu kuwen makin, pia waweken watu uwazi.
@rabanphotostudionyakanazi_4115
@rabanphotostudionyakanazi_4115 2 ай бұрын
Tatzo la viongozi wa ccm sio wa wazi na wakweli
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Mmm!!!kunakitu hapanyuma ya pazia. Alllah amludishe salama makonda popote haliko 😢
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 2 ай бұрын
Mi mwenyewe nishaanza kupata mashaka na kiongozi Wetu...
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 ай бұрын
Ata kwa magu ilikua hivihivi
@suddytele3692
@suddytele3692 2 ай бұрын
liko jmbo
@shabaniathumani1789
@shabaniathumani1789 2 ай бұрын
Kuna Jambo makonda alikuwa bado anaijenga arusha nivigumu yeye kuomba likizo ,,yaani tumetega sikio tuu mwaka huu tumechoka kuuwawa,,
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 ай бұрын
Mwenye akili naaelewe jibu lipo wazi . Serikali ya tz mnawivu jamaa anapendwa ila mnamuua tu ivi ivi daah
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 2 ай бұрын
Namuomba mungu amrudishe salama Azory Gwanda, wenye hila waliamua kumpoteza ila naamini wewe Mungu ni fundi naomba yaliyo gizani yaweze kuwa hadharani na walio husika wote naomba Mungu uwaadhibu kwa walicho mtendea Azory.
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 2 ай бұрын
Yaani hapo kuna shida sio bure kuna kitu asee watanzania tuingie Kwenye maombi tumwombee Makonda 🙏🙏🙏
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 ай бұрын
Kidoogo ajisemee ukweli akashtuka ila mdomo umeweza kumkaba hadi nimekuongezea asilimia KAZI Yako ni nzuri hongera🎉🎉
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 2 ай бұрын
Hii watanzania mjifunze kitu, hapo kwani muandishi ana uliza maswali ya akili lakini kiongozi anakwepa kujibu,nini kimefichwa na mjifinze kumsoma anae jibu anaongopa lisije likapasukia mikononi mwake,
@pendowilfredmatahi5770
@pendowilfredmatahi5770 2 ай бұрын
Anaeulizwa majibu yake yanadhihirisha kabisa anajikanyaga kanyaga unaona kabisa anakosa la kujibu,na akijibu unaona kabisa ana hofu ya anachojibu. Hapa kuna kitu,sidhani kama huyu baba yuko salama jamani.
@pendowilfredmatahi5770
@pendowilfredmatahi5770 2 ай бұрын
Anaeulizwa majibu yake yanadhihirisha kabisa anajikanyaga kanyaga unaona kabisa anakosa la kujibu,na akijibu unaona kabisa ana hofu ya anachojibu. Hapa kuna kitu,sidhani kama huyu baba yuko salama jamani.
@LugomeRisasi
@LugomeRisasi 2 ай бұрын
Kama wamemuumiza makonda.tusikae tu kwa kunung,unika ila tuonyeshe nguvu ya Uma ikoje tumuombe MUNGU awaazibu wahusika
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 2 ай бұрын
@@LugomeRisasi kuna mambo yakuomba Mungu nisawa lakini Mungu ametupatia akili sisi tuwe na sauti moja ya pamoja bila woga , kutokuogopa tuungane kama wenzetu nchi jirani kenya,Uganda nk,
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 2 ай бұрын
Hapa kuna kitu jaman eeh Mungu msaidie mtumishi wako Makonda tunataka kumwona jaman kwan kuna shida ganiiiii???
@ConnieJohn-ts9rp
@ConnieJohn-ts9rp 2 ай бұрын
Baba ktk Jina la Yesu Kristo watoto wako tuko mbele zako tunamwombea mpendwa wetu jasili shujaa Makonda POPOTE alipo Mungu ukamwokoe Makonda natuma majeshi ya Mungu yakawapige wote wanaopanga njama mbaya zidi ya Makonda Mungu ukamtetee Makonda uko aliko naachilia upako wa Yesu ukamponye na kufuta kila roho za uhalibifu zimwachilie Makonda akawe mzima, nafuta kila roho za mauti Makonda akawe hai kwa Jina la Yesu ,,na wote wanaopanga njama za kumuuwa Makonda washindwe na walegee hukumu ya Mungu. Iwatafune hao maadui mafisadi wapigwe wazimu mala 7 na Makonda wetu malaika 7 wamuhudumie. Wote tuseme Ameeeeen .
@JenipherJulius-x6m
@JenipherJulius-x6m 2 ай бұрын
Aaaamen
@JenipherJulius-x6m
@JenipherJulius-x6m 2 ай бұрын
Na iwe hivyo Kwa jina la yesu
@ruthdavie1175
@ruthdavie1175 2 ай бұрын
Mungu wa mbingini amrejeshe Mh Makonda
@oswardjaphal-cd6np
@oswardjaphal-cd6np 2 ай бұрын
Acha wa endelea kutujaza sumu kwawuwongo wao. Ndo wanatupa hasila na kuto waamini tena. Mukivuka hiili. Ccm. Muombe mungu. Hatuna imani nanyi tena
@rabanphotostudionyakanazi_4115
@rabanphotostudionyakanazi_4115 2 ай бұрын
Yani kwakweli,mtu anayepambana vizuri,anashambuliwa wana
@RahmaJuma-yi3gh
@RahmaJuma-yi3gh 2 ай бұрын
Nikweli maana wanatupa mashaka
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 2 ай бұрын
Jemedali Tundu Lissu alipo pigwa Risasi zile lengo kuuliwa watu wengi walikaa kimyaaa ni wachache sana tulo ongea japo mitandaoni na kulaani kitendo kile. ila kwa huyu aaahhh watu wana ongea. Ccm itatawala hadi lini? tunahitaji mabadiliko sasa
@monicamsile2284
@monicamsile2284 2 ай бұрын
Yaleyale ya Magufuli! Anatafutiwa ugonjwa hapo Makonda, ili mwisho wa siku waseme alikuwa anatatizo la muda mrefu, ila sijui kwann hawagundui kuwa wanafahamika wanachokifanya, au ni makusudi kwasababu hawafanywi chochote hata kkama inafahamika, ni bora wafanye hadharani tu maana hata hiyo amani inayozungumziwa na uhuru kwasasa Tanzania ni uongo hakuna tena
@KMuleke-kk5eo
@KMuleke-kk5eo 2 ай бұрын
Awamu hii watatwambia makonda alikuwa anasumbuliwa na taifod
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 2 ай бұрын
Hhhhh
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 2 ай бұрын
Hii ni nchi ya ajabu sn yaan wananchi wanahoji yuko wap kiongozi wao halaf watu wanaficha kwan kun dhambi gn km kwl yupo salam akajitokeza huko alipo ili kuwatuliza wananchi wake hp kuna jambo sio bure
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 2 ай бұрын
Mungu amtetee Makonda 🙏🙏
@nathanpallangyo5244
@nathanpallangyo5244 2 ай бұрын
KWANI TANZANIA KUNA VITA? TUKIAMBIWA UKWELI SHIDA IKO WAPI, KUNA MAMBO YA KUFICHA KUNA MENGINE YA KUWEKA WAZI TUU.
@jumannemalungo5018
@jumannemalungo5018 2 ай бұрын
Usili umezidi nchi yetu
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 2 ай бұрын
Mkiwa mmemtenda Makondaa.Hio zambi itawarudia mara 100000
@ZainabuOmary-ys8oq
@ZainabuOmary-ys8oq 2 ай бұрын
tutaomba kila dini kwa ajili ya makonda mtetea watu
@latifasuleiman7527
@latifasuleiman7527 2 ай бұрын
Kweli kilicho chema hakidumu inasikitisha mpaka nimeingia hofu
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 2 ай бұрын
Hata Tundu Lissu wetu nae alipigwa Lisasi. lengo ilikua ni kumuua. na walo mpiga eti hadi sasa hawajulikani wala serikale ya wakati ule haikuunda tume ya uchunguzi. nasi bado tuna uchungu na maumivu yale japo watu wengi walikaa kimyaaa hawakupaza sauti japo mitandaoni kama hivi wanavyo paza sauti hapa
@EventsClubD
@EventsClubD 2 ай бұрын
Mama yetu kipenzi Samia kama mama mpenda jamii yake TU ya kitanzania tunaomba kujua kuhusu kaka yetu kipenzi mwanao kipenzi Paul makonda 👍👍🙏🙏🙏
@ShabaniBakari-p4r
@ShabaniBakari-p4r 2 ай бұрын
Makonda hayupo hai jaman tusidanganywe kama watoto wadogo😢😢😢😢,mimi nimeshaweka msiba mda mrefu maskani kwangu!
@rehemajuma7094
@rehemajuma7094 2 ай бұрын
Asije akawa amekufa jamani😭😭
@MankaVodacom
@MankaVodacom 2 ай бұрын
😭😭😭😭
@RafaelRafaeli-h8c
@RafaelRafaeli-h8c 2 ай бұрын
Afe mara ngapi​@@rehemajuma7094
@khamismtoma4902
@khamismtoma4902 2 ай бұрын
😭😭😭😭
@Pixxmoleli
@Pixxmoleli 2 ай бұрын
Jamani nafuta maneno yako kwa jina la Yesu
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Tunakuomba msimamie RC wetu Makonda asipatwe na lolote. Na kama kuna mkono wa mtu simama nae eeh Mola. RC wetu uko wapi pse ongea tupate amani
@FrenkKahigi
@FrenkKahigi 2 ай бұрын
Jaman makonda wetu tunakupenda sana mungu awe nawe huko uliko japo hatupajui ulipo
@josephchacha7456
@josephchacha7456 2 ай бұрын
Tanzania ninchi yetu lakini unapokuwa kama.kiongozi au hata kama.unanguvu yakuongea kiasi gani usiwe unajioendekeza KWAKILA mtu kwasababu Tanzania ninchi ya chuki Tanzania haitaki kuona mtu anawasaidia wananchi yaani Tanzania inataka wale viongozi wenye cheo ndoo waseme wao kama.wao.asa makonda kayatimba ndoo watu mpunguze vipaumbele
@MARIAMUBAJUTA
@MARIAMUBAJUTA 2 ай бұрын
Mungu akulinde Makonda wetu
@pendowilfredmatahi5770
@pendowilfredmatahi5770 2 ай бұрын
Mi nishajikatia tamaa,kwa majibu haya ya kujikanyaga kanya hivi? Daaahh! 😢😢😢😢
@pendowilfredmatahi5770
@pendowilfredmatahi5770 2 ай бұрын
Mi nishajikatia tamaa,kwa majibu haya ya kujikanyaga kanya hivi? Daaahh! 😢😢😢😢
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 ай бұрын
Sina humani eti anakaim duu
@HamisMajogoro
@HamisMajogoro 2 ай бұрын
Mungu ampe wepesi
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 ай бұрын
Duuu kwa makonda tarifa na majibu 😢😢😢
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 ай бұрын
Mbona majibu ya Rc kilimanjaro yana laleta utata hapa Kuna kitu nyuma ya panzia mnatulixha matango pori. Watanzania tunajua mlichokifanya. Viongozi mnajitengenezea kutowaamini kabisa. Tunaomba Mh Makonda awe salama arudi salama.
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 ай бұрын
duh kweli kazi ipo
@mosesibmshangamshanga7885
@mosesibmshangamshanga7885 2 ай бұрын
Makonda ndokwanza katimiza miezi mine.. likizo yanini?
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
ni kweli..
@boapendaheri8619
@boapendaheri8619 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 2 ай бұрын
Kweli kabisa kuna jambo
@msafiriomary893
@msafiriomary893 2 ай бұрын
Mumeuwa makonda rakin wanainchi nyie mafisadi tutakuja vuruga inchi nzima mumezoea kuuwa wenzenu
@Machinootz
@Machinootz 2 ай бұрын
YESU tulindie makonda
@barakarobert1029
@barakarobert1029 2 ай бұрын
Mwandishi una maswali mazuri sana
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 ай бұрын
Na muhusika ana manibu mazuri pia
@fridaminja7191
@fridaminja7191 2 ай бұрын
Hii ndo global bwana, yan napenda San hii chanel wako vizuri sana
@alfristricks7515
@alfristricks7515 2 ай бұрын
Likizo ya kiongozi siyo Siri. Inapaswa tu kusemwa, ana likizo ya wiki kadhaa, yupo nchi Fulani, atarudi siku hii, anakaimu Fulani nafasi yake Hadi siku Fulani. Na nyongeza, inaweza kusemwa, Sheria za likizo kwa viongozi wa umma zinasemaje kuhusu likizo husika.
@DullaMsanja-x9r
@DullaMsanja-x9r 2 ай бұрын
Nchi gani isio mawasiliano ata asijitokeze kuongea makonda ? Lipo jambo
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 2 ай бұрын
Yesu akuponye haleluya
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 2 ай бұрын
Kwa magufuli mlitudanganya mnataka kuona hii nchi ni ya mamaenu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@EMAPLUSTV
@EMAPLUSTV 2 ай бұрын
MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI TUNAMKABIDHI MKUU WA MKOA WA ARUSHA PAUL MAKONDA MIKONONI MWAKO TUNAAMINI YUPO SALAMA KWA WEMA NA FADHILI ZAKO
@ramiamisanya9873
@ramiamisanya9873 2 ай бұрын
Mbona anajing'ta ng'ata!! Kuna kitu sio bure.....!!!
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 2 ай бұрын
Eti wamempanga mtu anafanya maxoezi wamevisha Tshirt wameiandika MAKONDA nyuma wanatudanganya ni yey. Hakuna mtoi huku tunaelewa vizuri
@benardpeter3562
@benardpeter3562 2 ай бұрын
Daah hatari sana kwakweli hii nchi yetu....
@stephanonyembedodo758
@stephanonyembedodo758 2 ай бұрын
Aisee kama unazo akili timam unajiongeza hapo kuna kitu akiko sawa.
@josephineokama2200
@josephineokama2200 2 ай бұрын
Imani yangu inanituma vibaya sana naogopa kusema
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb 2 ай бұрын
Ata mm nina hofu juu ya hili😢​@@josephineokama2200
@AbrahBuraheze
@AbrahBuraheze 2 ай бұрын
kaka tumesha juwa kilichomkuta magu ndio kinamkuta makonda tunasubiri likizo ishe ni mwez watatueleza tu uchaguzi wa safari hi hatupigi kura kwa mambo yakishenz kama hay
@demicratia4071
@demicratia4071 2 ай бұрын
Ameuliza "KWANI KUNA NINI?😂😂😂😂BASI HAJUI NCHI INAENDAJE. HANNA NEWS NO COMMUNICATION HANA TAARIFA AU HEKAHEKA ZA WATU WAKE Arusha well done Actor
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 ай бұрын
Waandishi was habar tupazien sauti tunataka majibu kwa serikar Makonda Yuko wapi? Ni haki yet kujua
@alexandermanase8956
@alexandermanase8956 2 ай бұрын
Bado najaribu kujifunza siasa za tz lakin bado sizielewi kabisaaa,,, yani unakaimu nafasi ya mtu na hujui utakaimu Kwa muda gan? Tz bhana tuna mambo ya hovyo sana, tuombe Mungu awe mzima huko aliko, kinyume na hapo viongozi mtakuwa mmetukosea mnoooo, na mtakuwa mnaendelea kutengeneza bomu ambalo siku likilipuka hii nchi haitakalika.
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 2 ай бұрын
Unajua hii Nchi ni ngumu sana yaani watu hawataki maendeleo ya nchi yao wanaona ufisadi ndiyo wanaotaka ukiwa mkweli wao hawapendi
@zaramuneer3257
@zaramuneer3257 2 ай бұрын
mmmmh Mungu tumbe macho ya rohoni tuone sawsaw
@abednego3876
@abednego3876 2 ай бұрын
Mm nnadhani deepstate na usalama wa taifa wana matatizo makubwa sana na ni vibaraka.
@zianasalimuhivikunamchunga5224
@zianasalimuhivikunamchunga5224 2 ай бұрын
Mtajua Mungu atawahukumu mmoja mmoja
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb 2 ай бұрын
Kwa hapa Tz ndo nchi pekee viongozi tu ndo watu wazima sis wengne tupo chekechea tunafumbwa macho kwa lazma duh ee MUNGU baba tuokoe
@jonasimwanzi
@jonasimwanzi 2 ай бұрын
Nyie makonda mzama kweli au mbona sielewi jamani
@marcoenock4596
@marcoenock4596 2 ай бұрын
Mh kwa majibu tuu tayar tuna mashaka na Hali ya mpendwa wetu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 ай бұрын
Serikali semeni ukweli kuhusu RC . Kufa ni mkataba wa kiumbe na Mungu wake na kunaweza kutokea wakati wowote, lkn akifa RC wetu kama Magu hatutaelewana kamwe. Likizo ya Mfanyakazi ni mwezi mmoja kila baada ya mwaka wa UTUMISHI, RC ana miezi 5 tu Ofisini kaenda likizo ya nini? Angekuwa mwanamke tungedhani kateuliwa RC akiwa mjamzito kaenda kujifungua, lakini dume kabisa. Ipo namna!
@IsayaMpalanzi-qu7iv
@IsayaMpalanzi-qu7iv 2 ай бұрын
Tuweni makini yaleyale ya jpm
@ShabaniBakari-p4r
@ShabaniBakari-p4r 2 ай бұрын
Siasa ni mchezo mchafu sana,makonda ana tatizo kubwa lililomkuta ambalo hawataki kulizungumzia😢
@Zubaiba
@Zubaiba 2 ай бұрын
Jamani mbona nimepata hofu kubwa kwa anayejibu maswali,eee mungu mlinde makonda kwa ufalme wako
@rosemarykimath9337
@rosemarykimath9337 2 ай бұрын
Tz ni nchi yetu mambo mengi semeni ukwel
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 2 ай бұрын
Nimemkumbuka sana
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw 2 ай бұрын
Mwandishi uko vzr xn lkn huyo mheshimiwa anajikanyanga xnaaaa tena xnaaaa hapo kuna kitu hakiko saw kikubwa watuletee makonda wetu
@ChoghoghweDaudi
@ChoghoghweDaudi 2 ай бұрын
Yanihapa labda ameomba likizo kwakua serekali nachama nikitukimoja kwakua alikua kwenye chama ila inanitatiza bado hatauongeze naniezi mi 5 aliohudumu ndani yachana bado likizoyamwaka haijafika labda wataalamu watusaidie likizo inapatikana kwa vigezo ainangap?
@EdithTelemark
@EdithTelemark 2 ай бұрын
yaani danganya toto ila IPO siku litajulikana Mungu akuinue ewe makonda umeonyesha kujali wanyonge
@RobartShello-qj4vr
@RobartShello-qj4vr 2 ай бұрын
sijui kwanini alikubali mutego huo wakupewa uongoz wakati alikua kajipumzika baba wawatu, asa wamekamilisha ndoto zao eeh mungu tunakuomba kama viongozi wa tz wanatumia mdaraka yao kuwaua wasema ukweli bas laana ziwapate mafisad wote
@johncharles2686
@johncharles2686 2 ай бұрын
Msiwe na Shaka mheshimiwa Yuko salama na Hana tatizo lolote la kiafya. atarudi soon❤
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 ай бұрын
Mnafanya mzaha na maisha ya wanadamu Mungu atawawezeni TU kwa wakati wake mtu unaulizwa swali unaongea unavyojisikia ww utafikili unaongea na wajukuu zako uliyozoea kuwadanganya
@ramajuma5620
@ramajuma5620 2 ай бұрын
Kwanza hyu anaeulizwa maswali kama nahis yupo bar analewa sasa kwan kun siri gan kuhus makonda au tuandamane ndo watasema
@mwanzacarpenter
@mwanzacarpenter 2 ай бұрын
Wewe umejiongeza maana anayeulizwa kama yupo vibe hivi
@vero57
@vero57 2 ай бұрын
Mbona anaongea kama ana sizia???😮😮 sasa munaficha nini??? Sisi ndiyo tuliwachagua lazima tujue kinacho endelea!!!
@AdamJohn-r1c
@AdamJohn-r1c 2 ай бұрын
Piyaa nawatakaa muwee makinii Sanaa binadamu anakawaida ya kuifazii kituu moyoni mwakee
@YahayaKunga-le7mr
@YahayaKunga-le7mr 2 ай бұрын
Umelaaalaaaaa yoooooooooo
@starfocus-9
@starfocus-9 2 ай бұрын
Yani weweeeeeeee
@siamnyone8403
@siamnyone8403 2 ай бұрын
😂😂😊​@@starfocus-9
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 2 ай бұрын
Hapo nashituka sana
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 ай бұрын
Kuna kitu mnatuficha, kwani mtu akiwa likizo haonekani au hata kuzungumza?
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 2 ай бұрын
swali nsuli ilo😢😢😢😢
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 2 ай бұрын
Makonda yupoo mzima salamah muombeeeni Affiyaa na duwaa kwa wingi….
@DannyWiston-xo4hx
@DannyWiston-xo4hx 2 ай бұрын
Kama makonda kapatwa na Jambo nahama ccm
@NaftaryMgoye
@NaftaryMgoye 2 ай бұрын
Hata aliyekaimu anapiga chenga live anajua alipo na kilichompata Makonda😢
@winfridamushimushi7025
@winfridamushimushi7025 2 ай бұрын
Mmmh jmn aisee apo kuna jambo kwakweli😢
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 2 ай бұрын
Kwani mke wake Mary yupo wapi na kwanini wasimtafute mke wake wamuulize yeye ndiye atakuwa na majibu sahihi hata ndugu zake makonda watakuwa wanajua hali ya ndugu yao.
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 2 ай бұрын
Hapo mke kafichwa
@philemonnestory4239
@philemonnestory4239 2 ай бұрын
Magufuli aliuawa hata make wake hakujua aliambiwa Yuko fiti kalikiti tz bana mmmh!!!
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 2 ай бұрын
Jiangalie maneno yako uwe tayari kuthibitisha mahakamani
@petertemba6594
@petertemba6594 2 ай бұрын
Mwenye D 2 Kasaelewa
@DaudiMazengoMasterDTEM
@DaudiMazengoMasterDTEM 2 ай бұрын
Global mpo viziuri na mkuu wa Mkoa kaimu kajibu vizuri
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 2 ай бұрын
Makonda kama yupo mungu amrinde nafamiria yake amina
@fayzfadhil5921
@fayzfadhil5921 2 ай бұрын
kweri atarindwa pamoja na ruru wa majizo😂
@rosemarykimath9337
@rosemarykimath9337 2 ай бұрын
Ndg umesoma wapi kiswahili una tatizo la r kiswahili ulipata f kabisq😊
@willmarmpunga9265
@willmarmpunga9265 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@willmarmpunga9265
@willmarmpunga9265 2 ай бұрын
​@rosemaryki😅😅😅😅😅😅😅😅 ajuh kusoma huyo 😅😅😅😅math9337
@EnjoyReonald
@EnjoyReonald 2 ай бұрын
Kweri ataridwa
@dismaboytz4849
@dismaboytz4849 2 ай бұрын
Mshkaj kazima wanafichaficha tu haya endeleen ukwel uwa haujifich trh 10 aifik Kila kitu kitakuwa waz😂
@estermathias8354
@estermathias8354 2 ай бұрын
Kama chizi vile nakujichekesha mxuuu.huna haya
@allyrashid1235
@allyrashid1235 2 ай бұрын
Sina uhakika sana ila nikikuacho mm kuwa mkuu wa mkoa akienda likizo humpendekeza mkuu mmoja wa wilaya moja wapo iliyopo kwenye mkoa wake kukaimu nafasi hiyo hadi yy atakarudi kutoka likizo
@mtotowamanka
@mtotowamanka 2 ай бұрын
Ety likizo ya mwaka,kweli likizo ya mwaka kwa Serikali aice viongz wapo wa hovyo sana
@MnanilaMrsmnanila
@MnanilaMrsmnanila 2 ай бұрын
Hii nchi haina amani.wanaoniunga mkono weka like zenu.haiwezekani kabisa hii inchi iwe na amani na ikiwa kiongozi anayesimamia Haki anaupotea ktk mazingira ya ajabu.sasa subirien Mungu anainua watu kwa ajili ya taifa wanapotezwa Sasa kweli Ikiwa Mungu atiacha inchi hii itakuwaje?kiongozi mmepewa kuisimamia Haki jueni hii nchi siyo Mali yenu wenyewe hii nchi mmewekwa kusimamia Haki ya wanainchi.
@mariamshabani7107
@mariamshabani7107 2 ай бұрын
Lakini ipo siku mtajuta
@emmanuelkereto4344
@emmanuelkereto4344 2 ай бұрын
Kama umeelewa kama mimi gonga like na tumuombee Makonda popote alipo.
@AnneHarold
@AnneHarold 2 ай бұрын
wewe umeelewaje?
@RichardMassawe-dq9us
@RichardMassawe-dq9us 2 ай бұрын
Ni haki yetu kujua taafifa kuhusu taarifa ya kiongozi wetu mteuliwa au mchaguliwa lakini kuhusu hili- naomba maswali yasiwe mengi.MUDA utaongea.Mimi binafsi sijui chochote na sifosi kujua chochote ila muda utaongea...Yaani kila mtu anaongea hili mwingine anaongea lile na mitandao ndio inatuchanganya zaidi hatujui mkweli wala muongo.Mimi namsubiri Raisi wangu kipeenzi atoe neno.
@mzalendomtokambali6551
@mzalendomtokambali6551 2 ай бұрын
Mwandishi msomi kweli❤
@kingnyamafutv8646
@kingnyamafutv8646 2 ай бұрын
Mmmh MUNGU tusaidie wa TANZANIA
@Pixxmoleli
@Pixxmoleli 2 ай бұрын
Mungu atawalaani mpaka mshangae
@dicksonsheja251
@dicksonsheja251 2 ай бұрын
Hivi likizo inachukuliwa mda gani baada kuanza ajira au imejumlishwa na alipokuwa katibu mwenezi!!
@tobiusjtz7607
@tobiusjtz7607 2 ай бұрын
Hatari hii
@peacemwesiga
@peacemwesiga 2 ай бұрын
Mmmmmm ❤❤❤❤❤ma Konda
@ErnestJosephat
@ErnestJosephat 2 ай бұрын
HAPA KUNASHIDA KWELI😢😢
@noonelike6382
@noonelike6382 2 ай бұрын
Hv Kwa nn wananchi hasa wa Arusha muungane wote Kwa pamoja kushinikiza serikali Ili mumuone hadharani japo Kwa dakika kadhaa hivi na muheshimiwa makonda, kuliko hzi mambo za kusua sua. Mkuu ajitokeze hadharani kuzungumza na watu wake wa Arusha Ili kuondoa hzi taaruki, hii issue siyo ya kawaida.
@StanleySewando-nb4xm
@StanleySewando-nb4xm 2 ай бұрын
Hivi Kwa nn wanashindwa kuweka wazi juu ya makonda jamani huyu nikiongozi Wa umma
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 ай бұрын
WAOMBE SANA MAKONDA ASIKUTWE NA JAMBO BAYA. AREJEE KAZINI Vinginevyo NI AIBU KUBWA KWA TAIFA
@emanuelelias2082
@emanuelelias2082 2 ай бұрын
Sasa hii nchi yetu itaendelea kwel kwa style hii ya kuwauwa viongozi wetu wanaofanya kazi kwa moyo mmoja na kujitolea ? Asee its very sad😢😢😢😢
@rennyleo4874
@rennyleo4874 2 ай бұрын
Tuombe Mungu iwe heli maana hatuombi yakitokea ya kutokea ccm haitaeleweka na uchaguzi itakuwa mgumu sana
@RahmaJuma-yi3gh
@RahmaJuma-yi3gh 2 ай бұрын
Yani ikitokea hayo tunayo hisi CCM wata poteza muelekeo
@am2323Diaspora
@am2323Diaspora 2 ай бұрын
Wana shida CCM. Mtu akiwa anaelekea kuwa kiongozi hawamtaki. Wanataka jitu pumbavu maneno mengi rushwa tele tele.
@JustinaMunuo
@JustinaMunuo 2 ай бұрын
Eee mungu ingulia kati msaidie makonda popote alipi
@kolosii4351
@kolosii4351 2 ай бұрын
Yale yale!! Sasa kukaimu ni nini?? Semeni ukweli.
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 2 ай бұрын
Wew kama nani?
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 83 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
"KINDIKI WILL NOT BE SWORN IN BY FORCE" RUTO RECEIVES BAD NEWS FROM COURT
23:00