Hongera sana kiongoz kwa eliminate unayoitoa katika jamii ili tuweze kufika om salama
@billdansamora29337 күн бұрын
Baada ya OM walisema kuna limit ya withdrew kuwa ni Pi 0.8 kwa kila mwezi,ni kweli?
@matondoonline32927 күн бұрын
Wataweka limit kiongozi wangu
@nyakimwenaftari49137 күн бұрын
Huo ni ukweli kamili
@RobsonNdika7 күн бұрын
Huo ndy u kweliii kaka
@habibulalikila744420 сағат бұрын
Kila eneo litapata miundo mbinu ya hiyo withdrawal? anaweka nani?
@RobsonNdika7 күн бұрын
Au mtu yoyote wapendwa naomben sana niungwee
@matondoonline32927 күн бұрын
@@RobsonNdika 0746417395 nipigie
@OmarOmar-w6k7s7 күн бұрын
Bro ety inawezekana kuexchenj pi kwenye tigo pesa au halo pesa
@matondoonline32927 күн бұрын
Hapana kk haiwezekani kiongozi wangu
@OmarOmar-w6k7s7 күн бұрын
Na binance bro wamejiunga na pi nawao binance Kaz Yao kubwa Nini nielimishe kaka
@billdansamora29337 күн бұрын
@@OmarOmar-w6k7s Kama inawezekana kupeleka bank kwa kutumia simbanking yako kwa nini isiwezekane kwenye tigo pesa.
@billdansamora29337 күн бұрын
@@OmarOmar-w6k7s Binance ni miongoni mwa masoko makubwa ya kununua na kuuzia aina mbalimbali za Coin,hivyo Pi kuwemo Bainance ni mafanikio makubwa na mahindi kwa Pi.
@matondoonline329217 сағат бұрын
Hakutokewa na kiunganishi Cha pi na electric money kwamaana pesa za kwenye simu
@habibulalikila744420 сағат бұрын
When you STAND INFRONT to speak... haipendezi KUTAFUNATAFUNA.. VINGINEVYO MAMBO ULIYOTUPATIA Ni MAZURI.. HONGERA NA ASANTE!