Ila makame 😂😂😂 eti isijekuwa kuna namna ,munajua kuigiiza mashaallah ila vipenzi waambieni wanawake wanajitahidi kujisitiri sio nywele tu ,mikono ,shingo ziko wazi ndy uislamu unavotak kwa sisi wanawake na wapemba tuko vzr kwakujisitiri mashaallah ,naamini mukijirekebisha kwa hayo mutafika mbali vipenzi ,nawapenda sana ❤️❤️❤️❤️
@user-ve7vh8iz1g8 ай бұрын
mashala mungu atubarik juidi inaonekana sana
@user-pw2dv9fr6r8 ай бұрын
Jamani jitahidini nywele wanawake Arafa mama jitahidi kufunika nywele zako video zinaonekana na wengi ni dhambi kubwa
@Saitvonlinetz8 ай бұрын
Inshaallah
@bindawood9787 ай бұрын
Ni kweli Arafa hutakiwi nywele zako zionekane
@MussaMussa-gf4hvАй бұрын
Sawasawa habbty
@Nahdiya-nr3de4 ай бұрын
Mashaallah mungu nnmgeuzi kwl mjomba muozeshe Arafa Osman ❤❤❤❤❤
@AllyImranAlly-un7uo6 ай бұрын
Hii movie nimeikubali sana tena sana ipo sawa na inafunza mambo mazito
@Saitvonlinetz6 ай бұрын
Asante sana ❤❤❤
@hajikhamis65448 ай бұрын
Kazi safi ila hapo kwenye sigara achumani bora ungetafuta karatasi au kijiti Cha mkarafuu kilichotoboka
@MayasaKombo-to4xl8 ай бұрын
Kaz saf sana hongereni❤❤❤❤❤
@hajikhamis65448 ай бұрын
Dah mzee sekta ulioishika imekufanya unyoe para bila kutaka
@user-dr6tr7ew8c5 ай бұрын
Nakubali sana2
@abuutoll-wr8cb8 ай бұрын
Nkubal sana
@RashidRamadhan-ey2uz8 ай бұрын
Kazi mzuri Sana iko poa sana tu ♥️ ♥️♥️. Zajalini aaaaaaaa unaweza ila sai umetisha kinyama sana tu ilekiyesu wanangu muna juwa kuliko juwa wenyewe tunapenda laza tafauti Ambazo Hupatikana katika jamiiii zetu
@WardatWardat-oh6ih8 ай бұрын
Muko vizuri sana nimeipenda hii muvi
@SalimAlly-yx6zp8 ай бұрын
Arafa anajua sana hongera sana kuna ile uke wenza aliitokeya sana
@user-ns4ws7br7q8 ай бұрын
Kipaji munacho, juhudi munazo, sai unajua mpaka unaboa ❤❤❤
@user-nb5hv1jy6r8 ай бұрын
kazi nzurii❤❤❤🎉
@bimu47248 ай бұрын
Mupewa maua yenu
@MussaMussa-gf4hvАй бұрын
Mimi kila siku nawaaambia mujitahidi kufunik nywele na mikono
@SabriKhamis-gz9cy8 ай бұрын
Dah hongeren San ila musisahau ya kuwa munayoyafanya yanaandika pia na malaika Kwaiy fanyen ambay hayamkeri Allah
@user-ir2bi9hv3l5 ай бұрын
Jaman hii movie ya kishua
@user-pw2dv9fr6r8 ай бұрын
Mashallah Allah kakajaalia lakin vaa kilemba kujistiri
@HafidhAliy5 ай бұрын
💯💯
@bimu47248 ай бұрын
🌹🌹🌹🌹
@user-xs2kv9zg9c8 ай бұрын
Nimzur hatar👌👌
@Saitvonlinetz8 ай бұрын
❤❤❤❤
@SalimAlly-yx6zp8 ай бұрын
Kazi mzuri ila mm kati ya mdogo wake ochu au mjomba wake makame naomba namba zao
@AyishaOman-cw4xs3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@amina2044amin-zv2gh7 ай бұрын
👏👏❤❤❤❤
@abdullah.-oo1kw8 ай бұрын
Jini likulalo halikuli likakwisha😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AyishaOman-cw4xs3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MussaMussa-gf4hvАй бұрын
Kwani lzm mpkmuvae kanga ya shingo mbona ivo wapemba wenzangu movie zinatizamwa na wengi
@SaitvonlinetzАй бұрын
@@MussaMussa-gf4hv Tutajitahid InshaAllah
@MussaMussa-gf4hvАй бұрын
@@Saitvonlinetz inshallah
@Pachaboy-bj8ky8 ай бұрын
Pambe
@user-il9cz7iz8i7 ай бұрын
S
@mustafakassm37207 ай бұрын
rashd ndgu yangu acha kuvuta sigara ndio mwanzo huo