TAFSIR YA NDOTO YA KUOTA UNA PAA AU UNARUKA // SHEIKH ABUU JADAWI

  Рет қаралды 29,200

ABUU JDAWI ONLINE TV

ABUU JDAWI ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@Bernardobaptistafelixberna-y1b
@Bernardobaptistafelixberna-y1b Ай бұрын
mungu hanibarik niyote ndoto msuri
@agiraali7693
@agiraali7693 9 ай бұрын
Masha Allah🙏
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 2 ай бұрын
Mashaallah allahumma amiiy khery inshaallah
@nicecosmas
@nicecosmas 9 ай бұрын
MUNGU anipe hitaji.languu😊
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm 4 ай бұрын
Amin
@MareMa-kb3iy
@MareMa-kb3iy 3 ай бұрын
Kweli kabisa Asante sana shekh
@SamweliJohn-b8j
@SamweliJohn-b8j 3 ай бұрын
Naota sana ndoto hizo
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 3 ай бұрын
Amin
@katotoversion-qp5ox
@katotoversion-qp5ox 11 ай бұрын
Shekh Yuko sahih
@MareMa-kb3iy
@MareMa-kb3iy 3 ай бұрын
Amen
@MukamusoniHawa-cj2yc
@MukamusoniHawa-cj2yc Жыл бұрын
Man sha Allah
@atanasiangonyani7393
@atanasiangonyani7393 28 күн бұрын
Naomb mzungumze kiswahl tunafuatilia wengi
@HajiKelly
@HajiKelly 3 ай бұрын
Asant Sana mkubwa
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق Жыл бұрын
Masha Allah
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 жыл бұрын
Asante sheikh
@AminaOman-j7e
@AminaOman-j7e 10 ай бұрын
Mimi nimeota ndoto ya kumuona mvumi kavua samaki mkubwa akamuweka mchikavu akawa anampiga bakora uyo samaki
@tysonalex8442
@tysonalex8442 2 жыл бұрын
Hi ndoto inanisumbua sana
@Kevin-pt1xh
@Kevin-pt1xh 3 ай бұрын
Amen🎉
@MwajySebe-qh8ik
@MwajySebe-qh8ik Жыл бұрын
Mimi niliota Niko nyumb ya zamani na mwagilia maji mauwa
@AbdullahiNoorIftin
@AbdullahiNoorIftin Ай бұрын
Asc.Nimeota nakimbizwa na mtu wa kutisha na mara ghafla nikaanza kupaa juu yake na hakunifukia nami nikaendelea kupaa na mwisho nikatua mji ina mataa (mwanga)usiku na kumuona mwanamke moja nisiyemjua.Nini maana yake shehe
@njumammwete5168
@njumammwete5168 11 ай бұрын
Je ukiota.unakimbia juu ya bahari
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 6 ай бұрын
Maamama😢
@kheiramour2973
@kheiramour2973 2 жыл бұрын
Aslam alykm ustadh mm huwa naruka bila mbawa lakin nahic kama ni mamb ya kishaitwan kwasababu huwa nafukuzwa na watu au viumbe baadae ndo huwa napaaa kuelekea juu
@MwajySebe-qh8ik
@MwajySebe-qh8ik Жыл бұрын
Na nyengine niliota nimerudi shule ikawa nawafundisha watu maswali yatakayo toka na ninyumb ya zamani. Na nikawa natembea na wezangu nikataka kuendesha baskel ikawa ni mbovu aina matairi ika nishinda wezangu wa kapaaa mm nilishindwaa kwasababu kuna mtoto sikupaa nakaona wana cheza mpira
@HabdlhaaHabdlhaa
@HabdlhaaHabdlhaa 3 ай бұрын
jinalangu nihasani miminiliota nipombinguyakwanza ninafanyamkutanonaviumbenisiowajuwa nikatoka huko kwakupaa kushukaduniani nikashuka hadi Arizini.manayakenini?
@bedaliyowela1178
@bedaliyowela1178 18 күн бұрын
Kama Mtu Kaota Amepaa Mpaka Kenye Mwezi? Maana Yake Ni Nini?
@matridamahundi2090
@matridamahundi2090 Жыл бұрын
Asalam aleykum shekhe nisaidie apa mimi niliota napaa juuu afu chini kuna watu wengi ambao niliwaona km maadui zangu mkononi nilikua nimeshika kipande cha nyengo nikawa napaa namkata mmoja baada ya mungine namchinja shingo nawao wako wengi wanajitahidi wanishike ila wakinisogelea mm napaa juu nashuka kwa kasi nawachinja nn maana yake
@anordgerase3372
@anordgerase3372 Жыл бұрын
😢😢😢😢mbon kam mm
@MwaraukaOmar
@MwaraukaOmar Жыл бұрын
Assalam Aleikum,mm naitwa omar.jee naweza pata namba yako?
@salumu-b4v
@salumu-b4v Жыл бұрын
Mimi nimeota nimeruka juu arafu nilio fwatana anasema Mimi nimeruka kina iko sija wait kufika
@marthamaliwa7024
@marthamaliwa7024 2 жыл бұрын
Mm nimeota mama angu kaanguka mashetani lkn simuoni nalia tu naita mama na sijamuona kabisa naona wamama wengine wanaombewa lkn mama angu simuoni nalia tu namtafuta Alaf nikaota napaa lkn kupaa kwangu n nageuga nyuma then napaa kinyume nyume lkn sipai kwa kuangalia mbele napaa kwa kinyumenyume naomba nisaidie tafsir hii
@TatuBushemeli-tv3nv
@TatuBushemeli-tv3nv Жыл бұрын
Hg
@jenestagabriel856
@jenestagabriel856 Жыл бұрын
Usku wa leo nmeota nipo angan nashuka chin huku nmemkanyaga mtu kchwan
@Mohamudnoor5821-gw5qg
@Mohamudnoor5821-gw5qg Жыл бұрын
Nini maana ya ndoto ya kukimbizwa Na adui Kisha ukapaa?
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 6 ай бұрын
Oya hata me nmeota kama ww
AINA 10 YA NDOTO ZA UTAJIRI WAKO NA USIHADITHIE MTU. Tiba Zakissuna tv
21:34
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,5 МЛН
NDOTO UNAPAA ANGANI AU UNAKIMBIZWA NA KITU UNARUKA JUU SANA MAANA 10
4:02
SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY
Рет қаралды 1 М.
dalili za mtu anaye karibia kufa muda mfupi ujao
10:22
FAFANUO MEDIA
Рет қаралды 47 М.
FATWA | MJAMZITO AMEFARIKI, JE ANAZIKWA NA MTOTO WAKE? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY
7:41
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 19 М.
TAFSILI YA NDOTO YA MTO! Ibn sirin
6:36
STARS TV
Рет қаралды 12 М.
TAFSIRI ZA NDOTO ZA KUPAA
4:36
Mponda Media
Рет қаралды 6 М.
KUOTA NDOTO ZA KIFO AU MAITI // MAANA NA TAFSIR ZAKE  // SHEIKH ABUU JADAWI
10:02
NDOTO  ZINAZO  WEZA KUKUJULISHA MKE AU MME  KAMA  KACHEPUKA/SHEIKH ABUU JADAWI
13:27
Kuokota pesa kwenye ndoto je utazipata kweli ?
33:10
NNC TV- new nuru cinema
Рет қаралды 57 М.
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Mponda Media
Рет қаралды 13 М.
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,5 МЛН