❤❤❤❤asante jana kuhamkia leo nimeota nimeuwa nyoka weusi walikuwa wa tatu wote nimewahuwa
@mpondamedia24165 ай бұрын
Al hamdu li llahi
@NURUMWADUME-wq7ye6 ай бұрын
Nmeota nyoka mkubwa mweusi amenivaa kwa mwili hii nayo n vp ustadhi naona unijb plz
@KhadijaRocky6 ай бұрын
Shekhe mm nimeota chini ya kizingiti chngu cha nyumba nilio hama kuna nyoka wa5 mmoja kanitafuna wengne nikawauwa nn maana yke
@SelestineNgongesa4 ай бұрын
Amen
@CandiAa-k5p6 ай бұрын
Amin
@elizabethpaul5894Ай бұрын
Nimeotat nyoka mweusi yupo mlangon kwng km yp kweny kitu sijui kiaut au laa but nimweus na nimlangoni
@mpondamedia2416Ай бұрын
hiyo ni ishara ya kuwa kuna tatizo ndani ya nyumba yako au umefungwa na wachawi kwa maelezo zaidi nichek whatssap 0652286323
@JumaNakuwa Жыл бұрын
Shee mimi naitwa juma kutoka da ree Salam mimi nimeota usingizini nabishana na watu kisha mimi nikaondoka na rafiki yang u tumefika mbele tuka kutana na kundi lawanyama wanafukuzwa na simba wawili tuka Anna kukimbia kila mtu na njia yake nasimba waka Acha kufukuza wale wanyama wakatufuza sisi sisi kisha yule mtu ambae milkkuwa nae mimi akabadlika sula ikaja sura ya mwanangu kisha akakamatwa na simba naomba tafsili yake
@nurundumo758710 ай бұрын
Nisaidie no yako tuongee nikueleze vizur
@mpondamedia241610 ай бұрын
255 652 286 323
@username-ey8qu2 жыл бұрын
Aslm Alykm shekh je ukiota nyumba ya jirani imezungukwa na joka kubwa Sanaa lakini limetulia na halina ukali wa kukutisha nn maanake.
@mpondamedia24162 жыл бұрын
wa alaykumu ssalaamu ndoto binafsi tafsiri yake nifate whatssap +255 652 286 323 shukran
@BahatiKawaha-qv5bh Жыл бұрын
@@mpondamedia2416 ukiota nyoka na kesho ukakutana nae maana yake Nini?
@nurundumo758710 ай бұрын
Nimeota nimeuwa chatu ila mweusi hajauwawa
@karimngasinda2084 Жыл бұрын
3:38
@bettyauma8859Ай бұрын
Ukiota imeingia kwa nyumba ikajaribu kunirukia nikairusha uko
@mpondamedia2416Ай бұрын
ni ishara ya tatizo ndani ya nyumba kuna sihri ndani wallahu a' lam