No video

TAHADHARI: usipande mti huu nyumbani kwako.

  Рет қаралды 345,004

ISABELLA ONLINE TV

ISABELLA ONLINE TV

6 жыл бұрын

Пікірлер: 223
@ndiemadavid6734
@ndiemadavid6734 2 жыл бұрын
Imani chafu sana mnayofwatilia,tunayo mamlaka ya kudai damu ya Yesu kwa ulinzi wa maisha yetu, mti tu ni kiumbe na sikubaliani na imani ya kishirikina ilhali mnajiita watumishi. Aminini wokovu wa damu na msalaba wa kalivari huu una nguvu juu ya maisha yetu,tubuni katika Kristo yesu,wacha kukweza miti ambavyo ni viumbe tu.
@edwindudi4806
@edwindudi4806 4 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu tuwe makini na taarifa na mafundisho tunayoyatoa kwa watu ili yaweze kuwajenga kiroho,kimwili na kiakili, na si kuwatisha kwa taarifa zisizo sahihi kuhusu uumbaji wa Mungu, God bless.
@kajiamsangi271
@kajiamsangi271 11 ай бұрын
Habari ya mti huu ni kweli kwa 100% Mimi nimefuatilia na kupata ukweli.
@nooordubem2802
@nooordubem2802 4 жыл бұрын
Ukweli kabisa kwa sababu mm nishawahi kuona familia ambayo waliupanda huu mti katika boma lao. Kwanza ilikuwa vifo vya baba na mama,kisha familia magomvi hayaishi baina ya ndugu,kukaibuka wenda wazimu,yaani matatizo kwa kweli hayaishi kabisa. Asante sana kakangu kwa mawaidha yako yenye hekma na busara. May Allah bless you,In Shaa Allah
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 4 жыл бұрын
Aliyewamaliza siyo mti, tumia akili wewe. Ni aliyetengeneza video hii.
@nooordubem2802
@nooordubem2802 4 жыл бұрын
@@freddokuckelmann8502 siwezi bishana na pumbavu,baki nalo
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 4 жыл бұрын
@@nooordubem2802Sawa wewe mwelevu tumekuelewa. Unasema huo mti huwa unageuka mtu wakati wa usiku, unatembea na kwenda kuua wanaume. Mchana unageuka kuwa mti tena. Hongera sana ewe mwenye akili ya PHD. Kuna siku utachekesha hata maiti.
@nooordubem2802
@nooordubem2802 4 жыл бұрын
@@freddokuckelmann8502 umesoma ukaelewa maandiko yangu vizuri kweli ndio unijibu unayonijibu hayo? Wacha kubishana na yale hujashuhudia kakangu
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 4 жыл бұрын
@@nooordubem2802 usibisha bure. Weka maandiko hapa wote tuone.
@christopherbomola4151
@christopherbomola4151 2 жыл бұрын
Huu mti uko nyumbani kwetu mwaka wa 20 sasa,na hatujawahi kugombana wala kupata msiba,mwaminini Mungu jamani
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Жыл бұрын
Vipi mkuu bado mnao huo.mti?
@christopherbomola4151
@christopherbomola4151 Жыл бұрын
@@tumlakimwaitumule upo mpaka kesho hatujawahi kuukata na hatujawahi kugombana wala kufiwa na mwanafamilia yeyote,na hata ikitokea leo basi ni mapenzi ya Mungu sio kwasababu ya mti
@fatmaali4794
@fatmaali4794 3 жыл бұрын
Astaghfirullah hakika ya mwenyezi mungu hakuumba kitu ila kwasababu acha kukosoa umbaji wa mungu unapata dhambi 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@hassansalim7934
@hassansalim7934 3 жыл бұрын
Swadakta sister,,,,,uo mti siuoni na tatizo lolote Mimi,,,,,,
@hawaaboud2203
@hawaaboud2203 3 жыл бұрын
Dah hatar Sana uwo mti jaman tuwen makini Sanaa na tufanyeni ibada kwa wingii
@ashaajimtu2536
@ashaajimtu2536 7 ай бұрын
Mti mkorofi sana huu nimeshiuhudia kwa jirani yangu msomali Hadi nilipomwbia aukate ndio watoto walitulia na nyumba ikawa na amani
@edwardmuhia5569
@edwardmuhia5569 4 жыл бұрын
Ndugu zanguni...mwanadamu aliumbwa na mungu akapewa mamlaka ya kuvitiisha na kuvitawala vitu zote...mti hawezi Ku tawala hatma yangu...psalms 8: 5 had I mwisho, Mwanzo 1:26
@frednixon2319
@frednixon2319 4 жыл бұрын
EDWARD MUHIA h
@wagithurijoe9774
@wagithurijoe9774 4 жыл бұрын
Umesema ukweli mtupu
@bethymichaellaizer8629
@bethymichaellaizer8629 4 жыл бұрын
Mungu anawaona waongo wote wanaoongpea hadi mimea yaliyowekwa na Mungu humu duniani
@PeterMlimahadala
@PeterMlimahadala 12 күн бұрын
@ndiemadavid ni mchanga sana kwenye haya mambo na isivyobahati sijui kiwango cha elimu yake na umri na nature ya imani yake.mimi nimezaliwa lushoto aina hii ya mti ilivyoqnzwa kupandwa miaka ya 1960 mwanzoni wazee waliikataa kupandwa sio karibu tu na nyumba hata mashambani pia. Kama haamini akajaribu kupanda karibu na nyumba kama anayo . Ila asije akapanda kwenye nyumba aliopanga maana atawaathiri wengine mtoto akililia wembe =
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa yameshanitokea haya nilipogundua tayari dah 😭
@allyngoda761
@allyngoda761 4 жыл бұрын
Kwangu upo na maisha yanaendelea kama kawaida inawezekana ni imani tu
@ngussa7513
@ngussa7513 3 жыл бұрын
Nina ushahidi wa huu mti hatari..
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
@@ngussa7513 atamimi
@mariamhowlett4322
@mariamhowlett4322 4 жыл бұрын
Amen God bless you wahoo
@muye426jb6
@muye426jb6 4 жыл бұрын
Tumeandikiwa Remember to keep comments respectful lakini watu bado Wana comment Kwa kutumia maneno machafu!!!!
@fatimaali3928
@fatimaali3928 4 жыл бұрын
Nasema hv mtoto akililia wembe...mpe ukisha Mkata ndio atajua kua ni hatari........sasa na nyinyi mnao bishana na kusema niurongo sijui ni utapeli......Nendeni mukatafute mbegu yke mupande ma kwenu.......Mupate jibu kamili Asemayo mwenzenu.......je Niya kweli Au ni urongo🙌Asanteni
@twilumbakabelege3426
@twilumbakabelege3426 4 жыл бұрын
Remember to keep comment carefully, hakuna umuhimu wa kumtus mtu kisa tu kakoea
@stargate356
@stargate356 3 жыл бұрын
Its very true what this person is saying
@saramueller7423
@saramueller7423 4 жыл бұрын
Shikri hiyo. Tumuamini Mungu bwana! Namuamini Mungu pekee!
@rashaketsau7015
@rashaketsau7015 3 жыл бұрын
Mungu ndie mwenye kuumba miti na wanadamu na pia akatupa kama dawa na ingine ni sumu
@uswegemwaijumba5389
@uswegemwaijumba5389 4 жыл бұрын
Mtu huo haufaii kabisa popote palipo na huo mtu peleleza vizur kwenye familia yao watakwambia kitu,sitaki hata kuuona
@joanbarnaba4799
@joanbarnaba4799 3 жыл бұрын
Dah ungesema tujue tu
@terezamaurice9903
@terezamaurice9903 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa na hairuhusiwi kabisa kupanda kwenye mji huku kwetu ara nyingi zipo mashuleni na makanisani tu
@jamilaali5741
@jamilaali5741 4 жыл бұрын
kwetu kuna.huu mti,farakano,kutokuoelewana,ugomvi,shida za pesa, ndoa haina amani yaani shida tele,kumbe kisa ni huu mti? pia huzaa wadudu wengi wakutisha,NTAUKATILIA MBALI,shukran kakangu
@YohannaMbeyale
@YohannaMbeyale 4 ай бұрын
Hakika ukitaka ujue mti mbaya agalia sehemu zote wanamouza miti ya kupanda hautapata nakuambia mimi nimeshuhudia watu 2 madhala yapo
@rachelkorrompoitvkorrompoi
@rachelkorrompoitvkorrompoi 3 жыл бұрын
Jamani ni kweli...
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Kweli kabisa nimeamini aisee
@hassansalim7934
@hassansalim7934 3 жыл бұрын
Huu mti uwa waota desert places,,,,,sasa maali desert lzma umaskini uko,,, desert palces hakuna raha,,,lzma kuna matatizo,,,,,watu watatotoka kuenda kuangalia maisha mazuri mbele mbele,,,,,hakuna vyenye uu mti waeza ota mahali kwenye mvua nyingi na mazao,,,,,Mimi sioni tatizo la uo mti
@knightenonda7766
@knightenonda7766 3 жыл бұрын
Very true
@marcymasitsa5161
@marcymasitsa5161 4 жыл бұрын
I agree with you it’s true for what you are saying
@bibimzee7880
@bibimzee7880 4 жыл бұрын
Huu ndio tunaita mwamvuli
@sim0ns0steness86
@sim0ns0steness86 4 жыл бұрын
Mbna hilo jina sio la huo mti, huo ni terminalia ivorensis according to taxonomy
@MaaneML
@MaaneML 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa. Mtu huu haufai kabisa. Nina mifano hai. Yaani laiti hapa mngejua ukweli huu. Imesababisha yote asemayo. Umekatwa tayari madhara yalishatokea kwa familia kusambaratika. Baada ya kukata mwanafamilia aliyebaki alianza kufanikiwa ila ndiyo hivyo tena hawajaweza kurejeana pamoja.
@peterkipuzi2700
@peterkipuzi2700 4 жыл бұрын
Nina mke,tuna uchumi mzuri,tuna pendana sana,hatuna magonjwa mfurulizo,tuna ustawi,na sijaona shida ya uchumi,Mimi ni shahidi
@juliusmzengaboma9892
@juliusmzengaboma9892 4 жыл бұрын
Sio kweli kabisa Mambo unayoeleza hayana utafiti au ushahidi wa kisayansi. Miti hii iko mingi na imepandwa majumbani na hamna dalili hizo unazoeleza
@godsonmanasse9027
@godsonmanasse9027 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa mm naamini maana niliishi kwenye nyumba yamiti hii nikweli balaaa nishida asioamini akafanye risarch Ila mm nakupa 💯 nakuamini kabisa natangu nimehama kwenye hiyo nyumba niamani mafanikio nandoa yangu inafuraha magomvi yameisha nasoon twahamiakwa nyumba yetu Mana atafedha yaonekana makazi mapya
@daniagustino2129
@daniagustino2129 Жыл бұрын
Huu mti siyo mm nakaa sehem ina mti huu ni waajabu
@fredytarimo9107
@fredytarimo9107 4 жыл бұрын
We muongo sana
@nrisephsdigitalstudio1993
@nrisephsdigitalstudio1993 4 жыл бұрын
Imani yako ni ya kiajabu saana saana saana......jina lenyewe halihusiani na mti uliopo kwenye picha..... Imani ya kishirikina hiyo
@callmemangote
@callmemangote 3 жыл бұрын
Ni kweli kwa jirani wetu kitambo nikiwa mdogo ilipandwa na wote walifariki moja kwa mwingine boma likabaki bila mtu hata mmoja
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Yashanitokea hayo😭baada ya kuungoa Ila dah ilishatokea mathara mengi
@edwindudi4806
@edwindudi4806 4 жыл бұрын
m.facebook.com/tafori.or.tz/posts/taarifa-kwa-umma-kutoka-taasisi-ya-utafiti-wa-misitu-tanzania-taforiimani-potufu/605156859883130 Fuatilia taarifa sahihi katika link hiyo hapo juu ndugu zangu, ni vema tukajenga utamaduni wa kufanya utafiti wa kutosha kabla ya kutoa taarifa kwa umma.
@bernadinbenard4596
@bernadinbenard4596 4 жыл бұрын
N vyema na taalifa nimeisoma ila mambo ya iman inabdi uczalau chochote, embu fatilia kwa iman
@tashmuthama7502
@tashmuthama7502 4 жыл бұрын
Cheap talk its the best shade tree
@chavdagrande2379
@chavdagrande2379 3 жыл бұрын
nice
@nitungadancilla5759
@nitungadancilla5759 4 жыл бұрын
Good
@salmaoriginaloriginal6478
@salmaoriginaloriginal6478 4 жыл бұрын
Sasa kama wwe uamin ma2c na kejer za nn wabongo c jui 2koje
@hellenkeli1505
@hellenkeli1505 4 жыл бұрын
Huo mti unaitwa mwavuli na boma kwetu imetapakaa kila mahalo na watu wako Sawa tu
@ericklaura7511
@ericklaura7511 4 жыл бұрын
Sio Mara yangu ya kwanza kusikia athari za huu mti lakini ni vizuri kufanya research , hata ukienda google utakuta watu wa mataifa mbali mbali wameuongelea
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 4 жыл бұрын
is true bro
@georgem.tune.7145
@georgem.tune.7145 3 жыл бұрын
Nguvu za Mungu katika miti.
@aziziabdulrahman3914
@aziziabdulrahman3914 7 ай бұрын
Hyoo sii catapa ni mentary hyoo kaka
@ronald4382
@ronald4382 Жыл бұрын
Uongo mkubwa sana hukusu huo mti! Si kweli kabisa hata kwa research. Hii miti imepandwa kwenye shule za msingi nyingi sana na waalimu ninaowafahamu hadi leo wapo na ndoa zao na shuleni hapajapata kuwa na majanga yoyote.
@binthababy8038
@binthababy8038 3 жыл бұрын
Hionikweli
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Danganya chekechea..
@zadocknyabuto7873
@zadocknyabuto7873 4 жыл бұрын
Ukeli kabisa
@cyrusmaina4609
@cyrusmaina4609 4 жыл бұрын
Kwa kweli ndugu umepotoka watumia na kutasfiri neno la mungu vibaya.Unamaanisha mungu huu mti kulete maafa.
@MAKOMERE
@MAKOMERE 4 жыл бұрын
Nambari zako ziko wapi
@bettymhagama1654
@bettymhagama1654 4 жыл бұрын
Sio kufa tu baba,mke na mme hawawezi kupatana hata maramoja nikama watu wanne nimeona changamoto nyingi kupitia huu mti mi nauchukia sana kwa sababu nafaham story yake mda mrefu siupendi hata wewe uliyepanda nyumbani kwako itoe na uchome moto kwa kheri
@margaretwachira9515
@margaretwachira9515 4 жыл бұрын
Ni Uwongo. Niko nao na Nimebarikiwa.
@michaelmbondei5762
@michaelmbondei5762 4 жыл бұрын
Jerry nikweli au maneno yakwenye mitandao
@ibrahimharuna9821
@ibrahimharuna9821 4 жыл бұрын
Huu mti kweli shida
@mweucchunda4244
@mweucchunda4244 4 жыл бұрын
Yaani shidaa
@polytarimo324
@polytarimo324 4 жыл бұрын
Daah mtumishi huu mti nimegundua vitù vingi kuna familia mbili nimezikumbuka huku nilipo moja baba alifungwa gerezani na alipoachiwa akakimbilia dodoma anaishi peke yake nyumbani wamebaki mama na watoto wa kike tu Familia nyingine baba alikosana na mkewe na watoto family ikasambaratika mwisho baba akakimbilia dar nyumbani kwao wamepakimbia wote nyumba imebaki mahame Yote tisa, kumi ni kwa baba angu mkubwa kulikuws na hiyo miti mitatu miti ya matunda iliyokuwa chini yake ilikuwa inatoa maua mengi then yanapukutika yote au yanazaa sana ila matunda yake yanakuwa na vidonda vinasababisha kuwa machungu na hayaliki wakati kws wengine hayo matunda huzaa vizuri Haya siku zote hiyo familia haikuwa na maelewano pamoja na kusali sana baba mkubwa alifariki 2010 mke wake 2013 familia iliyokuwa na wanafamilia zaidi ya kumi iligeuka mahame nyumba ilibaki na mdada mmoja tu baada ya magomvi kuzidi hadi kukatana mapanga Pia familia ilikuwa na ng'ombe wa maziwa 10 nguruwe 50 bata mzinga 15 kuku mpaka 1300 kwa wakati mmoja ila ndani ya miaka miwili mifugo yote iliisha kimiujiza tu kitu kilichoshangaza wengi
@ngussa7513
@ngussa7513 3 жыл бұрын
Huu mti ni HATARI nimeshuhudia ulivyo hatari live
@linetatieno9004
@linetatieno9004 3 жыл бұрын
What about offices?
@Godneverfailed
@Godneverfailed 3 жыл бұрын
Inauwezekana nii kweli mambo yote Mtumishi ameyataja yamenikuta
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 4 жыл бұрын
ni kweli huu mti siyo kabisa hata kwangu niliumata
@marcoaugustine688
@marcoaugustine688 4 жыл бұрын
Eeee Atari!!!
@evakym1988
@evakym1988 Жыл бұрын
Ukweli kabisa..
@mwamba2875
@mwamba2875 4 жыл бұрын
Huenda ikawa kweli maana nimefanya research kwenye nyumba kama tatu kwa haraka haraka naona inawekana ukawa saw
@itiamekimbui722
@itiamekimbui722 2 жыл бұрын
Huu mti mostly upandwa kwa Matajiri sana
@gibsonnyari8502
@gibsonnyari8502 4 жыл бұрын
Hiki anachokisema ni cha kwl hata mimi nmeona sehemu nyingi familia zilizopanda miti hii huwa hazina aman, zinakumbwa na mikos na mafarakano. Wanaobisha wanabisha tu kwa kuwa ni silka ya Waafrika hasa Wabongo kubisha kila kitu hata kile wasichokifahamu, ujuaji mwingi
@hasanbahati6694
@hasanbahati6694 4 жыл бұрын
K
@jeen3098
@jeen3098 Жыл бұрын
n kwel ata kwetu ili mea n unayo ya sema n kwel Naya ona kwetu
@matindematiku5718
@matindematiku5718 3 жыл бұрын
Kwetu mbona upo acha ujingaa Kaka na una miaka mingi nawatu tupo
@OsmundaSowelo
@OsmundaSowelo Жыл бұрын
Ko niyote ilionangazi ngazi au?
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Kumbe ndio maana Baba yangu aliukata akasema mbaya sana
@robertthomas7769
@robertthomas7769 4 жыл бұрын
We ni Mchungaji halafu unaleta ushirikina hapa,uongo mtupu, mpuuzeni!
@musa2843
@musa2843 4 жыл бұрын
Mchungaji wa uwongo - hata hiyo (uwongo) ni dini
@marykonga
@marykonga 6 ай бұрын
Je mbao zake zikiezeka nyumba pia Kuna hatari
@hassanramadhan8978
@hassanramadhan8978 4 жыл бұрын
Hakuna lolote kwetu uko mbona tangu tukiwa watto mpk nasi tumekuwa tumezaa tuko karibu kushika wajukuu na hakuna llote maisha yanaendelea
@estergodfrey4126
@estergodfrey4126 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@alphankilenga6209
@alphankilenga6209 4 жыл бұрын
Kweli mti huu umeua . huku uchagan tumeifyeka yote maana tushafanya research. Sisi ni waelewa sana
@josephmongi5756
@josephmongi5756 4 жыл бұрын
Alphan Kilenga
@zaiswai4288
@zaiswai4288 4 жыл бұрын
Ni kweli upo hapa maeneo ya kwafundi umeme mikoroshini kata ya sandari temeke usemayo in sawa kabisa
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 4 жыл бұрын
Pumbavu mkubwa wewe.
@franciskiruki9891
@franciskiruki9891 4 жыл бұрын
Am greatly disappointed by this so called pastor. Your message has no biblical proof.
@theafricandishes8046
@theafricandishes8046 3 жыл бұрын
Baba yangu alikufa ilibidi Bibi yangu aukate
@bantwamwasakapiga4941
@bantwamwasakapiga4941 3 жыл бұрын
Mbona hilo jina sio la huu mti
@goldengirltanzania.458
@goldengirltanzania.458 2 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 Жыл бұрын
Mimi nauliza swali ina mana ukiwa nao nyumbani kwako ukiukata hayo madhara hutoyaona tena? Mizizi si itakuwepo bado mmh 😳
@Godneverfailed
@Godneverfailed 3 жыл бұрын
Niko nao huu mti nilikua sijui
@brunokwai7675
@brunokwai7675 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@asiriyaaljabriy434
@asiriyaaljabriy434 4 жыл бұрын
Allah anapanga yote imani potevu maradhi vifo yote mipango ya mungu
@beatusrwegoshora6726
@beatusrwegoshora6726 4 жыл бұрын
Akili za kuambiwa changanya na za kwako😂😂 matatizo yetu ya maisha tunayapeleka kwenye miti! Binadamu lazima tufe lazima tuumwe kukosana kwa familia ni kitu cha kawaida.
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Жыл бұрын
Mzee we ipande kwako utaelewa
@gpmboy
@gpmboy Жыл бұрын
Nikweli
@edwinnyabikwi560
@edwinnyabikwi560 3 жыл бұрын
M
@medi222alrajhi9
@medi222alrajhi9 4 жыл бұрын
Ni kweli
@ibrahimharuna9821
@ibrahimharuna9821 4 жыл бұрын
Kama huamini panda mti huu nyumbani kwako uone kitakachotokea kwa ufupi mti huu Al maarufu mfarakano.ukishaupanda tu AMANI eneo jiran imetoweka
@gibsonndegwa6325
@gibsonndegwa6325 4 жыл бұрын
Ukweli
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 4 жыл бұрын
Mjini shule
@karolikinigu261
@karolikinigu261 4 жыл бұрын
Acha uongo weww hakuna kitu utapeli tu
@danielmwenyewe
@danielmwenyewe 4 жыл бұрын
Tapeli youtube
@evanslawrence7764
@evanslawrence7764 4 жыл бұрын
mti, na maisha ya mwanadam wapi na wapi? just a mere plant.
@undergroundlegend198
@undergroundlegend198 4 жыл бұрын
Tangu lini mti ukawa na fikira, mshrikina wewe, where is your faith, style up
@eunicemakokha4252
@eunicemakokha4252 4 жыл бұрын
Hakuna siku mti ukawa na ushirikina
@jupiterprey7027
@jupiterprey7027 4 жыл бұрын
fanya maomb kwa nn ukate mtumishi
@danmaxmagic8400
@danmaxmagic8400 4 жыл бұрын
Hii mti imemea kwa jirani wangu na hilo boma iko Sawa Amna chochote kimearibika kwa hilo familia ni uongo tupu.
@ngussa7513
@ngussa7513 3 жыл бұрын
Huu mti ni hatari ndugu..nimeshuhudia live unyama wa huu mti
@ckeynnoor2919
@ckeynnoor2919 5 жыл бұрын
alaa
@nanaroy2239
@nanaroy2239 3 жыл бұрын
Naamini,nilipanda huu mti kwangu tegeta mme wangu amefariki kwa umri mdogo wa miaka 42,shida ziliniandama mpaka nikaamua kuhama kwangu na niliamini mimerogwa,naweza niamini.
@mukanomuhindokalipi8245
@mukanomuhindokalipi8245 4 жыл бұрын
Sasa uyo Muti hâta gavernement wana panda il mtii?Ama kwa la hôtel n'a Faso Ya ku starehe
@dingdong446
@dingdong446 3 жыл бұрын
Require terminalia tree seed
@graceshayo5763
@graceshayo5763 4 жыл бұрын
Mtumishi wasio kuelewa achana nao maan kuna watu wanavicha ngumu kma nn ususan wabongo
@mweucchunda4244
@mweucchunda4244 4 жыл бұрын
Kweli KBS watu wagumu sana kuelewa
@medardkalinjuma5503
@medardkalinjuma5503 4 жыл бұрын
Nenda kafanye biashara km unataka pesa la sivyo hukumu ya Mungu hutoistahimili kwa kuwa mwalimu wa biblia kinyume na neno .yakobo 3:1. Labda ungefundisha km mtu baki angalau kuliko kubwabwaja na kushindwa kujua mchangamanuo sahihi wa neno.hiyo kazi ni ya waganga wa kienyeji mfike hatua nyie manabii feki muache kuleta upumbavu wenu mtandaoni mjue bado wenye kuijua kweli tutawaumbua,kiufupi ni kwamba mtu akishaokoka laana zote zinatundikwa msalabani(Yesu) ,hakuna laana yoyote yenye weza kumpata,ndo maana unapaswa kulihubiri neno watu waokoke waache maovu yao wawe salama na laana za kila namna ila hasa wawe na nafas ya kwenda mbinguni.acheni kuhubiri mataputapu na kutafuta kutendea kazi chakula kiharibikacho.
@mujayamagafu8144
@mujayamagafu8144 Жыл бұрын
Amen
@user-ve1hr7im1y
@user-ve1hr7im1y 11 ай бұрын
We msengee kweli kweliii kwahyoo huyoo Ana dangnyaa au 😏😏😏
@babukasiaka2833
@babukasiaka2833 4 жыл бұрын
Hakuna kitu wewe ni mchawi ama mganga wa jadi. Hakuna mtumishi wa MUNGU anayeweza kuamini vitu vya kiSenge namna hii. Wewe kafie mbali mwanaharamu
@petermudagale8015
@petermudagale8015 4 жыл бұрын
Mambo ya ajabu
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Kila MTU ana imani yake na kila MTU anaamini kivyake
@ezrakenyanya7399
@ezrakenyanya7399 4 жыл бұрын
Mm xjfanya tathmn xtak kuxema et xiamn maybe n kwer bt kwet haupo binafx xiwez kuixh nao coz yasemwayo bwana yapo au yatakuja
@rosehopekenya699
@rosehopekenya699 4 жыл бұрын
Hii ni shule gani ulisomea. Hata mtoto wa class 1 amekushinda. . Sometimes you people should be real . Is this how you teach your children ?? Or you will. Don't fake things .
@rosehopekenya699
@rosehopekenya699 4 жыл бұрын
Shame on you and the phone you are using .
@richardkomba845
@richardkomba845 4 жыл бұрын
Hizo ni iman tu tena ni iman ya kiboya acha kuforce watu waamini iman yako yakifala falaaaa weweeee
WAISLAM  SHUHUDIENI MTIHANI HUU
6:44
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 154 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 24 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 18 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 103 МЛН
Hakikisha umepanda miti hii nyumbani kwako
8:04
Topten Tv
Рет қаралды 80 М.
Ufafanuzi Kuhusu Mti wa aina ya Teminalia (Panga Uzazi)
3:04
Tanzania Forestry Research Institute - TAFORI
Рет қаралды 550
JIWE LA MAAJABU UKARA LINACHEZA NA KUTOA SAUTI - HADUBINI YA TBC
16:30
Gangana Info Channel
Рет қаралды 905 М.
MAAJABU NA SIRI NZITO ZA MBAAZI NO:2
14:42
Sharifu Suleymana TV
Рет қаралды 295 М.
MTI UNAODAIWA KUWA NI HATARI KUUPANDA NYUMBANI KWAKO
7:12
STAREHE EXTRA
Рет қаралды 136 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 24 МЛН