Dah nimekipenda hiko kiarabu Cha hakim😂😂😂😂 Kama na ww umekikubali gonga like👍
@rahmakashuru6402 Жыл бұрын
Nimekikubali kwa asilimia 💯%
@assiakhadijz41676 ай бұрын
Utadhani muarabu kutoka oman wallahi
@MariaYusuf-ch7fz5 ай бұрын
So perfect ❤❤❤
@FrahaSaidi4 ай бұрын
hakuna kitu ambacho napenda katika maixha yangu kama kuigiza endapo mungu akijaalia nikapata nafax nitaxhkul na nitafanya kilicho bola mungu awajaalie nyie wote ad hapo mlipo fkia na nitazid kuwaombea 😭😭😭
@Sannybreezy3 ай бұрын
Naomba nifanye kazi naww
@Sannybreezy3 ай бұрын
Kwel namahanisha kwel ujue
@Sannybreezy3 ай бұрын
Upo mkoa ganii
@AloyceAlex-pm7rm3 ай бұрын
Nikupamban so kukata tamaa na mm napenda SNA Sena sapot sinaaaa
@mwanaishasalman282 Жыл бұрын
Hemed napenda movie zako love from Kenya ❤❤❤
@sidemjapan-1941 Жыл бұрын
Nakubali kaz sema mnachelewa kuendeleza
@MwaliSuleih23 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉hio nyimbo jaman nzur naipenda❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉taaharuukii taaharuukii taaharuukiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@liwalitwahir1740 Жыл бұрын
Nilikua nishaanza kumkataa mkojani kwa movie zake ila kwa hii tahariki amepandisha soksi juu Iko sawa bingwa Wacha watu wataharukike mi nasema aiiiiiiiiiiiiiiiiyyyyy
@nelsonandanyi Жыл бұрын
Maybe you were sick na ndo umepata nafuu wapa hapa duniani Mkojani kakataliwa???
@lareineminah1353 Жыл бұрын
@@nelsonandanyiImagine😂😂😂
@user-ku7xh3nf5p6 ай бұрын
Wow femy wa mu jua kali uyo mu dada namupenda sana❤
@maliatabuerenesti6681 Жыл бұрын
Naona hii ndio imekuja kama mbadala wa pazia jamani ni epsod yakwanza ila naona ipo vizuri sana hongera sana❤❤
@narzislupogo7235 Жыл бұрын
Mwanzo tu inaonesha balaa kinalofata really appreciate.......kaz nzur
@saidmohammed8786 Жыл бұрын
Asante sana
@saidmohammed8786 Жыл бұрын
Kazi iko powa sana kwann haipo kwenye tv? Mbona kule kuna. Kazi mbovu kabisa ukiangalia azam wanachambana tu hakuna la maana dstv ndio mashoga kibaoooo
@Hannat_henna Жыл бұрын
Nice maa Sha Allah ❤
@shazfa-xp1os Жыл бұрын
Nyimbo na movie 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@cellnet7265 Жыл бұрын
Mnakuja vizuri ❤
@PIUSYUSUPHАй бұрын
Wagizaji wengi wanakosea kitu kidogo sanaa yaan siku wakiki lekebisha na amini watafika mbali sanaa kimataifa sio ndani tuu❤
@haluarahma3071 Жыл бұрын
Waaa...hiii..iko vzur xna❤❤❤
@jacklinekarisa2415 Жыл бұрын
Yaan ndio kwanza na mambo yamechemka 😂😂😂next please nimependa❤❤❤❤❤❤
@dorahhussein Жыл бұрын
Woow amazing 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 imenikubusha mbali sana
@user-zt3et5kl5m Жыл бұрын
Aseee 😢😢😢😢 pia nakumbuka vingi sana watu wenye hela kuwa na majigambo juu ta masikiniii
@bravinmachanja Жыл бұрын
kazi nzuri mnayo fanya Mungu awatie nguvu
@bakaribingwa8849 Жыл бұрын
Nzuri sanaaa
@elizabethmahenzo7220 Жыл бұрын
Kazi zuri sana ❤❤
@AllyAlly-su4rx4 ай бұрын
Kaz nzury hemed chande na mkojan❤
@biommy6700 Жыл бұрын
Wapi epsd 2 weuweee, wakali wao wote, tumekumiss sanaa bro hemed, said...alafu umemuweka mkojani ndani tamu sanaa
@user-kx1vk4zx5e Жыл бұрын
bonge moja la kazi hongera kwa team nzima sio wale zilipendwa bongo movie
@FatmabintMiraji Жыл бұрын
From Oman naburudika😍😍
@mauwaadidaa9994 Жыл бұрын
Tupo p1 team strong ❤
@munabalushi2964 Жыл бұрын
😅😅
@AminaMwakizumbe-sm1nz Жыл бұрын
HELLOW
@bakariluhala7332 Жыл бұрын
Huko kinaongeleka kiswahili kama kwetu?
@FatmabintMiraji Жыл бұрын
@@bakariluhala7332 kiarab na english
@dicksodemsy2820 Жыл бұрын
Mashallah nzuri
@ibraah78449 күн бұрын
Assalam aleykum Tukumbuke na ibada ndugu zangu 🕌
@muniraahmedawadh2619 Жыл бұрын
Nzuri sana
@user-fn1vu8ur7r3 ай бұрын
Mwenderezo uko wap
@KhadijahHassan-dh9pf Жыл бұрын
Ma sha Allah
@oku49006 ай бұрын
Mashaallah imeenda
@nelsonandanyi Жыл бұрын
Khanifa nmekuona mamangu... Big up Mkojani from Misri strong love toka Kenya