TAJIRI ALIYEFILISIKA ASIMULIA MACHUNGU: SIPENDI TENA PESA/ KWA MGANGA!

  Рет қаралды 219,058

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

MWANANCHI WA IRINGA AITWAYE RAMADHANI AMESIMULIA KWA UCHUNGU KISA CHACHE CHA KUFILISIKA, ALIISHI ULAYA NA KUFANYA KAZI KWENYE MELI (BAHARIA).
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#MAKOSA #UTAJIRI #IRINGA

Пікірлер: 423
@MichaelGaudence
@MichaelGaudence Ай бұрын
Moja ya interview bora kuiona. Hongera nyingi kwa mwandishi/mhojaji. Umeitendea haki sana hii interview. May God Bless you Mr Makosa...
@Collie19
@Collie19 2 жыл бұрын
Very inspirational words from mzee MAKOSA , that's the definition of true love to the others 🙏🙏❤️❤️ ..... God bless you mzee MAKOSA 🇹🇿🇹🇿
@errydeo8865
@errydeo8865 2 жыл бұрын
Very interesting story from a very interesting man..i wish i can meet him anipe maarifa make nami niko ulaya.I really wish i can help mzee wetu huyu
@eomanga
@eomanga 2 жыл бұрын
You still can. He is soft spoken and not materialistic, indeed a great man. This video has attracted many views and almost all wamependezwa. Tengeneza gofundme
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 2 жыл бұрын
Mzee yuko poa sana. Moja ya funzo tosha. Interview mzuri sana.
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 2 жыл бұрын
Hongera sana Makosa kwa kujitoa mpaka umejenga Hosp kwa kujitolea Mungu Akubariki Sanaa From Ukonga Dar
@mariambwambo9885
@mariambwambo9885 2 жыл бұрын
😥😥😥... maisha ni safar ndefu sanaaa tusichoke kumuomba Mwenyezi Mungu 🙏
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 жыл бұрын
Inshallah 😍
@HumphreyMakusa
@HumphreyMakusa Жыл бұрын
Daa...nakumbuk kitambo sana, nasoma Lugaro secondari. mzee alikua juu sana, alikua pia anamiliki na anasponsor timu za mpira. daah mungu ampe ahueni tena.!
@innocentrichard9316
@innocentrichard9316 2 жыл бұрын
mtangazaji good na interview kali ..bless up dar 24 media ..tumejifunza mengi.
@mudymrisho6634
@mudymrisho6634 2 жыл бұрын
Father makos history nzuri sana the best 2022🔥🔥😭😭😭inasikitisha inafundish na pia inaelimisha mungu yupo nae👊👊🙏🙏👏
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 жыл бұрын
Makosa aliwapenda sana watu!! aliamua kugawa utajiri wake kwa masikini.Ndiyo maana pamoja na kufilisika bado ana furaha sana.Makosa hapendi pesa ila anawapenda watu!!Mungu atamlipa kwa wema aliowatendea watu.
@Rafikionlinetv
@Rafikionlinetv 2 жыл бұрын
Fct
@flevouronlinetv133
@flevouronlinetv133 2 жыл бұрын
Makosa hakika Katenda wema sana
@lulukawago5089
@lulukawago5089 2 жыл бұрын
Sanaa jmn
@celestinapaulo5512
@celestinapaulo5512 2 жыл бұрын
Zaidi ya yote Mungu anaamua kumuangazia na kumpa afya baada ya ugonjwa
@samwelmtuwa9876
@samwelmtuwa9876 Ай бұрын
Ukisikia finali uzeeni ndio hii sasa
@dextech2023
@dextech2023 2 жыл бұрын
One of the best interview nimewahi kuiona he has a truly pure heart, ameishi ndoto zangu za baadae, natamani nipate namba yake nione ntakapoweza kumsaidia.
@fathefirst1935
@fathefirst1935 2 жыл бұрын
Mtafute pls
@steveonline666
@steveonline666 2 жыл бұрын
Daah. Mzee kanikumbusha mambo mengi sana. Kanizidi umri ila amepitia humo humo ambamo na mimi nimepita. Ni ku.shukuru Mungu kwa kila jambo. Asante kwwa maahijiano mazuri. Where is mwendelwzo wake?
@bahatimwangoka649
@bahatimwangoka649 2 жыл бұрын
Usijali mwamba Tuko wengi Huyu mzee ananisaidia kunikumbusha kua Hakuna aina ya maisha ambayo watu hawaja yapitia so nnapo yapitia siji Tamkii Laana mzee
@innocentfrida393
@innocentfrida393 2 жыл бұрын
Nipe sitori
@andrewkasagula9140
@andrewkasagula9140 2 жыл бұрын
Maisha ni safari
@daud405
@daud405 2 жыл бұрын
duh pole sana ila nasisi tulipitia hayo
@elvismabena7630
@elvismabena7630 Жыл бұрын
siku zote maji na mafuta hujitenga tujifunze kuwa wakweli maishani mr Ramadhan mwenyezi MUNGU azidi kukulinda na kukupa afya njema 🙏🙏🙏🙏
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 2 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepec mzee wng nimekupenda mpaka najickia raha.moyo wa Imani na huruma umebarikiwa,, hata km mali zimepotea kwa kudhulumiwa naamini mungu bado anakuwezesha
@mussazuberi6466
@mussazuberi6466 2 жыл бұрын
Legendary never die, Allah amekuondolea mali amekupa Furaha, Big up sana bro
@hassanfundi893
@hassanfundi893 2 жыл бұрын
Yuko real sana huyu mzee ila ndo life ups and downs zpo na hazizuiliki Mungu wetu sote
@errydeo8865
@errydeo8865 2 жыл бұрын
absolutely
@ibrahipupa6231
@ibrahipupa6231 2 жыл бұрын
Huyu anaitwa makosa mjomba etu wa iringa tumesha imb sana anapenda sana miziki pia ana tujali sana wana muziki
@celestinapaulo5512
@celestinapaulo5512 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu niwetu sote Mungu amuongezee imani na kumpenda zaidi alipenda watu ila watu hawakumpenda Mungu ampe umri zaidi na amzidishie furaha na amani Amen🙏
@yohanachiwanje
@yohanachiwanje 3 ай бұрын
Joo .
@alphadreammedia
@alphadreammedia 2 жыл бұрын
Huyu mzee nampenda kabisa natamani Mungu ampe afya hadi siku ya mwisho aurithi ufalme wa mbinguni.
@AdamClassic-uj9ed
@AdamClassic-uj9ed 2 ай бұрын
Ukichunguza Kwa Undani Zaidi Utakuta Ndugu Zake, Marafiki Zake Na Jamaa Zake Wa Karibu Nao Wamemzurumu Mali Zake, Daa Pole Sana Mzee Wetu Ramadhani Makosa Mungu Yupo Na Wewe Amekutoa Kwenye Utajili Amekuachia Furaha
@RehemaSaid-ww1mm
@RehemaSaid-ww1mm Ай бұрын
Huyu n mjomba angu kbs ndg zake hakuna aliemdhurumu ni yy kuamini sn watu kw kweli ht cc ndg alitupenda sn
@hbjasho436
@hbjasho436 2 жыл бұрын
Daaaa Yani. Jina ilo lime endana na maisha yako Kama ulijua kua kita kutokea nin yan nikama ulijitabilia kuita makosa ulipo kosea ni kuzidisha Sana wema kwa Wana damu na jinsi walivo wanadam ata ulio wasaidia ni wanakusikiliza tuu wengine wame fanikiwa Marengo yao kupitia wew lakn kulusha wema ulio watendea ningumu sana binadamu mtendee wema uwe na akiba yako Yani 🙏🙏🙏but pole Sana uncle
@kizazijeur7518
@kizazijeur7518 2 жыл бұрын
Mzee yupo good Sana, mungu amlinde
@brianmuchanji3503
@brianmuchanji3503 2 жыл бұрын
Such a humble elder .. hajui kudanganya
@jennifersunday6863
@jennifersunday6863 Жыл бұрын
Nasikia huzuni lakini nampenda huyu mzee mwenyezi mungu ampe umri mrefu 😘😘😘
@agnestanzania2426
@agnestanzania2426 2 жыл бұрын
Very inspiring story Mungu atusaidie wote na mimi niko Pireaus bandari mjini Athens hapa ugiriki 🥰🇬🇷
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 2 жыл бұрын
Nimekumbuka mbali Sana nilishawai kupitia maisha ya mtoto wa mtaani Yani chokoraa kindi icho alikua anatusaidia Sana nakumbuka mbali mungu azidi kumpa maisha malefu Ni mgumu mtu kumiliki Mali afu kuja filisika na kumkuta yupo vizuri na afya nzuri Kama mjomba Makosa Ni mungu tu nakumbuka mbali Sanaa😭😭
@jsalehe5100
@jsalehe5100 2 жыл бұрын
Pole sana mkuu
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 2 жыл бұрын
@@jsalehe5100 Asante Sana blood
@afyabora3207
@afyabora3207 2 жыл бұрын
Pole , basi muda sahihi kurudisha fadhila kwake Kwa kile ulichobarikiwa 🙏
@frankrugaimukamu2228
@frankrugaimukamu2228 Ай бұрын
Hata pale Wilolesi alikuwa na nyumba anasaidia watoto wenye maisha magumu.
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
I remember makosa in wilolesi he was a very kind person I remember that maembe he gave us that time
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Subhannahllah pole sana
@eliyamgalihya7704
@eliyamgalihya7704 2 жыл бұрын
Huyo Makosa alipanda miti mingi sana pale Iringa mjini na kupafanya pawe pa kijani. Vile vile aliazisha Television yake hapo hapo Iringa
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 2 жыл бұрын
Babu nimemuona Jua Kali ,Mungu amtunze ampe furaha
@AdamuBig21
@AdamuBig21 2 жыл бұрын
Makosa is very honest. Hana baya. Mungu amsaidie. Nilitamanigi sana kujua his story. Nje na zile short clips zake.
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 2 жыл бұрын
Babu noma. I like the interview.
@monadinadi5295
@monadinadi5295 Жыл бұрын
Mungu mkubwa una upendo Sana mzee ubarikiwe Sana mungu hakutunze mzee makosa❤️💕🙏
@wahapahapa3279
@wahapahapa3279 2 жыл бұрын
Mm nimezaliwa iringa nimekulia iringa wakati tunakua miaka ya 2000 alikua tajiri sana makosa na alikua na Rasta alikua na ukumbi mmoja mkubwa iringa mjini na dispensary na jina lake lilikua kubwa mjini hakuna mzawa wa iringa asimjue makosa,IMTV amenikumbusha mbali sanaaaa hapo mlipokaa ni karibu na nyumbani na hospital kuu ya iringa mjini ,Gangilonga ndo shule yangu dah mzee siwezi amini kama sasa hivi kafilisika kiasi hicho 🥲
@kasiniapotatoes9804
@kasiniapotatoes9804 2 жыл бұрын
Life
@mkamamkengeji4240
@mkamamkengeji4240 2 жыл бұрын
Maisha Kuna watu Yana wagomea kabisa
@danielnella6309
@danielnella6309 2 жыл бұрын
We lazima nakufahamu...umeelezea mulemule
@planethakunamatata5254
@planethakunamatata5254 2 жыл бұрын
Ukweli mtupu 100%..
@tz5454
@tz5454 Жыл бұрын
Unaitwa nani
@khayraa7374
@khayraa7374 2 жыл бұрын
Ata usijali. God has something better / planned for u… u helped people who wr in need 🙏🏽
@kambiyusufu4994
@kambiyusufu4994 2 жыл бұрын
Dah love you so much mzee makosa binadamu wengi tunakoses
@iangitonga4732
@iangitonga4732 2 жыл бұрын
I love this. So genuine
@alizuluman4739
@alizuluman4739 2 жыл бұрын
Mzee ana busara sana Mungu Akulinde Mzee Wangu usikate tamaa mkono uliotoa ndio Mungu atakuregeshea
@laylapagae6324
@laylapagae6324 2 жыл бұрын
Amiin
@fredynigga6948
@fredynigga6948 2 жыл бұрын
True The best old man of business TAZANIA ilinga 💯💯💯💯💯💯💯but problem name makosa is not good name Uuuuu nifano watu wanahohitaji kuwa matajili au matajili waxhunge majina yehoooo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤❤❤❤👂👂👂👂
@mahutaayeba3163
@mahutaayeba3163 Ай бұрын
Mzee mwenye maono mzee wa watu, mungu akupe chance kwa mara nyingine tena
@zainabboss5619
@zainabboss5619 2 жыл бұрын
Mungu ndio anajuwa maisha yabinadam
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 2 жыл бұрын
Pole sn mzee wangu ilanahisi umetufunza Jambo ktk maisha
@FineLOOKtZ
@FineLOOKtZ 2 жыл бұрын
Huyu mzee ananifundisha vingi sana.. mungu amsaidie
@laylapagae6324
@laylapagae6324 2 жыл бұрын
Amiin
@emerencesifa2227
@emerencesifa2227 2 жыл бұрын
Mzee anaitajika kuombewa sana inaonekana sehemu alio kuwa akigawa pesa kunamtu hakuwa nalengo lakusaidiwa bali alikuwa nalengo la kuchukua nyota yako tafuta maombi mazuri uombewe utarudishiwa kila kitu ulicho kipoteza nauirudishe nyota yako
@ntakilutandato
@ntakilutandato 2 жыл бұрын
Makosa babu hongera sana NA pia pole sana kwa kuiona dunia ktk uhalisia wake.
@jenymtafya3430
@jenymtafya3430 2 жыл бұрын
Huyu Mzee namuona kwenye Jua Kali🤔anatoa ushauri mzuri kweli kwa Anna, kumbe ameyapitia haya dah!
@ntakilutandato
@ntakilutandato 2 жыл бұрын
Ahsante sana mtangazaji kwa kumpata MTU muhimu sana babu MWENYE kweli ya maisha
@kuy4011
@kuy4011 2 жыл бұрын
Such kind of life i need, to do for others
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 жыл бұрын
Nakusikilidha kutoka USA marekani mtumzima I like to come back home Africa
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 2 жыл бұрын
Nimeipenda Sana hii entavew
@peterlyimo6696
@peterlyimo6696 Ай бұрын
Huyu shida ilianzia kwenye kukubali jina MAKOSA
@jamesmaneno2281
@jamesmaneno2281 2 жыл бұрын
Mzee mungu akutangulie sana mzee
@mohammedeisa9613
@mohammedeisa9613 2 жыл бұрын
legendary....will always remember u
@LAUWONICHOLAUS
@LAUWONICHOLAUS 2 жыл бұрын
Interview bora kwa mwezi wa 5👉🏻🔥🔥🙏🙏
@winsletndusya8851
@winsletndusya8851 2 жыл бұрын
mzee mzuri sana pia mwenye imani sana
@mrrude1184
@mrrude1184 2 жыл бұрын
Nakupenda sana mwisho tulikula wote mtaa wa ccm iringa mjini nakubali sana jeshi la mtu mmoja
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 жыл бұрын
Babu nimekupenda bureeeeeeeeeee May God bless you
@sagudamagerela3414
@sagudamagerela3414 2 жыл бұрын
Mtangazaji knows how to interview
@meedyshow8807
@meedyshow8807 2 жыл бұрын
Amevuna amali nyingi sana mbele za mungu ...alikubali kugawa chake kuwapa maskini
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 жыл бұрын
Naam naamini hivyo
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 жыл бұрын
Maana alifanya kwaajili yawatu
@meedyshow8807
@meedyshow8807 2 жыл бұрын
Kabisa sasa tunapita tu duniani apa
@ashirawaziri3195
@ashirawaziri3195 2 жыл бұрын
Mzee makosa hongera sana mjomba ake anna from jua kali
@osmanmussa6596
@osmanmussa6596 2 жыл бұрын
mzee makosa umenifunza jambo kubwa sana katika haya maisha
@boerandemo7766
@boerandemo7766 2 жыл бұрын
Amekufunza nini
@cardinarynkanawa1346
@cardinarynkanawa1346 2 жыл бұрын
Gud story
@mburudavid2853
@mburudavid2853 2 жыл бұрын
Heri mwisho mwema kuliko mwanzo mwema kila la heri bwana makosa mungu atakulipa ipo siku kwa wema uliotenda
@mussajuma9044
@mussajuma9044 2 жыл бұрын
Mungu hata kupa haera kweli 🤲
@esaumwavika6735
@esaumwavika6735 2 жыл бұрын
Mim pia mama yangu mzaz alitibiwa Bure mwaka 1996 hospital ya makosa ndio maana kla ninapo muona makosa Huwa naumia sana sana..aliwah toa wafungwa kama10 hiv mwaka 2000 kama skosei..
@burhanaweiss8789
@burhanaweiss8789 2 жыл бұрын
With love from Kenya namkubali msee makosa an ujumbe wangu kwake ni utajiri sio wa hela he is a happy man na anakubalika katika jamii nini kikubwa kama hilo mungu ampe afia.
@godfreypella9956
@godfreypella9956 Ай бұрын
Anko Makosa, anaongea maisha sana, watu tukimfuatilia kumskiliza ni zaidi wazungu tunaosoma vitabu vyao
@matukiomedia191
@matukiomedia191 2 жыл бұрын
Mwandish uko vizur...unahoji vizur ur so intelligent
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 4 ай бұрын
Anajua kuhoji, hasa anapompa Mzee makosa nafasi ya kujieleza
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
#IMT iringa nimeikuta Mwaka niyoenda iringa #Mwaka 2011
@mediekanan6842
@mediekanan6842 2 жыл бұрын
Nice
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
Makosa ni tajir mkubwa Alipenda kuwajal watu ndiyo Chanza cha kutoweka pesa zake Mzee #MAKOSA
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Жыл бұрын
Akili ni mali.....umebarikiwa sana....!! Ww ni wa tofauti!
@irenekerubo9791
@irenekerubo9791 2 жыл бұрын
Good job
@aminakunja277
@aminakunja277 2 жыл бұрын
Inshalaah fadhila zako utazikuta kwa mungu Inshalaah
@sundaychiposi5781
@sundaychiposi5781 2 жыл бұрын
Uyu mzee yuko vizur sana
@AmaniShaibu-lb2go
@AmaniShaibu-lb2go 5 ай бұрын
Noma sana,makosa .mwamba sana huyu waliopita na pesa za makosa wajaribu kurejesha family basi.
@AthumaniChenjelo
@AthumaniChenjelo Жыл бұрын
Respect maisha sio pesa
@samgaya2387
@samgaya2387 2 жыл бұрын
Mtangazaji huyu ni maalum sana…kosa lake Makosa kwa lugha ya kimombo alikuwa “generous to a fault.”
@jacksonnyoni1978
@jacksonnyoni1978 2 жыл бұрын
Anapenda sana mademu 🤣🤣
@Dj2nyi
@Dj2nyi 9 күн бұрын
Naitaji part two
@geyotv9911
@geyotv9911 2 жыл бұрын
MR MAKOSA LEGEND
@eliudowuoche7849
@eliudowuoche7849 2 жыл бұрын
I wish we had people like you in Kenya
@paulpogba8595
@paulpogba8595 2 жыл бұрын
Kenya kuna nni
@eliudowuoche7849
@eliudowuoche7849 2 жыл бұрын
@@paulpogba8595 ubinafsi
@irenewili3724
@irenewili3724 2 жыл бұрын
@@paulpogba8595 anatamani kungekua na watu kama hawa huju kenye
@jameskasela3046
@jameskasela3046 2 жыл бұрын
Big up mtangazaj
@FadhirSeleman
@FadhirSeleman Жыл бұрын
Mungu atakulipa❤❤
@vinnocky_b1430
@vinnocky_b1430 2 жыл бұрын
Duuh Kali sana aise
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 2 жыл бұрын
Kati ya watu tuliokua tunaskia habari zao kua ni matajiri sana Iringa
@bongohiphop1840
@bongohiphop1840 Ай бұрын
Huyu mzee anaweza kuandika kitabu cha maisha yake, kitauza sana
@helenamtunge2078
@helenamtunge2078 Жыл бұрын
ASANTENI SANA DAR 24 KWA KUMUIBUA MZEE MAKOSA. WANA IRINGA HASA MJINI TUNAMFAHAMU SANAA KWA UPENDO WAKE KWA WANA IRINGA. MUNGU AMUINUE
@sulleyally5040
@sulleyally5040 2 жыл бұрын
Huyu mzee nilichompendea bi mkweli hafichi mambo yake
@miriammugo5459
@miriammugo5459 2 жыл бұрын
Kilichomkosea mwanzo ni jina hilo majina yana nguvu kaka angejiita jina zuri tu la be bibilia pia wanawake skirts na biashara ni makosa
@njyendakumanarechard1536
@njyendakumanarechard1536 2 жыл бұрын
Haya maisha bwana anasiri kbs🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@shabanimzalla7108
@shabanimzalla7108 2 жыл бұрын
Da namkubari,hawa ndo wakuwakumbuka sana wameipingania Iringa
@georgeavelin815
@georgeavelin815 2 жыл бұрын
Mzee Mnyamwezi sanaaa
@piusmdoe8094
@piusmdoe8094 2 жыл бұрын
Naamkumbuka Sana huyu bwana enzi zetu Ilula sokoni Inteck. In kwa marehemu Maulidi
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 жыл бұрын
Life is long Journey, I know that 😍
@Pangwaboy
@Pangwaboy Ай бұрын
Life iko na mambo tuombe Mungu
@josephmateru8892
@josephmateru8892 2 жыл бұрын
Nimejikuta nampenda bure bure huy mzee du
@stanfordmahinya5339
@stanfordmahinya5339 2 жыл бұрын
Dah!kweri namfaham sana nimtuwawatu alikuwaakitusaidia sanawamichezo mbalimbali sema hakuwa narohombaya watundio wabaya hawakumuelewa wangemuelewa washilikiananae iringa ingefikambali
@hezzyhezzy
@hezzyhezzy 2 жыл бұрын
Nanukuu: Mimi nimeishi ulaya kaka, watanishinda watu wa Iringa hawa!
@Goaboi1
@Goaboi1 2 жыл бұрын
Best part 😂😂😂
@PAPRATZ
@PAPRATZ 5 ай бұрын
Somo zuri kwa Diaspora ,Lord have mercy
@denismasembo59
@denismasembo59 2 жыл бұрын
Nakubari sana wangu kwa hasolingi zenu
@BenardLucumay
@BenardLucumay Ай бұрын
Ulaya na Marekani wanajalli sana watu wakarimu kwa jamii !
@justified1321
@justified1321 2 жыл бұрын
He was a great businessman.
@milkajm4762
@milkajm4762 2 жыл бұрын
I remember him very well
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
@@milkajm4762 wow jamanii
@aronnyboy_tz7785
@aronnyboy_tz7785 2 жыл бұрын
Part2 pls🙏🙏🙏
@eligiusedmund3187
@eligiusedmund3187 Жыл бұрын
Mzee wangu chozi lako halitaenda bire Walokudhurumu hawatppata haki mbele ya mungu atachotubarikia ni haki yako
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 26 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 11 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 27 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН
MWANAUME ANAPASWA KUWA HIVI
29:39
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 115 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 26 МЛН