Dah!! Kumbe Serikali yetu inawapenda Sana wapinzani!! Inawapa Hadi nyumba na huduma zote halafu mnaisema vibaya!!! Kweli Kuna watu na Mijitu duniani!!
@MathewNathan-yb2bzКүн бұрын
Ww usiwe mjinga kupitiliza elewa fedha zote ni za wananchi na kanuni na taratibu za nchi ziko hivyo.
@IDRISAKHAMZAКүн бұрын
2:59
@kwandiwageorge28262 күн бұрын
Anaumia nn mbowe kumbe uenyekiti kuna cake 😂😂😂 asitie huruma aingie mzigoni hahahahahahahha job seeker
@mashaurikihute3369Күн бұрын
Ubaya ubwela😂! Jamaa hakuwa na mpango wakuomba umwenyekiti ila ulipo muwekea mtu akaona bora akukabie kwa juu
@chachanyawaya9810Күн бұрын
Ng'atu bro. Acha longo longo, pita hivi✔✔✔✔
@dullayomwinyi3359Күн бұрын
Mzee pumzika mwachie lissu uwenyekiti na yeye bana
@shaba8222 күн бұрын
Mwenyekiti,mnaharibu,tafuta njia yyte kuwasiliana na Lissu,msicheze xna na mitandao kwenye mambo yenu,mnavuana nguo,ikiwezekana kaa kimya kulinda status ya chama chenu..mnakigawa chama,kilindeni
@pzodcharlee2 күн бұрын
Unajua tuulisu ni m2 mwenyee kiereere we fanya yakko😅
@LenatussylivesterPetro2 күн бұрын
Hongera Kwa moyo wakusamee ila niwakati wakupumzika chadema tunapeda demcrasia
@moddy87442 күн бұрын
Alokua hana shukran hata awe na elimu gani hafai kua kiongozi hata kidogo kwani Mungu wetu kasema alokua hana shukran kwa binaadamu hawezi kua na shukran na Mungu wake Mboe wewe ni good leader ever and you are the best lakini mchukulie tu kapata athari ya mtuhani alopata
@leodgardotmar71982 күн бұрын
Umejifanya Mungu mtu ndio maana una shangaa mtu mwingine kufanya alichofanya Mh. Lisu
@HimidMkuya3 күн бұрын
Mbowe tatizo huna mashirikiano na mwenyekiti gari Moja kwa magari 13 huoni ulikuwa una muhujumu kuwa mkweli
@yruccian3 күн бұрын
"vipo vyama vingi vikisikia naondoka chadema asbh na mapema vingi vitakuja kunitaka niende kwao" very weak point for a strong man with commitment kwa chama
@reubenmakalla7453 күн бұрын
Mbowe wewe ni kiongozi sana sana. Bali kwa sasa pumzika. Uliyomsaidia Lisu ulipenda mwenyewe. Siyo vema kuyahadithia hadharani. Inauma ila ndo hivo. Mwisho pumzika
@Mapenzi26352 күн бұрын
Wazungu watawatoa roho. Mzungu kukaa naye inahitaji akili Kubwa sana. Wao husema tunapo kaa na watu tuna njia yetu "what we say and what we mean". Kama ukiwa na akili huru utajua nchi hii haina upinzani bali watumwa wa wazungu .
@laupetpet77793 күн бұрын
Ushauri wangu mbowe pumzika kwa heshima mwache Lisu aendelee
@greydonalds42863 күн бұрын
Kwani Mbowe kamzuia Lissu kugombea mkuu? Demokrasia... Acha agombee, sanduku la kura ndio litaamua nani ni nani.
@Frank-b2d6u19 сағат бұрын
Mbowe kwani. Ukistafu kuna ubaya kaa pembeni kuwa mshauri
@husnamohamed9245Күн бұрын
Msifanye mambo ya kitoto kaeni pamoja msameheyani kwani kila mtu anafanya makosa nyie viongozi .
@RutaJuvent-d8z5 сағат бұрын
Ulituma polis wa quiet mkutana wa lissu.umefanya mbinu kumwekea wenje ume gundulika achia ngaz tu
@HASSANWAZIRIGAO3 күн бұрын
Kama Unafisadi hela za Chama Wanachama wakae kimya Ukumbuke Lisu ni Mwanasheria Hawez kuficha Ufisadi
@JosephineKiminjo2 күн бұрын
🎉kwahiyo kama ulimpa nyumba au umemfadhili asigombee natural tumekuchokaa
@ThobiasMarandu2 күн бұрын
KUNA MAHALI MBOWE KAMKATAZA LISSU ASIGOMBEE??? TALKIN RUBBISH!
@geofreytimoth808419 сағат бұрын
Ndiyo unapenda madaraka mwachiye Lissu
@MikidadiSalim-xk9dc18 сағат бұрын
Mbowe sio shqran kwa mambo madogo madogo ...umewajenga yes Sindio muda umefika Sasa wewe ukae pembeni uwapishe mauliowajenga nao wakuonyeshe ulicho wajenga ...lakini wewe hataki acha udikteta mbowe nauwache umimi ..hakika ukiwa mbinafsi mwisho wako unakuwa magumu mno ..acha umuseven na ukagame mbowe .....hata ukisema yote uliyomfanyia lisu kwa wakati huu haisaidii lolote....na wala chama hakiwezi kupata tabu wewe sio Mungu....
@w405818 сағат бұрын
Kweli kabisa mbowe hhee hutosheki
@salummussa98713 күн бұрын
Shukrani maana yake Nini hapa ni mambo ya nchi hakuna shukrani
@MagembeAngeloСағат бұрын
Wewe mbowe unatamaa sana ifikie kipindi uone aibu ulisha kua mwenyekiti muda mulefu achia wengine bro kwasitaili hii kuiondoa CCM mudarakani labda dunia igeuke ianze upya opres kabisa wewe kinacho kusumbua tamaa
@verrynicemushi256311 сағат бұрын
Mnalumbaga sana kwenye hichi CHAMA ndiyo maana hamfiki mahali mmepoa sana. Nendeni mkalime hamjui siasa.
@ShabaniManginja-f4f20 сағат бұрын
Mwenyekiti kaeni muyamalize kama chama acheni kujichafua CHADEMA ni taasi kubwa sana
@Frank-b2d6u19 сағат бұрын
Harafu sema na mwachia huyu uone wananchi watasemaje yani utareta heshima ya chama na chama kitakuwa juu sana bahasha zisiwa changanye
@geofreymilinga296523 сағат бұрын
Mzee ulisema mwenyewe mwisho 2024 inakuwaje sasa unatia huruma
@queenmwasanguti2370Күн бұрын
Umekaa sana kama mkt, pumzika basi
@RutaJuvent-d8z5 сағат бұрын
Mbowe ukiacha uwenyekiti huwezi kuwepo?Acha ngaz nusuru chama
@rashidichuri11493 күн бұрын
Lisu amelewa sifa halafu hana adabu pia hana nidhamu yakuongea
@deluxermahyono52902 күн бұрын
Kamlala Mama Ako?
@KenedyThabiti2 сағат бұрын
Wewe achia kiti hicho mzee
@hamadjumakombo97933 күн бұрын
Hakuweza kushukuru fadhila alizofadhiliwa na samia jee atamshukuru mwengine
@ordafabian51722 күн бұрын
Mbowe umeupiga mwema sana, ila kwa sasa tunahitaji kuona mtu mwingine akiongoza. Kwa sababu hautoishi milele
@Frank-b2d6u19 сағат бұрын
Mamba ya kawaida sana misionekane njaa
@ezekielmabwai4614Күн бұрын
Pumzika, wewe umechoka, umeshindwa, wewe no CCM jinga kabisa wewe Mbowe!!
Uchaguzi ukiisha naomba mtoe tofauti zenu mjenge chama chenu
@olipaabongo630719 сағат бұрын
Kugombea ni haki ya kila mtu. Kama ni hivyo atakayeshindwa asikimbie chadema. Mshindi na mshindwa ni lazima awepo
@joelsaganya407719 сағат бұрын
Kwa kumpa nyumba kuna mfanya asiwe na haki ya kuomba uenyekiti?
@gsplundi13273 күн бұрын
Hakuna anaekutukana we pumzika tuu umekula inatosha
@RUTACHCHURCH3 күн бұрын
Nadhani Mbowe una tatizo mahali,Lissu kutoka nje au public,ni kiashiria kuwa ndani huwa hamuelewani
@haidarimfinanga97553 күн бұрын
Lissu LGBTQ
@EricTrillz3 күн бұрын
Na huyu ni SACCOSS YAKE HAPO SASA.😅😅@@haidarimfinanga9755
@donking-d4t23 сағат бұрын
Mimi sio ccm, lakini nimegundua kua kama imefika mahali wenyewe mnazushiana mambo ya ajabu, basi ni mambo mengi sana mmewazushia serikali ya ccm,,
@Aminmwansile-we8vn14 сағат бұрын
Mbowe hupambani na lisu tuu unapambana na lisu pamoja na CCM walioungana ili kuiangamiza chadema huo ni mpango kabambe wa CCM ila nashukuru wanachadema makini wanakuelewa mbowe
@JeniferPiter-wo3ve3 күн бұрын
Muachie lissu we mzee
@shabanimwinyikhery1174Күн бұрын
Sasa hivi utasikia mmoja kahamia Ccm😃😃😃
@abdullahshekwavi6963 күн бұрын
Unajua wanachama wa chadema wanacho taka ni kubadilisha viongozi bila kujua au kujali wanako elekea kitu ambacho hakina afya kwa wao wenyewe na Taifa kwa ujumla kwani hatujui viongozi watao kuja
@alfagindo781418 сағат бұрын
Kuna wakati unatakiwa kuondoka ktk Jambo lolote wakati watu bado wanakuhitaji ili kulinda heshima yako, usisubiri watu wakuchoke ndipo uondoke!!! Heshima yako inapungua hata Kama ulitenda mema 100000, Baya 1 hufuta mema yoteee! Ila endelea kuwa na Busara itakulinda,mbona mwenzenu Zito Kabwe kang'atuka kwa Aman na hajahama chama kabaki kuwa mshauri mwema.
@bezalelmbijima81823 күн бұрын
Miezi mitano iliyopita Msigwa alisema viongozi wa CHADEMA wengi watamfuata aliko. Huu ndio mwanzo wake Mwenyekiti tulia kaa Kimya waseme vizuri. Vizuri unahojiwa na Mwandishi Nguli na Mahili Salim Kikeke. Tunawafurahia mno!
@CliffMogaka-d8c2 күн бұрын
Chadema iko na wa2 wakutosha acha msigwa aede nawale watakao mfuata ss tutabaki chadema,
@adamchaka-vl7yk3 күн бұрын
Mbona kama anapanic,Mbowe acha demokrasia ifanye kazi.
@GraceDeo-g1n3 күн бұрын
Wewe ndo wale wale wanaofanya tulie
@Aminmwansile-we8vn14 сағат бұрын
Mbowe mungu akubariki kaka tunaokuelewa tunalia na wewe na wala hata hulii pekee yako na tuko nyuma yako
@LinusJohn-e2pКүн бұрын
Uongozi una mwisho tulia Mzee au uwe kiongozi mkuu kama zito
@Tanzaniayangu-g8v2 күн бұрын
Mbowe tunatambua umuhimu wako kwenye chama ila kwasasa tunakuomba ukae pembeni upishe mawazo mapya.
@kandorohussein68902 күн бұрын
Mbona kama Tundu Lissu anaogopwa ? Mbona kitendo cha kutoka hadharani na kutangaza kutaka kugombea nafasi ya Mwenyekiti alie madarakani ni utovu wa Nidhamu na ni treason kwa Chama na angekuwa ameishachukuliwa hatua na nadhani hili ndilo ambalo litafanywa dakika za mwisho na mamlaka za juu za chama
@jeremiahnicodemus56223 күн бұрын
Mbowe kwami wewe ndio unajua juongoza poker yako?
@hamadjumakombo97933 күн бұрын
Mtakuja kujuta kwa mbelini
@RhodaSamweli-f8z3 күн бұрын
Yaani ungeacha mwenyewe ungepata heshima kubwa sanaa kwenye chama chako pamoja na wanachama wa chama chako,hapo unajidhalilisha na kukivunja chama chenu
@albertvalentino13020 сағат бұрын
Kwa hiyo ulimfanyia hayo yote,ili asigombee uenyekiti wa chadema.
@numaking70213 күн бұрын
kuna haja gn xx kuw chadema kama mweny busara ni mmojatu mbowe
@fauzseif73443 күн бұрын
Mtaamini tu kua chama chadema nisakosi mtu hawezi kuachia sakosi yake
@sembuakimbosho3319Күн бұрын
Kwa hiyo unataka kuwa mwenyekiti wa kudumu
@leodgardotmar71982 күн бұрын
Ondoka ww
@mussakilo49163 күн бұрын
Lisu hafai kuwa mwenyekiti ja anaulizwa itakuweje wewe unaenda ulaya sana akasema lazima niende kuongea na marafiki sasa mashaka atatuletea balaa hafai
@dassustephen7312 күн бұрын
Mbowe eleza utaifanyia Nini Chadema,na siyo kumshambulia Lissu Umekosea hoja kabisa.Utajiaibisha maana utashindwa uchaguzi wa 21/01/2025
@StephanoNicholas2 күн бұрын
wew niliongo sana watuwanakufa kwaajiyakuipigania chadema.
@Frank-b2d6u19 сағат бұрын
Utakuwa mshauri
@pzodcharlee2 күн бұрын
Lisu ata Tanzania aiwez ccms saima mpka wote tuishe dunian
@NuruAlex2 күн бұрын
Sikutegemea Mimi na familia yangu kupata haibu kubwa kama hii eeeee Nini hiki sasa mnachokifanya
@sulaimanmallecha61342 күн бұрын
Mbowe umechanganyikiwa
@yahayakafumuКүн бұрын
Nakupongeza Mbowe mm ni ccm.utashinda tu kwa busara zako njema MUNGU AKUJALIE .
@EmmanuelMoses-pb1zh17 сағат бұрын
Watu wa CCM Mnaompenda MBOWE Ila cc watu wa CHADEMA tunampenda LISSU
@UrsulaHaule3 күн бұрын
Bila mimi ni kosa kubwa ambalo wanadamu tutafanya...
@florianambross5426Күн бұрын
Hayo yote ya nini miaka 20 bado unautolea macho uwenyekiti
@JuliusTluway3 күн бұрын
Mh jiondoe kwa amani
@twahakabajemi97163 күн бұрын
Ndo huyo hoyo mpuuzi mjivuni mdharirisha wa watu apate umaarufu
@SuleimanRashid-br6wf3 күн бұрын
Uchaguzi wenu msimamie wenyewe, uchaguzi wa TAIFA wasimamie wgeni ,upon SAWA hapooomuheshiwa,? Taifa Lina uwezo kusimamia wenyeweee ,CCM hoooyeee.
@yassinmashautymashaury2734Күн бұрын
Acha ziumane. Siasa si hasa. Kazi kwetu wa Tz tunaipenda NCHI YETU Aa wanasiasa. TAFAKARI.
@sulaimanmallecha61342 күн бұрын
Kapumzike mzee
@princepm122 күн бұрын
Mh Mbowe analalamika sana na kutia huruma kila jambo lina wakati wake yeye aingie kwenye sanduku la kura akishindwa aangalie Lisu miaka mitano atafanya nini kama akizingua 2030 agombee tena na wana chadema watamwelewa.
@HijaSaid-t6c2 күн бұрын
Umefika mwisho, na huu uchaguzi sio kama ule ambae hajashinda anatangazwa, kumsaidia mtu sio awe mtumwa wako,
@msafirisalum843619 сағат бұрын
Mbowe acha tamaa ya madaraka pumzika hunaga msimamo
@ChanjiCharles-hw1xs3 күн бұрын
Kwa hiyo wewe unaweza zaidi kuliko mtu yeyote Tanzania?
@aloycechuwa62923 күн бұрын
Mbowe akiwa mwenyekiti mimi chadema wamenikosa siwezi kuunga mkono mambo yanayo endelea
@francismgalike50853 күн бұрын
Mambo yapi. Ucwe bendera.
@JAMESMINJA-k8v22 сағат бұрын
amekukosa kwenye mambo gani!!!
@sembuakimbosho3319Күн бұрын
Mmeanza kuharibu
@chachanyawaya9810Күн бұрын
Tunajua ulamba asali😢😢😢😢
@BrunoCharleskidasi2 күн бұрын
Mboe unataka kuleta mpasuko ndani ya chama hiki chama sio chako. Utatoka kwa nguvu
@leodgardotmar71982 күн бұрын
Unafikiria pesa utakazo kosa kwa kuto kuwa mwenyekiti
@LawrenceMtuba2 күн бұрын
Tuelezee ulivyotoka gerzani na kuishia ikulu badala ya makao makuu ya chama au nyumbani kwako
@KeiFerouz-fn9oc2 күн бұрын
Lkn mbowe vp Ile asali ya lowasa lisu ulimpa kidogo
@KhamisHaji-fd5lw3 күн бұрын
Mnajitia aibu,mambo kama haya myaongelee chumbani co ukumbini!
@evelina9621Күн бұрын
Nacheka.mambo.magumu.msiumizane.mshurumi.mungu
@AlexFanuel-i1p3 күн бұрын
Mzee toa hofo kama uko sawa fanya subira kura itasema achie madaraka kwa heshima sio kuljiona wewe ni muhimu sana wewe sio mungu
@StephanoGwelino3 күн бұрын
Umeongea,kwa deep emotion,feelings bro nimependa uko vizuri lakini uongozi ni kupokezana kijiti ili tupate mawazo mapya na ww ubaki ka mshauri broo...pia urohoo wa madaraka haufai, usiwe sawa na wakina Mugabe na mkuruzinza
@MathewNathan-yb2bzКүн бұрын
Huyu hanunuliki na angekuwa ananunulika angekuwa ashakiuza chama kama Lipumba kipindi cha Magufuli.Kuna mashaka wajao wanaweza wakanunulika na chama kikafa kama vingine.
@YonaMalundoКүн бұрын
Tumekusikia lakini cheo hicho ni kitamu hata mtoto wako anakitamani Kwa hali hiyo pambana mpaka mwisho
@MudiIssa-y6g3 күн бұрын
Chama kinahitaji mtu strong nachadema nichama Cha wote tusikifanye ni chama chawachaga ama watu wakaskazini tu
@zaidiissa37143 күн бұрын
Chadema nichama cha kikanisa sio chama cha wananchi Hilo unatakiwa kulijua ndio maana wasemaji wakuu wachama nimaaskofu na mapadri nichama chakikatiliki huo ndio ukweli kataakubali
Ila mpk namuhurumia sana, Lisu kugombea ni haki yako ila muheshimu Mbowe
@w405818 сағат бұрын
Kwani yeye kamuhishimu??
@DormanDorman-jm3dzКүн бұрын
MAFAHARI 2 HAWAKAI ZIZI MOJA.
@ArssanalmalijaWilley2 күн бұрын
Kwani chama chenu mbowe huwa hakina uchaguzi hadi ufe wewe sija wahi sikia kuna kustafu nyie wapenda madraka mtafia madarakani wapeni vijana mwone kama hawaja pasua jipu
@TitusBangu3 күн бұрын
Kumbe dingi bado anapenda uongozi! Amini kuwa wengine wanaweza