TAREIKH YETU MSIMU WA PILI (SILSILA 4): Kuja kwa Wareno kwenye Bahari ya Hindi - 2

  Рет қаралды 1,658

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

3 жыл бұрын

Baada ya mafanikio kwenye safari yake ya kwanza kutoka Ureno hadi India kwa kuzunguka bara la Afrika, Vasco da Gama alitumwa tena na Mfalme Manuel kufunga safari hiyo, lakini ukatili alioufanya ulikuwa wa kiwango cha juu na wa kutisha. Sheikh Riadh Al Busaidi anasimulia.

Пікірлер: 4
@msellemseif3102
@msellemseif3102 Жыл бұрын
Maasha Allah. Kwa Elimu hii.. Maasha Allah....
@saadnaim5518
@saadnaim5518 3 жыл бұрын
Assalamu alaykum Maaa shaa ALLAHU Wabarakallahu fiykum Allah subhanahu wataallahu akubarikieni Sheikh Mohammed na Ariyadh ALLAHU subhanahu wataallah akulindeni na akupeni umri mrefu tuzidi kufaidika Je! :Huyu sheikh Riyadh ametunga kitabu kinachojumuisha hizii Stroy anazotusimulia? Nimevutiwasana na anayoyasimulia napenda niwe nacho kitabu kama amekitunga Shukran kwa kutufaidisha sana Maa salaam
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 2 жыл бұрын
Sauti I natoka vibaya
@Ally-rk2xx
@Ally-rk2xx 3 жыл бұрын
A.A. wakati Muhammad unatafakari Miyaka Mia Tano ya warenu pia linganisha miyaka ya Nabbi Nuhu na masaibu ya Daawa yake.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 21 МЛН
TAREIKH YETU MSIMU WA PILI (SILSILA 6): Wareno na Biashara ya Utumwa - 4
1:02:02
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 406 М.
Ujerumani na historia ya ukoloni
4:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 437
Prophet Muhammad and Aisha's Adultery (Al-Ifk)
16:31
Nabi Asli
Рет қаралды 639 М.
Boosting productivity with an AI Copilot
23:07
The Indian Express
Рет қаралды 766
Inside Mark Zuckerberg's AI Era | The Circuit
24:02
Bloomberg Originals
Рет қаралды 1,1 МЛН
Поймали акулу
0:51
Pavlov_family_
Рет қаралды 2,4 МЛН
GiGaMoN! 5 🗿 #gigachad #sigma
0:53
The Logan Chitwood
Рет қаралды 4,3 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
0:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
KARMA AT SCHOOL 🏫 Stop time
0:32
dednahype
Рет қаралды 3,8 МЛН
I meet Mr.Beast
0:15
ARGEN
Рет қаралды 26 МЛН