Huu ni Msimu wa Pili wa silsila zetu kukhusu tareikh ya Pwani ya Afrika Mashariki na Sheikh Riadh Al Busaidi anauanza kwa kuzungumzia eneo litambuliwalo kama Pwani ya Afrika Mashariki na watu wa eneo hilo.
Пікірлер: 6
@aminyahya3743 жыл бұрын
Wallahy napenda sana sana kujuaa historia ya zanzibar kabla y wareno hawajaingia znz!! Mwambie sheikh Ridhwan Al Busaid atusimulieee kabla ya miaka 500 nyuma dola ya zanzibar ilikuajee
@nailamohd76933 жыл бұрын
Mashallah ❤️
@mursalsaid33273 жыл бұрын
Zanzibar tulikua mbali Sana lakini kutokana Na wakoloni watanganyika wameturejesha nyuma Sana wametulia Kila kitu
@jumafaki7473Ай бұрын
labta haijulikani llipo, wanahistoa wote afrika mashariki ,hamjagika kilwa , itakua maajabu ,ya wanahistorua wa ajabu ulimwengu , ngombe kilwa inatarehe mlangoni mpaka Leo, 1123,hijiria
@SAIFMUSALLAM3 жыл бұрын
أتمنى التواصل مع المتحدث البارع
@abeidsalin97002 жыл бұрын
Hukuweza kujibu ni nani aliekuwa mwenyeji pwaninya afrika mashariki