TAREIKH YETU MSIMU WA TATU (SILSILA 3): Kuja kwa Sayyid Said bin Sultan katika Afrika Mashariki

  Рет қаралды 2,283

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

2 жыл бұрын

Leo tunaanza simulizi za namna mtawala wa Oman, Sayyid Said bin Sultan, alivyowasili kwenye eneo la Afrika Mashariki na kuanza utawala wake. Sheikh Riadh Al Busaidi anatuwekea bayana hali ilivyokuwa.

Пікірлер: 17
@suadbarwani4117
@suadbarwani4117 2 жыл бұрын
Shukran sana. Bwan.Riadh. kwa kutuweleza kwa utulivu na ukweli wa mambo yalo tokeya miaka mingì iliyopita, tukiwasikiya wazee wa Zamani habari za Ùgomvi wa Makabila. Ahsanteni sana Bwan.Riadh na bwana Ghassani.
@sharifaal-masroori2238
@sharifaal-masroori2238 2 жыл бұрын
Thank you sh Riadh, we have learned a lot about the history and relation between Oman and East Africa
@suleimansharjy9890
@suleimansharjy9890 2 жыл бұрын
Assalaamu Alaykum. Kwa ufupi sana historia yetu ya Zanzibar ilitukuka kabla ya kuja Wazungu na fitina zao,lau si Waengereza kuwagawa Wazanzibar basi Aminini Zanzibar ingekuwa zaidi ya Dubai.Hebu angalia Kilwa Walioijenga na kuipa ustaarabu ni hao hao Waarabu lakini Leo wanaitwa Wageni .Ukiangalia huyo anaewaita wenziwe Wageni yeye mwenyewe babu yake hakuzaliwa hapa, sasa ni nani Mgeni. Pili Hao waarabu walikuja na ustaarabu wao na Imani zao.
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 2 жыл бұрын
Utumwa wa Wareno, Wafarsnsa na Wajarumani ambao ni Wakatoliki hautajwi kabisa. Hata Maskati Oman ilikuwa koloni la wareno. Sasa kuna Utumwa wa watu weusj kwa watu weusi. Wanafanyana watumwa wenyewe kwa wenyewe.
@talibsaid8096
@talibsaid8096 2 жыл бұрын
Soma historia wacha kusikiliza kasumba, Mali za Zanzibar ndo ziloijenga Oman maana muoman hakuja na pesa kutoka kwao
@suleimansharjy9890
@suleimansharjy9890 2 жыл бұрын
@@talibsaid8096 kumbe unajuwa Waomani na Wastaarabu wote waliokuja huku walifanya kazi kwa mikono yao tena kazi "dhalili" ikiwemo kuchanga/kuchanja kuni,Kinyozi,kufuwa vyoo,kubeba mchanga kwa punda nk.kazi hizo ungepewa wewe bila shaka ungekataa.Allah akawafungulia rizki zake Zanzibar ikanawiri.Wakati huo ndugu zetu waliotuzunguka hata kuvaa Nguo Hawajui,ispokuwa wale wachache waliopitiwa na ustaarabu wa Hao Waarabu Waislamu.
@talibsaid8096
@talibsaid8096 2 жыл бұрын
@@suleimansharjy9890 kwenda wewe usianze matusi kwani hao waarabu unosema wewe walifika Zanzibar ipi hata hii historia ya watu kwenda uchi unaijua wewe peke yako na ingakuwa wazanzibari walikuwa kama unavyosema na waomani ndo waloleta ustaarabu Basi asilimia kubwa ya wazanzibari wangekuwa ibadh na ushahidi ni mpaka leo maibadh wa Zanzibar ni watu wenye asili ya Oman pia huu ni ushaidi tosha kuwa waomani wa wakati ule walikuwa hawajichanganyi na wazanzibari, wacha kasumba nenda kaseme history usitake kutuharia hapa kama Oman ilikuwa na kila kitu Mbona ilikuwa makau makuu yake yako Zanzibar, Hajji kama unataka historia kasome usisikize za kuambiwa , na kwa reference uislamu Zanzibar ulitoka Yemen kisha Persia kisha ndo Oman pia kabla ya hapo hao wayemen waliukuta uislam Zanzibar kabla ya kuropokwa nenda kasome tarekh kwanza
@suleimansharjy9890
@suleimansharjy9890 2 жыл бұрын
@@talibsaid8096 niliposema ndugu zetu waliotuzunguka simaanishi Wazanzibar bali wale walioizunguka, Pili wewe Mwenyeo pamoja na kujipendekeza kwa hao Mabwana zako bado wao hawajakuhesebu kuwa ni Muafrika kutoka na Utamaduni wako dini na hilo jina unalotumia.Kukusu historia wewe umesomeshwa ile iliyoandikwa na Mapuri mimi nimesoma iliyoandikwa na Wareno wenyewe yale walioyafanya,Wagiriki,Wamoroko,Waarabu na makabila mengine.Nakusihi sana Usihukumu kitabu kwa kava yake.
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 Жыл бұрын
Salum mzee Kwani walofanya mwanzo watumwa ni ma chafu wa Africa kuwaunza wenzao Halafu tizama watumwa huko America / Latin / Carribian nani kawapeleka ni wazungu Mzungu anaza na mtumwa mtoto wake anamuza Leo watoto wa watumwa wanatawala zanzibar Salum take my advise badili jina lako na utoke kwenye Uislamu Jina lako ni la kiarabu na mtume wetu ni Muarabu
@talibsaid8096
@talibsaid8096 2 жыл бұрын
Wacheni izo hebu tuambieni ilikuwaje muomani akatawala unguja maana naona mnajaribu kutuzungusha tu
@suleimansharjy9890
@suleimansharjy9890 2 жыл бұрын
Na vipi kuhusu Mzaramu kutawala Zanzibar jee ndio haki unayoitaka wewe?
@salummzee9739
@salummzee9739 2 жыл бұрын
Yamepita hayo hatuyataki tena Utumwa umekuingie ktk damu bado kunyenyekea Warabu wafuteni huko basi hapa Zanzibar tutatawala watuweus mpk kiama,unyama warabu waliofanya hamusemi,,maana Wazee wetu walipakwa na Warabu na kuzaliwa machotara mbona hamu yasemi kimwa fitina hatutaiki Zanzibar yemeshapita basi
@feiz3180
@feiz3180 2 жыл бұрын
Muogope Mwenyezi Mungu. Usiseme maneno usio kuwa na uhakika nayo. Hizo ngano za ASP na CCM ni njia ya kuleta FITNA. Hii nchi ni yetu sote na kihistoria zanzibar hamna mtumwa. Hamna mzanzibari mwenye asili ya utumwa.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 жыл бұрын
@Salum Mzee. Kwanza, kwa nini taarekhe ya UTUMWA wa Afrika Mashariki [ZANZIBAR] unahusiswa na WARABU kwa jina la ARAB SLAVE TRADE lakini taarekhe ya UTUMWA wa Afrika Magharibi unahusiswa na ATLANTIC kwa jina la ATLANTIC SLAVE TRADE? Jee biashara ya UTUMWA wa Afrika Magharibi haukufanywa na WATU bali ATLANTIC? Pili, kwa nini taarekhe ya UTUMWA wa Afrika Mashariki [ZANZIBAR] pia unakhusiswa na UISLAM kwa jina la ISLAMIC SLAVE TRADE lakini taarekhe ya UTUMWA wa Afrika Magharibi unakhusiswa na TRIANGLE kwa jina la TRIANGULAR SLAVE TRADE? Jee Wamarekani waliofanya biashara ya UTUMWA Afrika Magharibi hawakuwa na DINI? "NA MTAUJUWA UKWELI NA UKWELI UTAWAWEKA HURU. [YOHANA; 8:32].
@innocentman5954
@innocentman5954 2 жыл бұрын
Lau si warabu ww usingeitwa Salum. Kama huamini muulize babako
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 2 жыл бұрын
SALUM mzee soma history WaAfrica Machief wakiwauza wenzao Wazungu nani kaijaza waAfrica US / LATIN AMERICA WEWE HUPENDI WARABU Misaada yote wanyotoa zanzibar Nakupa shauri nzuuri Badilisha jina Lako Jiite MaPunda
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Kujikolonisha na Hatari za Wakati Tuliomo
21:57
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 315
MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR NBS & OCGS
3:35
Nbs Tanzania
Рет қаралды 4,1 М.
The House of Wonders continues to show wonders, but as a documentary
48:19
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government- Peter Kaluma, MP
43:38
Historia ya  Kumbukumbu za  Mapinduzi ya Zanzibar
10:24
Iddi Mtumweni
Рет қаралды 302
Bi Mariam Hamdani, kichwa kilichojaaliwa mengi | GUMZO NA WALIMU
1:13:35
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 4,3 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН