TAZAMA BALAA LA YAMMI KWENYE STAGE YA MR RIGHT | KUKU YAPIGWA LIVE | S06E05

  Рет қаралды 30,470

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@FrolaernestNyamgula
@FrolaernestNyamgula 7 күн бұрын
Umebarikiwa sauti nakupenda bure❤❤
@asha-v1e
@asha-v1e 3 күн бұрын
Nampenda yami nyimbo zake zote tamu, ila ongeza kipimo cha nguo ya juu
@janetymatola6639
@janetymatola6639 10 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤my girl
@Shybabe1990-pd5yx
@Shybabe1990-pd5yx 2 күн бұрын
Nimeipenda hiyo🎉🎉❤
@enjolaikilema1989
@enjolaikilema1989 5 күн бұрын
Napenda sana yammi anavyoimba na hao wanaosema yammi anavyovaa wanawuvu mwaya unajua
@leahjohn4734
@leahjohn4734 17 күн бұрын
Hatimae na mm nmechok kuona kitovu cha uyu dada jaman😂 nmeanz kufeel venye huw mnafeel😢💔🤣
@RebeccaLongo-oi3po
@RebeccaLongo-oi3po 10 күн бұрын
Ivi yami ukifunika kitovu kinawash au😮
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 15 күн бұрын
Mbosso kasha muacha uyu mtoto😂😂😂😂
@HafsaHamid-d9d
@HafsaHamid-d9d 2 күн бұрын
❤❤❤❤
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s 17 күн бұрын
Yan wewe yammy siku ukifanya sajali nitakuona mbwa 😢😢😢
@AsmaAlly-m9i
@AsmaAlly-m9i 16 күн бұрын
Ivi mtoto wakisram kinena chote wazi unaweza je kutembea dah mtihani yami
@BabyFaceNday
@BabyFaceNday 17 күн бұрын
Uyo Yammy anajua sana kuimba, Ila hajakamirika kua msani bora. Yani msani unaona aibu kukatika kiuno ,but auoni aibu kuvaa kitovu juu?sasa kipi kizuli kinacho wapa burudani watu? Kitovu ao kuchangamsha podium?
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 17 күн бұрын
Hapo bwana angekuwa ruby weeeee
@SomoeMahazi
@SomoeMahazi 11 күн бұрын
@BabyFaceNday Ndio mavazi ya siku hizi si yammi peke yake
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 15 күн бұрын
Uyu mtoto anajuwa kuimba Mandy afiki
@RachelKasita-pb2rc
@RachelKasita-pb2rc 7 күн бұрын
Mandy ni nan 😂
@RaiyaanRasheedRay
@RaiyaanRasheedRay 15 күн бұрын
Sipend anavyovaa
@SomoeMahazi
@SomoeMahazi 11 күн бұрын
Huyu Ni kitovuu Kiko njee jee zuchu 😂 huyo anavaa uchi kabisaaa
@RaiyaanRasheedRay
@RaiyaanRasheedRay 11 күн бұрын
@SomoeMahazi huyo ndyo sitak hata kumsikia.... wanajisahu sana
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s 17 күн бұрын
Hapo hao watu wanaangalia kitovu tu
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 13 күн бұрын
Kabisa nimtihani ijawonaga uyu mtoto anavaa nguwo ya kumtosha kwa nini ivo lakini?
Yammi & Mbosso - Nitadumu nae (Lyrics Video)
3:29
Yammi
Рет қаралды 3,5 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
PERFOMANCE YA YAMMY KWENYE TUZO ZA TMA, ZUCHU APIGA SALUT
8:10
Maua Sama feat Alikiba - Itakuwaje (Official Music Video)
3:21
Maua Sama
Рет қаралды 658 М.
DUNIA (Ep 34)
27:36
ASMA FILMS
Рет қаралды 34 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН