MAKONDA AFANYA UKAGUZI MATATA kweye UJENZI wa UWANJA wa MASHINDANO ya "AFCON" HUKO ARUSHA,.🙌🙌

  Рет қаралды 44,447

HABARIMPYA TV

HABARIMPYA TV

Ай бұрын

Пікірлер: 79
@philipjoseph5931
@philipjoseph5931 Ай бұрын
Mh. Makonda kuna kipindi Fulani miaka michache huko nyuma kuliwa na gumzo lilianzishwa na mtu Fulani hapa nchini, akadai eti hoo! makonda hajasoma, tena akadai kuwa mnatoka Kijiji kimoja na akataja jina lako la kikabila (Bashite) watu walipiga zoga Sana juu ya tuhuma hizo, ila kwa hekima kubwa ulikaa kimyaa huku wengi wakiendelea kupiga soga Hilo baadhi ya wanasiasa wakavalia njuga tuhuma hizo, lakini pia uliendelea Kukaa kimyaa ukipiga kazi kwa bidii. Kwa Lugha nyingine ulikuwa unasema Elimu yangu nitaionyesha kwa Vitendo siyo mdomoni. Ndani ya Mienzi 6 tangu ujitokeze tena kwenye majukwaa ya Siasa na Uongozi umethibitisha tena na tena kwamba Wewe ni Msomi kuliko wote walitokuwa wanakubeza, unastahili kuwa Professor wao. MUNGU AKULINDE NA KUKUFUNGULIA MILANGO YA NEEMA ZOTE KIAFYA, KIAKILI NA KIROHO. MUNGU AKUKINGE NA MAADUI WA MAAENDELEO WOTE, AAAAMINA.
@Werema3760
@Werema3760 Ай бұрын
●Hao ni wamoja washayamaliza UTAELEWA MBELE relax. Miaka 2 tu utaelewa
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Gwajima Alaaniwe kwa haya yote aliyasema yeye tena kanisani kwake
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Ай бұрын
Elimu sio makaratasi bali ni matendo mazuri ambayo jamii inashuhudia
@user13375
@user13375 Ай бұрын
​@@OmanOman-dn6djEt askofu 😮😮😮😮
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo Ай бұрын
Huyu jamaa amewapita hata wanasheria wasomi. Achana na Mungu kabisa amempa hekima kama Ile ya mzee Suleman kwenye maandiko matakatifu . Big up Makonda
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 Ай бұрын
Piga spana wazembe wote,Makonda Vivaaaaaaaaaaaaaaaaaa..gongs like za kutoshaaaaa
@anitarafa
@anitarafa Ай бұрын
very good job in makonda, I'm from Kenya but I work in Saudi Arabia but I like the work in makonda and Waziri Silaa God bless mama samia.
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Ай бұрын
Mheshimiwa Makonda very intelligent and smart natamani kukutana naye siku moja jameni mm nimu congo 🇨🇩 ila tanzania mna bahati kufanyikiwa viongozi wazuri wenye sense of humanity si kama sisi uku tunaumia jameni!
@jumaseif1109
@jumaseif1109 Ай бұрын
Huyu Mwamba yupo vizuri sana naiona Arusha yenye muonekano mpya
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x Ай бұрын
Yes wanunue material arusha safi sana waungishe watu ameeeeeeen barikiwa makonda
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Ай бұрын
Glory to God kwaajili ya mh..Makonda
@laizermaasai6759
@laizermaasai6759 Ай бұрын
Makonda yupo vizury sanaaaaa. Unajali sanaaa wa nyumbani ndo mana hata tunaanza kuona maendeleo Arusha
@user-br7sf6ey9t
@user-br7sf6ey9t Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤ aowatoto wanamuwai mweshimiwa walau wapatepo kumgusa kidogo jamani 😂😂 aseee makonda tunakupenda sana adi malaika nao wanakupenda aseee mungu akutunze ufike kwenye kitikikuuu tunaomba ayo nakuamini aminaa
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Ай бұрын
Kipindi akiwa mkoa Wa Darsalam walikuwa wanamkataa lakini sisi Arusha tulisema tupeni Makonda manake tutaenda speed ya ajabu subirini muone tutakavyopaa
@jivitafoundation450
@jivitafoundation450 Ай бұрын
Hongera sana kwa kuona umuhimu kuwashirikisha vijana katika Ajira
@KelvinAlfred-rc1hq
@KelvinAlfred-rc1hq Ай бұрын
Makonda anaakili nyingi sana
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Hongera sana Mh Makonda Mungu akulinde
@abaskhatoon9425
@abaskhatoon9425 Ай бұрын
UKITETEA WANYONGE WW ELIMU YAKO NI KUTOKA KWA MUNGU INAHESHIMA KATIKA USO WA DUNIA NA KHERI KATIKA MAISHA YA BAADA YA DUNIA.KAZI IENDELEE.MUNGU YUKO NA WEWE.
@makamehaji8204
@makamehaji8204 Ай бұрын
Des 2026 kwa wakandarasi wengi very risk wangepaswa wapewe termination ya May 2026 ili wawe na speed mchana usiku
@johpixel4108
@johpixel4108 Ай бұрын
Hapo kwenye kununua matirio ndani ya area hiyo ni jambo zuri Kwa wengine watanufaika,hongera Mh
@israelimarco6465
@israelimarco6465 Ай бұрын
Ni maombi yangu kwako Kila siku ya maisha yangu Mungu akupe nguvu ya kustahili
@user-cw8jv1jm6n
@user-cw8jv1jm6n Ай бұрын
Ongela kazi nzuli mungu akulinde
@ashrafkhamis1051
@ashrafkhamis1051 Ай бұрын
Kazi njema mr makonda 🇹🇿🇰🇪🇺🇬
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 Ай бұрын
local content lazima iwepo kwenye huo mkataba
@hamenyayohanakasase5836
@hamenyayohanakasase5836 Ай бұрын
Ametumia lugha ya kawaida kabisa kuelezea Local Content, na ameeleweka sana.
@user-po3qj8gb7e
@user-po3qj8gb7e Ай бұрын
Ha haa we huyo ni mdogowake magufuli anafuta nyayo bila kukosea hutua hata Moja mzee wa spana nyoosha Arusha usiogope
@ShebbyMageta
@ShebbyMageta Ай бұрын
Makonda mwamba kabisa
@SomagroupAfrica-eh8uh
@SomagroupAfrica-eh8uh Ай бұрын
Brother upo very smart
@SalomeOmbeni-sg9mp
@SalomeOmbeni-sg9mp Ай бұрын
Asante makonda
@nkundechindwa9654
@nkundechindwa9654 Ай бұрын
Mheshimiwa Makonda naomba kukutana na wewe
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 Ай бұрын
hivi wakuu wa mikoa mingine kazi yao ni nin? safi sana comrade makonda
@KhmsNsr
@KhmsNsr Ай бұрын
😂kula dinner na lunch.😂.
@PaskaliEdimundi
@PaskaliEdimundi Ай бұрын
Hongera kaka unachapa kz sana mkuu
@dicksonmushi8309
@dicksonmushi8309 Ай бұрын
Huyu Mzee sio kama mnavofikiri magufuli amefufuka🙏
@aishaomaryyousefomaryloiru1990
@aishaomaryyousefomaryloiru1990 Ай бұрын
Kabisa my dear,amekivaa hicho kiatu cha magufuli
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Mh Makonda❤
@josephnemgosi8804
@josephnemgosi8804 Ай бұрын
Makonda kemea mafundi wasije tembea na wanafunzi na mama zao wauza chakula hapo
@user-tt7de4kt7h
@user-tt7de4kt7h Ай бұрын
Kweli kabisa,
@PeterNassary-qs5ef
@PeterNassary-qs5ef Ай бұрын
Mheshimiwa nenda meru shida sana huko mbunge atusaidii chochote
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 Ай бұрын
apo ndugu yangu sio kwamba sipendi wazabuni wa uku ndani shida wako sawaa awana magumashi maana utasikia pesa aikutosha angalieni vizuri kwa jicho la tatu
@PhilippeKasim-ut5jl
@PhilippeKasim-ut5jl Ай бұрын
Hakuna anayejua
@oswaldmwita1520
@oswaldmwita1520 Ай бұрын
Wawape wa zawa kwenye tofali
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 Ай бұрын
Kuna mahali wanakimbilia wawape wazawa alafu wazawa wanakuwa na bei kubwa!
@PeterNassary-qs5ef
@PeterNassary-qs5ef Ай бұрын
mheshimiwa tunakuomba uende meru seeela kuna shule ya secondary wanafunzi wanaaambia wanunue vitabu vya waaalimu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
Uwanja wa mfalme wa morocco dodoma mbona huyo mfe kaingia motoni ukaishia kujenga msikiti tu lkn uwanja kaukimbia
@josephnemgosi8804
@josephnemgosi8804 Ай бұрын
Wapangilie mji kama karatu
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Ай бұрын
Hilo neno vijana wapate ajira hata.wizi utapungua
@eddechriss2664
@eddechriss2664 Ай бұрын
Eeeh mnatest baada ya kuweka jiwe la msingi, mlipotuonyesha site sie tukajuwa kila kitu ni approved
@josephnemgosi8804
@josephnemgosi8804 Ай бұрын
Babla ya ujenzi watu wafidiwe kwanza
@wingracealfred1978
@wingracealfred1978 Ай бұрын
Mkuu wa mkoa njoo Barbara ya olasiti inajengwa taratibu Sana tunateseka
@RaphaelSamwel-xb3tm
@RaphaelSamwel-xb3tm Ай бұрын
Hchi kiwango kko wp Arusha sehem gan
@user-kg9uz2hh1y
@user-kg9uz2hh1y Ай бұрын
contractors, umeme na ujenzi wawe ndani ya Arusha
@adelametili2283
@adelametili2283 Ай бұрын
Makonda wewe ni mtu mwenye UTU sana... Materials zipatikane Arusha kwanza..Nimeipenda hii sentence.. Penda wewe sana..Mungu akutunze..mzee wa spanner 🔧
@LowassaPiniel
@LowassaPiniel Ай бұрын
Mh makonda piga kazi usicheke na wat wazemb kazn hasa hasa watendaji wa kata wa vijiji na madiwan hawajielew at na kukaribish ngaramton mkuu
@frbm1729
@frbm1729 Ай бұрын
Ukuu wa mkoa haukufai kabisa!!!! Ulistanili kuwa PM au VP
@Niika870
@Niika870 Ай бұрын
Yule mfalme Tapeli kapiga mskiti tu uwanja hakuna hapo😂
@Jemesjoni
@Jemesjoni Ай бұрын
Jamen 2026 ngombea ulais makonda
@user-fn6fs8oy5l
@user-fn6fs8oy5l Ай бұрын
Kwani akitoa mikono mfukoni inakuwaje!!?Naamini unyenyekevu ni jambo la busara sana maana wengi hapo Wana umri unaostahili heshima.
@mercyzakariah
@mercyzakariah Ай бұрын
Rais wetu WA mkoa jembe letu wewe ni zaidi ya dhahabu isio shuka thamani kwetu tz nzima,
@mbolikop6419
@mbolikop6419 Ай бұрын
Huu uwanja unajengwa sehemu gani ya Arusha?
@Oscarmarwa-fitnesstrainer
@Oscarmarwa-fitnesstrainer Ай бұрын
Njiro
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Ай бұрын
Huo uwanja ujengwe haraka. Wachaga tunausubiri tuje kula mwaka mpya 😂😂
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Ni kampeni iliyonyooka lakini haitusahaulishi maumivu ya miaka 10, katiba mpya na tume huru ni sasa ili wapiga kura tuchague sio watupitishie bila kupingwa!....
@onelovetz7935
@onelovetz7935 Ай бұрын
Sema tanganyika
@vintz338
@vintz338 Ай бұрын
Yan udongo kitest ni miez miwili 😂
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 Ай бұрын
Of course..kutest udongo sio kama...kutest zari mzee... hiyo ni soil science..ambayo Ina hatuna zake na wanachukua sampuli tofauti tofauti hapo 😂😂😂😂... sio malaria hayo. Na kinachojengwa ni uwanja..unamumuisha vitu vingi..a Na soili laxima iwe vizuri kwa usalama wa baadae
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
WAWE KWELI RAIS WA ARUSHA VIJANA WA ARUSHA UTAJILI WINJIWINJI MKITULIA😂😂😂
@MohamedMkota
@MohamedMkota Ай бұрын
Ni wp unajengwa jmn tuchangamkie fursa
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 Ай бұрын
Nhix kisongo
@MohamedMkota
@MohamedMkota Ай бұрын
@@emanuelmkama1325 kisongo sehemu gn
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 Ай бұрын
@@MohamedMkota nkisongo Ila sjui nsehem gan
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x Ай бұрын
Yani la baba makonda wapitie haswaa akili zimelala pita safari city tujenge tuwe karibu na afcon tuwape watu apatment barabara haipitiki safari city na watu wanataka kuanza kujenga tunashindwa
@MohamedMkota
@MohamedMkota Ай бұрын
Naomba kuuliza huu. Unajengwa wp
@MohamedMkota
@MohamedMkota Ай бұрын
A rusha sehemu gn
@rasnchimbi
@rasnchimbi Ай бұрын
Analolazimisha mwishowe vifaa feki visivyo na viwango,bola mradi eti viko Ars,zile chuma hazina ubora wa kudumu!zinaoza haraka.😢
@hamenyayohanakasase5836
@hamenyayohanakasase5836 Ай бұрын
Ni heri feki ya nyumbani kuliko feki ya kutoka nje.
@PaskaliEdimundi
@PaskaliEdimundi Ай бұрын
Njiaya magufuli imempata mtu sahihi
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 41 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 82 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 41 МЛН