kama wanchi Wana maisha magumu kiasi hiki umewapandishia Kila kitu yote utafanyayo hayana tija
@isaacmwaseba99722 жыл бұрын
Fanya kazi tafuta ela au tembelea nchi za jirani uone pia maisha yanapanda na yatazidi kupanda kila baada ya miaka kadha wembe uliouzwa tsh 5 enzi za mwalimu ungesingi panda ungekuta mpaka leo ni tsh 5. Sukari aliyoacha kikwete tshs 1,500 ungekuta mpaka leo ni tshs 1,500. Pili tunalalamika maisha ni kweli yamepanda na ni magumu ila swali ni lini yalikuwa mepesi mimi sikumbuki nisaidie siku yalivyokuwa mepesi sukari au mafuta yalikuwa bei gani na sasa bei gani
@isaacmwaseba99722 жыл бұрын
Na ukitaka kujua tunapaswa kufanya kazi tupate ela angalia foleni ya magari haijawahi pungua. Bar na sehemu za starehe hazijawahi pungua watu harusi zinafanyika mpaka za milioni 10 au 20 mpaka 30 wanatoa wapi ela za kuchezea siku moja. Wewe sema tuwafungulie jirani walete bidhaa uone kama hatujafanikiwa kupata bidhaa. Tufanye kazi kulalamika haisaidii mitandaoni. Idadi ya watanzania imezidi uzalishaji wetu.
@lykarboy97142 жыл бұрын
Kabisa
@emanuelelias46952 жыл бұрын
@@isaacmwaseba9972 kwa hiyo kwa kauli yako hiyo ww unaona ni sahihi kupandishiwa Kila kitu bei !?
@isaacmwaseba99722 жыл бұрын
@@emanuelelias4695 hakuna anayekupandishia makusudi ni thamani ya pesa na uzalishaji sasa kama nchi tulizozitegemea mwanzo tumezipiga pini wasilete bidhaa na hauna uwezo wa kuzalisha vitapanda tu. Mwinyi kaacha sukari tshs 300 kilo moja, Mkapa alituacha sukali ni tshs 800, Kikwete kaacha sukari tshs 1500 ', magu katuachia 2800 kuna shida gani huyu mama akituacha na 3500 unachotakiwa ni kupambana kwenda na mzunguko wa dunia kiuchumi. Elimisha watu vitu lazima vipande bei.