MSANII CHID BENZ KWA NABII MKUU - GeorDavie TV

  Рет қаралды 50,227

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@NeemaErenest-f9n
@NeemaErenest-f9n 2 ай бұрын
Bwana yesu apewe sifaa baba niombe nipitia mangumu sana na mume wangu tunateseka sana
@salmampinga4995
@salmampinga4995 10 ай бұрын
Tumpate wapi Tena mtu kama Nabii Mkuu ambaye Mungu anakaa ndani yake, Asante sana Baba kwa kutujali🙏🙏
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 10 ай бұрын
Asante baba Mungu Akubariki Kwa utumishi wa Kazi zake Aliyekuumba
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 10 ай бұрын
NABII MKUU BALOZI WA MU NGU DUNIANI.BARIKIWA SANA.NIMEFURAHI KUMUONA CHID KWA NABII MKUU.
@Gwenoboy
@Gwenoboy 10 ай бұрын
Uyu nabii nimtu safisana ❤
@DAZIZUbeàutysalon
@DAZIZUbeàutysalon 10 ай бұрын
namimi naungana na neno lako Baba
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 10 ай бұрын
waislamu km humpendi Nabii mkuu usiangalie pita na yako sio lazima kuangalia na kuanza kuponda imani za watu, fanyeni yenu
@Fredyjingu
@Fredyjingu 10 ай бұрын
Mungu azidi kumtunza nabii mkuu
@moseshandsam1865
@moseshandsam1865 10 ай бұрын
Chid benz his super talented since dem days
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 11 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu analindwa na baunsa
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru 11 ай бұрын
Muuni baba yoko mjinga wewe
@gabrielkabato9909
@gabrielkabato9909 11 ай бұрын
Huyo dokta sule tu anawalinzi
@abelmbata37
@abelmbata37 11 ай бұрын
Hata Yesu alikuwa na mabaunsa tena 12
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 10 ай бұрын
😅😅😅😅
@hassanhussein-ow7qh
@hassanhussein-ow7qh 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ShedrackDamiani
@ShedrackDamiani 10 ай бұрын
Nabiii is very good
@VictorJohn-fu7ch
@VictorJohn-fu7ch 4 ай бұрын
Wow Nabii mkuu umefanya vema❤❤❤❤❤❤❤
@metroplanetstudios
@metroplanetstudios 10 ай бұрын
Hivi Nisher amekuwa ni mtu wa kuzungumziwa hivi kweli? 😢aisee mimi jina ilo lina nipa huzuni nisikiapotu 😭 aisee Nisher kweli ume tuachia uzuni na majonzi kibao, mkombozi wa vijana wengi wa mitaa genius R.I.P bro💔😢
@AbubakariKisuju
@AbubakariKisuju Ай бұрын
Njaa mbaya sana
@hassanhussein-ow7qh
@hassanhussein-ow7qh 10 ай бұрын
Innalillah wainna ilaihi rajiun, Ndugu zangu waislam huu ni msiba, tukamateni dini yetu, tusichupe mipaka ya Allah tukaangukia kwenye ushirikina, tutaulizwa na Allah, Maisha mafupi yakupita haya ndg zangu
@danimtenga6962
@danimtenga6962 10 ай бұрын
Huna akili
@activestudios.
@activestudios. 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 wote wasenge sio nyinyi wala hao wa bwana asifiwe
@hassanhussein-ow7qh
@hassanhussein-ow7qh 10 ай бұрын
@@activestudios. rainbow 🌈 utawajua tu, tabia za choko choko
@JeffArosha
@JeffArosha 2 ай бұрын
😂😂😂​@@activestudios.
@rajabumudigai-k7x
@rajabumudigai-k7x 2 ай бұрын
Dini ya kweli ni uislamu tu amin
@Gwenoboy
@Gwenoboy 10 ай бұрын
Chid Benz nimtusafi sana
@JeffArosha
@JeffArosha 2 ай бұрын
Hizi comments mbona zinanitisha, you people real got brains ??
@LionizeBillionaire
@LionizeBillionaire 11 ай бұрын
Respect Mchungaji🙏
@neemamjema1067
@neemamjema1067 10 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza mkombozi wa karne ya Sasa🤲🤲🤲
@kingkendrickk
@kingkendrickk 10 ай бұрын
Huyu mchungaji au mganga wa kienyeji
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 10 ай бұрын
Umaskini mbaya sana
@Kendry_jenner
@Kendry_jenner Ай бұрын
😢nisher
@iwishtv7907
@iwishtv7907 10 ай бұрын
Huyu hayupo sawa kiakili. Huyu sio Nabii.
@YohanaYared
@YohanaYared 11 ай бұрын
Vijan fanyen Kaz msipende kupewa 1:57
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 10 ай бұрын
Asa huyo bod gad Hana Iman n mtu kumpa mkono mtumish jmn😂😂 au chidy bad kichwa haiko vzr
@oliverkiwinga7032
@oliverkiwinga7032 10 ай бұрын
Bouncer kiburi anamuangalia Chidi juu chini,dharau
@richardIyanga
@richardIyanga 8 ай бұрын
Powerful
@ZabibuMadelelya
@ZabibuMadelelya 8 ай бұрын
Amen
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 11 ай бұрын
Chid ww muislam unaenda fanya nn kanisani dah njaa noma sana
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 11 ай бұрын
Je na mchungaji hananje aliende mskitini huulizi
@laurnyandwi-sb1gu
@laurnyandwi-sb1gu 11 ай бұрын
Mmeanza kuleta udini sasa mbwa nyinyi🚮
@benomdaile7081
@benomdaile7081 10 ай бұрын
​@@laurnyandwi-sb1gu😂😂😂😂
@dfixmoblab
@dfixmoblab 10 ай бұрын
​@@bakarikayugwa3295waambie na ww 😂😂😂😂
@laurnyandwi-sb1gu
@laurnyandwi-sb1gu 10 ай бұрын
@@benomdaile7081 yan wabongo sijuw tulilogwa wapi.,Kwan mungu s mmoja shida ip wap.
@heritier5119
@heritier5119 10 ай бұрын
Apewe gari
@jobtoo2681
@jobtoo2681 11 ай бұрын
Chini ako juu ya unga
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 10 ай бұрын
Jamaa kanipita Ngarenaro akiwa kwenye Pikipiki 😂
@Godmaletz
@Godmaletz 10 ай бұрын
Ooooh😢
@FatumaJumaa-z8c
@FatumaJumaa-z8c 10 ай бұрын
Yaliyoandikwa yanatimia sasa,,
@mariamndabila7916
@mariamndabila7916 10 ай бұрын
Shalom naitaji kuelimishwa kwanini yanafanyika haya mtu anabarikiwa kumtumikia shetani
@PeterGabriel-vm5yy
@PeterGabriel-vm5yy 10 ай бұрын
Shalom tafakari andiko hilo katika Roho. Barikiwa. Zaburi 92:5-7 Ee Bwana, jinsi yalivyo makuu matendo yako! Mawazo yako ni mafumbo makubwa. Mtu mjinga hayatambui hayo, Wala mpumbavu hayafahamu. Wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakistawi. Ni kwa kusudi waangamizwe milele;
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 11 ай бұрын
Duh
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 11 ай бұрын
Matendo bado yaja!!
@Juliana-fx8tr
@Juliana-fx8tr 11 ай бұрын
Nabii nisaidie nina mgonjwa naomba bimab
@Eagles_tech
@Eagles_tech 10 ай бұрын
Karibu ngurumo ya upako au search Geordavie google utaona namba za maombi utasaidiwa
@YasinRamadhan-x9m
@YasinRamadhan-x9m 10 ай бұрын
Tuombe mwisho mwema
@StellaKimario-q4m
@StellaKimario-q4m 11 ай бұрын
Amina baba
@misanamohamedi8438
@misanamohamedi8438 10 ай бұрын
huyo kajivurugia mwenywewe
@MuhammadMaulana-p2l
@MuhammadMaulana-p2l 10 ай бұрын
Chidi yukojuu yaunga na nabii nimuzaunga siopoa
@deonatusdaud4640
@deonatusdaud4640 10 ай бұрын
unaushaidi...?????
@kamandashupavu206
@kamandashupavu206 10 ай бұрын
Chid alifata mpunga😅😅😅
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 10 ай бұрын
Mrongo washenzi njaa tupu umeungua mguu alafu wa vaa buti
@thebios2553
@thebios2553 10 ай бұрын
Zingatia maokoto
@thehunter5920
@thehunter5920 10 ай бұрын
Sasa hao jamaa wanaomshusha mkono wanafkiri wanamuweza chidi😅😅
@moseskulola6913
@moseskulola6913 11 ай бұрын
Chid benz ume wekewa lahana ..
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 11 ай бұрын
Acha chuki je mchungaji hananje Ali alikwa bakwata ikoje hio
@SHULE_YA_KRISTO
@SHULE_YA_KRISTO 10 ай бұрын
Huyu amekutakutafuta hela...!. Wala sio baraka. Nyimbo za kidunia, ni Mungu gani unamuomba akupe baraka?.
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 11 ай бұрын
Acheni ushamba na ubaguzi nyie waislm mbona mnatiaga wa kristo huo ni unafiki popote Mungu yupo
@jacqueli18
@jacqueli18 10 ай бұрын
Naogopa ataongea utumbo😅😅😅😅😅😅
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@PaulLameck-y3x
@PaulLameck-y3x 11 ай бұрын
Subirini Kwanza muone matokeo siyo mnaongea tu
@GetrudeZakayo-p2w
@GetrudeZakayo-p2w 11 ай бұрын
Duuu
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 11 ай бұрын
🙏🙏👍🏾
@eliamwakimage5389
@eliamwakimage5389 10 ай бұрын
Haya ndio maabii fake live linaonekana tu kila kukicha wasanii kanisani pamekuwa maaonyesho au club?? Majitu yamefungwa macho hayaoni yanakwenda tu.
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 10 ай бұрын
Mbona mApolis tena heree
@millyarapta6933
@millyarapta6933 10 ай бұрын
Is this the true representation of Jesus The Christ?
@mohsixtus7048
@mohsixtus7048 10 ай бұрын
No, satan
@maryandason1815
@maryandason1815 10 ай бұрын
Kikubwa ahubiriwe wokovu wa roho yake aokoke na cyo kuangalia maslahi tu
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 10 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@brightonvictorkimsehyeon7892
@brightonvictorkimsehyeon7892 2 ай бұрын
Hapo ndo alipoazia uchizi @ChidBenz
@dangomc_niger
@dangomc_niger 10 ай бұрын
avurugikiwe zena
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 261 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 21 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 20 МЛН
🔴 LIVE: Baraka za Wiki | 02 December 2024 | Pastor John Sembatwa.
43:27
HUYU DOGO KANICHORA NDANI YA DAKIKA TANO TU 🤑‼️ CHIEF GODLOVE
7:00
CHIEF GODLOVE Fan Page
Рет қаралды 20 М.
CHID BENZ HAJAWAI KUONGEA HAYA! Ruge, Sio Marehemu, Bado yupo!
23:02
MKALI WENU APIGANA MBELE YA NABII MKUU - GeorDavie TV
6:57
GeorDavie TV
Рет қаралды 59 М.
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 261 МЛН