Рет қаралды 18
#Tunatekeleza ,Kituo cha urithi wa ukombozi kimeanza utekelezaji wa hatua muhimu ya uhifadhi wa historia ya ukombozi kidijiti.
Tukiwa na jukumu la kulinda, kutunza na kuadhimisha historia ya thamani ya Ukombozi wa Afrika, tumechukua hatua muhimu katika utekelezaji wa jukumu hilo kwa kushirikiana na Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) kwa kuanza mchakato wa kudijiti nyaraka na kumbukumbu za kihistoria kidijiti, mfumo wa uhifadhi kumbukumbu kidijiti utawezesha kuzilinda kumbukumbu na nyaraka za kihistoria dhidi ya uharibifu, kupotea au kuchakaa na upatikanaji wake kufikika kwa urahisi kwa njia za kieletroniki na hivyo utawezesha uhifadhi endelevu ambao utawezesha vizazi vijavyo kuielewa na kujifunza kwa kina historia yetu.