No video

Tazama maisha ya Omar bakhresa Na Nyumba yake pamoja Na Magari anayomiliki

  Рет қаралды 270,404

Mtembezionline

Mtembezionline

7 жыл бұрын

Пікірлер: 140
@user-gu1lg2zr8s
@user-gu1lg2zr8s 5 ай бұрын
MashaAlla tabaraqallah. Huyu ni mimi miaka mitatu ijayo insha'Allah. Taqabal ya rab. Mpe amani na mali zake ❤❤
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 3 ай бұрын
Bismilahi mashallaa
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 4 жыл бұрын
Dini haijakataza kuishi vizuri duniani Mashallah
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Tabaraqaallah
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Mungu awajalie maisha marefu sana hapa dunia mmejitolea kwa moyo thabiti kwa ajili ya watanzania wa lefo yote utakuta miwatu bahathi inapora mamilioni ya ela za masiki lakini anachofanyia amna zaidi sana ya kua laaaana kuuu
@alalwialalwiii8194
@alalwialalwiii8194 2 жыл бұрын
Maashallh I mungu tupe nasiee
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Mashalah halafu yuko kimya da mungu aendelee kumpa kwasababu anasaidia sana Hamo ujakosea
@abdulrahimmohamed7066
@abdulrahimmohamed7066 2 жыл бұрын
Ana dini ni tajiri mwenye dini anajua hivi havitamzika
@florakaaya4559
@florakaaya4559 2 жыл бұрын
Huyu ni mtu wa watu Mungu ampe maisha marefu yenye furaha na AMANI🙏🙏
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah my
@dulabori9922
@dulabori9922 3 жыл бұрын
Mungu amzidishie na amfanyie wepesi pia asisahau wenye uhitaji maalumu
@dullysavage5939
@dullysavage5939 2 жыл бұрын
🤲 Mashalla mungu amuongoze ktk kheri,bali asijihau awasaidie mayatima na wenye mahitaji maalumu ili mungu akampe malipo mema kesha ahera.
@jimjam4148
@jimjam4148 2 жыл бұрын
MASHAA ALLAH pili tujifundishe kupitiya ndugu yetu bahresa uslamu sikushi Kwa ubahili .
@sumaiaomari6950
@sumaiaomari6950 2 жыл бұрын
Good
@sumaiaomari6950
@sumaiaomari6950 2 жыл бұрын
Good
@HusseinHaule-pr5ov
@HusseinHaule-pr5ov 2 ай бұрын
Allah atujahaliye na sisi japo hata vibanda vya kuishi na familia zetu Inshaallah
@ahmedshahar728
@ahmedshahar728 2 жыл бұрын
Masha'Allaah. Taba'rakallaah
@moshielfesty7992
@moshielfesty7992 2 жыл бұрын
Tungekuwa akina Sisi wapenda misifa watu wasingelala mana kwenye mitandao kungekoma bakherese upo vizuri🔥🔥
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 3 ай бұрын
Alla ampenda mja wake ssiye kuwa na kibri na madharau
@estarwamboi291
@estarwamboi291 2 жыл бұрын
🎵Mfano was mtu mwenye pesa. Mtazame bharesa🎵 Harmonize song
@lirastanley390
@lirastanley390 2 жыл бұрын
🤣ni kweli kbs tena huyo ni mtoto tu
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 2 жыл бұрын
Safi kabisa maisha poa mno hayo Kila mtu Mungu akimbaliki angependa kuishi vizuri safi kabisa
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 3 жыл бұрын
Masha'allaaaah!! Nooron alanoor!!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 4 жыл бұрын
Allah hufurahi pale anapomuona mja ameruzukiwa na anatumia mali hiyo kwenye kheri, Masha Allah
@issashabani345
@issashabani345 3 жыл бұрын
Huyo ni muislam akifa atazikwa na sanda na atalala kwenye mchanga wala amnishitui wala
@abdul-rahmanal-sis7097
@abdul-rahmanal-sis7097 2 жыл бұрын
Mashallah hadha min Fadhil Rabbi
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 3 ай бұрын
Amiin
@paulinasemindu1292
@paulinasemindu1292 4 жыл бұрын
binadam tuna wivu sana.kila.mtu.oh vinapita cjui sanda jmn.mungu anamakusudi yake kumpa!hata uwe maskini.sanda pia.inatungoja.hata tajir msi.muonee wivu kila.mtu.anadhambi.hata uwe maskini.hapo.tu.unavyomuonea wivu.nixhambi tosha kwa dini.yetu ss wakristo! mungu co.mjinga kwann.kakunyima.ww kampa yeye?
@maryabby7952
@maryabby7952 4 жыл бұрын
Allah amjaalie awe nimwenyekutoa zakka na kuwasaidia mayatima ili apate mwisho mwema
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Allahumma aaamin
@fredmbossa
@fredmbossa 2 жыл бұрын
Nilichogundua humu wanaponda wengi ni waisalmu,mara sanda mara utaviacha hapahapa duniani ,,,kwahiyo ukiwa duniani unatakiwa uwe maskini tu ,,,,wivu watu unawasumbua
@allysultan9441
@allysultan9441 2 жыл бұрын
Nimependa hiyo Quran ikisomwa kwa sauti nzuri
@aljadiidualjadiidu6889
@aljadiidualjadiidu6889 2 жыл бұрын
Maashaa Allah Tabaaraka'Allah
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 4 жыл бұрын
Mashallah ila yote nimapito subhanallah
@user-bx1oz2ib1z
@user-bx1oz2ib1z Жыл бұрын
Nasikia sauti ya seikh Ali jaabir akisoma qur an
@hakusfakir7364
@hakusfakir7364 2 жыл бұрын
Mashaaallah....yakini......ukimtegemea.....ALLAH.....ktk....mali....zako....zinadumu.....daima....milele....🤲🙏
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 2 жыл бұрын
Mali hazidumu milele wewe
@sultannassor9756
@sultannassor9756 4 жыл бұрын
hakuna neno usiishi vzr sija weka hpo nimesema haya maisha niyakupita nendeni muka wasaidie masikini vijijini nyinyi ndo mungu alo wapa uwezo na pia tuwa ombee dua kutoa hao walonacho.
@sundaymsuya1433
@sundaymsuya1433 2 жыл бұрын
Atasaidia wangapi kwenye hii dunia ukiona hivi pambana naww angalau umkaribie usiongee kwa xababu hauna je ww ukipata pesa km hivo alivo utaweza saidia kweli au unaongea kwaxababu hauna
@omarbachu1074
@omarbachu1074 3 жыл бұрын
MashaAllah!
@badar3781
@badar3781 2 жыл бұрын
Mashalla mungu azidi kukupa
@athumanmkilindi6215
@athumanmkilindi6215 2 жыл бұрын
Mashallah Allah allah
@ismailiamblosi2681
@ismailiamblosi2681 Жыл бұрын
Tajiri uza malizako zote na pesa uwape masikini
@jamalmohamed3400
@jamalmohamed3400 2 жыл бұрын
Masha ALLAH...
@aishapengo2970
@aishapengo2970 2 жыл бұрын
Mashallah
@amirimbwambo3463
@amirimbwambo3463 2 жыл бұрын
Mashaa llah
@badar3781
@badar3781 2 жыл бұрын
Mashalla mashalla vizuri sana
@rajvanymatuma5977
@rajvanymatuma5977 2 жыл бұрын
ongela yake mungu amzidishie
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 Жыл бұрын
Huyu hadi amejisalimia kwa kioo 😂😂
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Masha Allah
@medwho959
@medwho959 2 жыл бұрын
Allah awahifadhi.
@bahrujbaura8042
@bahrujbaura8042 3 жыл бұрын
Alafu nimsikie mtu anitajie uchafu wa Diamond!angalien watu wanavyo ishi mwenye pesa hajisifu Wala kujitangaza ushamba tu!
@eliyanorobeth8567
@eliyanorobeth8567 2 жыл бұрын
Yani wewe ni mpumbafu kwelikweli!!!! Sa diamond kaingiaje kwenye hil Tafuta zako nawewe Basi uish bila kujisfu. Pia chakukuongezea tafta jibu la swali hil MSANII NI NINI?????? HUTOHANGAIKA
@jumamohammed5378
@jumamohammed5378 Жыл бұрын
MashaAllah
@manasadunia3458
@manasadunia3458 2 жыл бұрын
Masha allah
@nassirhamis5848
@nassirhamis5848 2 жыл бұрын
Mashaallah
@fatmasaid9074
@fatmasaid9074 2 жыл бұрын
utajir wa akhera tuuu mapitooo TU ayo kuwa tajir dunianii pia mtihan ndugu zanguu
@nbwchannel4997
@nbwchannel4997 2 жыл бұрын
Tatizo tusichague watu kua uyu akionyesha mali zake mshamba mwengine Mungu amsaidie sio fresh.
@wilemakunga1016
@wilemakunga1016 2 жыл бұрын
Hakika nimeskia Quran tukufu inasomwa
@nbwchannel4997
@nbwchannel4997 2 жыл бұрын
Inapendeza sana
@mohamedahmed-wc5te
@mohamedahmed-wc5te 4 жыл бұрын
Leo juu ya mgongo wa dunia kesho sanda chini na ndani kwa tumbo la dunia.Allah atughafuru na atuongoze kwa duniani na kesho akhera.Amiiiin
@hallin9561
@hallin9561 4 жыл бұрын
Kwaiyo kama kesho tutakufa basi leo tulale kwenye nyasi kisa kesho tutaiacha dunia.. Tuache mawazo ayo wabeba imani
@carlitacelestinopedro7127
@carlitacelestinopedro7127 3 жыл бұрын
Mashaallah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@aboubakaryjuma8349
@aboubakaryjuma8349 2 жыл бұрын
Kunawatu wanaishi Jamani!!
@joshymalinyo6057
@joshymalinyo6057 2 жыл бұрын
duuh mzebaba anaishi aise
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 жыл бұрын
Mimi nakushauri ujenge pepo yako kwa Allah utaikuta kuliko kujenga kasri ukaliwacha na kila kilichomo huchukui ata sent 1 hivyo jitahidi kujenga akhera yako inshallah
@mrsnam6897
@mrsnam6897 4 жыл бұрын
Sasa ingekua ni wewe na pesa unazo ungelifikiria hivyo kweli
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 жыл бұрын
@@mrsnam6897 sana 2 naomba mungu kila ck wallah
@noahvan6890
@noahvan6890 4 жыл бұрын
Umaskini dhambi, tafuta pesa uishi vizuri sio kulaumu kwanza ushatenda dhambi mpk hapo
@tugabiz4286
@tugabiz4286 3 жыл бұрын
Una uhakika kuwa hasaidii wenye uhitaji au unataka hadi angekua ana rekodi wakati anatoa? Acheni akili za kimasikini hizo
@fikirimajila2897
@fikirimajila2897 2 жыл бұрын
Kwahiyo ulitaka aishi kwenye pagare ndourizike
@mrsnam6897
@mrsnam6897 4 жыл бұрын
Nilicho kigundua kwa hizo comments duniani hapa hatutofanikiwa na akhera adhabu inatusubiri Watu wamejawa na wivu wa mali za mtu, unaona eti utakufa utaziacha, jaman jaman😋😋😋😋😋😋😋😋😋
@sasamjr2517
@sasamjr2517 4 жыл бұрын
Umeona eenh waswahil tunaroho mbaya kimshinda sheitwan
@amospoti3766
@amospoti3766 3 жыл бұрын
Kuna comments hapa hata shetani atazikataa siku ya kiama kwamba hakuwa shauri ahao watu kuandika mtu anawazia mwenzake ahela ili hali yeye n mzinifu muongo na muuaji
@dinopaul2618
@dinopaul2618 2 жыл бұрын
😂😂😂
@ramabendera8183
@ramabendera8183 4 жыл бұрын
Tabarakahllau
@hamidaala2832
@hamidaala2832 2 жыл бұрын
MashaAlhaAlhaAkuzidishie
@sultannassor9756
@sultannassor9756 4 жыл бұрын
wasedieni masikini vijijini dunia tunapita
@sasamjr2517
@sasamjr2517 4 жыл бұрын
Ata ww unayohaki ya kisaidia masikin kwa Mungu alichokupa
@odeanmachaku3719
@odeanmachaku3719 2 жыл бұрын
Hard work pays
@mustafamsati6462
@mustafamsati6462 3 жыл бұрын
Kweli chibu gari kaitoahapo
@shafiiakida4561
@shafiiakida4561 3 жыл бұрын
mashallah
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 жыл бұрын
Ingekua za daimond sijui ingekuaje
@ezzyb2565
@ezzyb2565 6 жыл бұрын
Jamani hii ni nyumba ama mall?
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 2 жыл бұрын
Kwa sasa nipo Tandale nimepanga ila nahangaikia japo chumba ki1 ili nihamie kwangu ama kweli maisha hayana huruma🙈
@ramadhanijuma8874
@ramadhanijuma8874 2 жыл бұрын
Hiyo ni israf.......
@roggerssimon122
@roggerssimon122 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 nmeona ferar c aipoteze niikote jaman
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Tutafute pesa
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 жыл бұрын
Mpaka snema ndani
@bakarialykitemwe9232
@bakarialykitemwe9232 3 жыл бұрын
Mo hana chochote hawa ndio matajir dadadeki
@fadhilisamson4085
@fadhilisamson4085 2 жыл бұрын
Kwani hao wanakusaidia nini kwenye maisha yako boss
@bakarialykitemwe9232
@bakarialykitemwe9232 2 жыл бұрын
@@fadhilisamson4085 kwakweli wote wana nisaidia mana kila tajiri ana msaada ktk jamii yani mo ana nisaidia na bakhresa ananisaidia masada unaweza usione machoni lakini kupitia kodi zao serekali inafaidika na raia pia so nafaidika
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 2 жыл бұрын
@@bakarialykitemwe9232 sasa mbona watu wanasem bakharesa mo tajir ni mo hvi ni kweli?
@bakarialykitemwe9232
@bakarialykitemwe9232 2 жыл бұрын
@@zalhathasaid2060 inawezekana ikawa kweli kulingana na tafiti zao wanazo fanya lakini kwangu mimi nikiangalia vitu anavyo miliki bakhressa sikubali kuniambia mo tajir zaidi ya bakhressa
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 2 жыл бұрын
@@bakarialykitemwe9232 na mimi ivoivo
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 жыл бұрын
Huyu ameshapewa duniani hatujui akhera.
@mrsnam6897
@mrsnam6897 4 жыл бұрын
Mungu Anjalie akhera yenye ubara kuliko wa hapa duniani
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 3 жыл бұрын
Namuomba Allah ampe zaidi huko Akhera sababu Omar anajitahidi sana ktk kuekeza akhera kuliko duniani Masha'Allah
@mohdkhamis3857
@mohdkhamis3857 2 жыл бұрын
Kama kuna haki za watu hpo ndio shida!!
@touchgloves2613
@touchgloves2613 2 жыл бұрын
Huwezi sema dini inapenda extravagants km hizi maana wakat ww una vyumba kumi na tano usivyovitumia kuna watu hawana pakulala ktk mitaa unayopita na unawaona
@nadiakarata8984
@nadiakarata8984 2 жыл бұрын
Dini haikatazi shekh kuishi vizuri na himkatazi shekh mtu kuhadisia neema mungu alizokujalia mandhari si kwa kebehi na majivuno. Mungu amzidishie na atujalie na sisi pia Inshallah.
@marryelasto1592
@marryelasto1592 4 жыл бұрын
Dini kwanza ayo yote tutayaacha hapq
@dinopaul2618
@dinopaul2618 2 жыл бұрын
Kwani huwezi fanya vyote kwa pamoja🤔
@tuntulusekelo4191
@tuntulusekelo4191 4 жыл бұрын
duhh chapaa nyoko
@juliusmassawe597
@juliusmassawe597 4 жыл бұрын
Mmmmm!!!
@feristerjames4522
@feristerjames4522 2 жыл бұрын
Sasa uyo domo ndo sone hapa watu hawajisifii itakua wancheka tu
@jpmanotaofficial639
@jpmanotaofficial639 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@feristerjames4522
@feristerjames4522 2 жыл бұрын
@@jpmanotaofficial639 🌝🌚😜
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 3 жыл бұрын
Hili huenda likawa ni jengo la biashara
@sultannassor9756
@sultannassor9756 4 жыл бұрын
haki ninayo lkn uwezo sina uwezo wangu nikuwakumbusha walo nacho kutoa
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 3 жыл бұрын
Pesa kitu ingine
@shafiiwise2638
@shafiiwise2638 4 жыл бұрын
Toa mal kwa wahusika xo maonyesho
@abdulrahimmohamed7066
@abdulrahimmohamed7066 2 жыл бұрын
Na wala humuoni akijigamba sio wasanii wetu wa bongo
@idduyusuph9408
@idduyusuph9408 4 жыл бұрын
Ila mwisho wa siku atakufa vyote ata viacha tu
@sasamjr2517
@sasamjr2517 4 жыл бұрын
Uchaw huo?
@khadijayuba6065
@khadijayuba6065 4 жыл бұрын
Wivu tu haya ww utaishi milele utaenda kuchukua
@jonathankyandojr8345
@jonathankyandojr8345 3 жыл бұрын
Ndioo atawaachia watoto wake kwani shida iko wapi?
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Baba ake hanaga izi. Yeye kapewa theluthi2 ashaanza mbwembwe wakati baba hata akitoa msaada hataki media
@sonko-13
@sonko-13 2 жыл бұрын
😂 naww mwambie baba yako akupe,
@malota2138
@malota2138 2 жыл бұрын
@@sonko-13 😂😂😂
@ommarymzee1161
@ommarymzee1161 7 жыл бұрын
wat na maisha yao
@mathanikibuti6676
@mathanikibuti6676 2 жыл бұрын
Kila nafsiii itaonja umauti,
@ahmedbahannan2754
@ahmedbahannan2754 6 жыл бұрын
Kama mali yako halali ni sawa kutumia pesa yako kufanya maisha yako kuwa mazuri, lakini sioni kama ni uzuri kuweka video kama hizi kwa youtube kuonyesha mambo yako ya kibinafsi hadharani. kama unaonyesha kiwanda chako ni sawa lakini nyumbani kwako bora usifanye.
@abdullaali6226
@abdullaali6226 5 жыл бұрын
Ahmed Bahannan huyo alotuma hii video sio mwenyewe Omar Bakhressa, mwenyewe humkuti popote kutuma, hata hivyo alotuma hajatuma kwa lengo baya, just nasie tuone tu,
@mrsnam6897
@mrsnam6897 4 жыл бұрын
Jamoni wivu jamon wivu unatutesa na umaskini hautotuacha
@mozaseif2812
@mozaseif2812 3 жыл бұрын
Ah mtihan mashallah matajir wetu
@rajabaliremtulla6369
@rajabaliremtulla6369 5 жыл бұрын
to put such a video on the utube reveals the pride of the owner. I do not suite whilst the Quran is recited
@rukiaabdallah92
@rukiaabdallah92 6 жыл бұрын
Ni vya dunia tu hatoki na kitu chochote isipokuwa sanda tu 😷
@kambugarakim4840
@kambugarakim4840 2 жыл бұрын
Uchawi huo
@abdul-rahmanal-sis7097
@abdul-rahmanal-sis7097 2 жыл бұрын
Mashallah hadha min Fadhil Rabbi
@asiakheir3846
@asiakheir3846 6 жыл бұрын
Jitahidi kuwekeza kwa Allahpia. MashaaAllah wenyehusda wasivione.
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 жыл бұрын
Amin
@hamidaala2832
@hamidaala2832 2 жыл бұрын
AaminaYaarabi😭😭😭
@ismailiamblosi2681
@ismailiamblosi2681 Жыл бұрын
Tajiri uza malizako zote na pesa uwape masikini
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 2 жыл бұрын
Mashallah
@saifalrajhi5001
@saifalrajhi5001 7 жыл бұрын
Sasa Omar na Salim Bakhresa yupi ni yupi
@abdullaali6226
@abdullaali6226 5 жыл бұрын
Huyo Omar ni mtoto mmoja tu wa Bakhressa ndo anamiliki hiyo, wako na watoto wengine.
@ismailiamblosi2681
@ismailiamblosi2681 Жыл бұрын
Tajiri uza malizako zote na pesa uwape masikini
@paulinasteiner5417
@paulinasteiner5417 3 жыл бұрын
Mashallah
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 35 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 17 МЛН
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 18 М.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 7 МЛН
Indonesia’s $33B Capital Relocation Plan Is Imploding | WSJ Breaking Ground
7:11
The Wall Street Journal
Рет қаралды 1,1 МЛН
FUMBA TOWN ZANZIBAR | MJI MPYA WA KISASA |
5:28
Spesho Kabwanga Online
Рет қаралды 55 М.
TAZAMA MSAFARA WA GSM ULIVYOINGIA KWA MKAPA
1:30
World Sports 14
Рет қаралды 10 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН