Raman ya stendi iko wap msije mkajenga kama ya nane nane mbeya ni Jiji kubwa lililopanuka na lenye mapato makubwa ni la tatu kwa kuwa na mapato mkubwa tunaomba stendi ya viwango kama ya mbezi ya magufuli mbeya ni Jiji lienye utajiri mkubwa lenye mapato makubwa
@Gsamir6942 ай бұрын
Safi sana
@raphaelkessy73602 ай бұрын
❤🇹🇿Ni Raisi wetu🇹🇿❤Samia huyo miaka❤Mia❤🇹🇿
@am2323tze2 ай бұрын
Yaani Mkandarasi gani asiyemiliki ESCALATORS za kuchimbia. Wanachimba kwa pauro
@osi_ministry2 ай бұрын
Tunaomba mtuoneshe ramani ya mradi utaonekanaje ukikamilika
@ManyunyuTv2 ай бұрын
Ramani hiyo hatuna kwa sasa.
@osi_ministry2 ай бұрын
@@ManyunyuTv mkaombe tujue tunajengewa muonekano gani, vision plan ni muhimu Kwa maoni ya washika dau, stand ya magufur mbez tuliona raman na tuliappriciate kinachojengwa kabla hata ya ujenz kuanza
@JosephKibona-t7oАй бұрын
Tuone ramani
@eddechriss26642 ай бұрын
Kwa sisi ambao bado hatujafika mbeya physical yani tunaona jiji la mbeya km vile town flani ya wilaya tu
@yustomwaisomania25872 ай бұрын
Tembea uone acha kuamini maneno ya kuambiwa
@eddechriss26642 ай бұрын
@@yustomwaisomania2587 Si maneno ni picha
@Aminmwansile-we8vnАй бұрын
Mbeya Nini kubwa Sana na ni Jiji la tatu kuanzishwa baada ya daar na mwanza mbeya ndiyo Jiji likafuata
@maribaisack2097Ай бұрын
Mbeya ni kubwa sana alafu imeshona balaa kila mtaa...karibu