TAZAMA MWILI WA MANJI UKISWALIWA MSIKITINI MUDA HUU MAREKANI, MWANAE ALIA KWA UCHUNGU

  Рет қаралды 11,257

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

25 күн бұрын

Mwili wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti na mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji, ambaye umeswaliwa katika Msikiti Al Hayy uliopo Florida, Marekani.
Mwili wa Manji unatarajiwa kuzikwa leo Julai Mosi, 2024 nchini humo.

Пікірлер: 49
@bibitititv9333
@bibitititv9333 19 күн бұрын
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi, Amina
@user-ly2tv5og1n
@user-ly2tv5og1n 23 күн бұрын
Allah SW umpe makazi mema mja wako... Amin !
@chikujuma18
@chikujuma18 22 күн бұрын
Inlilaahi wainalilah rajighun mwenyezi mungu ampe khauli thabiti ndugu yetu
@saleemshehabu3071
@saleemshehabu3071 23 күн бұрын
Allah amsamehe makosa yake
@hajimassawe2592
@hajimassawe2592 23 күн бұрын
Allah ampe kauli thabiti!
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 23 күн бұрын
Wanachama wa yanga siwaoni hapo,innalilah wa Ina ilayhi rajiun
@user-xb7jv2jt7d
@user-xb7jv2jt7d 22 күн бұрын
INNAH LILLAH WAINNA ILAIH RAJ OON
@muhiddinmustafa7906
@muhiddinmustafa7906 9 күн бұрын
innadina indallahil islam,hakuna dini ya haki isipokuwa ni uislam.
@alimau7939
@alimau7939 23 күн бұрын
Anapokufa mtu hukatika matendo yake ila mambo 3,swadaqa ya kuendelea, mtoto mwema na elimu yenye manufaa
@allycomm1553
@allycomm1553 20 күн бұрын
Hakutakaga KUKAA na watu wa kher Hilo ndio balaa lake ukisha kufa ALLAH atufishe ktk uislaam n sunna hiyo ndio salaama yetu
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 23 күн бұрын
Mungu amlipe anachostahiki mshia huyu mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake amesema hakika pepo imezuiliwa kwa kila mtu wa bidaa
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 6 күн бұрын
Kusoma surat fatiha katika sala ya maiti si lazima.rudini mkasome wapendwa
@user-zf2ty3ng6u
@user-zf2ty3ng6u 17 күн бұрын
Arafatmahmud kama kitu hukijui uliza kaka ACHA ushabiki wa madhehebu nisome unijue nikusome nikujue hatito gombana
@shegiahuseinshegia9008
@shegiahuseinshegia9008 15 күн бұрын
Swala ya jeneza ni Dua, kama ilivyo swala ya mtume,tukiambiwa tumswalie mtume hatusomi faatiha
@lusakaone7782
@lusakaone7782 23 күн бұрын
Innalillah wainna ilayhi raajiuun
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 21 күн бұрын
Kwa wale msiojua ndugu yetu alikua raia pacha
@missmoona4497
@missmoona4497 22 күн бұрын
Innah lillah wainnah illah rajiuna
@user-ug4du2kv6v
@user-ug4du2kv6v 22 күн бұрын
Shia akakute aloyatanguliza katika kuwatukana wabora wetu
@christophermunuo3554
@christophermunuo3554 22 күн бұрын
So mtanzania huyo kwa mini azikiwe marekani
@paulokenedy4090
@paulokenedy4090 23 күн бұрын
Si ndio hao unaowaona au unataka rangi?
@majaliwaking4500
@majaliwaking4500 23 күн бұрын
Duh kumbe alikua Shia Allah amlipe anachostahiki duh ushia sawa Na ukristo
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 22 күн бұрын
Innah lillahi wainna illahi rajjiun
@SHIJAFELICIAN
@SHIJAFELICIAN 20 күн бұрын
Imani yao ni hiyo kwa hiyo kila binadamu huamini anachokiaminj na hakuna binadamu mwenye uhakika wa dini ya kweli wote tunaamini maandiko tu
@Allybinamour
@Allybinamour 18 күн бұрын
Allah kaleta kitabu akamleta na mtume saw kuufundisha ummah,ikiwa hadi leo hujui dini ya kweli ni ipi umekula khasara nzito
@YasiniMomboka
@YasiniMomboka 23 күн бұрын
Inalilah
@ZaiNdogondogo-wf7mw
@ZaiNdogondogo-wf7mw 23 күн бұрын
Kila nafsi itaonja umauti
@arafatmahmud3547
@arafatmahmud3547 23 күн бұрын
Hiyo ndio swala ya maiti kwa mashia, haina Surat Al Fatiha, pia katika dua ya imamu ameomba amfufue pamoja na maimamu, maimamu 12 wa Kishia.
@user-ly2tv5og1n
@user-ly2tv5og1n 23 күн бұрын
Surat Fatiha wamesoma kimya kimya pamoja.
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 23 күн бұрын
Nyinyi mtafufuliwa pamoja na akina boka, omi na suma
@officialmkacha652
@officialmkacha652 22 күн бұрын
Duuh kwel kazi ipo
@officialmkacha652
@officialmkacha652 22 күн бұрын
@@ibrahimomari2458kivip et
@user-rc1em7ol6u
@user-rc1em7ol6u 21 күн бұрын
Huna elim kaka
@HeriMagwaza-cd4wg
@HeriMagwaza-cd4wg 23 күн бұрын
Kila nafsi itaonjaa mauti rala manji
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 21 күн бұрын
Mmmmh mashia jaman hii swala ya maiti kweli 😂😂😂😂😂
@user-dp9mt6rd8u
@user-dp9mt6rd8u 20 күн бұрын
Swala ya maiti ni ipi..?
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 19 күн бұрын
@@user-dp9mt6rd8u bila alihamdu
@NjunguNdinga-kq1jh
@NjunguNdinga-kq1jh 23 күн бұрын
Kla nafc itaonja pepo na umaut
@rashidhemed6816
@rashidhemed6816 23 күн бұрын
Swalatul maiti ina takbira 4 hapo nimesikia 5 na takbira ya kwanza sijasikia wakisoma suratul fatiha
@ramadhanihashibae9805
@ramadhanihashibae9805 23 күн бұрын
Hao sio waislamu, ni mashia ndio maana utaratibu wa ibada zao ni tofauti na wetu
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 23 күн бұрын
​@@ramadhanihashibae9805Mapokezi tofauti...Haya tuwachie wenyewe Allah ndie anaejua usahihi zaidi...Waislamu ni 1 duniani.
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 23 күн бұрын
​@@ramadhanihashibae9805utaratibu wa Ibada uko tofauti kivipi?
@shamzone388
@shamzone388 23 күн бұрын
@@ramadhanihashibae9805mashia pia niwaislam Kuna madhehebu mengi ya kiislam
@SuleimanAlKharusi-rr6zb
@SuleimanAlKharusi-rr6zb 22 күн бұрын
Shia ni miongoni mwa wa waislamu, tofauti zilizopo ni ndogo sana hivyo tupo pamoja nao. Hatuwezi kusema sio waislamu wakati wanatambua uwepo wa Allah Subhanah Wataalah na mtume wake Muhammad SAW.
@ameirameir4349
@ameirameir4349 23 күн бұрын
Ushia mtupu hapo
Shuhudia mwanzo mwisho mwili wa Yusuf Manji ukizikwa Florida, Marekani
5:11
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 80 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 34 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 1,9 МЛН
Tribute to Marhum Yusuf Manji at HIC Orlando July 2 2024
3:42
Bachupira
Рет қаралды 3,7 М.
MAAJABU YALIOMO NDANI YA AL QAABA |  SIRI 8 USIZOZIJUA
4:07
AQ ONLINE TV
Рет қаралды 88 М.
YUSUF MANJI MAHAKAMA KUU TENA
2:58
Millard Ayo
Рет қаралды 71 М.
Yusuf Manji burial
42:15
Nelshah Kanji
Рет қаралды 3,8 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 80 МЛН