Innalillahi Wainna ilayhi rajiun,Rabbi amghufiliye pale alipoteleza,awafariji familia yake hususan mke/wtt wake pia pole kwa wanaYanga + wapenda michezo wote Tz. Baki Allah,kazi yk Mola haina makosa,Buriani Yussuf Manji.
@kamrudinelias39224 күн бұрын
Hizi vilabu za mpira nuksi sana kwa wafanyabiashara, abass gulamali mengi Yusuf mo na wengine wengi tuu...hebu kaeni pembeni na kutumia fedha zenu kulea yatima duniani kote...alhamdullilah subhanallah.....
@rashidichuri11497 күн бұрын
hii ndio dunia unaishi miaka 49 wasifu unasomwa dk 1.
@user-wj6zj1ly4e8 күн бұрын
Ila kuna namna ya watawala kuchangia maradhi ya manji, RIP BAbu ramadhani wa kariako.
@CrepinaKatundu-uj7xk8 күн бұрын
R.I.P.Marehemu.Poleni Wafiwa.
@neemaevance808 күн бұрын
Mungu ampe pumziko jema
@naturelle10977 күн бұрын
Rest in Eternal Peace
@bodyaman6 күн бұрын
R.I.P MANJI
@omarylukindo53067 күн бұрын
Alikua na miaka 49Hadi anafariki.bado alikua kijana