Tazama Simba ilivyopgishwa 'gwaride' na Tanzania Prisons (1-1) | Highlights - VPL 10/03/2021

  Рет қаралды 823,532

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

SIMBA vs PRISONS: Luis Miquissone ameinusuru Simba na kichapo cha Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi Tanzania Bara kwa bao ya kusawazisha la dakika ya 90+5, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam baada ya Salum Kimenya kuitanguliza Prisons dakika ya 56.
Katika mchezo huo Simba walikosa penati iliyopigwa na Chris Mugalu na kupanguliwa na Jeremiah Kisubi lakini pia wakapata pigo kwa beki wao Jumanne Elifadhili kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
Haya hapa magoli, kadi nyekundu na mkwaju wa penati
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 299
@simontchaz5272
@simontchaz5272 3 жыл бұрын
Ndo mara yangu ya kwanza kumsikia Baraka Mpenja akisema tumsifu yesu Kristu
@fadhakkirfoundation
@fadhakkirfoundation 3 жыл бұрын
HUJAFA HUJAUMBIKA.VIDEO HII ITAWALIZA WALIO WENGI LAKINI TAFAKARI CHUKUA HATUA. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/gp7JaIyYeZxli9k
@shizoshop2469
@shizoshop2469 Жыл бұрын
Umewahi kumsikia tena akisema ? Alipigwa stop na bakharesa kama anaitaka kazi asitamke tena kama haitaki atamke
@franciscynthia6506
@franciscynthia6506 3 жыл бұрын
Coach asimuache morisson nje cz ni best kuliko chikwende
@jaladollar7745
@jaladollar7745 3 жыл бұрын
Hongera niwape wachezaji wetu kiukweli simba tumeucheza mpira mwingi sana sema bahati haikuwa yetu hii imekwisha pita sasa kilichobaki nikuangalia mchezo ujao.
@2times273
@2times273 3 жыл бұрын
Fighting spirit ya Simba ni kubwa sana hadi inafurahisha
@fadhakkirfoundation
@fadhakkirfoundation 3 жыл бұрын
HUJAFA HUJAUMBIKA.VIDEO HII ITAWALIZA WALIO WENGI LAKINI TAFAKARI CHUKUA HATUA. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/gp7JaIyYeZxli9k
@jayjaybingi8645
@jayjaybingi8645 3 жыл бұрын
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeèeèeeeeeeeeeèeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeèeeeeeeeeeeeeeèeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeqeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq was u
@emmanuelchacha1968
@emmanuelchacha1968 3 жыл бұрын
@@fadhakkirfoundation aàaa
@chilambomnyasa4869
@chilambomnyasa4869 3 жыл бұрын
Ukitaka kujua simba ni timu kubwa angalia popular video zote za azamtv simba ipo 💥💥💥💣💣💣
@hajikiomi2221
@hajikiomi2221 3 жыл бұрын
Siwezi kusahau hii mechi namkumbuka sana konde boy fighter
@simontchaz5272
@simontchaz5272 3 жыл бұрын
Hiyo shangili ya prison nimeipenda sana
@jacksonezeron3540
@jacksonezeron3540 3 жыл бұрын
Thank you so much simba
@dabimha8866
@dabimha8866 3 жыл бұрын
Hivi zile rafu zoote ambazo zilistahiki penalti hamkuziona kama ipo haja kuzirejea kwenye highlight ili kuondosha utata? Au.mna hamu ya kutangazia kitu flani ambacho mnatamani kitokee?
@twalib09
@twalib09 3 жыл бұрын
Wa kwanza dis is simba
@rahmakalumuna2899
@rahmakalumuna2899 3 жыл бұрын
Daaa kagere angekuwepo hapo tungekuwa na magoli mengi sanaa
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 3 жыл бұрын
PRISONS HAWAJUI MPIRA BALI JUDOOOO
@lulukibanga8152
@lulukibanga8152 3 жыл бұрын
Refa fala kwel kakata gori la waz kakubali la offside hongera Simba never give up 👊
@dicksonaroka6961
@dicksonaroka6961 3 жыл бұрын
Na angekubali ile ya kwanza na huakika goli la pili ingerejea kabla ya dakika 90 lakin chaa jabu kakataaaa goli halali karuhusu goli la offside ukisikia maajabu ya mwaka ndo haya lakin all in all mugalu amekosti timu ushindi kwa nafas nying tu katika mech ya jana mimi ushaur wangu kwa mwalimu mechi hiz za ndan bora wacheze boko na kagere ndo wana faaa zaid
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 3 жыл бұрын
Yaani Lulu una akili kweli, sijui uko akilini kwangu? Yaani huo ndo ukweli, alilolikubali ndo offside alilokataa ndo lilikuwa goli, Lulu nicheck WatsApp 0687011066
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 3 жыл бұрын
SIMBA WANAKIPIGA BALAAAAA
@felixernesto1366
@felixernesto1366 3 жыл бұрын
Headline mbovu, nyie Azam TV mlikuwa hamuangalii. Mpira gani waliocheza Prisons zaidi ya kupaki bus. Next time wekeni Heading ya habari inayoenda sambamba na uhalisia
@faithhumble3780
@faithhumble3780 3 жыл бұрын
Mechi ilikuwa nzuri san na yenye ushindani sana hongereni sanaa
@paschalsamwel5921
@paschalsamwel5921 3 жыл бұрын
Mpira kacheza simba,rafu kacheza prisons
@egidiusthadeo5573
@egidiusthadeo5573 3 жыл бұрын
Haaa! Ati leo ni Tumsifu Yesu Kristu!
@moseshaule586
@moseshaule586 3 жыл бұрын
Mbona hushangai mtu alisema assalamualaikum
@dadykhalfani9527
@dadykhalfani9527 3 жыл бұрын
Tuangalie mechi zijazo hii imepita na ubingwa ni haki yetu tusiwe na wasiwasi yajayo yanafurahisha pia changamoto hazikosekani kwa kila kipengele cha maisha tunayopitia hii yote ni kukufanya usijisahau uzidi kuwa imara zaidi SIMBA SC NGUVU MOJA
@beatricezacharia1896
@beatricezacharia1896 3 жыл бұрын
Ongera simba mnyama mmecheza Mpira mzuri sana sema bahati haikuwa yetu na mmepambana sana kwakujituma kutafuta gori
@alinassor8920
@alinassor8920 3 жыл бұрын
Wachezaji wawe makini kwenye penalty wanaigharimu timu kupata ushindi Kama Leo
@musamgulila577
@musamgulila577 3 жыл бұрын
Watafute mpiga penati mzur ambaye ana confidence atakaekuwa anapiga
@theodorycharles4959
@theodorycharles4959 3 жыл бұрын
simba mpigaji penarty nimojatu anaeaminika ndohivyo kwasasa hachezi mala kwa mala erasto nyoni
@musamgulila577
@musamgulila577 3 жыл бұрын
@@theodorycharles4959 watafute ambaye yumo ktk first eleven
@theodorycharles4959
@theodorycharles4959 3 жыл бұрын
kweli kk
@jumaali9732
@jumaali9732 3 жыл бұрын
Asante 🤩🤩🤩🤩🤩
@meshackpallangyo626
@meshackpallangyo626 3 жыл бұрын
Ilaa must ubingwaaaa uweeee wa mnyamaaa
@cashcowinvestment3160
@cashcowinvestment3160 3 жыл бұрын
Where is Bernard Morrison?
@jacksonmalolage9476
@jacksonmalolage9476 3 жыл бұрын
Hii ilikuwa vita
@liberatusslyvanus916
@liberatusslyvanus916 3 жыл бұрын
Honra nikisoni dakika za mwisho tunapata ushindi
@ZulfaMshamu
@ZulfaMshamu Жыл бұрын
Was 🔥
@dabimha8866
@dabimha8866 3 жыл бұрын
Kabla hata sijaangalia hii high tayari headline inasema aloandaa hii ni mtu wa mtazamo gani. Namkumbusha tu kua hii ni highlight na game ni draw
@dabimha8866
@dabimha8866 3 жыл бұрын
Hii mechi ingekua simba wamefungwa headline ya highlight ingekua vipi?
@tawalazephuline4950
@tawalazephuline4950 3 жыл бұрын
Simba another level aisee vichwa- vichwa mpaka golini m~son ••• miq~son•••goliiii
@jacksonmalolage9476
@jacksonmalolage9476 3 жыл бұрын
Awa jmaa wanacheza kma wapo vitani nguvu nying
@fadhakkirfoundation
@fadhakkirfoundation 3 жыл бұрын
HUJAFA HUJAUMBIKA.VIDEO HII ITAWALIZA WALIO WENGI LAKINI TAFAKARI CHUKUA HATUA. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/gp7JaIyYeZxli9k
@hamisymatagi8350
@hamisymatagi8350 3 жыл бұрын
Gwaride gan 70%kwa 30% umiliki was mchezo au kigezo ni kutangulia kwa goli au?
@ibrahimtobah9092
@ibrahimtobah9092 3 жыл бұрын
Heko Simba kwa kucheza kama timu.....70/30. si mchezo wa dhihaka!
@nicholasmwakatali3360
@nicholasmwakatali3360 3 жыл бұрын
Simba sc imecheza mpira babukubwa,nashanga wanaposema Tz Prisons yaipigisha gwaride Simba sc,anayeongea hivyo anaongeza ushabiki najua huyo ni Utopolo fc. Kitalaam Mnyama kawalisha Pira Birian Wajelajela Position 70/30 yaani hii ni zaidi ya hatari. Vyura fc wamefungwa midomo
@shijamakenzi3051
@shijamakenzi3051 3 жыл бұрын
Kocha wa simba anazingua kagere ni bora kuliko huyo mgaru hata chikwende bado kwa Morrison tatizo makocha wetu uswahiba mwingi katika mechi mm binafsi kagere ni bora kuliko mgalu ila pale simba maigizo mengi sana
@musamgulila577
@musamgulila577 3 жыл бұрын
Ushaona eeeh mk14 jaman cjui wanamchukuliaje jamaa
@kuruthummkuka768
@kuruthummkuka768 3 жыл бұрын
Km upo moyoni mwangu vile hii gem ilivyochezwa nililaum sana mk kukaa nje Wala mugalu simkubali kivile
@eriqemarson2362
@eriqemarson2362 3 жыл бұрын
ila simba tunapigwa vita kweli....sasa Gwaride gani na sisi ndo tumewashambulia mwanzo mwisho 😂😂😂
@dabimha8866
@dabimha8866 3 жыл бұрын
Ukiwa bingwa wape wengi watakuchukia lakini waache na ujinga wao
@msyanituntufye3441
@msyanituntufye3441 3 жыл бұрын
Kiukweli hawa marefa ndo wanaharibu mpira watu wanajidondosha tu upumbavu tuu tff muwe makini na hawa wajinga.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Tatz hawa prison wanatumia nguvu nying mno ndio Maan Barack mpenja anasem pira gwaride
@dabimha8866
@dabimha8866 3 жыл бұрын
@@aminatanzanya7475 al8chotakiwa aite pira punguwani
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
@@dabimha8866 🤣🤣🤣 tupo pmj
@samysamwel350
@samysamwel350 3 жыл бұрын
Wako sawa
@josephjohn7003
@josephjohn7003 3 жыл бұрын
Sasa hivi simba kufunga penati no 30% kukosa no 70% itabidi wachezaji wafundishwe namna ya kufunga penati
@humphrey477
@humphrey477 3 жыл бұрын
** MUGALU IS LIKE WELBECK IN MAN U HE DOESNT SCORE MISS MANY CHANCES BUT HE PRESSURE THE DEFENDER MAKE THEM TO BE UNCONFORTABLE . I THINK KAGERE AND BOCK ARE BEST DUO EVEN IF KAGERE HIS BALL CONTROL IS POOR , PROTECT THE BALL IS POOR BUT FINISHING AND POSITIONING HIS EXCELLENT AT IT. I THINK ITS TIME TO GIVE A CHANCE BULL STRIKER KAGERE. **
@wazirihamza9522
@wazirihamza9522 3 жыл бұрын
True
@hafidhgolla109
@hafidhgolla109 3 жыл бұрын
Sure
@gracesiwale7066
@gracesiwale7066 3 жыл бұрын
Kiukweli walipambana sana wachezaji wetu jaman maana prison ni wauwaji kabisa hawa watu
@jonasstephano8639
@jonasstephano8639 3 жыл бұрын
Simba kwa kweli simba wanajituma Kwa sasa
@abdallahsimba2070
@abdallahsimba2070 3 жыл бұрын
Elusive
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 жыл бұрын
ligi ina anza tarehe 27 hii mechi sito kuja kuisahau jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Jaykifurushi
@Jaykifurushi 3 жыл бұрын
Hata mm
@thubeitshekale1250
@thubeitshekale1250 3 жыл бұрын
Kwakwel 😂
@ibnpapii6338
@ibnpapii6338 3 жыл бұрын
Ilikuwa hatar
@badman_vibes
@badman_vibes Жыл бұрын
Leo tarehe 13 naangalia hii,, nikisubiri African super cup
@nuranzubail8134
@nuranzubail8134 3 жыл бұрын
Miquison was real fighter
@aliabass9392
@aliabass9392 3 жыл бұрын
PRS hawana chochote zaidi ya kucheza ngwaride, myeleka na kickboxing, isitoshe refa na wasaidizi wake walionekana dhahiri shahiri kuwabeba kwa kukataa bao la simba eti ni offside na hapakuwa na offside chochote,faulu nyingi kuzifumbia macho labda waliogopa kupewa kipigo na hao wapiga gwaride na sio wachezaji wa mpira.
@jumamwenda9494
@jumamwenda9494 3 жыл бұрын
Muwe mnaacha utopolo kwenye vichwa vya habari mnafeli sana
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 3 жыл бұрын
Penalty zote za Simba apige Nyoni hatutaki majaribio maana inakera Sana ,Simba ni miongoni mwa timu inayokosa magoli mengi Sana ya kawaida na ya penalty matola fanyieni kazi hili tatizo hamuoni?
@zundahbartazal4861
@zundahbartazal4861 3 жыл бұрын
nyoni alikuwemo..nikutaarifu tu wapigaji penalt wa Simba ni bocco kagere na Mugallu....
@josephjohn7003
@josephjohn7003 3 жыл бұрын
Yaani simba yetu ikipiga penati asilimia za kukosa ndio nyingi inasikitisha kwa kweli
@omarymahanyu5748
@omarymahanyu5748 3 жыл бұрын
Safi sana SSC kwa kupambana mpaka mwisho lakini bahati haikuwa upande wetu. Huu msako wa nyumba kwa nyumba nimeukubali. Jamaa wamepania na kucheza rafu nyingi! Yote kwa yote hili limekwisha maisha yanaendelea tuangalie yajayo!!
@mwakasegeshukuru3720
@mwakasegeshukuru3720 3 жыл бұрын
Hongera Simba
@athumanibungulumo
@athumanibungulumo Жыл бұрын
Simba bola🎉🎉❤
@dadykhalfani9527
@dadykhalfani9527 3 жыл бұрын
Ila nilikuwa naomba kocha ashauriwe kuhusu jinsi ya kuwatumia Mugalu na Kagere kiukweli anatunyima magoli mengi sana HONGERA MABINGWA WA NCHI KWA KULINDA HESHIMA ISIPOTEE
@zundahbartazal4861
@zundahbartazal4861 3 жыл бұрын
nikumbushe mechi ya mwisho ligi kuu kagere kufunga..
@reubenismail3672
@reubenismail3672 3 жыл бұрын
Huyo refa line two asicheze ligi
@vedastinawillium4458
@vedastinawillium4458 3 жыл бұрын
Refa alikataa goli halali la mugalu goalkeeper alitema mugalu akazamisha kunyavu.....hlf et akaja kukubali gol leny utata haya c maajabu jamn Ila yte kwa yte mnyam kachez mpira mzur xem haikuw bahat kwa upande wetu kupitia mugalu hakuwa mzuri xana cku ya leo...bt najiuliza why kagere hakuchez
@yacenharuna380
@yacenharuna380 3 жыл бұрын
Asukileeeeee pira gwaride kwel tena la makuruta tu hlo watoto wa Mama 😀😀😀😀😀😀😀
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 3 жыл бұрын
Msako huu wa simba Nyani hakai yaani kiufupi wananchibwangetoa timu dakika ya 70 tu
@rahmanrajabu6683
@rahmanrajabu6683 3 жыл бұрын
Simba 🦁💪
@bujiiclassic1964
@bujiiclassic1964 3 жыл бұрын
Nguvu moja
@mohamedisaidi1488
@mohamedisaidi1488 3 жыл бұрын
Yap
@marydominick920
@marydominick920 3 жыл бұрын
Hamnaa mpira hukoo kwa prison wanacheza hvoo ili wasajiliwe simba sijuii😂😂😂🤣 goli la mugalu ni goli halali kabisa
@castrocastro9615
@castrocastro9615 3 жыл бұрын
Kabisa kabisa. Goli hilo halina tofauti na alilofunga Kapombe klabu bingwa dhidi ya platinum. Mipira kama ile hakuna offside. Refa katunyima goli halali 100%
@imaninelsonism7853
@imaninelsonism7853 3 жыл бұрын
@@castrocastro9615 Nakubalii mkuu
@mohamedhaidar8040
@mohamedhaidar8040 3 жыл бұрын
Nimependa sana utulivu wa wachezaji wa SIMBA kwan hawajamaa hawakua ktk plan ya kucheza bali ni kuumizana...ila Kuna nn kwa KAGERE?
@gorethgodifry1101
@gorethgodifry1101 3 жыл бұрын
Duuu ila yaani hawa prison wanachezea ndumba
@mussangalawa2403
@mussangalawa2403 3 жыл бұрын
Ilikua bonge moja ya game
@venantrugabela6798
@venantrugabela6798 2 жыл бұрын
Hii mechi bana
@shadrackmgeni89
@shadrackmgeni89 3 жыл бұрын
KWAKWELI TANZANIA PRISON NDO WANAFAA KUNOLEWA KAMA TIMU YA TAIFA KWA MPIRA WANAOPIGA NI HATARI
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Wewe kweli ujui mpira duh sasa kwa uchezaji ule ndugu yangu unaenda kucheza mbele si mtabaki 6 wote mtakula umeme kwani wamecheza mpira au fujo kwa mtazamo wako ??
@josephgomalo41
@josephgomalo41 3 жыл бұрын
@@mahengomwenyewe4204 Darasani mtafundishwa pamoja lakini hadi leo wengine kusoma hawajui.. Sishangai.. !
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 3 жыл бұрын
umeonaeee
@dicksonaroka6961
@dicksonaroka6961 3 жыл бұрын
Sasa situtakua tunaadhibiwa kwa penalti kila mara au umefurahishwa na namna wanavyo paki bus
@abuj4really323
@abuj4really323 3 жыл бұрын
Dah
@promisehezron706
@promisehezron706 3 жыл бұрын
Sitoisahau game hiii duuuu
@josephjohn7003
@josephjohn7003 3 жыл бұрын
Jamani simba wachezaji wetu hawajui kupiga penati ,Mara nyingi wanakosa
@mussalameck5090
@mussalameck5090 3 жыл бұрын
Refaree hii mechi aliberty
@nelsonkamzizi6761
@nelsonkamzizi6761 3 жыл бұрын
Simba noma
@giuseppepalumbo4984
@giuseppepalumbo4984 3 жыл бұрын
In Tanzania there’s not Covid?
@MussaBAmur
@MussaBAmur 3 жыл бұрын
Marefa wa bongo wanatuaribia mpira wetu
@wilsonclaud6400
@wilsonclaud6400 3 жыл бұрын
Jinyongeee🤣
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 3 жыл бұрын
Mbona hao wajelajela ka jezi zao zipo tofaut
@jtv3494
@jtv3494 3 жыл бұрын
Kocha anampenda mugalu ila mugalu hawatishi mabeki waupizani magori ambayo mugalu anafunga sio ya kushangaa mabeki hawatishiki kwa uhatari wake ila kagere naami nibora kagere kwenye nafasi ngumu kagere akakufanya ukashangaa wakati mwingine
@2times273
@2times273 3 жыл бұрын
Hujui mpira
@jtv3494
@jtv3494 3 жыл бұрын
Kwel
@modolayzer9520
@modolayzer9520 3 жыл бұрын
@@2times273 ww ndo hujui
@fizoboy866
@fizoboy866 3 жыл бұрын
'Sholo
@isackkatwale8770
@isackkatwale8770 3 жыл бұрын
Fizo wewe
@zabronnkoy4908
@zabronnkoy4908 3 жыл бұрын
Ukipata bahati ya kucheza Simba kwa sasa ni lazima upambanie nembo ya Simba ..kwa jasho na damu
@chapaulingeproduction4768
@chapaulingeproduction4768 3 жыл бұрын
Huu sio mpira wa kukamia hivi prisons utazania wanatafuta roho ya mtu.ni afazali kuanzishwe ligi ya timu za majeshi wakamuane wenyewe huku wanaharibu ladha kabisaaa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Kabisa aisee wanachez utasem Wana ugomv kumbe mpir ni Aman
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Goli la Mugalu alilokataa refa linafanana na lile alilofunga kapombe dhidi ya Platinum,,,, sasa sijui kwanini alikataa
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Refa hakua rafiki usiku ule
@charleskarume6312
@charleskarume6312 3 жыл бұрын
Marefa wa tz na malenzimeni wao wapumbavu kweli sa sijui kwanini wamelikataa lile gori
@victoriaanthony717
@victoriaanthony717 3 жыл бұрын
Wachezaji pungufu wanawatoa jasho
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
@@victoriaanthony717 unaonekana hujui Mpira,,,,,,,Juve kafungwa na Porto wakiwa pungufu, 1990 world cup iliyofanyika Italy, Argentina ilifungwa na Cameroon 1-0 wakiwa pungufu na maradona akiwa ndani, nini simba kudroo,,,,,,,unaonekana hujui soka nini wewe!!
@victoriaanthony717
@victoriaanthony717 3 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 unayejua mpila umepata nn had leo
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Prisons mna cfa huo mpira gn mnakamia kwelikwel 😠 mgekuwa mnacheza hv tokea lg inaaza hv mnaongoza ligi Shubamityyyyyyyyyyy
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 3 жыл бұрын
Wasenge hao Prison
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 3 жыл бұрын
Ndo hivo Simba team kubwa kila team inatamani kumfunga Simba ili wapte sifa kua wameifunga team kubwa that's why wanakamia
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Kweli aisee wanakamia kwa simba tuu nyingine hamn kitu
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
@@angellomarcel5677 Tena wasenge kwel kwel pumbavu zao 😠
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
@@angellomarcel5677 Tena wasenge kwel kwel pumbavu zao 😠
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Msemaji wao anaongea eti simba ukiwaacha wacheze mpira wa wazi watakufunga ila ukiwafika wanaogopa anamaanisha waliambiwa wafanye walivyofanya kwakweli haukua mchezo wa kiungwana refa ameogopa kutoa penati nyingine lkn walistahiki kuadhibiwa kwapenati nyingine walicheza vibaya sana prison ,Tff niwashauri Tim za magereza wazipe somo kua huu ni mpira wa miguu kanuni zake ni zile zile hata tim ikiwa ya jeshi hazibadiliki.
@gorethgodifry1101
@gorethgodifry1101 3 жыл бұрын
Ayooooooo! Mmekoma ! Mbona mmechoka na kukaa kitako
@thomasnaibala6171
@thomasnaibala6171 2 жыл бұрын
Ilikuwa mechi ya do or die
@issachwaya4284
@issachwaya4284 3 жыл бұрын
Wamuz hawajui kuchzesha mpira
@reubenismail3672
@reubenismail3672 3 жыл бұрын
Prison huo sio mpira,wanacheza mpira wa manguvu na mavita!marefa pia tatizo kubwa nchi hii
@allymkangara5695
@allymkangara5695 3 жыл бұрын
wachezaji wanacheza rafu sio Mpira
@castrocastro9615
@castrocastro9615 3 жыл бұрын
Siyo rafu tu sema nginja nginja ili kuua au kuvunja viungo vya wachezaji. Yanacheza kama yamefyatuka akili, kama chizi yaani. Maana si kwa kurukiana kule duu!! Na refa angekuwa fair prison wangebaki hata name uwanjani.
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 3 жыл бұрын
Ukwel kabisa yanacheza km mavichaa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
@@castrocastro9615 pumbavu sana hawa prison nguvu nying kwenye mech moja
@godsonmolly8955
@godsonmolly8955 3 жыл бұрын
Ligi inatakiwa kuwa na ushindani Kama huu Simba damdam
@azizakiswili4820
@azizakiswili4820 3 жыл бұрын
Huo mpira gani hao prison,Kick boxing ama
@mzaha
@mzaha 3 жыл бұрын
Goli kama la migissone tulipocheza na ud songo limejirejea ila sio mbaya ni makosa ya kibanadamu ila nawashauri mabeki wetu wasirejee tena kupangua ukuta kabla mpira haujapita ni makosa kwamechi tunazoenda kupamba nazo kimataifa na hasa tukifika robo fainali yanaangaliwa magoli
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Kaka mpira una mambo mengi!!
@cashmoneytz2759
@cashmoneytz2759 3 жыл бұрын
Wamezawazisha offside
@zehe449
@zehe449 Жыл бұрын
Werr
@hasanitupa8592
@hasanitupa8592 3 жыл бұрын
Kumbe hawana mpira wowote walio cheza hao prison wamecheza na uchawi tuu kuiroga simba.
@obedkagomba9961
@obedkagomba9961 3 жыл бұрын
Pira gwalide
@simonverite5985
@simonverite5985 3 жыл бұрын
Mapaka ndo utopolo team kweli 😂😂😂
@muhammadmahmoud1068
@muhammadmahmoud1068 3 жыл бұрын
Hawa prison walikula nn mbona kila muda wanaanguka anguka??+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 жыл бұрын
Hivi hawa hatajisifu eti wamegawa na Simba. Wangekula 6. Bahati kwao!
@deflexconsaid4793
@deflexconsaid4793 3 жыл бұрын
Pfmpmp
@athumanibungulumo
@athumanibungulumo Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ramasaid4447
@ramasaid4447 2 жыл бұрын
Atali
@nwadzombotsuma4035
@nwadzombotsuma4035 3 жыл бұрын
offside mossiqune goal
@ottojohn976
@ottojohn976 3 жыл бұрын
Simba vs nkan
@ashambwana982
@ashambwana982 3 жыл бұрын
Yaan hawa jamaa wao kuwakazia simba ndo ubingwa wao Alafu sielewiwatu wanawasifia hawa wajela jela sijui kwa Moira gani walio cheza
@sammwasomola953
@sammwasomola953 3 жыл бұрын
Hapo ndio amini kua simba ndio miamba ya soka tz kiasi kwamba timu zinashangilia kutoa sare na simba
@gmaboygmaboy8264
@gmaboygmaboy8264 3 жыл бұрын
Unajidai huoni
@dogmatv2682
@dogmatv2682 3 жыл бұрын
Atar
@mecksedeckkauzeni5703
@mecksedeckkauzeni5703 3 жыл бұрын
😎😎😎
@chesadennis254
@chesadennis254 3 жыл бұрын
Huyu Luis Miquisone mtupee huku AFC Leopards.
@reubenismail3672
@reubenismail3672 3 жыл бұрын
Manual hilo goli umezingua sana
@barakamgongolwa5137
@barakamgongolwa5137 3 жыл бұрын
Waliozingua hao walioweka ukuta,shomari kapombe aliukwepa mpiraa
@yacenharuna380
@yacenharuna380 3 жыл бұрын
N kwel mxhanglie droo maaana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mikia FC bhana
@charitymkombozi1800
@charitymkombozi1800 3 жыл бұрын
Mechi ijayo ruvu wanapiga msumari kwenye kidonda
Highlights | Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL 29/05/2021
19:59
Azam TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 32 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,8 МЛН
Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Highlights | VPL 14/04/2021
22:40
Highlights | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | NBCPL - 30/12/2022
24:15
Simba SC 4-1 Mbeya City | Highlights | VPL 22/06/2021
21:00
Azam TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Simba SC 4-0 Biashara United: Highlights - VPL 20/09/2020
21:42
Azam TV
Рет қаралды 1,6 МЛН