No video

Tazama Yanga walivyowachezea Simba soka la kitabuni | Ngao ya Jamii 25/09/2021

  Рет қаралды 1,274,743

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

SIMBA 0-1 YANGA: Ukisikia kuna watu waliupiga mwingi, hii ndiyo maana yake. Kuna wakati ilipikwa ‘biriani’, zikapigwa ‘sambusa’, boli likagongwa moja moja lakini mabeki wakafanya kazi yao.
Hebu pata burudani kidogo.
Je, hili ‘pira’ tulipe jina gani?
#NgaoYaJamii2021
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 259
@magechuwa804
@magechuwa804 2 жыл бұрын
Yanga walimiliki mpira mda mwingi pasi ni wao kwa wao tu safi sana
@didakhadija3985
@didakhadija3985 2 жыл бұрын
Yanga kama watatulia kama walivotulia hivi basi yanga itatua moto haishikiki wamecheza safi sana kimpira nakipa wao katulia haswa maashaallah.
@adv.benedictpius
@adv.benedictpius 2 жыл бұрын
Bahati mbaya sana Yanga wanatulia wakiwa wanacheza tu na simba
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 жыл бұрын
Wanasema wamewaroga😀😀
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 жыл бұрын
@@adv.benedictpius 😆😆😆😆😆kwel
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 жыл бұрын
Mm simba lkn mechi hii yanga wameupiga mwingi sana....hongera kwao
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 2 жыл бұрын
Mh’ Yanga hawa ....ni noma sana...!
@bonifacegitari6002
@bonifacegitari6002 2 жыл бұрын
From Kenya but commentator wa tanzania wanajua kutangaza mpira si siri
@songorotv2530
@songorotv2530 2 жыл бұрын
Wana bias sana, hawajawafanyia haki yanga
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 2 жыл бұрын
Fact
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
@@songorotv2530 you are right…. Wako wanapendelea simba
@mtendasaid5222
@mtendasaid5222 2 жыл бұрын
Eeeeeh...total improvement to Young Africans ..big up guys
@neuillyglodie3864
@neuillyglodie3864 2 жыл бұрын
Love you young Africans from DRCongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💚💛
@nassorokangele8209
@nassorokangele8209 2 жыл бұрын
Pa
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 жыл бұрын
Kwakina Mayele🔥🔥
@twalibkatuli5318
@twalibkatuli5318 2 жыл бұрын
2gether as one
@ellyboy4165
@ellyboy4165 2 жыл бұрын
@@nassorokangele8209💛💚
@hamisipangara9727
@hamisipangara9727 2 жыл бұрын
@@nassorokangele8209 is h
@mzizirashid709
@mzizirashid709 2 жыл бұрын
Hii sasa ndio yanga Tuliyokuwa Tunaitaka Hongereni Sanaaaaaaaaaaaa
@panchovalentino5922
@panchovalentino5922 2 жыл бұрын
Wananchiiiiiiii 💚💛💚💛🙌🙌🙌🎖️🏅🎖️🏆🏆🏆👏👏👏⚽⚽⚽💪💪
@mohdyussah825
@mohdyussah825 2 жыл бұрын
🇦🇪 Great football ⚽️ 👏 👍 👌 Dar Young Africans loves Young Africans. poleni Simba sc ndio mpira mmefungwa na team bora
@blasiuschatanda9912
@blasiuschatanda9912 2 жыл бұрын
Mayere good brother
@twalibkatuli5318
@twalibkatuli5318 2 жыл бұрын
Big up kwa young africa wananchi
@mercymoshi3666
@mercymoshi3666 2 жыл бұрын
Yanga hatupoi wala hatuboi 💛💚🔥💪
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 2 жыл бұрын
Young kwelli mmeonesha kabumbu safiiiiiii
@christianniyokwizera6148
@christianniyokwizera6148 2 жыл бұрын
Yannick is very good!I love his touch
@jumakassim8718
@jumakassim8718 2 жыл бұрын
Yeah its true
@josephisae2845
@josephisae2845 2 жыл бұрын
Young Africans waliupiga mwingi ,inapendeza ligi ianze na ushindani
@bakariahmed4227
@bakariahmed4227 2 жыл бұрын
Hii ni Tiki Taka much love
@byamungulusambo2635
@byamungulusambo2635 2 жыл бұрын
Yanga juuu sana kweli
@pantalokulaya9823
@pantalokulaya9823 2 жыл бұрын
Safi sana hiyo yanga tunayoitaka pasi marithawa mfano wa bacelona
@mohamedsilaj436
@mohamedsilaj436 2 жыл бұрын
Kuna watu wanajisahaulisha eti Mayele hakuna kitu wamesahau
@ignaskifunda5541
@ignaskifunda5541 2 жыл бұрын
Noma sana
@mullahmasudy2622
@mullahmasudy2622 2 жыл бұрын
Dar young african 🔥🔥💥🔨
@Nyanda506
@Nyanda506 2 жыл бұрын
Uongo mmbaya yanga wanacheza mchezo mzuri ...Safi sana yanga
@edwinyusuph7283
@edwinyusuph7283 2 жыл бұрын
Daah yanga wametuchezesha mpaka nimeona wivu ila sihami 🦁 ng'o
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 жыл бұрын
feISAL Salum Mungu akuepushe na vijicho na mahasidi
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
Respect to yannick Bangala ! He is another story to tell⚽️ Thank you congolese
@sullehtz9327
@sullehtz9327 2 жыл бұрын
#timuyawananchi💣🏆💛💚✊
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 2 жыл бұрын
Una tangaza vizuri mpaka nasisimka dah yanga
@daudmwaipasi5672
@daudmwaipasi5672 2 жыл бұрын
Na mm niweke kumbukumbu Ya comment kwenye hii mechi kiukweli Yanga waliupiga mwingi. 💚💛💚💛💚💛 Love you Yanga
@SAVANAJOSBH705
@SAVANAJOSBH705 2 жыл бұрын
Amazing
@maulidiisihaka852
@maulidiisihaka852 2 жыл бұрын
Hatari💛💚
@ashaathuman1472
@ashaathuman1472 2 жыл бұрын
Yanga hongereni sana chama langu
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 жыл бұрын
Yanga waliupiga mwingi👏👏👏
@felixbenos6365
@felixbenos6365 2 жыл бұрын
Yanga ni fire
@ditrickmtega2802
@ditrickmtega2802 2 жыл бұрын
Kwakweli kama nikuchezewa walichezewa kama watoto nyee zmbi😭
@yohanaikaya6218
@yohanaikaya6218 2 жыл бұрын
Yanga yangu mmejua kunipa raha sasa ligi kuu na kila uchafu wa mashindano tubafutaaaaaa fyaaaaaa wenye wivu wajinyonge.
@gavethhans5242
@gavethhans5242 2 жыл бұрын
Yanga sio watu wazr Mungu zidi kuibariki yanga Africa
@samwelipaulo478
@samwelipaulo478 2 жыл бұрын
Kikubwa uhai
@sadialex9402
@sadialex9402 2 жыл бұрын
Yanga no raha tu
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 2 жыл бұрын
😃young Africa's tam
@mrh2812
@mrh2812 2 жыл бұрын
au ni bungesliga wameamishia buyern Munich Tanzania 🤔🤔
@anifamickidard4555
@anifamickidard4555 2 жыл бұрын
Yangaaaaa
@bsmonline8482
@bsmonline8482 2 жыл бұрын
Wameotewa tuu
@chollejr_
@chollejr_ 2 жыл бұрын
Daaahhh mamaeee
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 жыл бұрын
Jaman simba wangekufa 😂😂😂🤣🤣🤣😂😂
@rizmarkabraham2890
@rizmarkabraham2890 2 жыл бұрын
Nyie yanga achani sifa nini hiki mnachowafanyia wasio jua
@dianajeremiah5662
@dianajeremiah5662 2 жыл бұрын
😂😂 tuliupiga mwingi mpka uka mwagika 🙌🙌🙌🙌🙌
@massoudjr6146
@massoudjr6146 2 жыл бұрын
Yanga Tuko vzr sn
@samweljohn9978
@samweljohn9978 2 жыл бұрын
Noma san
@hyasintkisika8848
@hyasintkisika8848 2 жыл бұрын
Better improvement from my squads Young African
@rightriper2405
@rightriper2405 2 жыл бұрын
Diamond
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 2 жыл бұрын
Dah kwa hii mechi tuna mmc Sportsman R.I.P Mwl Kashasha
@amenyemwansile631
@amenyemwansile631 2 жыл бұрын
Kweli ndugu yangu tunammiss mpendwa wetu
@experiuskamugisha6863
@experiuskamugisha6863 2 жыл бұрын
We yanga weee
@elisantemoses9309
@elisantemoses9309 2 жыл бұрын
Mpira umechezwa yanga wako vizur
@plaizoboy2647
@plaizoboy2647 2 жыл бұрын
Watakaa tu
@wiliadmwambalaswa1131
@wiliadmwambalaswa1131 2 жыл бұрын
Ilove
@abubakarnabahani4994
@abubakarnabahani4994 2 жыл бұрын
Mbona azam tv sikuhizi hamleti highlights za mechi za ligi kuu ?!
@paypaltanzania1412
@paypaltanzania1412 2 жыл бұрын
Yanga yanga yanga
@Sirkitwe
@Sirkitwe 2 жыл бұрын
Tabu ilianzia hapa😂😂😂😂😂
@charlesshaka2183
@charlesshaka2183 2 жыл бұрын
Iyo ndo yanya sasa
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
Barcelona takes TZ Yanga
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
What Barcelona are you referring to Yanga?
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
How many Barcelona did you know?A or B?
@josephmlelwa8124
@josephmlelwa8124 2 жыл бұрын
1:20 1:25 fei toto ni noumaaaa💛💚💛💛
@barakakaduma8803
@barakakaduma8803 2 жыл бұрын
Yanga wanaubomoa hadi raha hii ni kazi ya Coach anawafundisha soccer la kitabuni, ni mchaka mchaka.
@kuchumamakesi9382
@kuchumamakesi9382 2 жыл бұрын
Kwa Tanzania hakuna timu ya kuifunga Yanga msimu huu
@rightriper2405
@rightriper2405 2 жыл бұрын
Simba hauna kitu sahv
@steventagaya4066
@steventagaya4066 2 жыл бұрын
Yametimia maneno yako
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 2 жыл бұрын
Yangekuwa makolo yameshinda game hii comments zingekuwa elfu yalivyo malimbukeni
@edgermapunda3525
@edgermapunda3525 2 жыл бұрын
Who whatch 2022 like me?
@agapekikoti3888
@agapekikoti3888 2 жыл бұрын
Nan kaona yanga wakpga pas 23 bila mpizan kuunasa mpira daaah hiii hatar aise tutahama lig sisi
@sultanmsoloni8635
@sultanmsoloni8635 2 жыл бұрын
Iyoooo kitaalamu inaitwa mtafute mtafute
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 2 жыл бұрын
Hiii si Bayern Munich hii au macho yangu. Yanga wanajua sana😀😀😀😀😀🙏🙏🙏.
@dinnoboy6232
@dinnoboy6232 2 жыл бұрын
💚💛🔰💪💪
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 2 жыл бұрын
💚💛💚💛💪🇰🇪
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 2 жыл бұрын
Daaaa Yanga tungewapiga goli kama tatu hivi si kwa pira hili walaiii
@idarousomar1
@idarousomar1 2 жыл бұрын
wanahesabu lakini???
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 2 жыл бұрын
Huyu aucho ni konki
@ramammonbotz3518
@ramammonbotz3518 2 жыл бұрын
Tupatien highlits ya dakika nyingi please 😥
@isihakakheri2201
@isihakakheri2201 2 жыл бұрын
Mbona ipo wameiweka tangu jana. Ina dk 25
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 жыл бұрын
Ipo dakk 25
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 2 жыл бұрын
Sasa iangalieni hadi mwisho boll position nani anaongoza Kisha ndio useme yupi kaupiga mwingi.
@j.bjacobbasubi2187
@j.bjacobbasubi2187 2 жыл бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@josephmichael8513
@josephmichael8513 Жыл бұрын
Hii mechi Hawa mbwa tuliwachezea Sanaa aisee
@yobyabhabhasokaga4416
@yobyabhabhasokaga4416 2 жыл бұрын
Waooo yanga
@mejalasway1399
@mejalasway1399 2 жыл бұрын
Maajabuyaamazon
@leemabibaphotography8053
@leemabibaphotography8053 2 жыл бұрын
Daah yanga mlitupa rahaaa
@kennethngoleka517
@kennethngoleka517 2 жыл бұрын
WAKIMBIZEEE
@babujinga4511
@babujinga4511 2 жыл бұрын
Kuna maswali?
@aminamagoma479
@aminamagoma479 2 жыл бұрын
Yan jaman juzi wana Yanga tulijua kuwanyoosha hawa watu jaman dah!Tumewachezea km watoto wetu nyumban looh
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 2 жыл бұрын
😂😂😂
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 2 жыл бұрын
Hawa ni man city sio yanga
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Жыл бұрын
Ila jaman, feisal Ni pengo Ila bas tu
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 2 жыл бұрын
Kwa mpira huu hakuna Timu Tanzania inatuweza
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 жыл бұрын
😆😆😆😆😆utopolo bana
@braysonpatrick9762
@braysonpatrick9762 2 жыл бұрын
Kweli kabsaa
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 2 жыл бұрын
Hivi hawa ndiyo wametolewa kwa goli 2 - 0 klabu bingwa ya Africa?
@rahmashabani8468
@rahmashabani8468 2 жыл бұрын
Woooooooooo
@buyenzikibenga9028
@buyenzikibenga9028 2 жыл бұрын
Nimeskia bao la timu ya taifa 🤣🤣🤣🤣 yanga raha mpaka mtangazaji anachemka 🤣😅🤣😂
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 2 жыл бұрын
Hajachemka wewe ndo umechemka hilo bao mayele alifunga dhidi ya taifa stars ambalo linafanana na hilo hilo alilofunga apo
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 жыл бұрын
@@amiriramadhan7753 achana nae anajichekesha umbea tu
@eddygonza891
@eddygonza891 2 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaaa.... Hawa juzi walikuwa Simba au Nyau?!?!
@jumannerashid7862
@jumannerashid7862 2 жыл бұрын
Hiyo Sasa imekuwa sifa siyo kwa mipasi huyooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃
@zabelajohn9644
@zabelajohn9644 Жыл бұрын
Yanga
@hamisisalum6318
@hamisisalum6318 2 жыл бұрын
Simba Mpira walikuwa wanautafuta kwa tochi. Walikuwa wanacheza kombolelatu.
@mustaphakhalfan7509
@mustaphakhalfan7509 2 жыл бұрын
Walicheza vizuri walikidhi haja za Mashabiki wao ,siku ya furaha na Leo itajirudia tena ,na hawa Wachimbaji wa Madini,au tutawaangushia kifusi cha mabao. Kwa tayari ana majeraha ,.ya magoli kwenye match yake ya kwanza,
@maulidiisihaka852
@maulidiisihaka852 2 жыл бұрын
Young afrikans
@ahmedanwar1210
@ahmedanwar1210 2 жыл бұрын
Umepigwaa Sanaa Yani utadhani YANGA wako kumi na tano hahahhahaha Mzee mpiliii pitiaa huku
@sammanjeka7357
@sammanjeka7357 2 жыл бұрын
Ata Barcelona achezag iv hii ndo timu ya wanachi bh
@adrushassan6348
@adrushassan6348 2 жыл бұрын
Cjawahi kuona mpira mbovu kwa simba kama ktk mechi hii
@Mkaluminium550
@Mkaluminium550 2 жыл бұрын
Mwingi
@bonifasomontoog2572
@bonifasomontoog2572 2 жыл бұрын
Hadi aibu makolo wamekubali
@abdulkareemchande7204
@abdulkareemchande7204 2 жыл бұрын
Pira biriani na halafu wala haturingi
@mchezakamaliog265
@mchezakamaliog265 2 жыл бұрын
@@nationalbeautiful hiyo style inaitwa mtafute mtafute
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 2 жыл бұрын
Yanga haina biriani wewe biriani lipo simba
@gockoomzawa3389
@gockoomzawa3389 2 жыл бұрын
@@nationalbeautiful we boya nini sio nyinyi mnaotumia nyota yetu st ss kujita wananchi yenyewe makolo eti yanajiita wenye nchi nchi ya wap labda ya mo
@emmanuelkasoga8194
@emmanuelkasoga8194 2 жыл бұрын
Hakika ulipigwa mwingi wa kutosha
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 45 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 44 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,6 МЛН
Magoli | Simba 2-2 Al Ahly | African Football League 20/10/2023
4:30
APR FC 2-0 Azam FC | Highlights | CAF CL
8:49
Azam TV
Рет қаралды 149 М.
Mechi ya Simba na Yanga ilivyo tangazwa na Baraka Mpenja
3:30
Yanga SC 6-0 Vital'O FC | Highlights | CAF CL 24/08/2024
11:56
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 45 МЛН