Kama yanga wamebebwa basi ujue wanabebeka 😂 I love you yangaaa💚🌪️
@kennyrogers47343 жыл бұрын
Kumbe goli lenyewe amegusa mchezaji amepotezwa alishajiandaa kuudaka sema sio kesi bado uko juu zaidi Diara 💪
@charlesmakuri7923 жыл бұрын
Faridi umecheza paso nzuri sana good job to all young African
@rugambaamani61242 жыл бұрын
Young fan from rwanda gonga like
@muddymuzungu43573 жыл бұрын
Fei….simply the best…..authenticity💚💚🙏🙏🙏🙏🙏
@panchovalentino59223 жыл бұрын
Feisal Fei Toto hatare saaaana 👏👏👏🙌🙌🔥🔥💪💪🌟🌟🌟⚡⚽⚽🏆🏆🔝
@virejiangingo2883 жыл бұрын
Hongera sana Yanga kwa ushindi mnono
@kennyrogers47343 жыл бұрын
Myu wa mwisho lazima apewe kadi nyekundu haijarishi rafu ikoje ndiomana alijifanya kaumia baada ya kupewa kadi nyekundu kufika nje Natembea mwenyewe vzr tu
@mponejawillson14533 жыл бұрын
Kwampira huu wa YOUNG AFRICAN makolo fc kazi mnayoooo
@beatricemlaki93832 жыл бұрын
Predator.. mayele.... Feitoto aaiiii mukoko tonombe aaaaweeeeh yanga hii Raha buana
@carterjunior3223 жыл бұрын
Great comeback...Yanga wanazid kuimarika siku had siku..
@issahmwadini11583 жыл бұрын
Huyu fei Toto kwaza tumuangalie uraia wake😂😂😂
@islammally43592 жыл бұрын
Hongera yanga
@sitiadam33982 жыл бұрын
Mashallah yanga
@kelvincosma73933 жыл бұрын
Mwaka huuu watajua yang ndy kinin
@ashaathuman14723 жыл бұрын
Yanga raha
@nickolausnchimbi93703 жыл бұрын
Naipenda yanga Africa
@thomasnyarusanda26083 жыл бұрын
Safi sana Mkoko na Antibiotic kucheza ndani ya kikosi, bado Mapinduzi Balama-kipenseli..anachora na kufuta,na pia Makambo wa 'kujaza' tuwaone uwanjani.
@nardhisluambano85933 жыл бұрын
Hao BADO Wana viwango vidogo
@marcopolcwaggmaster1443 жыл бұрын
Hiii yanga ni 🔥 ipewe kombe lake tu mapema
@fatmahussein60853 жыл бұрын
goli la feisal na mukoko yajengewe sanamu pale kwa mkapa😌🤩
@omarymohammed38733 жыл бұрын
Samahani dada. Sio Sadam ni (sanamu)
@fatmahussein60853 жыл бұрын
@@omarymohammed3873 typing error
@ephremmtuya30943 жыл бұрын
yanga ongezeni mashambulizi mnacheza pasi nyingi sana ambazo hazina hatari kwa mpizani tunauwezo wa kufunga mabao matano kila mechi
@mathiasulaiti56653 жыл бұрын
tunajenga timu. si unaona watu wameanza kutulia
@marryjoachim22113 жыл бұрын
Refaaaa uko vizuri.
@maishasowela Жыл бұрын
Naipenda yanga
@firdausrajabu68223 жыл бұрын
Wakali wa hiz kaz🔥🔥
@liliangonza21522 жыл бұрын
Daah Mukoko anatia huruma sana jamani hadi analia ❤️
@stevemwakisimba59863 жыл бұрын
Kuna mtu anateseka?
@emilioclemente58183 жыл бұрын
Chama chá wananchii atuna mpenzan Daima mbele nyuma ,mwisho,
@kennyrogers47343 жыл бұрын
Mwenye ufahamu mzuri juu ya sheria za mpila hawezi kumlaumu Refa hata yule alifanya rafu alishaju mimi nimehalibu hapa bora nijivunje ili nipotee kadi nyekundu alivyopewa kadi nyekunduku kufika nje katembea vzr tu ndo ujue alishaijua nini kitachomkuta baada ya ile rafu
@emanuelakaro14233 жыл бұрын
GSM! GSM! GSM! Twende wote
@firdausrajabu68223 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@aliseif26913 жыл бұрын
Yanga na refa wenu mungu anawaona.
@Unknown-j2m5l3 жыл бұрын
Mnachelewa sana ku update
@mussaabdallah96763 жыл бұрын
Huyu dogo mnamnyima tunzo ya goli bora kwanini wakati anastahiki kupata ,Fei Toto you are intelligent player
@zefurinimackrini23323 жыл бұрын
Mungumungumunguuu uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mayoooo mbele ya watoto
@kimuratv2553 жыл бұрын
Yanga ni freeeee
@jaylosalphonce96593 жыл бұрын
YANGA Yamoto msimu huu dah
@omarymakota75033 жыл бұрын
Bas mbili moja jamn
@mkenyamzalendo2543 жыл бұрын
Wako vizuri timu ya wananchi
@pawajunior37743 жыл бұрын
Thanks yuong
@jestinakanji81683 жыл бұрын
🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️😂😂😂😂❤️Yanga raha sn
@binzid90463 жыл бұрын
Yanga oyee
@joshiwabule49523 жыл бұрын
joshiwa bule john
@azizintalla73483 жыл бұрын
wazee wa mbeleko
@moseswilliam20633 жыл бұрын
@@azizintalla7348 kachane mbereko, mm nishafuta matokeo, saiv matokeo ni (Yanga 2 : 1 Ruv) pointi nimempa ruvu shutting Mana kashinda.
@joshiwabule49523 жыл бұрын
@@azizintalla7348 oy poa
@juvencharles74603 жыл бұрын
💛💚💛💚💪💪💪
@farajakumba29113 жыл бұрын
Kuna kitu kinanishangaza sana yani afungwe ruvu aumie kolo fc hivi hii imekaaje
@mariachand22163 жыл бұрын
Hongeeni Wana wa yanga
@sadialex94022 жыл бұрын
Kwa YANGA hii noma
@jacksaid39022 жыл бұрын
Kwautamu wa yanga nitaungua kisukari mimi
@florahcharz43542 жыл бұрын
Rip sonso nimejikuta nahuzunika baada ya kumwona😭😭😭
@far_hard13013 жыл бұрын
Fei yuko juu jamani mashaalah
@abdallayunnus34752 жыл бұрын
Yanga motoooo
@edinasamwel3643 жыл бұрын
Yangaaaaaaakeeeeee😘😘😘
@rahimmarions57123 жыл бұрын
Nibebeeee,daaaah kweli nguvu nyingi sana znatumika kpnd hiki
@bigjizee41303 жыл бұрын
Kulia kupokezana, safari hii ni zamu yenu Simba kuliaaa
@Deodatuskalikawebinamungu3 жыл бұрын
Hatari xana fei Toto umetuliza presha ya leo. 6
@amanilusakale28273 жыл бұрын
Ni kweli yanga tunacheza vzr na msimu huu tuna timu nzur lkn hawa marefa wanatuharibia radha nzr ya mpirq unaopigwa na wanajangwani maana hii penati naifananisha na offside ya enzi zile ya kichuya dhidi ya mbeya city yaani alizidi pekee yke kama imamu
@eliamandela22462 жыл бұрын
Yanga baba lao
@Yu-jr9uf3 жыл бұрын
Ukihisi wameonewa "LETA TIMU YAKO"
@abuuumama68773 жыл бұрын
Nyinyi siyo watu wa mpira munabebwa aibu hiyooooooo yanga
@Yu-jr9uf3 жыл бұрын
@@abuuumama6877 kwani mwijaku ni wa tim gan
@omarynyagary Жыл бұрын
Mashabiki namungo
@loysumaye14363 жыл бұрын
This is yanga brothers
@samybrown16703 жыл бұрын
Simba ndo wana bebwaga
@samybrown16703 жыл бұрын
Sisi atubebwi
@diannaconstantine12073 жыл бұрын
Yanga raha jaman
@sophiaabdallah78213 жыл бұрын
Nani alimp jina l fei toto mbna mambo y kikubwaa🤣🤣🤣
@magechuwa8043 жыл бұрын
YAANI YANGA WANAPASI NZURI SANA DUUUUHHH
@labanakyoo41773 жыл бұрын
Yanga kabebwa sana ,,kadi nyekundu haikustaili, na penanit bado akawapa wakati mchezaji wa utopolo ndie alinawa
@kingmelody29323 жыл бұрын
Njoo yanga wacha unafki
@labanakyoo41773 жыл бұрын
@@kingmelody2932 mwenyewe umeona sema ukweli wako ile ilikuwa penanit halali au refa kawapa, nafsi inakusuta
@idifoncesanga4413 жыл бұрын
We si unaona sana kuliko malefarii waliopo uwanjan
@harithfowler94523 жыл бұрын
@laban akyoo sheria za mpira yule ni last man pili kamsukuma so lazma apigwe card nyekundu .. kaangalie mpira man city vs crystal palace halafu angalia red alopewa laporte
@ibrahimabel58523 жыл бұрын
@@harithfowler9452 Fact
@mirajihamza45323 жыл бұрын
Pamoja na kazi nzuri ambayo Azam wanaifanya ya kuturushia matangazo ya mechi za ligi kuu lakini naona kuna kitu hakiko sawa hasa wanapotuletea picha za marejeo binafsi sioni uhalisia wa kitu kilichotokea ni ubabaishaji mtupu
@oscarmosha3833 жыл бұрын
jifunze kushukuru na sio ku kandia kilicho bora ndugu
@ipmalu99473 жыл бұрын
Karushe ya kwako yenye uhalisia
@thomasnyarusanda26083 жыл бұрын
Kumbe Yanga walijifunga wenyewe hawakufungwa.
@anneonyesha18373 жыл бұрын
Wananchiii ❤️❤️
@joshuachalesmolel17513 жыл бұрын
Wap salam namungoo 22 11 2021
@alexnomba2 жыл бұрын
R i p ally sonso 😢😢😢
@magrethkusu84562 жыл бұрын
Acha tu leo ilkuwa birthday yake
@alexnomba2 жыл бұрын
@@magrethkusu8456 Mungu ampe pumziko jema 😢
@fatumasophu58553 жыл бұрын
Mi nashabikia upande wa jirani Ila goli la fey duuuuuh ni hatari hongera feysal
@kelvinmarx38493 жыл бұрын
Uyu fei Toto ajengewe sanamu ilo siyo Ombi ni lazima
@kennyrogers47343 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma na kuandika gusa picha yang
@udaahcarbello40713 жыл бұрын
Yanga hoyee
@happyshayo3723 жыл бұрын
NYIEEEEEE!!!!⚽⚽💪
@verusmlokozi74372 жыл бұрын
Hajimanala laiv
@nyamollo27562 жыл бұрын
Dood♥️♥️
@andreashayo62663 жыл бұрын
Noma sana
@pitaidd69662 жыл бұрын
Pitta mm ni mwana simba lakini yanga nampongeza
@harunnangussa97022 жыл бұрын
Mech YA ys
@rwekasimlizi20293 жыл бұрын
Tough match
@herbertjulius33002 жыл бұрын
Yanga ukifunga. Inakua kama umjifunga
@yustinayohana42142 жыл бұрын
Duh yanga mbele nyuma mwiko
@freddyngatta40392 жыл бұрын
napenda
@eliudmaster21753 жыл бұрын
Naomba Simba tuwaite. Nyumbu
@zegemachips45993 жыл бұрын
Kubebwa mbebwe nyinyi makolo.
@shigongofaith55003 жыл бұрын
Ikopoa. Hio
@elikanamyula16672 жыл бұрын
Pumzika kwa aman sonso
@peterzephania47422 жыл бұрын
Hatar sana lakin ni salama😋😋
@alexjohn68292 жыл бұрын
Walijua wamemaliza Kaz 😂😂😂😂 wakasahau yanga ni baba lao
@guccij62363 жыл бұрын
Manara anajua kusoma alama za nyakati
@nickolausnchimbi93703 жыл бұрын
Jaman majilan kuama tim sigarama kubwa sana kalibun tu ni kununua jezitu takijan na njano
@aswilefredy5063 жыл бұрын
Goo
@Rukaka_jr2 жыл бұрын
RIP SONSO
@florenceelikana30403 жыл бұрын
Totooooo
@vincentmushi12473 жыл бұрын
Someni sheria za mpira,red card is a very right decision,if the last defender commit A faul to a striker who was having a chance to score a goal,that is a red card Sio mnalalamika tuu...
@felixmagulu61423 жыл бұрын
Mashabiki tulio wengi tuko kishabiki zaidi sheria za mpira zimetupitia kisogoni, Hiyo ni redcard halali kabisa.
@dennisisdory1013 жыл бұрын
Very right
@taseleli91813 жыл бұрын
Tatizo zinapocheza timu za wenzenu mtu akipewa kadi nyekundu hata kama anefanya kosa mnasema timu imebebwa sasa na nyie leo mmebebwa?
@errydeo88653 жыл бұрын
Ni heri angefanya foul yule mlinzi wa kwanza aliyepitwa Angepewa njano tu..
@hamisiliton45053 жыл бұрын
@@taseleli9181 shida hmfungi hta mkibebwa red card tatu bao mbili .
@mathewben68333 жыл бұрын
Mikia, bata fc, makolo wanateseka 😂😂😂
@bernardoartist87703 жыл бұрын
Yanga na refa wao
@simulizibora3 жыл бұрын
💚💚💚 wenzetu walitoka bila bila 😂😂
@yeremiamisungwi54342 жыл бұрын
Bibilia
@maishasowela Жыл бұрын
Makoro wamechapia sana
@reginaphilimon7823 жыл бұрын
Nyie yanga raha jmni kma unaona wameonewa leta timu yko😂😂😂
@zegemachips45993 жыл бұрын
L
@zegemachips45993 жыл бұрын
Kwani makolo mnasemaje?
@sharafidadii93353 жыл бұрын
kwa yanga hii hatali majiranj pore sana
@willfoswilliam31352 жыл бұрын
Yang's noma mbona mtakubali msimu huuuuuu?
@mashariki67813 жыл бұрын
Yanga kabebwa
@salimharrasy70473 жыл бұрын
Kweriiii!
@moseswilliam20633 жыл бұрын
Kama yanga kabebwa nenda umushushe atembee cvyo kukicherewa atashuka mwenyewe atembee maana hajazoea mabo ya kubebwaaaaaa!....