No video

TB JOSHUA NIMEMKUTA YUPO KUZIMU na niliongea nae./ TB Joshua is in hell I have talked him

  Рет қаралды 10,906

UNYAKUO TV.

UNYAKUO TV.

Жыл бұрын

WELCOME TO THIS CHANNEL.. you will get to learn a lot about God,
Amos-3:7 / Proverbs -8:4-5
_____________________
THE END OF THE WORLD IS IN THE YEAR- 2673. 21
______________________
AMOS- 3:7
7 Surely the Lord GOD will not do anything, without revealing his secret to his servants the prophets.
EZEKIEL-12:27-28
27 Man, look, those of the house of Israel say, The vision he sees is for many days to come, and he prophesies about the times that are far away.
28 So tell them, the Lord GOD says this; My words will not be repeated, but the word that I will speak will be fulfilled, says the Lord GOD.
___________________
Mark 16:15
____________________
ISAIAH- 24:3 / 2 PETER- 3:7 / REVELATION- 6:14 / REVELATION- 21:1
___________________
REVELATION-14 (2-3) BEFORE JESUS ​​COMES THE THIRD TIME TO DESTROY THE WHOLE WORLD HE WILL SEND HIS ANGELS to preach the gospel to the whole world.
as he sent John before his coming. (John 1: 6-7)
As he commanded Noah before he destroyed the whole world.
(Genesis- 6: 13 and Genesis- 7: 1-4)
As he told Abraham before he destroyed Sodom and Gomola.
(Genesis-18: 17-24)
As the angel sent to tell Mary and Joseph that they will have a child
(Luke-1: 30-32)
And his coming the second time he has sent me his servant to give them permission for the end of the whole world and the rapture
(Isaiah-42:9) (Amos-3:7)
PROPHET OF GOD.
- BONIFACE. VICTOR
PSALM- 4 (2-4)
Phone- +255765- 943 978
What's app- +255686- 44 88 80.
________________________
________________________
اهلا بك في هذه القناة .. سوف تتعلم الكثير عن الله ،
عاموس 3: 7 / أمثال -8: 4-5
_____________________
نهاية العالم في العام 2673. 21
______________________
عاموس - 3: 7
7 إن السيد الرب لا يفعل شيئًا دون أن يكشف سره لعبيده الأنبياء.
حزقيال 12: 27-28
27 يا انسان هوذا من بيت اسرائيل يقول الرؤى التي يراها هي ايام كثيرة قادمة وهو يتنبأ عن الازمنة البعيدة.
28 فقل لهم. هكذا قال السيد الرب. لن تتكرر كلامي ، لكن الكلمة التي سأتحدث بها ستتحقق ، يقول السيد الرب.
___________________
مرقس ١٥:١٦
____________________
إشعياء - 24: 3/2 بطرس - 3: 7 / رؤيا - 6:14 / رؤيا - 21: 1
___________________
رؤيا ١٤ (٢-٣) قبل أن يأتي يسوع للمرة الثالثة ليدمر العالم بأسره سوف يرسل ملائكته ليكرزوا بالإنجيل للعالم أجمع.
كما أرسل يوحنا قبل مجيئه (يوحنا 1: 6-7)
كما أمر نوحًا قبل أن يدمر العالم كله.
(تكوين 6: 13 وتكوين 7: 1-4)
كما أخبر إبراهيم قبل أن يدمر سدوم وجومولا.
(تكوين 18: 17-24)
كما أرسل الملاك ليخبر مريم ويوسف أنهما سينجبان طفلًا
(لوقا 1: 30-32)
ومجيئه في المرة الثانية أرسل لي خادمه لأمنحهم الإذن بنهاية العالم كله والاختطاف
(إشعياء 42: 9) (عاموس 3: 7)
نبي الله.
- عظم. فيكتور
PSALM- 4 (2-4)
________________________
歡迎來到這個頻道……你會學到很多關於上帝的知識,
阿摩司書 3:7 / 箴言 -8:4-5
_________________________
世界末日在這一年 - 2673. 21
_________________________
阿摩司書- 3:7
7 主耶和華必不將秘密指示他的僕人眾先知。
以西結書 12:27-28
27 那人,看哪,以色列家的人說,他所見的異像是未來許多日子,他說預言,是關於遠方的日子。
28 所以告訴他們,主耶和華如此說; 我的話不再重複,我所說的話必應驗,這是主耶和華說的。
_________________________
馬可福音 16:15
_________________________
以賽亞書 - 24:3 / 2 彼得 - 3:7 / 啟示錄 - 6:14 / 啟示錄 - 21:1
_________________________
Revelation-14 (2-3) 在耶穌第三次來毀滅整個世界之前,他將派遣他的天使向全世界傳播福音。
約翰來之前差遣他。(約翰福音 1:6-7)
正如他在毀滅整個世界之前命令諾亞。
(創世記 - 6:13 和創世記 - 7:1-4)
正如他在摧毀所多瑪和戈摩拉之前告訴亞伯拉罕的那樣。
(創世記 18:17-24)
正如天使派來告訴瑪麗和約瑟他們將有一個孩子
(路加福音 1:30-32)
他第二次來了,他派我來他的僕人,讓他們允許世界末日和被提
(以賽亞書 42:9)(阿摩司書 3:7)
上帝的先知。
-博尼法斯。 勝利者
聖歌- 4 (2-4)
________________________
KARIBU KATIKA CHANNEL HII.. utapata kujifunza mengi kuhusu Mungu,
Amosi-3:7 / Mithali -8:4-5
_____________________
MWISHO WA DUNIA NI MWAKA- 2673. 21
______________________
AMOSI- 3:7
7 Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
EZEKIELI-12:27-28
27 Mwanadamu, tazama, hao wa nyumba ya Israeli husema, Maono hayo ayaonayo ni ya siku nyingi zijazo, naye anatabiri habari ya nyakati zilizo mbali sana.
28 Basi uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Maneno yangu hayatakawilishwa tena hata moja, bali neno nitakalolinena litatimizwa, asema Bwana MUNGU.
___________________
MARKO 16:15
____________________
ISAYA- 24:3 / 2 PETRO- 3:7 / UFUNUO- 6:14 / UFUNUO- 21:1
___________________
UFUNUO-14 (2-3) YESU KABRA YA KUJA MARA YA TATU KUANGAMIZA DUNIA YOTE ATAMTUMA MALAIKA WAKE.kuhubili injili dunia nzima.
kama alivyomtuma yohana kabla ya kuja kwake .( Yohana-1 : 6-7)
Kama alivyo muagiza Nuhu kabla hajaangamiza ulimwengu wote.
(Mwanzo- 6 : 13 na Mwanzo- 7 : 1-4)
Kama alivyo muambia ibrahimu kabla hajaiangamiza sodoma na gomola.
(Mwanzo- 18 : 17-24)
Kama alivyo mtuma malaika kumuambia maria na yusufu kua watapata mtoto
(Luka- 1 : 30-32)
Na kuja kwake mara ya pili amenituma mimi mtumishi wake kuwapa habali ya mwisho wa ulimwengu wote.na unyakuo
(Isaya- 42 : 9)( Amosi-3:7)
NABII WA MUNGU.
- BONIFACE. VICTO
ZABURI- 4 (2-4)
Simu- +255765- 943 978
What's app- +255686- 44 88 80.

Пікірлер: 220
@emmanuelmateru2190
@emmanuelmateru2190 Жыл бұрын
Nilikua nakufwatilia sana, ila kwa uzushi huu, eti umemwona Tb Joshua kuzimu!!!! Huna tofauti na zumaridi wewe.
@edsonkumenya5626
@edsonkumenya5626 Жыл бұрын
Ikiwa Yesu aliitwa mkuu wa pepo, sishangai kusikia unamwita T. B. Joshua nabii wa Uongo. Lakini mimi naamini bila shaka yoyote kwamba T. B. Joshua alikuwa ni nabii wa kweli wa Mungu aliye hai. Nabii wa uongo hawezi kufundisha watu wautafute kwanza ufalme wa Mungu, hawezi kuwafundisha watu jinsi ya kuishinda dhambi/kuishi maisha matakatifu, hawezi kuhubiri upendo, msamaha, n. k. T. B. Joshua licha mema mengi aliyo yatenda enzi za uhai wake, alikuwa ni mtu anamcha Mungu sana, aliwapenda watu wote bila kujali taifa lao, dini yao, itikadi yao and so on. Tena alihubiri na kufundisha haya yote niliyo eleza hapo juu.
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 Жыл бұрын
KUNA MWEZIO ALISEMA GERDEV NI NABII WA MUNGU KWA SABABU ANAGAWA PESA ANASAIDIA WATU. sio kwamba ameambiwa na Mungu .. Yeye ameona kwa sababu anasaidia. Na wewe ona hivyohivyo Video inamaelezo ya kujitosheleza Wewe kama unatazama kwamtazamo wako wa kifikra.. Sawa.
@edsonkumenya5626
@edsonkumenya5626 Жыл бұрын
@@unyakuotv.1391 Moja ya ya tabia mama za nabii wa uongo/shetani mwenyewe ni; hawezi kukemea dhambi wala kuwafundisha watu waache dhambi. Hii ni njia rahisi ya kuwatambua manabii/watumishi wa uongo...!
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 Жыл бұрын
udhibitisho wako unautoa wapi. KAKOBE MBONA ANAKEMEA DHAMBI NA NI WA UONGO. Kwani hujamsikia zumaridi anasema nae kaenda mbinguni. Kakutana na yesu wa tongalen
@cellinamuro6872
@cellinamuro6872 Жыл бұрын
Wewe ni muongo na baba wa huo uongo usitulishe matango pori shetani wewe huna haya Wala humuogopi Mungu uanataka sadaka za watu kuzimu inapima nguvu ama kweli umekamatwa Kwa maneno ya kimya chako Mbingu ndio inapima wewe ni kibaka wa Lucifer kwendaaaaaaaa
@edsonkumenya5626
@edsonkumenya5626 Жыл бұрын
@@unyakuotv.1391 Bro kama kweli wewe unamtumikia Mungu wa kweli, acha kuwa attack watumishi Mungu, wewe lihubiri neno la Mungu, na kwa neno hilo watu wataijua kweli na kweli hiyo itawaweka huru.
@acosta2603
@acosta2603 Жыл бұрын
Duh sasa unaelekea kubaya ndg, mi sijui sasa unamtumikia Mungu yupi! Kuwa makini sana maana Mungu wa kweli yupo endelea kudanganya
@ntulisuzan897
@ntulisuzan897 Жыл бұрын
Hamna Kitu hapo😂
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Pepo Hilo
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 Жыл бұрын
Fuatilia ushuhuda wa KENZO na ASTON MBAYA
@RedentaMahessa
@RedentaMahessa 3 ай бұрын
Yupo sahihi. Akuwa mtumishi wa kweli.
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 2 ай бұрын
Yeye mtumish kweli
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 2 ай бұрын
Sema mimeamin mtu wa Mungu ni mtu wa Mungu tu. Wengi tunajua tb Joshua alikuwa mtu wa Mungu 100% alfuu unakuja na mambo yako ya kusadikika. shuuda za kweli tunazijua . Hacha masihara yako
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 21 күн бұрын
Ulikuwa Kwa mawazo angu. Ndio maana YESU anasema watu wangu wanisikia sauti angu na kuitambua. Simkashifu lakin hakuna ushuuda hapa. 😪😪😪😪😪😪😪💔💔💔💔💔💔💔💔💔
@flavianchamuriho7519
@flavianchamuriho7519 10 ай бұрын
Mbona hujioni kuwa wewe ndo uko kuzimu Tb Joshua ameenda kwa baba Mbinguni kupumzika baada ya kazi njema ya bwana Mungu aliye hai
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 2 ай бұрын
Mbingu ya kwako?
@isayamwasile3103
@isayamwasile3103 10 ай бұрын
Umeona maluweluwe,Mapichapicha ,kama Mfalme Sauli avyoomba mzimu wa Samwely,kumbe uongo mtupu,Wewe ulifuata Nini huko Kuzimu
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Kazaa wa Toto wa Giza wengi huku duniani ,mwingine alisema ,Kila anaye ingia kwenye sinagogi la tb Joshua una wekwa alama,na wengine aliwaona jehanamu,mwingine alisema alimuona ana Pete nyeusi kidoleni mwake ktk ulimwengu wa roho ,,
@WilliamNamende-pc9ku
@WilliamNamende-pc9ku Жыл бұрын
Huyu nabii hata Mimi MUNGU aliniambia mwaka 2021aliniomyesha jinsi anavyofanya katika huduma yake nakuwa hakuwa na nguvu ya MUNGU
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Watu mnajisumbua juu ya wengine ila tusijisahau. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe... Kila mtu ana kiporo kinamsubiri
@salomemwambindo8181
@salomemwambindo8181 Жыл бұрын
Umenena vema kabisa.
@nicodemusmaelo3442
@nicodemusmaelo3442 Жыл бұрын
Kwani nawe ulikua umefata Nini huko🤔🤔
@charlesmbunda6759
@charlesmbunda6759 10 ай бұрын
😂😂😂
@rashidhassan8156
@rashidhassan8156 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gideonkayala3913
@gideonkayala3913 8 ай бұрын
Kaka huyu nabii simuelewi kabsa yaaan kumsema nabii TB Joshua hapo yeye nadhani ni nabii wa uwongo mmh yeye alifuta nn kuzimu Muongo kabsa kabsa
@joshuaezekiel8257
@joshuaezekiel8257 Ай бұрын
Acha upuzi kutuma ujinga kwenye mtandao Huyu Mungu munaye mtania hipo siku mtajuta hushua wako wakijinga unatuma kwenye mtandao Mungu akuhurumie kijana sina uwakika kama ukotimamu kiakili
@tujajackson8142
@tujajackson8142 8 ай бұрын
Ulionyeshwa mapepo wewe Mungu sio wa hivyo. Jichunguze sana
@fridalyanguka1733
@fridalyanguka1733 Жыл бұрын
Umeonana naye katika mwili gani ni huu wa nyama au mwili wa kiroho maana huwezi kuonana na mtu kiroho ukiwa na mwili huu wa nyama acha kutudanganya.
@peteremmanuel111
@peteremmanuel111 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe ni muongo unatupanga tu kwa kupigania tumbo lako😂😂😂😂
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Uongo wake nn?
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Inasikitisha watu hujibu bila break. Hawajui hukumu yake. Anajibu hivo amemuuliza Mungu au anajibu tu?
@derickcowly6681
@derickcowly6681 9 ай бұрын
Wewe umekuja na ufunuo wa kuzimu wewe pia na wale wale unakuja na mambo tofauti sana
@yudamwakatobe338
@yudamwakatobe338 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu kama una mashaka na ujumbe wake au ushuhuda wake ingia kwenye maombi mulize Roho Mtakatifu mara mbili au mara tatu yeye ni mkweli atakuambia kwani yeye ndiye msaidizi ambaye Bwana Yesu alituachia hapa duniani. Lakini soon kutukana watumishi wa Mungu Kwa maana huyu Nabii TB Joshua watumishi wengi wameshuhudia wamemwona kuzimu basi na wewe ingia kwenye maombi mwulize Mungu na kama ni ukweli atakuambia na kama ni uwongo hivyo hivyo.
@lightouma477
@lightouma477 Жыл бұрын
Kiukweli MUNGU akusamehe sanaaaaa
@harrisonhendry4582
@harrisonhendry4582 4 ай бұрын
Napenda shuhuda ila kwaushuda huu umetudanganya
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 Жыл бұрын
Kinachosumbua watu wengi hata kufikia mahali kama hapa,ni kukosa NENO LA MUNGU mioyoni!!
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 Жыл бұрын
Hakuna mtu anayemwamini Kristo Yesu atakwenda Kuzimu NEVER EVER.
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Huyo Ni begi la shetani.Anaongea upuuzi.
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 Жыл бұрын
Kamfuatilie mtu anaitwa ASTON MBAYA toka Congo nae kasema Tb Joshua alikuwa kuzimu, kuna mwingine nae anaitwa Enzo, Yaani wapo wengi sana.
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
@@ivanf.lekule5618 Ukisikia MTU anasema kaenda KUZIMU huyo Ni Mali ya shetani,huko ndiko kwao,wanayajua ya KUZIMU,jamaa zake Ni hao waliyo KUZIMU.Waliyo wa MBINGUNI watatuletea habari za MBINGUNI aliko KRISTO. Hao Ni mipumbavu.
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 Жыл бұрын
@@maswamills3161 nenda Promover tv kuna shuhuda nyingi. Kila mtu kapewa kipawa chake. Sio kila mtu Mungu atampeleka mbinguni na kuzimu. 🙏🙏
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 Жыл бұрын
@@maswamills3161 Biblia takatifu unatuasa tuwafundishe watu kuhusu kuzimu na mbinguni. Kuzimu ipo
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 5 ай бұрын
Watanzania mbona hamna uoga kama anasema uongo inawahusu nini si mmuache na Mungu wake je kama ni kweli mtasemaje mbele ya Mungu!!?
@Monica1Mona1
@Monica1Mona1 11 ай бұрын
Hapana umetudanganya sasa,nilikuwa nakuamini lakini sasa ivi ninawasiwasi nawewe.T.B.Joshua ni Nabii Mkuu wa MUNGU
@hezekiamtera3559
@hezekiamtera3559 4 ай бұрын
Inaonekana hata biblia huijui vizuri .vizuri.Kuzimu sio sehemu ya kutalii.Anayekwenda kuzimu hatoki huko mpaka wakati wa ufufuo wa pili ambapo Yesu atakuwa ameketi kwenye Kiti Kikubwa Cha Hukumu kuwahukumu wote ambao watakwenda Kuzimu
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Sikiliza shuhuda za waliokuwa ma satanist, utaelewa sifa zao. Sharti mojawapo ni lazima kutoa sana ili kusababisha confusion na kuvuta watu. Usipokuwa mtoaji kwa hela anazokufanikishia shetani, anakuua. Kwa nini kutoa sana? Ili kusambaza roho chafu zilizomo ndani yao na kupitia manuizo mabaya. Jitahidi kusoma Neno la Mungu zaidi na kumkaribia Baba wa Mbinguni Atakufunulia. Hana Upendeleo.
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 11 ай бұрын
Wataka kuniambia Ibrahimu alivyomtoa Isaka kuwa sadaka alikuwa ana agano na Shetani?????? Kwa hiyo tusiwe watoaji Kwa Mungu kwa kuwajali wenye Uhitaji???? Shida ipo kwenye Ufahamu wako !
@olivernyange2349
@olivernyange2349 Жыл бұрын
Wasiosoma neno ndo waumini wako,TBJ katufundisha kusoma neno bible mzee soma ukoingozwa,na,roho mtakatifu huna neno unaongea tu hisia huna neno huna Yesu,huna Mungu,huna Roho mtakatifu,pumba
@UwepoTv
@UwepoTv Жыл бұрын
Hakika Mungu amefunua yaliyojificha nyuma ya huyu TB J na alisaidia wengi kuwaingiza kupata nguvu za kishetani na kuwa wahubiri ..mimi nasubiria list ya awamu ya pili manavii na watumishi wa uongo Barikiwa Nabii
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii 10 ай бұрын
Sasa yesu alifanya makubwa sana hapa duniani wewe kama mwana wa Nuru uweza wa kristo kwako uko wapi matendo makuu na neno la Mungu kwako liko wapi
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 Жыл бұрын
Miujiza feki,nabii kama hizi tuna zipima kwa KWELI YA NENO LA MUNGU!!
@jozeeshirima9231
@jozeeshirima9231 Жыл бұрын
Luka 19:23 kuzimu ni sehemu ya mateso na sio sehemu ya kugawa vyeo,kama yeye yupo kuzimu sisi haitusaidii kitu,soma ujumbe wako,marko 16:15~16 iyo sio kazi uliyo tumwa na kristo
@Deogreciousfilberty
@Deogreciousfilberty 10 ай бұрын
List ya manabii unaijua wewe acha unafiki, shetani amekuonyesha sio Mungu,
@EmilianaInnocent-yv4pm
@EmilianaInnocent-yv4pm 4 ай бұрын
Mimi cjui niseme nn ila mtumishi kila unacho ongea kuna na baadh ya watumishi mnaongea vinafanana mm nacho amini ww ni mtumishi wa kweli kabsa na nabii hawez kuheshimika nyumban kwake usiache kuombea taifa letu yesu akutie nguvu na ujasiri
@olivernyange2349
@olivernyange2349 Жыл бұрын
Kwa,hiyo wewe ndo wa kweli😂we mganga wa kienyeji hutakaa wala huwezi kumfikia T.B.Joshua wewe,yule ni mtoto wa Yesu kindaki ndaki,wewe ni mtoto wa mizimu ya kwenu.kwa taarifa kidogo kwanza wewe lugha ya,kiingereza,hujui!! So huwezi na,hujawahi kumuelewa,TBJ.halafu Yesu walimwita anatoa pepo kwa uwezo wa belzebul mkuu wa mapepo.Yesu akawajibu kama mi natoa pepo kwa uwezo wa belzebule na nyie ambao ni wa giza mnatoa kwa uwezo upi.giza haliwezi kutoa giza.ndo mana Yesu alikuwa anaua mapepo,na TBJoshua ndicho alichokuwa akifanya.nafkiri sasa utajiona wewe ni wa upande gani,ila kwa haraka wewe ni wa upande wa,belzebul kazi alizofanya TBJ wewe huwezi na wala hutakaaa ukaweza,mpaka unaenda kaburini.wanaokufuata ni kuja kusikiliza,mizimu,yako.
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii 10 ай бұрын
Yani watu wa hivi wamenisumbua sana ni Moja ya mchawi ni wewe wewe una yesu Gani ili tukuamini
@brownmtofole
@brownmtofole 10 ай бұрын
Mtumishi Acha porojo,TB Joshua aliihubiri injili ya wokovu duniani kote na watu kwa maelfu walimjua Mungu na kuokoka..!aliwahubiria maskini habari njema na kuwapa misaada mingi.Alionyesha imagine inayotenda kazi ya kuwaponya wale wote walioonewa na ibilisi,alijishusha na kunyenyekea mbele za Mungu,kamwe hakujisifia kama ufanyavyo ww.Hatuoni kazi za Mungu unazofanya za kumzidi TB Joshua aliyehubiri duniani kote,ww hata Msumbiji hapo hujafika
@peteremmanuel111
@peteremmanuel111 Жыл бұрын
Izo nguvu zako nenda muhimbili mkawaponye wagonjwa sio kuja kwenye media na kudanganya watu ipo siku mtakuja mzalilike na muumbuke kama brazil walivyo mtania mungu wakaadhibiwa na nyinyi ipo siku izo dhihaka zenu mtakuja kula adhabu ikawe fundisho kwako mpaka kizazi chako
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 Жыл бұрын
Mungu hajaribiwi hivyo ndugu yangu, hata BWANA Yesu hakwenda hospitali bali waliomwita yaani waliomhitaji ndiyo aliwaombea, zingatia hilo sana
@ej4409
@ej4409 Жыл бұрын
MWAKA JANA ULITO UNABII KWAMBA MWAKASEGE, AMEMALIZA MUDA WAKE ATAKUFA, PIA ULISEMA HATA GWAJIMA NA MWINGINE MMOJA. LAKINI ULIDANGANYA KWASABABU UNABII WAKO HAUKUTIMIA. WATUJMISHI HAO HAWAKUFA, SO MIMI NAPATA SHIDA KUAMNI KILA UNALOTUELEZA.
@kimsi682
@kimsi682 11 ай бұрын
Umedhibitisha vile Aston Adam Mbaya alisema. Lakini, niaje ulimbembwa kule na denge za kuzimu?? Yaani UFOs vile naelewa?? inakuaje mtu wa Mungu, anasafirishwa na ufos? Hapa nachanganyikiwa! Kwanini sio malaika wa Mungu akupeleke huko? Pili, huyu T.B Joshua alikupa taadhari za watu hapa duniani?
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 5 ай бұрын
Bbc nao si wamesema hayo ninyi watanzania wenzangu kama mtu anasema uongo si mmuache wa nini huyo!!
@woltermbowe2728
@woltermbowe2728 2 ай бұрын
wapendwa katika bwana,huyu MTU anashida
@edwardsamwel5084
@edwardsamwel5084 Жыл бұрын
Tusaidie pia kuhusu kanisa safina arusha
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Jifunzeni kumtafuta mungu ninyi wenyewe, pazia la hekalu limepaduka,ukimtumaini mtu hujii malengo yake kwenye kile anachokisimamia plz mtafute mungu wewe mwenyewe
@ej4409
@ej4409 Жыл бұрын
@@rosemuhandoofficial5676 Hapo uko sawa kabisa dada Rose
@subirachristopher1984
@subirachristopher1984 Жыл бұрын
hakuna mtumish ambae Haambiw ni wa kuzim. ht yeye watu wanaoneshwa kuwa ni mchawi. jamaaani!!!
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 Жыл бұрын
Wewe sio wa Mungu ni wa kuzimu wenzio tunahubiri yesu hatuhubiri kuzimu.tajiri na Lazaro kuzimu kuna shimo kubwa walioko huku hawaendi huko TB josbua alikufa peaceful acha hiyo utalipa gharama kubwa sana
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 7 ай бұрын
Aisee wameumbuka huko tb joshua anatanganzwa mambo yake kila sehem
@estherjustine8251
@estherjustine8251 Жыл бұрын
Wewe km ni Mtumishi hubiri neno la Mungu achana na kusemasema watumishi wengine Unafahamu kuwa km mtu anayo maarifa ya Roho wa Mungu hata kwa muonekano wako hauonyeshi km unaweza kuvuviwa na Mungu, acha uongo baba, katafitie tumbo lako chakula kwa njia nyingine usipotoshe watu Acha Uzumaridi baba.....
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 11 ай бұрын
HUO SIO UZUMARIDI BALI KUMKOSA YESU .HUYU HANA YESU AKIWA NA YESU ATASEMA KWELI .NJE YA YESU NI LAZIMA UWE MWONGO NA BABA WA UONGO NI SHETANI
@EsauBakari
@EsauBakari 10 ай бұрын
hizi shuhuda ni zifatiria sana uwe mtu umesoma sana biblia unaerewa ma andiko matakatifu Ra sivyo utapotea razima unapo sikiriza uzipime katika ma andiko maana wapo ware wanao SEMA ukweri na wanao Tunga Kwa njia ya uongo anao SEMA utakupereka kwenye ma andiko
@annak6738
@annak6738 Жыл бұрын
Mimi nakushauri mtafute Mungu maadam anapatikana,wewe Injili yako ni kuwasema Watumishi Wa Mungu, whether yuko kuzimu au Mbinguni tengeneza maisha yako na Mungu, Mungu mwenyewe atakuja kuchekecha Pumba na Ngano.Nafikiri hii Channel yako ni kwa ajili ya kuwasema Watumishi wa Mungu.Hubiri Injili ya Toba watu Waokoke. Wewe kila wakati ni kujihesabia haki.Ungetuambia Malaika wa Mungu Alikuja akakupeleka Kuzimu tungeamini kidogo,mara tena Ndege ya Kuzimu ndio uliipanda mmh!! Inaonekana na wewe ni wa Kuzimu.Hubiri Injili ya kuwaleta watu kwa Yesu Kristo Siku zimekwisha Yesu Kristo Anakuja Kuchukua Kanisa lake haraka mno!!
@derickcowly6681
@derickcowly6681 9 ай бұрын
Mimi Nakupenda sana kwa sababu una stori nyingi sana na zonte ni nzuri usiache kutupa stori nyingine kesho ya Bushiri wa Malawi
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
UKWELi,kiuhalisia TB Joshua hakuwA mtumishi wA Mungu Alie Hai,hii nimeifanyia utafiti mkubwa kwani mwanzoni na Mimi nilikuwa Nina mkubali kama mtumishi wA Mungu,maana hata watoto wake wA Kiroho akina suguye n,k ukiangalia huduma zao za kuomba kucha na nywele ni mambo ya kipepo,
@Dd-mu4fj
@Dd-mu4fj 10 ай бұрын
Ila Tbj hajawahi kutaka kucha na nywele
@godfreyngajilo3795
@godfreyngajilo3795 Жыл бұрын
Kanisa pentekoste limetekwa na shetani, matahira wanaopaswa kupelekwa mirembe ndo wanakuwa wachungaji,
@mosesdouglas7902
@mosesdouglas7902 Жыл бұрын
Sio kutekwa tuu ,Bali imekua kiwanda cha shetani kuzalisha vitenda kazi vya ushetani ,😢😢😢May God have mercy on us 🙏
@blessjo1678
@blessjo1678 Жыл бұрын
Mheshimiwa nabii wa ukweli vipi ULISEMA MWAKASEGE ATAKUFA MWEZI WA SABA MBONA BADO YUPO??
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Wengi mtaumia na kuhukumiwa kwa uvivu wa kumhakikisha Mungu kwa kile nabii alichosema. Mi binafsi TBJ akiwa hai alipambana na mimi katika roho kuninyang'anya nyota. Sasa kama wewe ni mkristo vuguvugu haya mambo si rahisi kwako. Rudi magotini muulize Mungu nawe akueleze ukweli kuliko kutweza unabii. "Usimguse masihi wa Bwana". Je Musa hakuwa na kigugumizi? Ulitaka Mungu Akuchague wewe? Mungu huchagua kutumia vinyonge aviaibishe vyenye nguvu!!
@ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr
@ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr 4 ай бұрын
Lkn tb joshua nimesikia shuhuda kama 4 wamnamshuhudia kua ni wauongo
@ministerbarakaeliakim4359
@ministerbarakaeliakim4359 11 ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU yoyote hawezi kumsema mwingine na siku zote Mtumishi wa MUNGU anaesemwa sana vibaya huyo ni GENERAL KWENYE UFALME WA MUNGU... I love TB joshua he changed my life sasahv mm ni evanglist because of this man TB Joshua❣️❣️
@EvangelistMiriamIdarus
@EvangelistMiriamIdarus 10 ай бұрын
I salute you Minister,nikaribishe ibadani nije haraka
@EvangelistMiriamIdarus
@EvangelistMiriamIdarus 10 ай бұрын
Mungu amrehemu sana huyu kaka
@joycegideon8224
@joycegideon8224 3 ай бұрын
Wewe umekosa Cha kusema kuwa makini
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 Ай бұрын
Wewe muongo dar mpaka leo tuko poa acha uongo kuhusu tb Joshua kwanza humjui hujawahi kumsikiliza maana hata english hujui 😂😂
@leahwambui5608
@leahwambui5608 9 ай бұрын
😂😂😂kuzimu ukaeda naukarudi
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 Жыл бұрын
Jamani siku hizi ni za mwisho.kwani akiwa kuzimu shida iko wapi ole wako kuzimu ulifuata nini huo ni uongo TB Josbua yuko mbinguni na tutamkuta kwanini Mungu akuelezee tu joshua .tena tubu acha kutoa shuhuda za kuvunja moyo Yesu bado anahubiriwa na watu wanaokoka
@charlesmbunda6759
@charlesmbunda6759 10 ай бұрын
Maono na maufunuo na maunabii... Kuweni makini watu wa Mungu!!!!
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
Amen
@happyfihavango4151
@happyfihavango4151 Ай бұрын
Tengeneza yako hiyo kua kuzimu haitusaudii tupe neno acha umbeaaa wewe uzushi
@germamassawe6968
@germamassawe6968 4 ай бұрын
Sasa wewe ulifata nini kuzimu! Na unajisema wazi eti ulichukuliwa na ndege za kuzimu😅😅😅😅, watu wanaochukuliwa na Yesu kuonyeshwa kuzimu wanaletewa malaika na sio ndege za luzimu! Uongo mwingine bana mjipange kabla hamjatuletea, maana siku hizi tumewashtukia.......
@lukaerinest8004
@lukaerinest8004 Жыл бұрын
Kuna clipu ya devidi richard akihojiwa na mwandishi kuhusu tb joshua alisema yuko mbinguni
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 Жыл бұрын
Kabla ya kifo au baada. Maana ukishakuwa wa uongo utatetea uongo
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Жыл бұрын
Huyu jamaa siyo MZIMA!!! ila inawezekana hajitambui
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Anaota mchana
@maryshirima3198
@maryshirima3198 Жыл бұрын
Ninakubaliana nawewe kabisa uyo mzee alinijia live ulimwengu waroho nikawa najiuliza anacheo gani huko kuzim
@user-hu5hs6bv9z
@user-hu5hs6bv9z 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@charlesmbunda6759
@charlesmbunda6759 10 ай бұрын
Mafunuo na maunabii ya huyu bwana!?!😂😂
@EmilianaInnocent-yv4pm
@EmilianaInnocent-yv4pm 4 ай бұрын
Pia nafatiliaga sana manabii shuhuda hata za nchi mbalili mbali vingi ni ukweli naamin ktka kila kitu unachosema yesu akutinze
@AsifiweChaula
@AsifiweChaula 7 ай бұрын
We ulienda kufanyanini huko kuzimu? Mbona wakati yupo hai hamkuthubutu kumsema? Hata wewe ya wezekana ni ajenti wa lusifa
@paschalvenance1833
@paschalvenance1833 Жыл бұрын
Mwamba we ulikuwa umefata nini huko kuzimu manabii wa leo ni kama comedy.hapa umetupiga chenga la macho.
@jacksonmchami930
@jacksonmchami930 11 ай бұрын
Wewe ndio wa uongo.hivi baba Yako WA KIROHO nani?
@rebecakigutu
@rebecakigutu Жыл бұрын
mbona ata ushuuda wa kenzo unaelezea ? kuhusu tibi joshua ... nenda chanell ya promover tv utausikia ushuuda wa kenzo ni mjaphani
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 Жыл бұрын
Amesemaje tunaomba link
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs Жыл бұрын
@@unyakuotv.1391 Kenzo alisema amewahi kufika kwa TB JOSHUA akaona ktk ulimwengu wa roho namna mapepo walivyokuwa wakiwaingia watu mle kanisani badala ya kuwatoka hata channel ya peniel eternal ilieleza jambo hili
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 Жыл бұрын
Mbona Mimi sijawahi sikia hiyo listi ya manabii wa uongo na nimefuatilia Sana mahubiri yako eeh Nabii wa MUNGU , Ubarikiwe kwa kazi nzuri mahubiri yako yamenichenga kwelikweli
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 Жыл бұрын
Andika manabii wa uongo Tafuta Itakuja utaiona imeandikwa. 6-manabii wa uongo . ni namba 6
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fJubl399Zqinh68
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 Жыл бұрын
@@unyakuotv.1391 asande
@peteremmanuel111
@peteremmanuel111 Жыл бұрын
Clip 6:30 eti niliona viumbe ambavyo sivielewi alafu ukawataja eti mapepo hao bado unacheo kidogo sana kwenye kutengeneza story za uongo na hiyo ni madhara ya kukimbia umande mnakuja kuchota watu akili na story zenu za kutunga zilizo jaa uwongo ambao hata mtoto wa darasa la 3 akitulia anaweza akakuumbua ushauri tafuta biashara ufanye dini itakuzaririsha na hao unaowaponda unaweza sababisha vita au uchochezi wa kidini ambao ni hatari kwa maslai ya jamii na nihatari kwa kulitetea tumbo lako
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 Жыл бұрын
@@peteremmanuel111 havieleweki maumbile siyo asili
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe una mapepo ,peleka Ushetani wako KUZIMU kwa JINA LA YESU. Utakuwa msukule siyo bure
@harunamdende
@harunamdende 12 күн бұрын
Mmmm,, 😂😂😂
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs Жыл бұрын
Sishangai kwani ww mtu wa tatu kusikia juu ya TB JOSHUA yuko kuzimu
@josephinemwamgiga4578
@josephinemwamgiga4578 Жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza nathubutu kutamka na kwa uhakika pasipo shaka nimeamini wewe na unamtumikia shetani. Na kuanzia Leo ni mwisho wa kufungua hii channel ya upotoshaji.
@olivernyange2349
@olivernyange2349 Жыл бұрын
Huyu kweli hama,undugu na yulw tapel mwingine zamarid hawa wehu wote hawa wapelekwe mirembe
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 11 ай бұрын
Mimi sijawahi ona mwafrica kaonyeshwa mambo ya sayansi mtanisaidia ni kwa nini wazungu wao wapo wanaoteshwa vitu vya technology Sisi walaaa.
@user-ii2nv4iz9w
@user-ii2nv4iz9w 10 ай бұрын
Wewe kuzimu umeenda kufanya nini kama na wewe sio wakuzimu???😊
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Nawe ni wakuzimu...
@oredidunia120
@oredidunia120 Жыл бұрын
Kwa Nini MAWAZO YENU Muna yafanya KUWA ndo mungu KASEMA ? HIVI amuogopi MUNGU Hakuna MTU kambiwa na Mungu Hapo Ila Ni MAWAZO TU ya watu
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 Жыл бұрын
Lete ulichoambiwa na Mungu Sasa
@denisharris2889
@denisharris2889 Жыл бұрын
Ulizungumza na TB Joshua Kwa lugha Gani?
@peteremmanuel111
@peteremmanuel111 Жыл бұрын
Mpigania tumbo huyo
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
@@peteremmanuel111 Na wewe kalipiganie la kwako
@kutikavu-jk7ue
@kutikavu-jk7ue Жыл бұрын
Sasa hata wewe sio nabii wa kweli. Ukiona mtu anamsema marehemu ni caward mbona hukutoa unabii huo akiwa hai? Na wewe pia ni shetani, unajipunguzia umaarufu bure, unajidharaulisha.
@suziemichael4338
@suziemichael4338 Жыл бұрын
Hawa watu wakipata hayo maombi yao wafunge wamuulize kama kweli it's from God
@neemamarko176
@neemamarko176 Жыл бұрын
Asante 🙏 🙏 🙏
@KinQuan-dx7kr
@KinQuan-dx7kr Жыл бұрын
Mbona huyu mtumishi amepigwa vita sana..Tumeambiwa utawajua kwa matendo yao. Kama wewe hukumfuatilia TB Joshua kwa karibu basi unaweza ukadanganywa..
@teresaigoki3872
@teresaigoki3872 Жыл бұрын
Tutakujua Kwa vitendo vyako sio Kwa maneno matupu! Mimi naamini ninayoyaona
@erickmisesi303
@erickmisesi303 Жыл бұрын
Kweli mimi na his I wewe ndio na big wa uongo...ata simu lini zako ni kama za kufungua. ..hakuna flow
@KinQuan-dx7kr
@KinQuan-dx7kr Жыл бұрын
Hii nguvu ya watu kuharibia watumishi wengine jina huwa wanatoa wapi..shetani hutaka kuwakoroga watu wasitambue watumishi wa kweli na wa uongo ili wapotee. Spirit of deception is at work be careful
@happinesskitali164
@happinesskitali164 Жыл бұрын
Maandiko yanasema kuwa nitakuonyesha Mambo makubwa na magumu ushiyoyajua
@revocatuspaschal4391
@revocatuspaschal4391 Жыл бұрын
Unatafuta comment acha ujinga una laana kubwa kumsemea vibaya mt.Wa Mungu.We ni kichaa
@florangido202
@florangido202 11 ай бұрын
We pia Muhongo Unaonekana tu Una njaa, Unatafuta kujulikana, Ulimkuta kuzimu wewe ulifata nini huko kuzimu ulikomkuta, Ovyo Kabisa wewe. Toa boliti kwenye hicho lako ndiyo utaona kibali kwa hicho la mwenzako..... Upuuzi mtupu unaongea, Nonsense!!!
@SimonJakob-vc8bk
@SimonJakob-vc8bk 9 ай бұрын
Huyu mtumshi Pasua kichwa, kwanza hasali kwa t.b Joshua, na mafundsho yake at a hayajui. Wanaoelewa mafundsho ya t.b Joshua amani wanayo.
@SimonJakob-vc8bk
@SimonJakob-vc8bk 9 ай бұрын
Anasema nabii wa mwsho ni msa, afu na yeye anajiita nabii. Mbona haeleweki uyu
@derickcowly6681
@derickcowly6681 9 ай бұрын
Wewe mbona muongo sana
@rosepallangyo1352
@rosepallangyo1352 9 ай бұрын
Tunakujua wee ni wakuzimu kwaiyo lazima mjuane
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
MPUMBAFU TENA MFUTA MEZA WA SHETANI WEWE, MWACHE MTUMUSHI WA MUNGU APUMZIKE.. HUNA LOLOTE
@gracethomas4621
@gracethomas4621 Жыл бұрын
Mpinga Kristo wewe tena ni pepo wa kuzimu fyooooo😈😈😈😈
@gracethomas4621
@gracethomas4621 Жыл бұрын
Hata kuongea unashindwa upigweeeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ktk Jina la Yesu Kristo wa Nazareth amen 🙏
@user-ii2nv4iz9w
@user-ii2nv4iz9w 10 ай бұрын
Wewe kuzimu umeenda kufanya nini wewe zumalidi wa kiume
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 2 ай бұрын
Na wewe ulienda kuzimu
@michaelwanyanga
@michaelwanyanga Жыл бұрын
"Mtawatambua kwa matunda yao"...Hujakosea unachokisema kwa sababu uliloliona ndilo unalolisema lakini kumbuka maono yanategemea msingi na mazingira uliyonayo wewe na dhumuni la anayekuonesha hayo. Inawezekana muda si mrefu hata wewe ukazungumziwa hayo hayo. Mihemko ya kiroho isitupeleke huku ila ikiwa hivyo ndivyo typo atakayehukumu kwa haki.
@furahasanga2534
@furahasanga2534 Жыл бұрын
KAMA AMEKUONYESHA TB JOSHUA NA GWAGIMA UTAMUONA MAANA TANGU 2015, NAJUA KAZI YAO ILIKUWA MOJA KUHAIKISHA TANZANIA INAENDELEA KUWA CHINI YA UFALME WA GIZA, MUNGU ALIMTETEA, 2020 AKAWAKUMBATIA GWAJIMA NA TB JOSHUA NDIO WAMEMUONDOA. TANZANIA INAHITAJI NEEMA NYINGINE IWEZE KUTOKA KWA MINGU.
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 Жыл бұрын
Huo ujumbe ulidhibitishwa na watu wangapi. Na wangapi uliskia TB yupo kuzimu. KAMA MAONO HAYAJADHIBITISHWA BASI HUO NI UONGO. ulipewa maono ya uongo kudanganya
@Safariking2010
@Safariking2010 11 ай бұрын
Hii takataka Inayojiita nabii inapatikana wapi nataka nikaizibue ipate akili
@rodahjuma6920
@rodahjuma6920 Жыл бұрын
Wacha tumwajie mungu aukumu wenye kutenda maovo Sisi hatuna
@msanginaza905
@msanginaza905 Жыл бұрын
Mmmmmmh huyu sindo alisema meakasege atakufa mwaka Jana??? Mmmmmmh Mungu atuwezeshe kupambanua Hawa watu looool sasa ulikuwa unapimwa ili utumike wapi mtumishi! Alafu km TB Joshua anapima huko kuzima kwann nguvu zako azipime yeye?? Lkn pia kwann hakuna malaika aliyekuwa ana kuguide????
Tb Joshua Prophecy About 2024 Protest {14-7-20213}
23:42
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 34 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
PART 4 MAMBO YA KUTISHA WAKATI PARAPANDA ITAKAPOLIA USHUHUDA WA GRACIA
25:17
BAHARI INAKUJA NA HIDAYA MTAJUA HAJUI/BEBENI NYUMBA ZENU
13:32
UNYAKUO TV.
Рет қаралды 6 М.
KUSHINDA WAKATI TULIONAO WA SIKU ZA MWISHO TUSIJE TUKAKOSA UNYAKUO -(sehemu 4) Rabbi Abshalom Longan
1:00:06
Kuzimu ni halisi sio hadithi na majini yapo fatilia ushuhuda huu.
56:28
Huduma ya Madhabahu ya Kristo.
Рет қаралды 19 М.
Part_1 USHUHUDA WA ALIYEKUTANA NA  YESU NA SHETANI LIVE
49:08
PROMOVER TV
Рет қаралды 101 М.
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 370 М.
These Pastors Will Never Make Heaven After What They Did!
18:53
Trend With Khama
Рет қаралды 436 М.