Kweli watu wanapitia kwenye majaribu tofauti ndi maana sitojikatia tama.Yesu bado yuko NAMI.Mungu akulinde zaidi Mchungaji
@lovenessmjaka97547 ай бұрын
Unanikumbusha mbali ukumbi wa luizer tulicheza sana disco nimesoma pia itabagumba na ndiko nyumbni
@patrobamalema86314 ай бұрын
HALELUJHA SANA , YESU YUPO
@janethmwihumbo12899 ай бұрын
Mungu akubariki mtumish Audax kwa ushuhuda huu
@MaryMichaelMaryMichael-i7o9 ай бұрын
Power of testimony. Blessd promover tv ❤
@dankir99219 ай бұрын
Big hello from KENYA
@HappyMwaigwisya9 ай бұрын
Dunia hii tunaishi pamoja lakini wengine aiseeee wamepitia mambo mazito. Unaweza kudhani hadithi kumbe kweli. Tunaishi tofauti Jamani. ASANTENI SANA promover kutuletea hizi testimony
@gracekinyaki23769 ай бұрын
Usimwache Mungu anakupenda sana mtumishi.
@victorianchimbi86409 ай бұрын
Duh, Mungu anakupenda
@MGALILAYABillionaire9 ай бұрын
Mungu atusaidie sana, watu wanapitia magumu sana bila Yesu. Bali alichokibariki Mungu kuishi hakuna hawezaye kuua. Mungu awabariki sana nyote watumishi.
@annkim26909 ай бұрын
Inauma kweli yani hamna hata kanisa karibu hata hamna wapita njia walokole wamuombee huyu kaka waa aliumia sana
@lovenessmjaka97547 ай бұрын
Mgahawa wa Soweto 😊
@annkim26909 ай бұрын
Ndio maana kanisani kwetu vijana wana ambiwa wachunguze wachumba zao wanatoka koo gani
@JosephineWambui-pr2mq9 ай бұрын
Part 4 iko wapi
@annkim26909 ай бұрын
Aise michawi haikubali kabisa ndio maana kila siku saa sita ya usiku mpaka ikutane
@PastorPhilipMbaabu.9 ай бұрын
Kwani kuna part imeruka??
@trophywilson72119 ай бұрын
sikiliza zote pats
@JosephineWambui-pr2mq9 ай бұрын
Ni part ngapi? Mimi natafuta part 4
@MariaJuma-q2k9 ай бұрын
Mchawi huwa hakubali kushindwa hadi anakufa,ni mtu wakisasi kuanzia kizazi chako chakwanza hadi cha nne,na ndomaana biblia inasema usimruhusu mwanamke mchawi kuishi,hili neno linamaana kubwa sana,NAMUOMBA MUNGU ANIPE KARAMA YAKUWAUA WACHAWI,ROHONI KWANZA KISHA MWILINI WAFE KWA JINA LA YESU KRISTO
@patrobamalema86314 ай бұрын
KWAKWELI HATA MIE NINA HASIRA SANA NA WACHAWIIIIIII