TBC 1: Hapa Ndipo Mahali Alipozaliwa Yesu Kristo na Chimbuko la Krismasi

  Рет қаралды 19,874

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

Subscribe / uwazi1
Sikukuu ya Krisimasi inaadhimishwa na Wakristo duniani kote kila ifikapo Desemba 25, kuadhimisha kuzaliwa kwa Bwana Yesu lakini ni wangapi wanajua alizaliwa wapi na ilikuwaje? Waandishi wa habari wanakuonesha picha za video za mahali alipozaliwa Yesu.
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 8
@happinessmonyenye9890
@happinessmonyenye9890 10 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@kaloutrayetv8654
@kaloutrayetv8654 6 жыл бұрын
Lakini namna ya Mungu inabaki ile ile. Musa ndiye alianzisha ukuhani wakati wake. Na kama uko mtumishi ya kweli ya Mungu, uta kuja ngambu ya Musa kama Jéthro, kuani ya Madian. Yohana Mbatizaji aliwachagua mitume na wafwasi wake. Bwana Yesu Kristo ndiye aliwachagua mitume na wafwasi wake. Ni Paulo aliyewachagua mitume na wafwasi wake. Na Mungu atakapotuma nabii duniani itakuwa tu hivyo hivyo. Na hili ndilo jambo moja tu linalo kubaliwa na Mungu. Huduma ni uchaguzi wa uungu, silo jambo la akili au la pesa au la upako. Ninajua kufundisha halafu mimi ni hiki au kile. Nina upako mkubwa, ninafanya miujiza kwa hiyo mimi ni hiki au kile. Yote ile ni shetani toka mwanzo hadi mwisho. Na kama Israeli, jambo lile lile lilipitika upande huu. Www.philippekacou.org
@christelleetiboi3236
@christelleetiboi3236 6 жыл бұрын
7. SASA ! UJUMBE HUU UNASEMA NINI ? Ujumbe huu unasema ya kwamba hatuko tena wakati wa jioni bali usiku wa manane. Hata hivyo, ni wakati moja tu na ile ile Roho ya Eliya, lakini ni Ujumbe « Mpya » ambao ni Ujumbe ya wakati wa jioni kwa kiwango cha juu. Basi Zakaria 14:7 ni tofauti na Matayo 25: 6.
@nouratana6463
@nouratana6463 6 жыл бұрын
Na leo, juu ya uso wa dunia, kama wewe ni mtoto wa Mungu, mahali pako hapa na nabii wa wakati wako, nabii Kacou Philippe. Na aliye na masikio ya kusikia asikie. www. philippekacou. Org
@khairatzinzibar1434
@khairatzinzibar1434 5 жыл бұрын
Mmh makubwa
@chalesmyamba2908
@chalesmyamba2908 3 жыл бұрын
Mmh Mbn umeweka vpande vya film
@raziunaabdala8809
@raziunaabdala8809 6 жыл бұрын
Haya bana
@nouratana6463
@nouratana6463 6 жыл бұрын
Raziuna Abdala Na leo, juu ya uso wa dunia, kama wewe ni mtoto wa Mungu, mahali pako hapa na nabii wa wakati wako, nabii Kacou Philippe. Na aliye na masikio ya kusikia asikie. www. philippekacou. Org
SAFARI YA ISRAEL PART 3 - 2007 - GeorDavie TV
20:25
GeorDavie TV
Рет қаралды 44 М.
JESUS (Swahili: Kenya) 🎬
2:01:45
Jesus Film
Рет қаралды 2,8 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 12 МЛН
MASANJA ATEMBELEA KABURI LA YESU ISRAEL #FREECHURCH #FREECHURCHDSM
1:57
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 30 М.
Binti Nguva | Hadithi za Kiswahili | Little Mermaid in Swahili  | Swahili Fairy Tales
16:15
Gaza ceasefire talks to begin under shadow of Iran Israel attack
14:45
Ukrainian truck seen transporting blindfolded soldiers
10:30
Yohana Mwanisenga is live
Yohana Mwanisenga
Рет қаралды 4,3 М.
Ubongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na Ujazo
20:43
Ubongo Kids Kiswahili
Рет қаралды 14 МЛН