Naitwa Moshi Mazoea naishi Msasani Moshi Kilimanjaro likini mzaliwa wa Kimanzichana Mkuranga Pwani. Ukitaka kufahamu mambo muhimu ya nchi+ Ulimwengu basi sikiliza TBC na ukitaka ngonjera basi sikiliza TV au redio nyingine. Hongereni Sana TBC.
@allymusira2153 Жыл бұрын
Hakika ni chombo chetu
@EliezaRichard8 ай бұрын
Hongela sana nchi yangu tanzania
@allymusira2153 Жыл бұрын
Hongera sana mama samia
@nasibumatutera786 Жыл бұрын
Hongereni sana washirika wote kwa kazi nzuri.
@binmawanja1252 Жыл бұрын
🎉Utaweza sana kuongea dd ubarikiwe
@ElizabethMakwaia3 ай бұрын
Kwani uzalishaji umeeshaanza?
@omarybakunda2554 Жыл бұрын
Safi sana samia.
@vintagemusicgroup9236 Жыл бұрын
Mtu anawekeza halafu majitu toka TRA na TBS, OSHA, NEMC , Polisi, Fire na wengine wanapishana kila siku kuchukua rushwa.., kiwanda kisife kweli?
@fauzibinzoo6563 Жыл бұрын
Aisee umenena ni kweli kabisa Tra,tbs na hao OSHA wapo mahususi Kwa ajili ya kuwarundisha watu nyuma hasa Tra na tbs
@alfinmbilinyi5985 Жыл бұрын
Yeah kazi nzuri ila serikali iwe makini wawekezaji wengine SI wazuri wakiharibu kazi tukiwafukuza wanaishia kukamata ndege zetu ili walipwe kwa faida.tuwe makini sana katika msafara wa mamba na kenge wanakuwepo.
@bentaomari4272 Жыл бұрын
🤜🤛
@jeremiaaugustino718711 ай бұрын
Tuweke standard ya viwanda..,hào wanaeza jengea hata mabua
@ismailbughudha474 Жыл бұрын
🎉
@thomasbutingo17 Жыл бұрын
We Africa countries we need China we support China. China is our saviour. Karibu China Kwan ww huna mambo ya ushoga na usagaji