No video

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI | "MPINA ULETE USHAHIDI"

  Рет қаралды 275,790

TBConline

TBConline

2 ай бұрын

Mvutano mkali umeibuka bungeni leo Juni 4, 2025 kati ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusu kiwango cha sukari ambacho nchi imeagiza kwa ajili kuondoa upungufu uliopo, ambapo Mpina amesema upungufu uliokuwepo ni tani 110,000 na hivyo kuishangaa wizara kuagiza tani 410,000.
Katika maelezo ya Waziri Bashe amesema kuwa sukari hiyo imeagizwa ili nchi inaposimamisha uzalishaji mwakani, kuwepo na sukari ya kutosheleza kwa miezi miwili ambayo uzalishaji utasimama.
Mpina ameliambia Bunge kuwa Waziri Bashe anadanganya, na hivyo Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akamtaka kuwasilisha uthibitisho kuwa waziri amedanganya Bunge, kama ambavyo kanuni zinataka.
Je, Mpina anao ushahidi? Kanuni zinasemaje akikosa ushahidi? Endelea kufuatilia TBC Digital.

Пікірлер: 641
@obednyagani506
@obednyagani506 Ай бұрын
Wanaomkubali mpina tujuane waziri hadi anasaidiwa na spika
@babukije268
@babukije268 Ай бұрын
Wapuuzi
@shabanjuma7102
@shabanjuma7102 Ай бұрын
Sio anasaidiwa na spika, hapana spika anafata Sheria mbunge haitakiwi kudanganya bunge anaweza kuleta taharuki Kwa wananchi
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Ай бұрын
​​​@@shabanjuma7102na we we una viasili vya uspika?au unafikiri spika anakufahamu? kupitia njia gani ambayo inakufanya kumtetea Spika? aliyetoa hoja ni mbunge na ni mmoja wa wabunge wanaotunga sheria za nchi hii na Mpina anaongea alichokiona,usjipendekeze unachangia kutuumiza maisha in magumu kama unakaa kwa Spika unakula Burr hujui kitu kwa wanaonunua sukari
@isaachayes9783
@isaachayes9783 Ай бұрын
Mpina anatumiwa na wafanyabiashara wa sukari, mpina ana usongo wa kukosa uwaziri
@birianination7097
@birianination7097 Ай бұрын
Mpina ni mwizi
@irenekalinga323
@irenekalinga323 Ай бұрын
Mpina uko vizuri aiseh ila umezungukwa na mapapa ila ipo siku
@senyagwa4g367
@senyagwa4g367 Ай бұрын
Kabisa Ndg yangu
@FrankoLugendo
@FrankoLugendo Ай бұрын
Mpina umezungumza fact sana mpina oyeee ♥️♥️♥️♥️
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 Ай бұрын
Oyeeeee
@Prax1
@Prax1 Ай бұрын
Bashe usijione unajua sana kuliko wengine
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 Ай бұрын
Ndio maana yeye ni waziri na wewe sio.
@erickphilipo6058
@erickphilipo6058 Ай бұрын
Moja ya mawaziri bora sana
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 Ай бұрын
Watanganyika tupo pamoja nawewe Mpina mzalendo wa kweli🇹🇿👊✊
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw Ай бұрын
watu waongo ndio wapo na muongo mwenzao
@nunguhassani1743
@nunguhassani1743 Ай бұрын
BASHE NI MWANANCHI WA KWELI MAWAZIRI NA WIZARA KUJULIKANA NI WAZIRI KUFANYA KAZI BASHE KIJANA WANGU HONGERA MSAIDIE MH DR SAMIA RAIS WETU TUPO PAMOJA
@charlesrogers4547
@charlesrogers4547 Ай бұрын
majala hawo ni michosho
@ram821970
@ram821970 Ай бұрын
Juhudi za Bashe zinaonekana,muda mrefu hatujapata waziri wa aina yake
@kabialomsn
@kabialomsn Ай бұрын
Songa mbele Bashe, huo ndio uongozi bora
@upendomokye6803
@upendomokye6803 Ай бұрын
Mpina tupo nyuma Yako tunakuombea kwa hili
@kiyumbijustine3434
@kiyumbijustine3434 Ай бұрын
Mpina forever hata wakikufuza ubunge ccm ukienda chama chochote wana mwanza tutakuchagua tu 💪
@rugemalilalucas4533
@rugemalilalucas4533 Ай бұрын
Hadi raha na Mpina wetu.
@senyagwa4g367
@senyagwa4g367 Ай бұрын
Tupo pamoja
@rugemalilalucas4533
@rugemalilalucas4533 Ай бұрын
Hata wakikufungia kama walivyofanya bado wewe mpina ni wetu watanganyika. Watanganyika all tupe pamoja na ompina wiswe. You are such a brave Tanganyikanian MP.
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l Ай бұрын
Confidence with Bashe, logic with Mpina
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 Ай бұрын
Wow❤❤
@gabybulba9574
@gabybulba9574 Ай бұрын
Kumtoa Mhe.Mpina kwa zuio la mikutano 15 hamumuadhibu Mpina bali munaadhibu wananchi mana yeye anawakilisha wananchi na alihoji akitegemea kujibiwa kwa Hoja sio kumpiga vita, hapo mmekosea sana, mnadhihirisha kuwa uwezo wenu wa kujibu hoja zake ni mdogo ndiyo mana mkamfukuza.
@h.jrugashaula1296
@h.jrugashaula1296 Ай бұрын
Wananchi wanaadhibiwa vipi kwa mbunge ambaye hawakumchagua?...au umesahau kuwa wabunge wote hao ni mali ya chama?
@user-rw4qn6zh6n
@user-rw4qn6zh6n Ай бұрын
​@@h.jrugashaula1296Kwan wapo hapo kwa ajili ya nn
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 Ай бұрын
Wanakufanyia promo mpina let them say
@petermboje5839
@petermboje5839 27 күн бұрын
​@@h.jrugashaula1296jindanganye mbunge ni mali ya wananchi
@petermboje5839
@petermboje5839 27 күн бұрын
Bashe unaongea mpaka kero
@robertzingu9889
@robertzingu9889 2 ай бұрын
Luhaga Mpina ni mbunge bora kati ya wabunge wote wa CCM. Wengine wote wa CCM ni mabogus na wapiga meza tu na kuimba taarabu tu. Mpina anajitahidi kusoma sana kufuatilia mambo yote jinsi yanavyokwenda. Hii ndiyo tabia ya Tundu Lissu ya kusoma sana na kuwa na maarifa na ufahamu wa kutosha. Nadhani ndiyo maana mawaziri wadanganyifu huwa na matumbo joto kila anaposimama
@vincentmhoro1952
@vincentmhoro1952 12 күн бұрын
@@robertzingu9889 Na hayati Nyerere alishasema kuwa: upinzani wa kweli ni utakapotoka ndani ya CCM yenyewe. Wabunge badirikeni. Acheni mazoea ya Kila kitu NDIYOOOOO!!! That is a wrong mentality
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 Ай бұрын
Mpina umebaki peke yako Na Mungu akutetee
@octavianrwakatare6279
@octavianrwakatare6279 Ай бұрын
😂
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 Ай бұрын
Walioko nyuma yake ni wengi kuliko hao wanaomtetea bashe
@amanmalima940
@amanmalima940 Ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@manaxelukama2926
@manaxelukama2926 Ай бұрын
Mpina ana kitu asikilizwe ana hoja
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 Ай бұрын
Hakika....nahis Kuna wanalolijua vile hawamsikiliI,,,shame of them
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Ай бұрын
HATA UJITETEE TUNAJUA KUWA NYIE NI WEZI SANA.WATANZANIA HAWA NDIYO VIONGOZI WANAOTUIBIA SANA KATIKA TAIFA LETU
@Prax1
@Prax1 Ай бұрын
Weziiiiiii
@user-wg3yu5uy4w
@user-wg3yu5uy4w Ай бұрын
Mpina🙏🙏🙏🙏💯
@user-ni1lm2md1c
@user-ni1lm2md1c Ай бұрын
Huyu vipi Bashe. Baada ya kumshukuru Mungu kwanza unamshukuru Mh. Spika? Kwanza Mungu halafu Mh. Spika.
@visionstudios6804
@visionstudios6804 Ай бұрын
Ameteleza tu nae ni binadamu
@CytneSikilo
@CytneSikilo Ай бұрын
Kumshukuru Mungu sio mpaka umtaje watu wamsikie waweza shukuru kimya kimya
@marianmartin7483
@marianmartin7483 Ай бұрын
Hapo amekosea bashe kumshukuru spika kabla ya mwemyezi MUNGU.
@user-qy3gk8of7k
@user-qy3gk8of7k Ай бұрын
Ww aun akili
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Ай бұрын
Shiida dunia hii,
@mmarandu2417
@mmarandu2417 2 ай бұрын
Taifa lifante huhudi ya kuzalisha sukari zaidi sio kuagiza tu. Mfano mzuri ni Uganda.
@hasbiya-allahu124
@hasbiya-allahu124 Ай бұрын
Huna ukijuacho, Uganda wanaagiza hadi tz bt nenda kagera sugar ujionee msululu wa maroli yao
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 Ай бұрын
​@@hasbiya-allahu124fact
@Benardkituka
@Benardkituka Ай бұрын
Hii confidence aliyonayo waziri wa Kilimo ktk kutoa maelekezo,isipelekee watu tumuone wamaana sana,Hii Nchi ina mapapa jamani,lkn pia tunahitaji watu wenye changamoto kama Mpina Bungeni,siyo kuunga mkono hoja tyu,sisi pia wananchi tunahitaji kupata challenge,
@NdageKitahama
@NdageKitahama Ай бұрын
Makofi ya nn tunataka watu wenye weredi Kama mpina kasema ukweli na lipot anayo inadhibitisha kuwa ni UFISADI tu ndio uliyofanyika kwenye huo mchakato wananchi tupo pamoja na mpina
@user-bm5ov6kx3c
@user-bm5ov6kx3c Ай бұрын
Hiyo ni kweli maana Bashe ni mkali WA mdomo tu laki kutekeleza sithan
@birianination7097
@birianination7097 Ай бұрын
Ina onekana wote hamja mwelewa mpina, yeye ana tetea viwanda kua viendele kuleta sukari kutona na maitaji yao, ila bashe anataka sukari eletwe kutokana na maitaji ya nchi. Inshot mawazo ya mpina ndio yanayo leta mifumuko ya bei
@user-gc1tx9fd7v
@user-gc1tx9fd7v Ай бұрын
Unamukamkabizi mugeni wizara nchi ililaniwa
@user-gc1tx9fd7v
@user-gc1tx9fd7v Ай бұрын
Siuwafungie kamawameshindwa
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Mpina tusaidie huko bunge, hawana jipya,hao,janjajanja, Mzee baba
@magiramagesa37
@magiramagesa37 Ай бұрын
Nakupenda saaana mpina
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Ай бұрын
Kamuowe
@sinacksaigodi5876
@sinacksaigodi5876 Ай бұрын
Mpina is right, he speaks logical with evidence
@user-ej5ir5pu7r
@user-ej5ir5pu7r Ай бұрын
Chukitu usicho elewa hapo nin
@mohamedamaan6264
@mohamedamaan6264 Ай бұрын
​@@user-ej5ir5pu7r watu wa kufuata mkumbo ao na kupinga kila kitu, sukar ilipokuwa shida walipiga kelele, zinachukuliwa hatua za tahadhari pia wanapiga kelele. Hujui ata wanataka nini wao wanapinga kila kitu
@mlsglobalchannel8219
@mlsglobalchannel8219 Ай бұрын
Hii Tanzania ina wapigaji sana hawataki viongoz waseme ukweli kwanni....mm naona bunge la vyama vingi linafaa sanaa ccm wapigaji tu
@RamazaniNdegeBedua
@RamazaniNdegeBedua 2 ай бұрын
Hili bunge pasipo na MPINA, mawaziri wanaweza kujiona kama waherevu saana.
@emmanuelkamoli8215
@emmanuelkamoli8215 Ай бұрын
Sio Mpina tu hata wapizani tu
@hellenmarandu1787
@hellenmarandu1787 Ай бұрын
Mungu akulinde mheshimiwa Bashe
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy 18 күн бұрын
🏃🏃🏃🏃
@simamgalla1569
@simamgalla1569 14 сағат бұрын
Bashe umepoteza uaminifu kwa watu maana siku hizi umebadilika Sana na uongo pia umeuanza, nakushauri rudi katika kututetea watanzania wanyonyonge maskini. Rudi brother!! 😢
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Ай бұрын
Jembe letu mpina na tupo pamoja nawe mana unatutetea wote watanzania mpina oyeee
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of Ай бұрын
Kwer
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of Ай бұрын
Bashe mwanasiasa sana
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of Ай бұрын
Aende kwao
@gabrielgwawu4026
@gabrielgwawu4026 Ай бұрын
Mpina oyeeee.!!
@lucascardo7546
@lucascardo7546 23 күн бұрын
Safi sana mh bashe,mpina katumwa sijui au ahisa viwandani, pambana bashe tumeumizwa sana na Bei za sukari
@paulmenas7214
@paulmenas7214 10 күн бұрын
Mungu akulinde brw
@obednyagani506
@obednyagani506 Ай бұрын
Mpina oyeeeee
@user-ej5ir5pu7r
@user-ej5ir5pu7r Ай бұрын
Mpina sialipewa wizara na kaka yake mbona akaboronga
@lutegomakoyeluhahula361
@lutegomakoyeluhahula361 Ай бұрын
Kwa hiyo tukusaiddieje sijuwi?​@@user-ej5ir5pu7r
@AthamanRamadhani
@AthamanRamadhani Ай бұрын
​@@user-ej5ir5pu7rhapo sasa leo anataka kujiona yeye mjuaji
@Hopemicle
@Hopemicle Ай бұрын
Nakukubali sana waziri wangu wa kilimo MH: Hussen Bashe❤..pambana kiongozi wetu tunakuombea.. your my super hero
@JamesAugustine-jl6no
@JamesAugustine-jl6no Ай бұрын
Mbona mpina alikuwa sawa
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz Ай бұрын
Acha hayo mpina ukiangalia Sheria hizo wananchi watateseka ndomana hata Mzee magufuki Kuna mambo alikuwa anafanya shoti kati ndyo alifanya Bashe kajitahid sana wew mpina unapenda siasa huyu jamaa anafanya uwalisia Bashe mim nampingeza sana Kuna muda unapunguza siasa mwache wazir afanye kazi
@Hemedmikole-r9e
@Hemedmikole-r9e 7 күн бұрын
Good spech ruhaga mpina
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 12 күн бұрын
Kwanza unamshukuru Mungu kwasababu yeye ndiye aliye kujaalia kila kitu hadi kuwa hapo na kusema utakayo. Huyo uliyemshukuru kwanza yeye mwenyewe anamshukuru Mungu kwanza kuwa hapo alipo. Mungu kwanza halafu ndio wengine.
@rasnchimbi
@rasnchimbi Ай бұрын
Hii nchi inahitaji #katibampya itayoweka mfumo bora wa kuendesha mambo,vinginevyo ni vurugu tupu mpaaaakaa!😂
@seifsaidseifsaid1210
@seifsaidseifsaid1210 2 ай бұрын
Kiuhalisia Mpina yupo sahihi! Bashe anaongea siasa tu maneno mengi. Kwa wasiomjua wanaona bonge la waziri kumbe hakuna kitu janja janja tu!
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 2 ай бұрын
Msomali Huyo hao ni wapigaji balaa halafu wizi WA maneno
@aidanexson1634
@aidanexson1634 Ай бұрын
Mpina ni siasa na challenge tu ila Hana hoja ya kujenga Toka ameanza kuchangia hajawah changia positive
@aidanexson1634
@aidanexson1634 Ай бұрын
Mpina siyo resourceful kwa taifa ni political questioner
@blockchain1203
@blockchain1203 Ай бұрын
Na ndio Huwa inaonekana Hivyo ila Tapeli Tu Chuki Kibao na negative Tu Kila Siku Hana Positive Hata Moja.Kisa alitemwa Uwaziri
@innocentrichard2945
@innocentrichard2945 Ай бұрын
Wewe either ni mjinga au unatawaliwa na chuki
@ahmesaofficial9611
@ahmesaofficial9611 24 күн бұрын
😂😂😂 ilaaa kanuni bhanaaa... Aya tusome #kanuni za bungeee😂
@michaelmyaka5367
@michaelmyaka5367 Ай бұрын
Mbona wameenda vizuri tu,bunge linatakiwa liwe hivi ni si vibaya.
@RobertAndrea-wl4pk
@RobertAndrea-wl4pk Ай бұрын
Safi sana bashe
@WillbadBeda
@WillbadBeda 8 күн бұрын
Sawa kabisa mkuu
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Ай бұрын
Kwa hiyo huyu spika anamtetea waziri,badala ya waziri ajitetee mwenyewe,hii nchi ina mambo ya hovyo sana
@NdageKitahama
@NdageKitahama Ай бұрын
Spika ubunge utausikia kwajirani wanambeya hatukutaki mpina yupo sahihi unatetea ufisadi umekiuka kazi Yako ya usipika
@ramadhankibushitzramadhank81
@ramadhankibushitzramadhank81 2 күн бұрын
Leo Ndio nimeskiliza bunge vizuli
@user-od9jp1sm8p
@user-od9jp1sm8p Ай бұрын
Bashe ni msomalia
@husseinissa7118
@husseinissa7118 Ай бұрын
Leta hoja ya msingi sio ukabila ujinga sijui utaisha lini hii bongo na ndo maana tunachelewa maendeleo kumbe ni watu wa sampuli yako
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
Acha ubaguzi wewe mshamba 🇹🇿
@ProfessorNnaji
@ProfessorNnaji Ай бұрын
Hio akili usitumie kuvuka highway 🛣
@gstone830
@gstone830 Ай бұрын
​@@ProfessorNnaji😂😂😂😂
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Ай бұрын
Na wewe ni hutu kutoka Rwanda.
@KeemDetreson-pj1oj
@KeemDetreson-pj1oj Ай бұрын
Mpina nice
@tembatembele5332
@tembatembele5332 Ай бұрын
Maswali ya mpina yote yamejibiwa❤❤❤
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 8 күн бұрын
Tatizo wakulima mnawaangali hao wenye mitaki mikubwa.sukari kwa tanzania tunaweza kujiendesha wenyewe maana tuna aridhi za kutosha ila sema selikali😢😢
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz Ай бұрын
Shida kubwa nimeona watu wamekuja na karatasi za kukalili but huyu jamaaa ananyoika sana mim nampingeza sana gud leader Bashe funga masikio chapa kazi mh wazir mim namkubaki sana
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Ай бұрын
Komenti zako za kipuuzi sana endelea na bangi zako huko uliko Nzega ndogo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
​@@marcokaroje8980acha udini
@AthamanRamadhani
@AthamanRamadhani Ай бұрын
​@@marcokaroje8980we tahira hivi una akili kweli,unaelewa Bashe anachoongea
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Ай бұрын
@@AthamanRamadhani anaongea inayoyataka wewe unaonekana ni chawa was bashe hayo ndiyo maoni yangu kuhusu Bashe ndivyo nilivyomwelewa kama ni utaahira wangu wewe ni zaidi yangu Bashe kuwa Waziri siyo kuwa anaelewa kila kitu kuwazidi watanzania wote molioni 60 punguza jazba mkuu tunajua wewe ni green guards wajinga wa CCM huko Nzega ndiyo maana hata bus stand yenu haisomi
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 Ай бұрын
Nilichogundua ukabila bado upo sana.
@GeraldLembris-jr3yz
@GeraldLembris-jr3yz 9 күн бұрын
Mungu tulindie wasema ukwel kama hawa
@user-kp2jf5jc2i
@user-kp2jf5jc2i Ай бұрын
Mh. Mpina Oyeeee!
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 11 сағат бұрын
tulimeni jaman viongozi awawez kutuongoza wanaweza kutuibia kidigital tu
@user-zb8zx4hv7e
@user-zb8zx4hv7e Ай бұрын
Nchi hii ya hovyoo Sanaa kila Kona wapgaj tuu mpira big up sanaa
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 Ай бұрын
Hongera Mpina hujakubali kuwa chawa wala kujipendekeza,, wewe ni mtu wa hoja zenye mashiko shikilia hivyo hivyo mpaka hao machawa wakuogope
@TopherBonite
@TopherBonite Ай бұрын
Bashe siasa tu, ujasiri wa uongo
@henrystanley4077
@henrystanley4077 Ай бұрын
Ni kweli kbs hata mm nmeshuhudia sukari imefichwa na serikali ikaja kukamata na askari ili iende Kwa walaji na walikua wameficha ili ipandishwe bei isemekane hakuna
@shabanmshana6896
@shabanmshana6896 2 ай бұрын
Mpina mutamuelewa tu huyu jamaa Yuko Makini sana
@kabelwasalim6305
@kabelwasalim6305 Ай бұрын
Very smart speaker 👏🏽👏🏽👏🏽
@adow9musictz931
@adow9musictz931 Ай бұрын
Bega Kwa Bega Na MPINA Mpaka mwisho
@chamlilemhando7478
@chamlilemhando7478 17 күн бұрын
Bashe very genius ,yupo vizuri Africa is one
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m 8 күн бұрын
Chamilion you are.
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m 8 күн бұрын
SPEAKER wa MCHONGO.
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m 8 күн бұрын
No HAPANA RUBBISH.
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m 8 күн бұрын
Rules of natural justice ni zenyewe,
@WenelaMwasenga-hc2gf
@WenelaMwasenga-hc2gf Ай бұрын
Mimi nauliza tu ile sukari tunapata kutoka mpakani kule tunduma kutokea Zambia..tunaipata je ina usalama kiasi gani? Wizara mwangalie vizuri humo mipakani sisi na afya zetu sababu inaingiza kiholela
@abasibogga4798
@abasibogga4798 Ай бұрын
As hapo mpina anaongea nini maana hana hoja zaidi ya chuki flani bashe yuko makin na ni waziri ambae ataipeleka tz mbele kwny sekta yake endapo atapewa muda
@JudithMarwa-q2m
@JudithMarwa-q2m Ай бұрын
Hatar sanaa
@VeredianaKalembi-gs4vs
@VeredianaKalembi-gs4vs 2 ай бұрын
Ruhaga mpina ndiye mwenye hoja
@EsteR-dt9iw
@EsteR-dt9iw Ай бұрын
😭😭 mungu msaide mpina wachache hawa kuelewi ila wengi wana kuelewa
@jeremiahitalange1236
@jeremiahitalange1236 Ай бұрын
Mpina is right jamani
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 Ай бұрын
Viwanda nivichache wataanzannia wameongezeka ,hivyo bas kuna haja kbwa ya kuongeza viwanda na mashamba maana ariidhi tunayo
@judithkisinini8546
@judithkisinini8546 Ай бұрын
Mheshimiwa Bashe,tusaidie kutafuta soko la mahindi.Kwa bei ya sh 5000 kwa debe la mahindi tutashindwa kununua mbolea tena kwa sh. 70000.Unaweza,onyesha uwezo wako.
@user-bf7sr1cv1g
@user-bf7sr1cv1g Ай бұрын
Mungu akusaidie sana mh Bashe utuvushe wakulima wa nchi hii
@awadhally1052
@awadhally1052 Ай бұрын
Bashe akuvushee wapi yeye ndo mwiz namba mojaa
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Huna unalijua,kapiga mabilioni kwenye mbolea! CAG Assad alishakapasua ,nini kilitokea ? Kimyaa! Sukari!? Aongelee report ya CAG Assad
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Ni mwizi kama wezi wengine!
@festomartin8635
@festomartin8635 Ай бұрын
😢😢😢😢
@user-kx5dt5ih2i
@user-kx5dt5ih2i Ай бұрын
Tope
@NgobeiKivuyo
@NgobeiKivuyo Ай бұрын
Mbunge kijana utafika mbali sana mh
@JuliusMahinya-wl7mq
@JuliusMahinya-wl7mq Ай бұрын
Acheni uchawa! Maneno bila vitendo ni ujinga! Upigaji na uongo mwingi sana
@paulmkai2043
@paulmkai2043 Ай бұрын
Great work
@dostovan5142
@dostovan5142 Ай бұрын
They know what they are doing, we know what they are doing
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 12 сағат бұрын
spika bado sanaaaaa mpina mtu na nusu
@vincentmhoro1952
@vincentmhoro1952 Ай бұрын
Nashauri neno TUKUFU lisitumike mahali popote zaidi ya kulihusisha na MUNGU. Si sahihi wala si vyema mtu au chombo chochote likiwemo bunge kuitwa TUKUFU
@daudimollel6007
@daudimollel6007 12 күн бұрын
Ni wapuuzi sana kusema Tukufu😂😂
@nemmythobias7976
@nemmythobias7976 Ай бұрын
Yaani apo kuna wabunge wengine hawaelewi kinachoendelea Lakini LEGENDI MPINA anapiga maswali BASHE anajikanyaga tu Kazi kupiga hela tu 😢
@jukiboy7012
@jukiboy7012 Ай бұрын
Mpina naamini mwakani hawez kuwa ccm maana siku zote ccm hawapendi ukwely
@ObeidyArroney
@ObeidyArroney Күн бұрын
Mpina kiboko ya wabunge na mawaziri ila sio shabibi shabibi masta na anaongea point na anatetea wanyonge
@athumanichamzuri3844
@athumanichamzuri3844 Ай бұрын
Mpina huwezi kum outsmart Bashe hata siku moja
@majidibrahimu6917
@majidibrahimu6917 Ай бұрын
Tuko pamoja mpina
@juliussweetberth6474
@juliussweetberth6474 Ай бұрын
Mpina oye
@mohamednahaja6456
@mohamednahaja6456 Ай бұрын
Kijana mungu akubariki sana
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 12 сағат бұрын
kwanini wanaweza kubadili kanuni izo wanazo zibadili awabadili katiba apo ndo kwenye tatizo kiongoz anafanya ujinga anajua akuna atakachofanywa
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 Ай бұрын
Unakwenda kuuwa viwanda, tusubiri matokeo, data hazifutiki
@user-pk7kx7dk7g
@user-pk7kx7dk7g 28 күн бұрын
Mpina chapa kazi,usiogope
@eliudmpisi-n3d
@eliudmpisi-n3d Ай бұрын
Duuh tuna Linda mlaji afu nyie amtumii mnatumia asali wabunge wrote una sema una mlinda mlaji duuuuu mungu ndie ana tulinda kiongozi
@floraflora5717
@floraflora5717 Ай бұрын
Wakati huo kwaniñi aina mnacheza na pesa za watazania
@MOROYAKOBO
@MOROYAKOBO Ай бұрын
Hatarii sana
@TheKaida23
@TheKaida23 Ай бұрын
Naelekea huko..... 🎉🎉🎉 BASHE.... na MPINA... SEMA BASI TU.... NGOMA HAIJAKAUKA....
@mokeya
@mokeya Ай бұрын
Makonda, mpina, jerri slaa, jafo, ummy, mwanri, aliy hapi, palamagamba, aida kenani, Wakiungana wakaunda chama chao walllah CCM inakufa dakika 1 tu
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Ай бұрын
Kwangu Bashe ni wazir bora ninayemuhusudu kama wazir Mchengerwa ispokuwa tunaomba mziangalie korosho mwaka Jana tumepokea Bei ya chini sanaaaa
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Ай бұрын
Mbona bado juu inakuewje kuleni tu sisi tufe
@user-zb8zx4hv7e
@user-zb8zx4hv7e Ай бұрын
Nchi ya hovyo Sanaa hii bas tuu
@wollefernando1257
@wollefernando1257 Ай бұрын
CAG alitoa report lini? Na Sheria inawapa muda wa miezi mitatu kujitetea. Inakuwaje muandike barua kwa CAG baada ya report kutoka?
@RajabuSikabwe-rp1lj
@RajabuSikabwe-rp1lj Ай бұрын
Jamani jàmani Bashe amjawaikumjuwa nimuongosana tenasana alafu anadawa zakusikilizwa amjamjuwa Bashe mukobalisana nabashe akiwanaongeya lazima apate watetezitu ataiweje
@husseinissa7118
@husseinissa7118 Ай бұрын
Tutolee iman zako za kishirikina
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Ww mkweli tupe ukweli
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 ай бұрын
CHADEMA walisema mtakapowaondoa wapinzani bungeni kitakachobakia mtasulubishana wenyewe. Kumbe kweli maana ili bunge liende lazima kuwe na mhoji na mhojiwa..
@hajisangu2489
@hajisangu2489 2 ай бұрын
Haikusemwa na chademwa. Ilisemwa na aliyekuwa mbunge wa Kilwa, maarufu Mbwege na hakuwa mbunge wa chadema.
@yusuphmwahalende5286
@yusuphmwahalende5286 Ай бұрын
​@@hajisangu2489alisema lema
@mnyama-xc8py
@mnyama-xc8py Ай бұрын
Pia CHADEMA walisema bhana ​@@hajisangu2489
@EZEKIELDJUMAEZEHELI
@EZEKIELDJUMAEZEHELI Ай бұрын
Mpina alikua sahii spika anamlinda waziri
@GeofreySenka
@GeofreySenka Ай бұрын
Humo ndani ni shabibu na mpina tu wengine wote hakuna
@daudimollel6007
@daudimollel6007 12 күн бұрын
Bashe ni mjanja mjanja sana😂😂, hapa hamna kitu😅
@user-uf7cr6dx2l
@user-uf7cr6dx2l Ай бұрын
Vita ya msomali na mtanzania
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 Ай бұрын
Wote watanzania!!
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 7 күн бұрын
Eti sukari ni chakulaa cha masikini achaa ujingaa wewe basheeee ufaii
@mosesfrancois752
@mosesfrancois752 Ай бұрын
Kama ukiwa mnyonge unaweza hisi anaongea vya maana ,kumbe wote ujinga mtu, Bei ya sukari ni ngapi saiv? Mtu aliekataa upuuzi kiukweli ukweli bila siasa Magufuri tu ndio maana wakamfinya goma lilinyooka kuliko mnyooko wenyewe
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,3 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 8 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 51 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,3 МЛН