Nashukuru nami ni mmoja kati ya watu walioshiliki katika ujenzi kwa mikono yangu
@LugomeRisasi2 ай бұрын
Hongera sana kaka
@mathiasmichael99154 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki huko uliko Rais DK JPM
@mimiraia25314 ай бұрын
MAGUFULI….MAGUFULI…MAGUFULI
@GilbertKhitambala2 ай бұрын
Fikra za mwalimu Nyerere muanzilishi wa mradi huu na JPM aliye thubutu kuendeleza mradi huu hakika waliona mbali.
@francomwacha22624 ай бұрын
Walau nimeshiriki kwa kiwango kikubwa kwenye ujenzi wa huu mradi kama operator.. kazi nzuri kwa serekali
@magorymara55154 ай бұрын
Mbona wanatuonyesha sehem moja tu na si kote kulikojaa maji
@AlfredthomasMagaka4 ай бұрын
Kazi nzuri op
@erickmollel-zv2eu3 ай бұрын
Asnte kwa utumishi wako kwa kujenga nchi yetu
@zawadimwangupili45184 ай бұрын
Tunamshukuru Mungu na viongozi wetu Mungu awabariki
@anastazialushika4 ай бұрын
Karibuni sana Rufiji karibu Julius nyerere hydro powe project,
@MoinaminaAmina-qh1jb4 ай бұрын
Mashallah mungu yayibariki tz na viongozi wake
@JohanessMarwa4 ай бұрын
Hilo ni jambo Jema sana kwa Taifa letu kiuchumi na hata kiusalaama. Napongeza serikali kwa Hilo. Kikubwa wasimamizi wote wanao husika na watakao husika wasimamie kwa kuzingatia uweredi na uzarendo🤝🤝👍👍 Johaness Marwa Toka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@johanesemmanuel46554 ай бұрын
Pongezi kwa serikali yetu,mungu wabariki viongozi Wetumpka wakiongozwa na raisi Wetu mama Dr.Samia Suruhu Hassan.Mungu ibariki Tanzania,mungu Ibariki Afrika.Amen
@JombaTUncleT3 ай бұрын
HAKIKA NI FURAHA Kubwa kuona jinsi Taifa letu likipiga hatua kuuuuubwa tangu tupate uhuru hadi Leo. Wazazi wetu na waasisi wa Taifa hili, pamoja na viongozi wote, Wabarikiwe sana. Pongezi nyingi Kwa JPM na Kwa mama Samia Aliyeachiwa kijiti na kukimbiza Kwa mbio zoote hadi hapa. Mama Samia Suluhu Hassani Ubarikiwe sana. 🙏🙏🇹🇿🤠
@stevensosipita4 ай бұрын
R.I.P DKT JOHN POMBE MAGUFULI MUNGU AIWEKE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI
@oscarfilimbi32823 ай бұрын
Hakika mungu ampe pumziko la milele yule kiumbe wake JOHN POMBE MAGUFULI,uthubutu na kulisimamia aliloamini bila hofu.
@dahirgaraar3604 ай бұрын
Well done sister vumilia. Its good to have these development information. Keep it up. God bless you.
@MkungwaNgwarumbwa4 ай бұрын
Kazi iendelee samia mi 🖐 tena 💞
@daudimaniseli7594 ай бұрын
ALLAH AMPE KAULI THABIT....SIKU YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI TULIAMBIWA KUNA DARAJA KUBWA LITAJENGWA HAPA KUBWA LITAKALO UNGANISHA MIKOA MIWILI NA NAWATANI WAKE WAZARAMO MTAKUJA KUFANYA UTALII NA KUPIGA PICHA ZA NDOA HAPA...AISEE NIKWEL YA ALLAH MPE KAULI THABIT...MUHIMU DUA TU NDIO FAIDA YAKE,,,NA UKIWASHA TAAA UJUE THAWABU HUMFATA ..NAPIA HONGERA MH.RAIS KWA KUKAMILISHA HILO MALIPO NI THAWABU NA PEPO KWAKO...
@shaibchigwere46454 ай бұрын
Engineer wa power house yuko good kwa kuyelezea
@LuckymusykiLuckymusyoki4 ай бұрын
Dada unajua kazi yako
@vumiliamwasha1914 ай бұрын
Asante Kwa kuendelea kufatilia Wekeza Tanzania
@kanoleausi42043 ай бұрын
Msisahau kumshukuru , na kumpongeza Mama Samia pia. haikuwa rahisi kukamilisha hiyo KAZI.
@AloneChuga4 ай бұрын
Rip jpm,sijakosea kumpa mwanangu jina lako
@YohanaYoramu-nl6bw4 ай бұрын
Pongezi kwa serikali pamoja nawewe vumiliya mwasha unatangaza vizuri
@vumiliamwasha1914 ай бұрын
Asante sana endelea kutazama Wekeza Tanzania
@simulizitanzania25714 ай бұрын
Karibu zimekuwa Nyingi mno aseeee
@joachimluhamo30424 ай бұрын
Mlisema mtapunguza bei za umeme ngoja tusubili tuone
@MikidadiSalim-xk9dc3 ай бұрын
Alhamdulillaih...Allahu Akbaru....
@khamissaleh9214 ай бұрын
Jpm ashukuriwe alikubali kuvunja UJINGA WA WAZUNGU NA AKARHIBUTU KUJENGA DAM YA SELOUS .
@daslamonline46654 ай бұрын
Mtakamilisha huko mtahamia kwenye miundombinu mitaani migao iendelee kama kawa
@lazarombuze97763 ай бұрын
HIYO ASILIMIA 2 MWAKA UTAISHA
@mndambokilavo25024 ай бұрын
Kama bei ya umeme haitopungua hili bwawa litakuwa kazi bure
@killy_hoffman26984 ай бұрын
mpka sasa bei ya umeme ni nafuu cha muhimu ni kupata umeme wa uhakika kwanza
@ZeProDJay4 ай бұрын
Buku unapata units 8 ukiwa kwenye mfumo wa tarrif 0 bado bei ni nafuu kuliko hata vifurushi vya simu hiyo buku ni siku 1 tu salio linakata..
@MussaJabiri-l5y4 ай бұрын
Nafuu ip@@killy_hoffman2698
@MussaJabiri-l5y4 ай бұрын
Nafuu ip@@killy_hoffman2698
@mawazoaliselemani4 ай бұрын
Karibu sana zipo nyingi.dakika nne😂
@emmanuelmalifedha33914 ай бұрын
Hiyo mashine na tisa mbona inatoa 166.4MW? maana najua efficient haiwezi kuwa 100% but hiyo ni chini ya asilimia 70.... kuna nini hapo mtujuze kidogo
@matheobaha7734 ай бұрын
Rpm yke n ndogo hata hivyo ukiangalia
@magorymara55154 ай бұрын
Kama siyo macho ya camera kushindwa kuonyesha ukubwa wa hicho kifaa basi nyie mtakuwa kuna jambo mmeliona ambalo lipo tofauti na ufafanuz wa jamaa
@vinenswilliam35344 ай бұрын
Huo ufunguo kwa nje ya mlango 😅
@WilliamSamwel-vh5op4 ай бұрын
Nyinyi ni matapeli tu miaka minga yapita mnatengenezatu
@omarybakunda25544 ай бұрын
Vumilia mm huwa ni shabiki yako sana natamani siku moja nikuone live. Mm na mke wangu.
@vumiliamwasha1914 ай бұрын
Asante sana endelea kutazama Wekeza Tanzania
@YohanaYoramu-nl6bw4 ай бұрын
@@vumiliamwasha191 Asante dadayangu
@edsonnelson44644 ай бұрын
Wewe ni Mwisilamu wake wanne ruksa
@omarybakunda25544 ай бұрын
@@edsonnelson4464 acha izo bana.
@JombaTUncleT3 ай бұрын
@@vumiliamwasha191Ubarikiwe sana sana. Unatufikisha mbali tusikofika Kwa macho TU tunaona mengi viganjani na SEBURENI... 🎉🎉❤
@khamissaleh9214 ай бұрын
Hawa wasemaji sio type ya wanawake wenye mvuto kwa kuleta mvuta wa biashara Nb tafuteni wanawake walio na nguvu ya kumvutia mtu sio hawa hata sauti sio NZURI
@wilcoxdaniel98253 ай бұрын
Who writes this kind of nonsense ? This is an engineering project. Not a beauty contest
@daudimaniseli7594 ай бұрын
AISEE NACHO ONA MM HAPO NI MITAMBO MINGI SANA.... AMBAYO NI YAKISASA KABISAA KAZI KUBWA SANA IMEFANYIKA ALLAH AWALIPE WEMA NA PEPO....MH.MAGUFULI UTAISHI SANA,,NIKI KUMBUKA MM ILE HUTUBA YA SIKU YA KWANZA LEO IMEKUWA KWELI MUNGU PEKEE NDIE ANAJUA CHA KULIPA,,PIA RAIS SAMIA HONGERA KWA HILO KAZI UMEIFANYA
@edsonnelson44644 ай бұрын
Tunasubiri bei ya umeme ishuke, maaana mwanzilishi ambaye ni Jpm alisema bei itashuka ili tupikie umeme tuachane na mkaa