Big up Makonda. Hawa watu wanapokea mshahara wa zaidi milioni 16. Alafu hawafanyi kazi. Wanakuja sehemu kama hizi kujichukulia points ili waje wapige mitano zaidi.
@shivoly809823 сағат бұрын
Namna hiyoooo baba kegan😂😂😂
@PhillyAmbilikileКүн бұрын
Makonda yupo kwenye level za kuwa kiongozi mkuu wa nchi nimemuelewa sana
@BarreHotelКүн бұрын
Makonda baba yetu mungu Yupo na maana kuchaguliwa kuwa Rc wa arusha Inshaallah dua zetu kwa mola wetu uje uwe rais wa Wanyonge❤
@zaidihussein431118 сағат бұрын
Makonda ww ulizaliwa uje uwe kiongozi mm kwangu nakuona ni raisi wangu ajae mungu akulinde
@braystuskibassa38422 күн бұрын
Kazi ni moja tu Makonda fanya kazi🔥🔥🔥🔥 KAZI IENDELEE🔥🔥🔥🔥💪🇹🇿🇹🇿🙏 TANZANIA NI YETU SOTE
@Kidd11168Күн бұрын
Hongera Bw Makondo, huyo Gambo kazoea Maneno ya uswahilini. Tume sha mzoea watu WA Arusha.
@japhetdaudmaneno84402 күн бұрын
Ukweli unaumiza lakini unamuweka huru mtu, Makonda nakuelewa sana piga kazi 😅🔥🔥🔥🇴🇲🇹🇿💪
@immaomarwa5122Күн бұрын
Mbona ukweli wa lisu hamuutaki
@sittandaki2135Күн бұрын
@@immaomarwa5122kwani hapo unamuona LISU??? Acha mihemuko ya kijinga
@dorisselembo1225Күн бұрын
Kaka yangu Ngambo please nenda kwenye kikao na sisi tupate jibu la barabara yetu ya kikati kwenda sakila hili tuliadiwa na Raisi wetu mpenzi Mangufuli ❤ Makonda 🔥🔥🔥🔨🔧
@josiacharles2778Күн бұрын
Hee 😮 kumbe na gambo alikuepo😂😂 nimeipenda
@alexkamba5264Күн бұрын
Nataman Mungu atuongezee Akina Makonda japo mmoj mmoja2 kila wizara Tz patanoga sana
@manfesto67992 күн бұрын
Makonda ni kiongoz sana
@sallyeliya521320 сағат бұрын
Mh.Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania nakuomba kwa ridhaa yako mpe wizara muhimu RC Makonda,Ahsante.
@fidurashidi578123 сағат бұрын
Mh. Makonda amemkosoa mwenzie kutokuwa na heshima lakini ameshindwa kufanya heshima kwa mwenzie pia. Ni amekosa busara. Subira ni muhimu pia mheshimiwa. Hata hivyo utendaji wako unaridhisha sana, Mungu akuongoze na kukupa kila haja njema ya moyo wako
@shivoly809823 сағат бұрын
Huyo jamaa kipindi mkuu wa mkoa,alivyokuwa anamkandia lema 😂😂
@ce-086 сағат бұрын
@@shivoly8098 ilikuwa nilazma tu amkandie sababu lema sio ccm
@nickisonmeshili230Сағат бұрын
We unamjua gambo alivyo kuwa anamfanyia lema
@anthonymgina38938 сағат бұрын
Makonda is superman, safi sana huyu mtu.
@phanuelmkenda2621Күн бұрын
Inahitajika kubalance story. Media nyingi Zina toa taarifa kuhusu makonda kumlipua Mh Gambo lakini hatusikii kua Gambo alisema nini ikafikia hapo, nadhani hii haijakaa vizuri
@marandoruzali1946Күн бұрын
Ila Makonda balaa👍👍
@AmaniJosiah21 сағат бұрын
Hongera makonda safi sana
@victormwakidunda3694Күн бұрын
Duu kweli umenyoka ila umemuweka pagumu sana mh Gambo😂
@joetemu81272 күн бұрын
Pameanza kupambazuka 😅
@michaelmoro4801Күн бұрын
😂😂😂 Gambo anacheka kinafiki
@HalimaMayunga18 сағат бұрын
Makonda fanya kazi Arusha wanaikwamisha sana huyu hafai
@stanymccary7136Күн бұрын
Tatizo vikao, wanaume tuhudhurie vikao
@tumainiellyimo46578 сағат бұрын
Yaani cjui imekuwa vp Gambo kuwepo Arusha
@EzekielLoshivaКүн бұрын
Mwaka mpya na moto nakubali sana makonda CHUGA imekufaa
@AthumaniHashimuКүн бұрын
Ndugu yangu makonda nakupenda sana pia umeufanya mji unauchangamsha
@AliSalim-yu4mo5 сағат бұрын
Meno ya mbwa hayaumaniii!
@AdamArab-if3zz23 сағат бұрын
😂😂😂tuuzurie vikao🤣🤣
@MishoniMishoni-l1g21 сағат бұрын
😂
@ReginaldAplonaryКүн бұрын
saluti kwa makonda ila bro makonda we ni mkweli huna kona kona hahahahahahaha
@HashimYahaya-hd3zm5 сағат бұрын
Makonda mkwer asante
@LAZAROBOMANI-ex6bj2 күн бұрын
Makonda Oyeee
@emmanuelissa956619 сағат бұрын
Makonda nikiongozi mzuri kwa upande mmoja lakini kwa upande wa pili nikiongozi mpenda sifa na tamaa ya uongozi kitu kilichomfanya akakosa vyote ukuu wa mkoa wa daressalaam na jimbo la kigamboni ila anawazidi viongozi wengne kwakua anajua kuishi na wanyonge ambao ni wengi zaidi katika jamii kitu kinachomfanya akubalike sana.
@kelvinirichard4080Күн бұрын
Aisee bonge ya kiongozi jamani makonda ndoanajulikana saivi hapa Arusha kuliko gambo
@AmaniManase-x1i20 сағат бұрын
Uzuri wa makonda hana unafiki unachanwa mbele ya mhusika ili ujitambue na ujulikane kweli wew sio muwajibikaji dadeq😂😂😂
@RamadhaniJitelaniКүн бұрын
Hapo kwenye UMAARUFU WA KIJINGA sio poa sana
@MashakaMagesa2 күн бұрын
Makonda ndiyo kiboko ya wapinzani CCM wakitaka kushinda kirahisi nafasi ya Urais wamsimamishe Mh Majaliwa au Makonda hapo ushindi mapema
@MhinaKulewaКүн бұрын
Mambo ya uchaguzi huwa hayaendi unavyofikiri. Hakuna uchaguzi rahisi eti Kwa sababu kasimamishwa Fulani.
@YahayaNgenda2 күн бұрын
Uko sawa makonda
@jerome31433 сағат бұрын
Siasa ndiyo inatawala viongozi wa taifa ili maendeleo sahani kumbukeni huu mwaka ni mwaka wanini
Sawa kabisa. Kuna mtu kwenye chama Fulani yeye anataka tu kusikika Kwa watu wakati Kuna vikao vya chama. AENDE KWENYE VIKAO.
@godfreyjohn84602 күн бұрын
Kweli kamanda
@laurentraphael5470Күн бұрын
Nchi hii inaviongozi wachache sana hasa hawa wa aina ya makonda.
@jastinmkandala562019 минут бұрын
Ww umenyooka tunakujua gonbea urais baba
@kessikahawamango411420 сағат бұрын
Makonda anataka sifa hakustahiki kumuambia vile mbunge kiustatabu alistahiki kutia nguvu madai ya mbunge na sio kumbomoa mbele ya public hasa ukizingatia chama kimoja
@jasirimjasirimedia79402 күн бұрын
Makonda 🔥🔥🔥
@kingkendrickkКүн бұрын
Makavu live
@IssaMohamed-mp4hj21 сағат бұрын
Makonda uposawa unasema kweli
@nuriyatihgeorgekhan604217 сағат бұрын
Kwan wew nan hasa kwenye hii dunia
@MazingeKenaniКүн бұрын
Hakika mimi makonda namkubali sana
@abednego38762 күн бұрын
Safiiii sana qmamamae😅😅😅
@ikram-x3m19 сағат бұрын
Makonda ulipaswa umuachie waziri ajibu mwenyewe. Hapo umemtetea waziri kwa kuwa barabara zina muda mrefu .je wananchi watajuaje kama kweli mlilijadiri
@KaujuMwakajumbaКүн бұрын
Huyu Gambo kwa Nini wananchi wanampa kura,ni mfitini,mbabaishaji,mpenda majungu majungu kama mwanamke vile,muone Hana hata aibu
@idanysedrc1200Күн бұрын
Kweli kabisaa makonda kanyooka sana hawa ndio viongozi tunaowataka
@suleymannguzo8981Күн бұрын
Yeye anawawakilisha wananchi ndo maana anauliza mbele ya wananchi
@DanKirahi19 сағат бұрын
Huu ujasiri wa mkusifia mtu anae mwambia mwakilishi wa wananchi kuwa anawasilisha ujinga! Na huku akimgusa bega Waziri na kumwita mtani, unatoka wapi. Nikweli Mh Makonda ni mchapa kazi ila kauli.zake wakati mwingine zinavuka mpaka.
@RwechungulaBegumisaКүн бұрын
Ila unamvunjia heshima Mhe Mbunge ukweli usemwe kwa haya maneno unaelekea kupitiliza so utani tena
@GodfreyMwendawila-ff7on3 сағат бұрын
Gambo sii kiongoz alie chaguliwa kihalali lazima afeli maana ni chama kilimuweka kwa nguvu ya jeshi so acha awaumize tu wananchi maana ndo selikali zetu zinataka ivo
@charlesadolf1062Күн бұрын
Tukipata wakina Makonda 10 wasiokuwa na hofu na kumumunya maneno. Nchi hii tutafika mbali. Hatutaki viongozi wanafiki. Straight forward like Russia ICBM ORENSHIK 100% capture the target. Mama Makonda 3 Arusha akitoka Moshi miaka 2
@SilveryMasalu2 сағат бұрын
Wacha Gambo yamkute aliyokuwa anamfanyia Lema malipo ni hapahapa duniani
@MonicaMwalyego19 сағат бұрын
Hapa hakuna kiongozi,ni sifa zimejaa na utoto mwingi
@thomastemu3332Күн бұрын
Piga spana makonda..😅😅😅😅😅
@majalaworldwide15 сағат бұрын
Gambo Alitamani kupasuka.Ni malipo yake Alimtesa sana Rema huyu
@mwitaagness45513 сағат бұрын
Lema... Not Rema
@majalaworldwide7 сағат бұрын
😂😂😂
@AgnessJohn-v8p20 сағат бұрын
Ila hapa naona gambo kapatikana akubari kutubu ila asikasilike kumchukia makonda Yuko sahihi
@nshaijatedy551221 сағат бұрын
Akuna Cha maana katika speech wote wamekosea , angemuekeza kwenye kikao Cha ndan na wazr sio public
@Users252318 сағат бұрын
Mkuu wa mkoa na mbunge yupi mwenye nguvu kwa wananchi??
@CRAZY_HUSTLE_25510 сағат бұрын
Nyie pasuaneni ila muijenge Arusha yetu bhana maana Hip Hop Bila Batle Aibambi
Nasemaje nasemaje nenda kwenye vik........ Au basi
@AbedKirway-tr5wxКүн бұрын
makonda acha hizo sio pow ndg yangu ligi sio pow
@thobiaskasian6560Күн бұрын
MAKONDA DAH 😂😂😂😂😂UKO VIZURI HAKUNA KUMUONEA HURUMA N KUPIGA KWENYE MSHONO
@jackcharles7218Күн бұрын
Hahahaha kweli makonda amuogopi mtu
@zakaria924Күн бұрын
Ubunge, ubunge Arusha Mjini ndiyo Tatizo na kiini cha madongo hayo yote
@dorisselembo1225Күн бұрын
Ngambo please nenda kwenye kikao na tupate jibu la barabara yetu ya kutoka kikati kwenda Sakila Raisi wetu mpenzi Magufuli alituahidi hili❤
@lawimichaelwerewere7619Күн бұрын
Ivi kumbe ni mjingaeee?
@HassanbaomaКүн бұрын
Madonda ni kweli, kweli kweli
@francismadirisha3511Күн бұрын
Chapa kazi makonda kazi inderee
@michellemichael8936Күн бұрын
Makonda braza Jimbo la Arusha lako hapo...
@jonathankessy9615Күн бұрын
Niwaambie watanzania wote ukweli huu MUNGU YUPO NDANI YA P MAKONDA
@sonnyr1899Күн бұрын
Hii ndio maana halisi ya wazi wazi bila kumeza maneno
@ShukuruNgabo-m2hКүн бұрын
Kiuongozi hapo sio sawa.
@majalaworldwide15 сағат бұрын
Laana Ya REMA inamtafuna .KARMA from REMA
@Rosesipto15 сағат бұрын
Yan ni bora awe raisi uyu baba kipi kinamzuia jmn huenda nd tumepata raisi wa wanyonge tena
@britonkanumba6828Күн бұрын
Wamasai tujuane hapa
@FrankElias-u9iКүн бұрын
Makondaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤
@danielmwakilembe3242 күн бұрын
Kumshika waziri Bega ambae ni Mkubwa wake kicheo nae ni utovu wa Nidhamu Na Kithembe chake
@JeanMuzaliwa-bs6qhКүн бұрын
achana na makonda kk,ww unamuona kwa cheo cha mkuu wa mkoa ila sio ivo!
@JamesSainiКүн бұрын
Makonda kiongozi uko vzuri
@monicakanza541121 сағат бұрын
Hii ya kichwa hiii
@NgowiMiwaniКүн бұрын
Makonda ni kiongozi wa mfano
@HamadAthuman-p2o9 сағат бұрын
Makonda amepotokwa huyo ndio mwakilishi wa wanainchi ndio chaguo la wanainchi unapomuingilia unajidhalilisha wewe uko kwenye upande wa Serikalkwahili umejulikana Ushamba wako ukuu wa Mkoa ulichaguliwa na Mh Rais tu Gambo ni Wanachi utadhalilika huko mbele kwakutaka Sifa
@SolomonKekeКүн бұрын
Safi mkuu
@KayagwaElishaКүн бұрын
Gambo ni mnafiki, hana uongozi wowote
@imanuelzakayo8703Күн бұрын
Anacheka chekaa nini uyoo Gambo kwanza ana adabu kabisaa