Kama Kuna nyimbo za kubariki na kutia moyo na mafundisho Kwa ujumla ndo huu wimbo barikiweni sana Watumishi wa Mungu
@ezechielnahimana9749 Жыл бұрын
🇯🇲is the best
@BCM.Bushman3404 Жыл бұрын
❤❤kbisaa
@rebeccawekaya2342 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@rebeccawekaya2342 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@JaneCaren-j8o9 ай бұрын
Wimbo huu nakupenda sana mwaaah,nahisi uimbwe harusini mwangu
@Lodrique2 ай бұрын
Tuna shukuru Mungu kwa kipaji hiki juu ya bukuku
@komandowayesu36422 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi. wimbo mzuri 🙏
@ANUSIATHACLEMENCE-mb4oy Жыл бұрын
Barikiwa Sana watumishi
@AlineKandundao26 күн бұрын
Vraiment ou son les congolais iyi nyimbo niya bien suis à goma 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 j'ai me cette chanson❤❤🎉 bahati bukuku que dieu vous bénisse vraiment❤❤❤
@claraimali68303 ай бұрын
Tenda wema zako...Malipo juu mbinguni..AMEN
@janethmwihumbo12892 жыл бұрын
Mbarikiwe Salome kwa wimbo mzuri,mungu aikuze huduma yako mmependeza
@MacoziMTherese-ze1sl Жыл бұрын
Maman Mimi nakupenda saana
@yvetteirankunda520 Жыл бұрын
Dada Bahati, napenda sana sauti yako. Ubarikiwe sana, utukufu umurudiliye Mungu
@kennedyanekea5128 Жыл бұрын
Nimeipenda
@marioleonce2462 жыл бұрын
Mmeimba vizur sana Mungu awabariki kina mama wapendwa wazuri zuri mmependeza kwa Kila kitu mavaz mpka sauti zenu
@sammycarlosbaraza17892 жыл бұрын
Cheeeeeeers. Madam Bahati Bukuku am your fan and ever a fan of your wonderful music. Congrats to Madam Salome too. The two of you look and sound like the perfect sisters. May the Lord bless your endeavor of preaching the word through song and praise. Be Blessed
@alvincealfa8 ай бұрын
Bukuku hunibariki sana kweli
@JosephineOkemba-wd4sn Жыл бұрын
Waalai wanadamu wanashangaza,
@alizabith89132 жыл бұрын
So much Blessed mum thou umepima sauti sana sijui kama ilikua na Homa mum.. may the good Lord continue Blessing you Mum Bahati..
@emmanuelqalago61642 жыл бұрын
Mungu was mbinguni azidi Lulu bariki ,nime barikiwa sana
@josephmuloi799210 ай бұрын
Blessing songs bahati ...you are so talented .......ni vile tu nineoa nikutafuta sana
@starlove8505 Жыл бұрын
The love i have for you mama Bahati❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Bukuku i wish one day i will meet you😍😘 i love all you sons 🌹🌹 love from Kenya💗💗💗💗💗💗
@amanishiughaaa63452 жыл бұрын
Sifa ya mwanadamu ww uwe chini yeye Awe juu nyimbo yenye upako na nguvu za Mungu
@VioletMusuku7 ай бұрын
Hizi nyimbo sa nitia moyo natena sina mafunzo mazuri kama mtu wakweleawa na eleawe mungu yuko na wewe mutumishi wa mungu
@irenechogoofficial59012 жыл бұрын
Mavazi 🔥🔥🔥 song mwaaah mom Bukuku unacheza tamu I like the way you enjoy the music
@AgnesNjau-gt2ld Жыл бұрын
Kabisa tenda wema nendazako, maana unaowatendea mema ndio wanaokulipa kwa mabaya,ungu akubariki sana 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@patrickmacharia23672 ай бұрын
Mungu tusaidie sisi wengine tunafanya mema lakini hakuna mwenye anayaona lakini mabaya wanayahesabu kama pesa mungu nitie nguvu nisifike mwisho niisgi kwa nguvu zako
@danamukoa849115 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤JANUARY 2025 MKO WAPI🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉TENDA WEMA NENDA ZAKO ❤❤❤❤❤❤❤❤❤POWERFUL OUR SISTER FROM TANZANIA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉MUNGU AKUZIDISHE TU SAAAAAAAANA KWA MAFUNDISHO YAKO.
@joycetumaine75682 жыл бұрын
Dada bahati napenda nyimbo zako tango zamani hadi Sasa nanyi mwemdeleye kusonga mbere musiludi nyuma Mlipendeza sana wa mama Mungu awabariki kwa kazi yake
Hongera bahati hujawai feliii mungu amekutoa mbalii sanaaa
@joyceserem6568 Жыл бұрын
Wow powerful very true songs mbele,hakuna kurudi nyuma👏👏👏👏👏👏 encouraging 👍
@alizabith89132 жыл бұрын
Wala usiyasikize maneno yao..Wacha waone ukibarikiwa mum from one Glory to another ❤ 🙌 ♥ 💖
@msabatobusinessex64392 жыл бұрын
Mwanadamu ni msaulifu kweli.. Mungu tusaidie... barikiwa dada bahati...na Salome ...mmeimba vizuri
@ntirukahassenye10152 жыл бұрын
Bravo bravo Bahati!Sauti nzuri Sana SHABASH!
@evanskhamasi19252 жыл бұрын
Songa mbele... Aaaaah, hii nzuri tu
@teonasgerald-dc3zb Жыл бұрын
Hongereni sana waimbaji wazuri Mungu awabariki sana kweli malipo ni Kwa Mungu na si Kwa mwanadam, jaman bahati iyo sauti yako sijui ulichanganya na nn walai inanikosha sana
@elishasamson31312 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana dada yangu dunia Haina jema wanadamu wanavunja moyo saana
@emilywacira86042 жыл бұрын
Kwa Mungu yote salama,dada zangu barikiweni zaidi,hongera.
@pstrebeccahnduku2 жыл бұрын
Nawapenda sana wote. Mum BAHATI BUKUKU NAOMBA UNILEE KWA HII HUDUMA...
@eng.moseso.ongudipe2844 Жыл бұрын
Bukuku May the almighty God bless you abundantly. You are such an inspiration to the Gospel fraternity. I'm happy you have a road construction company that has employed Civil Engineers.
@rezegerezege6912 жыл бұрын
Asante sana Watumishi wa Mungu kwa kuokoa Roho za watu zilizojeruliwa na wanadamu.
@mariamfritsi49438 ай бұрын
Jamani mwenzenu mimi ni muhanga wa kutenda wema, nililea ndugu zangu tuliochangia mama, mama yetu alifariki kuwaacha wadogo, nikawalea, nikasomesha, wakazaa nikalea na watoto wao ,yalionikuta Mungu ndie shahidi, nilipofulia wakaungana wakaniibia kila kitu, na watoto wao pia nilisomesha hadi vyuo, ila jamani myasikie kwa wengine usiombe, nimetukanwa wakanichangia wote matusi ,eti unringa sana wewe ,yaani nilipofulia wale watoto niliowasomesha na kuwatunza ,wakanikimbia na kunitukana. Mwenzenu wema umeniponza ,Mungu aliponikumbuka tena, waliposikia wakaanza kujileta tena. Wimbo huu na ule wa rose muhando, unanihusu.mbzrikiwe sana waimbaji na watunzi. 08.06.24.
@robertkandonga35742 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi Kwa wimbo we ujumbe mzuri nakupata nikiwa zambia mongu
@PiliMashauri-n7i Жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua watumishi,nabarikiwa sana na wimbo huu
@achiengnyaboro78412 жыл бұрын
Malkia mwenyewe Bahati mbarikiwe kwa nyimbo nzuri Mungu azidi kuwainua
@ruthnje54487 ай бұрын
This song imeweza yani nilikuwq na huzuni mwingijust listened to it ikanipea nguvu asante kwa wimbo huu
@nyanchamapendoh2 жыл бұрын
Bahati has such a lovely voice.... In my father's house, we hear Bahati as early as 5am,my father loves her songs so so much.....you two look lovely. Love from Kenya 🇰🇪
@mercymsanzu69442 жыл бұрын
God bless you siz
@hylinekemunto2 жыл бұрын
@@mercymsanzu6944 l
@Mariejo123-g2x2 жыл бұрын
Asante dada Bahati na wakina mama watumishi wa mungu mmpendeza sana, Mungu ni mwema.
@joycelufunda82302 жыл бұрын
Dada bahati na dada salome mbarikiwe mno Mungu akawakumbuke
@Bintluckas3918 Жыл бұрын
Mmependeza sana 💕💕💕
@johnkaunda3087 Жыл бұрын
❤❤❤ number one lover of bahati bukuku song ❤❤❤❤❤❤
@RebecaKeboye Жыл бұрын
Nimependa sana huu wimbo nimeenjoy mnavyocheza na kuimba,Mungu awabariki sana❤
@neemajuliasp4173 Жыл бұрын
Waoooooooo mungu awabariki wimbo mzuri nanyi wazuri mmependeza Sana mungu awatuze kwa ujumbe mzuri
@sarahodenyi69402 жыл бұрын
Songa mbele , wao ni wanadamu.... Forgive them and go go go
@ednatave61432 жыл бұрын
Aminaaa MUNGU awabrk Zaid atufundishe kuish vzl n wanadam wngn
@paulinelokinei-be9oo Жыл бұрын
Wow... what a lovely message to us may God bless you Bahati🌹🌹.
@ezechielnahimana9749 Жыл бұрын
God bless you Bahat thank u
@dadasanga53142 жыл бұрын
Hongera sana jmn daaa sina shaka na kazi zako dadaangu hakika unahubiri
@hawashillaismael50732 жыл бұрын
Salome na bahati my role model good work keep it up
@thee_jimmie2542 жыл бұрын
Shikamoo Mama,ebu mwambie Bahati bukuku Atoe video ya wimbo Wa Mwalimu wa Ndoa🤓❤️ tafathali 🙏
@kenethkayuni86582 жыл бұрын
Ameni mbarikiwe sana watumishi Mungu
@dainachima2 жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️💞👣👣🚴🏌️
@freddyfredricks34356 ай бұрын
Ningependa pia video ingekuwa,,, that song hits differently❤❤❤❤
@magrethnnko44332 жыл бұрын
Dada Bahati haujawahi kufell, this is so blessing Dada Salome I love the pronunciation Yaan nawapenda
@gladyskenga-v8w Жыл бұрын
Mama bukuku nakupenda jinsi ulivo surely mungu azidi kukutendea
@stephanofrank2455 Жыл бұрын
Ubarikiwe dada yangu .Mungu awatunze
@abiudesther38062 жыл бұрын
Such a nice song be blessed big up from🇰🇪🇰🇪
@HawaGabliely4 ай бұрын
Amina barikiwa San watumishi wa Mungu🙏🙏
@Britneymutheu-n5w2 жыл бұрын
Mahali Kuna bukuku nabarikiwa TU Bure nice song keep up you-all
it's a very good educative song composed with a lot of passion and touching many life's. Hongera !! mama Bahati Bukuku Continue preaching the word of God through your gifted talent.
@bahatimakula93372 жыл бұрын
Wimbo umenibariki san... Mungu awazidishie mm namkubali san bukuku ktk nyimbo zako
@francismutinda73862 жыл бұрын
Aki mama Salome I love u for free tuned from kenya 🇰🇪 God bless u abudantly
@mercymutheu6882 жыл бұрын
Eei Bahati 🥰so lovely with the other lady..wimbo mzuri sana .Songa mbele Wala usurudi nyuma
@gracemrefu28332 жыл бұрын
hongera sana kwa wimbo mzuri
@jonasruto9285 Жыл бұрын
❤malipo utapata kwa Mungu
@imeldanyarotsa36362 жыл бұрын
Really love you mum God bless you
@daughterwaihumbuofficial75562 жыл бұрын
Woiye nampenda bahati bukuku sana may God bless you my sister
@gracezoe2 жыл бұрын
Kazi njema,naipenda, Amina
@ScolasticaJoseph-r8y Жыл бұрын
❤nakupenda sana wewe ni kiooo Cha jamiii
@tunzaamisa80052 жыл бұрын
Mungu awapari kwa kipaji yenu naguo mulinzozivyaa nimenzipenda sana
@joshuaalsel58282 жыл бұрын
namufanisha dada salome na shushu vile
@ChangoWekesa Жыл бұрын
Sauti nayo mama bahati ulibarkiwa hongera Kwa wimbo mtamu
@MercyMshai-rz6gj8 ай бұрын
Wwwow ❤amazing work 1.7million views in 1 year great collabo❤
@husnahhamisi44882 жыл бұрын
The love I have for Bahati aki, her voice ❤️❤️❤️
@EvaNyondo8 ай бұрын
Utukufu kwa mungu aliye juu kwaajili ya uumbaji wake aliye juu
@rosemarymuchisa14975 ай бұрын
I love bahati her voice blesses me
@happinesstesha70612 жыл бұрын
Dada bukuku Umependeza sana, be blessed
@doreenbundi38762 жыл бұрын
Amen mama bahati kipenzi cha wengi kwa huu wimbo mtamu God bless you
@ezechielnahimana9749 Жыл бұрын
Huyu bahati Mimi ame nishangaza nyimbo zake jote chanjo nazingine but me lsay that Bahat from Tanzania AGod bless you
@williammalwana74062 жыл бұрын
Mungu awabariki mama zangu mnafanya kaz nzuri hakika
@masokarachel Жыл бұрын
mubarikiwe kwa nyimbo iyo imenijenga sana
@barakaabel5040 Жыл бұрын
Wimbo mzuri,
@ranzvilan48572 жыл бұрын
God bless you servants of God
@mwalimukamau36492 жыл бұрын
Wimbo mzuri. Kutoka Kenya 🇰🇪 nawapenda.
@ninzizarachel45232 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki sana,nami nimebarikiwa na wimbo huyu.Amen.
@jeremia81722 жыл бұрын
Jaman salom Mungu akup mafanikio mmependez nyimbo inaujumb kiujumula me nawap 💯 bahati bukuku napend vois Yako jaman mama mdg you Good
@leahdaniel11172 жыл бұрын
Kuwa ndani ya YESU KRISTO ni raha Sana aisee asikwambie mtu.
@emilynekesa14752 жыл бұрын
Ujumbe sahihi kabbisa Dada.God bless you all
@mashakasostenes50222 жыл бұрын
Hongera sana mama kwa wimbo huu Mungu akubariki sana ameen.
@bienfaitndethi71482 жыл бұрын
amen ,wimbo no 1 african swahili land gospel
@mercychepngetich14282 жыл бұрын
My inspiring woman since I was young,,, listening to ur music it doesn't disappoint be blessed
@MiriamJoel-z2w Жыл бұрын
Good nice bahati mungi awatie nguvu
@kidambacarolyne19352 жыл бұрын
Another sweet and blessing song ,songs mbele Wala usirudi nyuma
@lucykissanga579 Жыл бұрын
Asantee dada bukuku nakupenda sanaa🙏🙏
@RoselyneMachuma Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu uendelee nyimbo zako ni nzuri sana ina mafunzo
@sauud2some4712 жыл бұрын
As ate kwawimbo zuri.Sana mung u akubariki my sits as 🙏🙏🙏🙏💃💃💃💃💃💃💃💃