One thing i will say, i always love interviews za MJ, and Majani. You need to take these narations/stories mziweke kwa a Music Museum hapa Bongo. Chimbuko wa a lot of artists, ni inspirational.
@MadembweDickson-ur4klАй бұрын
Watoto wa 2000 Watuache turudi Utoton sisi Wahenga✊✊✊
@UpendogospelchoirАй бұрын
Mika mwamba sijui mnamsahau vipi
@fahadfaraj6474Ай бұрын
Hayupo tz yuko kwao Finland labda upatikanaji unakua mgumu
@ShedrackSylvester-yl6beАй бұрын
Sema bg mtafute sam misago na junior jr
@nassorsuleiman9155Ай бұрын
Wewe asaaa chale kumbe sassa Sam misago aje aseme nini??
@FrankMbunaАй бұрын
Who are they? they are not classic..hapa ni watu classic tu kama,Sunday shomar,Mike mhagama,Taji,etc sio hao wtt wadogo..
@ambokileasheengai1140Ай бұрын
ofisi za mawingu studio sio sinza pale ni mwenge kijijini...sinza ni upande wa pili wa ile ilipo shule ya kenton
@TBCLINICKYELAАй бұрын
Vijana wa buku be🤣🤣🤣🤣
@westcijoshАй бұрын
😂😂😂
@therevolutionbrandtanzania4909Ай бұрын
Master hazina ya taifa iyo
@hafidhissa4405Ай бұрын
Diplomatic, Are you down ipo You Tube mbona ❤
@Optionxll_Playz1Ай бұрын
Sasa nirazima mukumbuke sio 1990 Ni 2024
@johnmathew9994Ай бұрын
Hii video siangalii nitairudia ukimpata Mika Mwamba kwenye The Classic yako bila hivyo bado sio classic
@samirmswahiliАй бұрын
Kuvichaka 🐐 wa hiz mambo alaf yko smatiiiiii sana unahitaji kukua kiakili kwanza alaf rudi ule madini
@johnmathew9994Ай бұрын
@@samirmswahili.Hiz, alaf, yko, smatiii? Rekebisha kwanza uandishi huo wa kifacebook ndio uje kwenye midahalo hii migumu ya kuchambua mmoja kati ya watayarishaji bora kabisa kwenye historia ya mziki huu wa kizazi kipya #MikaMwamba
@KuviFactsАй бұрын
Sikua nataka kukujibu ila baada ya kuona unamyeyusha huyu msela hapa nkaona nkujibu leo ,Mika Mwamba amerudi kwao Finland miaka mingi kwa hiyo kumpata nia aidha tuende Finland ama aje yeye Bongo,hivyo usiangalie tu mkuu mpaka moja kati ya hayo mawili yafanyike panapo uzima
@mindrest.2879Ай бұрын
Nenda kwa Millard Ayo utakuta inter view yake ya mwaka 2017.
@johnmathew9994Ай бұрын
@KuviFacts Sawa mtalam ila ukimpata Mika Mwamba itakuwa poa sana