Рет қаралды 27,044
Moja ya waandishi bora wa muda wote katika hiphop Tanzania na Afrika ya Mashariki kwa ujumla Mwana FA nae alipita kutupa madini ya kipekee kupitia The Classic na Jabir Saleh,mahojiano haya hayakupatika katika channel hii na sasa tumeweka hii ambayo anazungumzia masuala mengi kuhusu yeye,muziki wake wasanii na watu waanaomzunguka nk
enjoy