Mtulilize ilikuwa balaaa wewe.....ilitamba ndani ya ngoma kali
@ven-dx3qs10 ай бұрын
Show namba moja. Itapendeza ukiwaleta "waswahili halisi / waswahili nature" wenye nyimbo ya wazo la leo, pengo, yupi bora, haiwezekan feat mr blue. jamaa walikuwa moto sana enzi hizo
@hadserhood282311 ай бұрын
Huyu mmoja saa hv ana swali sana naswaligi nae sana msikiti wa lindi Kariakoo pale
@FatumaPepeyu10 ай бұрын
Mabaga flesh motooooooooo
@Jumamabela8 ай бұрын
Nakumbuka.nyumbani.dar
@jumakabota123110 ай бұрын
Cheniko mengo chechela, ngoma inaposonga haihofii nguvu ya dola (gangwe) Mabaga fresh ni chombo dola (mabaga)