Yaan masami wewe.mtu.mskini sana big up.nimependaa hupo na heshima unaongea safi..napenda enterview zako zoote safiii
@moudrickmouh35699 ай бұрын
Sikuwah kujuaga huyu jamaa ana hekima sana..bless up biggie
@Tutsi-b8s9 ай бұрын
Binti mtangazaji anacheka vizuri hatari🎉🎉
@mussarashid22169 ай бұрын
Huyu ujue COMEDY sanaaaa n very Humble 😂😂😂
@giztony20099 ай бұрын
Akutane na Chris mziwanda, jux na calisa yani nimecheka hadi tumbo limecheza
@mussarashid22169 ай бұрын
@@giztony2009 Huyu jamaa MCHESHI sanaaaaa lazima Ucheke maana WATANGAZAJ wote wanacheka
@JeremyJangz9 ай бұрын
A very wise guy, big-up to him. Great conversation right there
@dadirimhinahassani60499 ай бұрын
Safi sana mdogo wangu
@edithhassan41969 ай бұрын
Msami, ni mkweli anasema kutoka moyoni sio mnafikii. God bless you 😂
@christiannyamamba90899 ай бұрын
Jamaa comedy sana😅😅
@Wamoyothenumberone9 ай бұрын
Kweli kabsaaa
@sharifaoctavian64789 ай бұрын
KICHWA SANA MSAMI
@believeboy21508 ай бұрын
Kuna muda nlikua na mfananisha msami na dumi dansa wa mondi
@benahgrafix8 ай бұрын
Wanafanana
@boscomwambapa85849 ай бұрын
Msami kumbe unajua kuongea point
@ramseychobaliko10029 ай бұрын
Nyie nao mnunue camera mpya Yan camera kama ya Tecno 😢😢😢😂😂
@AmirAmir-ct5gd9 ай бұрын
Huyo jamaa muwongo sana muurize ana miaka mingapi
@roi25549 ай бұрын
Mbona kama sauti inafanana na chino
@frankkajoba83728 ай бұрын
Media za bongo zina uhaba mkubwa wa watangazaji wenye weledi. Unaalika msanii, humuohoji kuhusu muziki unatumia saa zima kuulizia mahusiano, na umbea. Duuu😢
@kakaaignas36759 ай бұрын
Sio Pouwa
@Tescobwoy9 ай бұрын
From 254
@OfficialA836409 ай бұрын
Hawa shake shake wameambukizana gono sana tu Temeke bila ubishi maana walikuwa wanawalala hd kwenye vyoo vile vya Lucury Pub na kule Imasco Taifa dah waliopona washukuru Mungu😂😂
@LeilaSadik-o1w9 ай бұрын
Komaaaaa ukomae wazaram ulipagawa mbwa weeee ndio wa mjini
@athumanindyema23029 ай бұрын
Da hiv uwoya katembea na wanaume wangap?
@dr.madevualcantara47759 ай бұрын
Nusu nzima ya mastaa wa bongo😄😀🤣
@athumanindyema23029 ай бұрын
Ni kwel maan kila mtu anasema katembea nae huyu dada ni hatar
@Tutsi-b8s9 ай бұрын
WEEENGI SANAA!!! We jua tu hivyo
@Wamoyothenumberone9 ай бұрын
Mulize wouya
@maryamtan6828 ай бұрын
@@athumanindyema2302sio kweri, wengine ni kuchafuana tu mitandaoni, ndo maana uoni akimjibu mtu. Wanaojulikana n. H bb, huyu msami, dogo janja